HAMISA MOBETTO AMWAGA HELA YANGA MBELE YA ALI KAMWE & ENG. HERSI

Sdílet
Vložit

Komentáře • 48

  • @Suhannayn
    @Suhannayn Před měsícem +3

    Anasikia haya jaman biharusi...kila la kher Allah awazidishie mahabba,mawadda wa rahma

  • @elizabethgulday1557
    @elizabethgulday1557 Před měsícem +2

    Kweli Bw. Harusi anaenjoy ila Bi. harusi sasa kanuna mpaka anakera yaana kama mshumaa wa pasaka hatikisiki

  • @saniamashoto2195
    @saniamashoto2195 Před měsícem

    Mc Sio professional ndo ubaya wa Hii shughuli ila kila kitu pambe

  • @abedirv7366
    @abedirv7366 Před 20 dny

    Bado ali kamwe

  • @aminakadukadu7610
    @aminakadukadu7610 Před měsícem

    Sherehe pambe bwana harusi ana vibe lakutoaha ila bi harusi kanuna sana kama kalazimishwa

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Před měsícem +1

    msituletee watu wa simba huku yangu na matunguli yao

  • @user-vq1nm2mh3s
    @user-vq1nm2mh3s Před měsícem

    Misa mitano tena💚💚💚💚💚

  • @user-kh7bc4js1m
    @user-kh7bc4js1m Před měsícem

    Mungu atakupa wako mma pia wwe hamisa

  • @user-nl8my3ye5d
    @user-nl8my3ye5d Před měsícem +1

    Bona kanuna huyu biharusi hivyo kwani kalazimiswa kuole hani hata kataba sam😂😂😂😂

  • @HadijaMussa-cf4em
    @HadijaMussa-cf4em Před měsícem +2

    Biharusi sijampenda kanuna huyobkama kalazimishwa

  • @jemimabakari
    @jemimabakari Před měsícem +1

    Bi harusi hilo ua lilimchosha,khaa😅

  • @SadaMsangi-im3wj
    @SadaMsangi-im3wj Před měsícem +2

    Bibi harusi kanuna muda woooooooote tatizo nn sema alwatani kajitahidi katabasam muda wote

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 Před měsícem +5

    Jaman mbona babuu arus atulihii😅😅😅

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 Před měsícem +2

    Katika mambo wanayofeli Yanga ni kutokuwa na DJ sahihi kwenye shughuli zao

    • @suzan4200
      @suzan4200 Před měsícem

      Hiyo ni sherehe ya yanga au ni ya mfanyakazi wa yanga jaribu kutofautisha taasisi na mfanyakazi wa taasisi flan itakusaidia

    • @Rahmatz8172
      @Rahmatz8172 Před měsícem

      Dj na Mc ni ovyo kbsaaa mm nasikia chengaaa chengaaa tyu

  • @user-vr3hp4xs8m
    @user-vr3hp4xs8m Před měsícem +3

    Kanuna bi harusi hata hatabasam jmn au atakua kaona mke mwenzie

  • @KhadijaJuma-pb6fw
    @KhadijaJuma-pb6fw Před měsícem

    Mbona biharus kacheka mwsho vizur

  • @user-cx3kd3dg6i
    @user-cx3kd3dg6i Před měsícem +1

    Hamisa amenoga jmn

  • @pendomedard9246
    @pendomedard9246 Před měsícem +1

    Adi mwanaume amelewi mkewe anavo kaa anamangalia lakin mwanamke wapi

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před měsícem +7

    Mbona bi harusi kanuna mpaka kanuna tena

  • @user-uf8ot1mq8c
    @user-uf8ot1mq8c Před měsícem +1

    Kijana uko safi

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly Před měsícem

    Yanga Hatuna jambo dogo hongera

  • @MariamRamadhan-vf1jk
    @MariamRamadhan-vf1jk Před měsícem

    Mmh kalazimishwa uyu😂

  • @user-dc6ut6qx6x
    @user-dc6ut6qx6x Před měsícem +2

    kama kalazimishwa kuolewa huyu dada vipi

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 Před měsícem +1

      Kisirani huyu nyumba yaenda waka moto halafu aonekana mchoyo 😂😂😂😂😂

    • @vffvff6317
      @vffvff6317 Před 25 dny

      Ni mwarb uyo dada😂😂 kwa Roho mbaya ​@@aminakipande5645

  • @JumaDea
    @JumaDea Před měsícem

    Nyieeee

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Před měsícem +1

    Abdulaziz mwanangu mambo na watu usifrahiye tu towa na wewe upewe nipe nikupe

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 Před měsícem +1

      Nirafiki yake kwahiyo kwenye urafiki hamna kurudisha ni udugu kwahiyo my wangu Hamis amemoa ndugu yake

  • @ZuhuraNhumbi
    @ZuhuraNhumbi Před měsícem +3

    Kanuna mpaka sherehe haijashangamka hapo mwanaume tuu ndo anatabasamu

  • @AsheyAmey-hl5em
    @AsheyAmey-hl5em Před měsícem

    Saa wanacheza wimbo gani au cm yangu mbovu

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Před měsícem

    Hizi simu dah mmesahau mpo seheme za watu acheni sim shame on you

  • @jemimabakari
    @jemimabakari Před měsícem

    Bi harusi hilo ua lilimchosha,khaa😅

  • @clementinaaguka
    @clementinaaguka Před měsícem +1

    Bwa harusi ana mchechetoooo