FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-2 AL MASRY (CAF Confederation Cup - 07/03/2018)
Vložit
- čas přidán 12. 09. 2024
- Wekundu wa Msimbazi Simba SC leo wamelazimishwa sare ya mabao 2-2 na Al Masry kutoka nchini Misri katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Taifa Dar es Salaam na kurushwa mbashara kupitia Azam Sports 2, umeshuhudia mabao matatu kati ya manne yakifungwa kwa penati.
Mabao ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 10 na Emmanuel Okwi dakika ya 74, yote yakiwa ya penati, huku mabao ya Al Masry yakifungwa na Mohamed Gomaa dakika ya 11 na Ahmed Abdalraof dakika ya 26.
Hata hivyo mchezo huo ulisimama kwa takriban dakika 25 baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha umeme katika dimba la Taifa kukatika huku uwanja ukijaa maji.
Mchezo huo uliendelea baada ya mvua kupungua, lakini matokeo hayakubadilika na sasa Simba itahitaji ushindi wowote au sare ya kuanzia 3-3 katika mchezo wa ugenini utakaopigwa nchini Misri
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿
Al-Masry sio wa kwanza, tulipambana tukamtoa Zamalek kwao.. hivyo Simba wana kila sababu ya kuibuka na ushindi nchini Misry..Lechantre arekebishe makosa madogo madogo katika safu ya ulinzi na ushambuliaji, pia wachezaji wa kiungo wanatakiwa kuchangamka na kupigana kiume ili kurudi na ushindi#Simbanguvumoja#
Tunaoangalia hii 2020 na huku macho yetu yt yapo kwa mlipili tujuane
Saw a
Hi ndo ilikuwa simba
penda sana Chama langu mungu ibariki simba ili hao wanaoiombea mabaya washangae
Ndemla. Kichuya mkude walkuwa watamu sana, we missed them
Simba ni mfalme wa soka
Lots of love by Township Rollers fan from Botswana Simba FC
sisi simba banah
Salute
Salute
what are you saying? English please, thanks
BONTLE L MOOKO ok
EZEKIELI TAAWI simba damu endapo Leo simba itafungwa nitajiuzulu ila nawatakia kheri mbele ya waarbu hao 2_0 okwi bocco mungu ibariki simba
Still am watching 2021
good job guys am so proud of you
Kama Kama wewe ni mshabiki wa Simba like chini
Ulipigwa mpila mkubwa mpaka mvua ilishuka na umeme uliktika safali ya simba kuliteka soka LA bongo ilianzia apa
Hi my love for her birthday so much
So great.... but Simba wamekuwa wataamu...
HISTORIC MATCH ✊✊✊
YANGA SIMBA
❤
simba haturaki shida na mtu
simba raha
Wonderful match
nkana vs simba
@@alexsilvester6159 I 33 a lot and 333333333 333333333 33
@@alexsilvester6159hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Huyooo.gomaa.wamlinde sana
Mliupga mwingi...hongeren watani
Gooooooooood
Simba noma San
Timu zinazo cheza na simba zina fiaga wapi
daaaah mung ibariki simb
Sebastian
sana boi
@@boniimsokwa8627 wqu
Tutamkumbuka sana okwi
Jaman mumemuona manala😅😅😅😅
simbaaaa brother en c*z
Simba NA yanga
Roda Mathias Bado ushindi upo kipindi chapili
Chama claotus
Simba nomaaaaaaa
.simba. All ahal
good
buny
Yusuph
2023 nacheki
Good match
Gd
Pigs so simbaa
@@manmomanmo3620 ,,
Pamoja wanasimba
Shaulin Soccer naiyona hapo
masud djuma nakpnd
Chama acha kuzingua lete maajabu
2023 for now
simba vs azam
Frankson Tumsiime m
mambo ni moto msmbazi
Emmanuel Salum
CAF imejaa waarabu ....hii mechi simba angekuwa anaongoza mechi ingehairishwa
Sasa hata mwanga hautosh ndo nn
mkiambiwa nyambaf mnakataaa simba mnapiga jeramba kwenye mvua?
Esau Udamwa Wewe ni mak
shoga unaogopa mvua
Simba baba lao
Ingekuwa ndo simba ya sasa sijui ingekuwaje
Mh! Huyu waziri wa kilimo Tanzania sjui kama yupo
Yes wcan
simba ni balaaaaaa
Hii ni mechi ngumu.. mmepigana. Tunawaelewa. Good luck in Egypt wapiganaji wetu..!
heeeewe mwenyezi mungu hijalie simba
Kotei alicheza chini ya kiwango
Jaman mpira ambao anacheza chama niwakiwango cha juuu sana
abduli wahd tutu q
sima sevira
nataka mechi ya ximba na sevira
Azam ioo nembo itoenii apo kati hatuonii
Sawa
ogeleni chama changu umejitaidi
Nehemia Joseph
jamani simba mnarukaruka tu kombe lenyewe shirikisho
Naitakia ushindi simba ndua kwenu
Hi
Wamatopeni oyeeee kaz kwenu huko misri mtakula 4G hiy lazima poleni mmeloga hadi mkajiloga nanyie
Njema
Mazoezi ya makipa simba
Vizuli san
2020
Ukiangalia magoli mengi wanayofungwa Simba hutokea kwa Kotei.. hana spidi ya ukabaji mara nyingi .. na huwa anasita kuucheza mpira wakati hiyo ni kazi ya beki.. Kotei alisajiliwa kama midfield.. sasa leo amekuwa mlinzi wa kati?? The guy IS a midfielder.. he doest have the concentration and discipline of a central defender..! Achezeshwe winga au akae bench.. Kotei SI Mkabaji. Simba mmeuachia huo ushindi kiulaini.. ! May the Lord help US is Egypt!
Tasr
Taking blad fool
NEEMA VUMILIA
Muvic
Mvua ilitokea wap😅😅
this is too much
Jiganga Malingila
Simba n hatar
Baba paroko siarudi simba
AL masry vs simba
AL masry v simba sc
simba
Mtoahabari usipende kutuchezea akili haowachezaji ulikwisha tujuza sasahuyo mchezaji mbona hujamtaji achaujinga ujue unadili na watu wazima pumbavu
Ety eee
Muvi. Zilizotafasi. Liwana. DJhafuRo
ninjAmh
Mm
Barwani Muhuza acha mapenzi ya waziwazi unaiponda simba waziwazi kisa wewe ni yanga
Mmmh!
Usajil WA simb
P
HASANI mwakinyo
Huu moto wa simba c wakitoto
Kanumba flm
Ratiba ya kitabubingw
na nyie yanga safar yenu ishaisha kwa makilikili mtapigwa yaan kwenu mnapigwa na kwao pia hata aibu hamuoni mtu anakumiliki kwako simba wameloga na nyie kwann hamkuloga au ilikua imedunda mlikaa mkizan tutafungwa polen haooooo vyula ovyooooo
Layness Mjenga ,
Layness Mjenga matokeo ya simba yakoje maana makiri kiri
iik
Iiik
Tunawafungaga waarab mbona hamjawafunga wacheza taarab nyie mikundu ya msimbazi mnajiita
VP unajuakutukana sana wewe
Elia Mkumbo we fala tu msenge wewe
Bavu
Ya nini matusi huu mchezo auitaji asila na kama auwezi uxhabiki ni bola ukae kimy🙏🙏🙏🙏🙏.
Elia Mkumbo unatafuya Bwana
sisi simba bkather
Mikiyaaaà
Kisinda
Magufulileo
Nzur xnah ximb
Hahaha
Man ninom
walijua hap lazima tushinde. wameona bora wakate umem ili tukafie kwao
Zainabu Banda ibaliki simba
Mmb
Zainabu Banda iyomechi vp
Abubakari
Kabila LA wazigua
Mechi ya leo
X
xx video
H
Ngono video
,,
Safari yenu inaishia pale Misiri hamuendi kokote mananga nyie
oden lameck ujielewi ww 👌
Utabaki kila siku kusema hivyo we unadhani vyura hao ambao kila siku kwenye maji hiyo ni damu nyekundu inayotembea mili mzma na siyo kila siku ni juma tatu
wewe paka wa jangwani
Kama yakwako ilivyoishia kwa hawara wa baba yako
Okalf ijkppp
Pplp