Mangungu Awataja Wasaliti Wa Simba | Alikana Tawi la VIP

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 06. 2024
  • Murtaza Mangungu kwenye Sports Xtra ya Clouds FM akijadili kinachoedelea ndani ya timu hiyo ikiwa ni baada ya tamko la muwekezaji Mo Dewji #sportsxtra
  • Sport

Komentáře • 298

  • @righitkileo
    @righitkileo Před 15 dny +5

    Kiuunqana tu mmninqekuwa ndo huyu mzee Ninqejiuzulu mapema sana. Unaweza jiuzuu.kwa hwahima yako ukabakia mwanachama wa kawaida inqekuwa.safi saba

  • @mwasunga
    @mwasunga Před 15 dny +8

    Jaman ivi mnamuojije uyo atoke tu atumtaki

  • @Nestorympika
    @Nestorympika Před 15 dny +16

    Wewe mangungu Toka bwanaa,, HATUKUTAKI

  • @rahplenyengerahplenyenge722

    Mangungu aondoke

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 Před 15 dny +4

    Ngungu Boy tokaaaa

  • @PaulMasolwa-ir4fp
    @PaulMasolwa-ir4fp Před 14 dny +3

    Unaweza kumpongeza mtu aliyefeli

  • @user-ps2om3fg8x
    @user-ps2om3fg8x Před 15 dny +9

    Mo alisema, yeye aliongoza miaka mitatu akaiona timu imesimama vizuri akaamua kuwakabidhi wewe na try again ikiwa na vikombe vyote, yaani kama ni biashara ilikuwa imeshasimama vizuri, mategemeo yake nyinyi mtaitoa pale alipoicha yeye na kiipeleka juuu zaidi, sasa mnatakiwa mjiulize biashara mliyoachiwa mnaikuza au mnaiua? Miaka 3 duka limebaki jeupe ata kipande Cha sabuni hakuna na timu imeshika nafasi ya tatu tuwaeleje? Tumia busara achia ngazi.

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 Před 15 dny +4

    Kikweli Sina Imani na huyu mzee aache tu timu atupishe

  • @user-ex9xv4bl7u
    @user-ex9xv4bl7u Před 15 dny +4

    Mangungu toka acha siasa we mzee mshowe tutakutukana

  • @jamesmohamed4612
    @jamesmohamed4612 Před 15 dny +4

    Mzee shida transformation mbna inakuwa haifikii mwisho

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l Před 15 dny +3

    Hao wote wanaosapoti kukupongea hao ni yanga yanga, tunachotaka mangungu ondoka tutakufanya vibaya, kama ni vita naive vita, mama samia hatutakuelewa kama usipoingili kati kutuondolelea mangungu,

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Před 15 dny +6

    Hatukutaki mzee acha maneno mengi

  • @BadruSaid-jz9xh
    @BadruSaid-jz9xh Před 15 dny +7

    Naenda mangungu hufai kabisaas

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 Před 15 dny +4

    Mzee wa hovyo sana

  • @RahimMahadi
    @RahimMahadi Před 15 dny +5

    Tuoneshe iyo kadi ya 93

  • @jumandaturu954
    @jumandaturu954 Před 15 dny +2

    mim namkubali bwana mangungu for life

  • @user-tx1yb3my3m
    @user-tx1yb3my3m Před 15 dny +6

    Kwann hamkumuuliza alikuwa wapi mudawot mpaka aje saiv interview

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 Před 15 dny +4

    Ondoka we mzeee

  • @SandaliSaid
    @SandaliSaid Před 15 dny +4

    Mpuuzi tu mangungu

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 Před 14 dny +2

    Huyu mzee mpiga dili tu pale.. huyu mla pesa sanaaa za usajili

  • @ramadhaniharuna5441
    @ramadhaniharuna5441 Před 10 dny +1

    Madrid ilishawahi kusajili wachezaji wote wazuri, miaka ya 2000 mpaka 2004.

  • @user-bn8oy2qm7r
    @user-bn8oy2qm7r Před 15 dny +3

    Toka bwana nenda clab nyingine mbona inaingania Sana Simba babu toka

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 Před 15 dny +7

    Mzee wa hovyo

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 Před 14 dny +3

    Mangungu now kaa nabibi tu nyumbani tuachie Simba yetu

  • @S.Mwambapa
    @S.Mwambapa Před 15 dny +4

    We mangungu umetumwa nn😮

  • @user-qr4wv2cm7q
    @user-qr4wv2cm7q Před 15 dny +9

    Mangungu na triy gan hawa ni niwahuni sana

  • @Sidemkondo
    @Sidemkondo Před 14 dny +2

    Vip kuusu b.20

  • @BenMudy
    @BenMudy Před 14 dny +2

    Kwani kadi ndio ushabiki au ushabiki ni moyoni

  • @RahimHussein-oy5ks
    @RahimHussein-oy5ks Před 15 dny +6

    Hawa waondoke tu

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 Před 13 dny +1

    Tangu Simba umechukuwa mwenyekiti unatufelisha hakuna maendeleo yyt

  • @willysonmaliatabu1815
    @willysonmaliatabu1815 Před 13 dny +1

    Uondoke ky mangungu

  • @deniskaaya1117
    @deniskaaya1117 Před 15 dny +5

    Huyu ni tapeli tu😂

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 Před 12 dny +1

    Mangungu upo vzr piga Kazi apo shida ni mwekezaji ndio yupo kiupigaji tu toka lin muhimdi akaendesha tim

  • @user-wt9xq5yl3m
    @user-wt9xq5yl3m Před 15 dny +2

    Shida sio kadi ya uanachama wa Simba tunasemea uhujumu

  • @bakarimhina6437
    @bakarimhina6437 Před 14 dny +1

    Mangungu Uliikuta Simba Sports Club ikiwa na Heshima Zake KITAIFA na KIMATAIFA.
    Leo Mikononi Mwa Uongozi Wako Mbovu Sasa Hivi Simba Sports Club Imedodora KIUUNGWANA JIUUZULU Usijekuondoka kwa Aibuuuuu.

  • @user-ie1jh2eu7b
    @user-ie1jh2eu7b Před 10 dny +1

    Mangungu tuachiye Tim yetu kwani Simba imekuzaa

  • @muddiymackvita8409
    @muddiymackvita8409 Před 15 dny +3

    Wanachama wenye ushawishi wapo Daresalam ambao hawa ndio miziz ya wengine kwahiyo ukipedwa hapa mjini basi ndio umefanikiwa nchi nzima

  • @nicolausmollel6212
    @nicolausmollel6212 Před 13 dny +1

    Mangungu piga kazi achana na hao wambea na wanafiki

  • @user-tu8tl2lg4b
    @user-tu8tl2lg4b Před 14 dny +1

    Mangungu jiuzulu utaaibika Hali hii sio

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Před 13 dny +1

    Yanga wote wame Crick

  • @yousirsports7482
    @yousirsports7482 Před 15 dny +2

    Mangungu ni mwanasiasa na hata alivyochaguliwa kwa kumleta manzok ni siasa

  • @NoelKiwike-wc8wh
    @NoelKiwike-wc8wh Před 8 dny +1

    Jamaa hadi.amekonda toka

  • @EbenezerReuben-jx5sg
    @EbenezerReuben-jx5sg Před 14 dny +2

    Ulikuwa wap mzee at kwenye mech huonekan

  • @Is-hakaRamadhani
    @Is-hakaRamadhani Před 13 dny +1

    Mangungu muongoo

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 Před 12 dny +1

    Hatukutaki Mangungu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Před 14 dny +2

    Mangungu usiondoke , yaani ww ndio mtu muhimu hapo

  • @mafikrahamza-lm4yp
    @mafikrahamza-lm4yp Před 14 dny +1

    Hatuitaji siasa katika mpira,tuachie simba yetu,we ni kirusi,siasa kafanyie kwako.

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh Před 15 dny +2

    Hawezi kua sahihi Tim imeshindwa vikombe vyote ni sahihi yeye kuondoka hiyo ndio kawaida

  • @MussaHajikimwaga
    @MussaHajikimwaga Před 14 dny +1

    Mangungu jipange pamoja na wenzio tunataka simba.bora achana na wapiga kelele watanyamaza TU kinacholeta shida ni matokeo ya uwanjani hicho ndiyo tunachohitaji mashabiki

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Před 15 dny +2

    Wewe banaaa ni Yangaa banaaa, acha kutuzugaaaaa banaa

  • @ghoyelamhagama1504
    @ghoyelamhagama1504 Před 14 dny +1

    Ngungu toka kwenye timu waachie wengine ulipo paongoza panatosha

  • @MathiasNicolaus-ff1hy
    @MathiasNicolaus-ff1hy Před 15 dny +1

    Hv we Mzee unang'ang'ania nn hv ,ingekuwa Bure ucngeng'ang'ania madaraka yaaani elewa kuwa watu hatukutaki Tena Mzee achia hyo nafac we mzeee

  • @brunomchalla4439
    @brunomchalla4439 Před 15 dny +6

    Acha woga Mangungu, itisha mkutano wa dharura wa wanachama ueleze matatizo ya club . Sio kukimbilia mahojiano na waandishi. Hujiamini . Club iko
    I C U tunamuhitaji MO Kuinusuru , utaratibu utafuata baadae.

  • @user-ki3gt6gy1l
    @user-ki3gt6gy1l Před 12 dny +1

    Mangungu kwa dhambi uliyo ifanyia Simba hutakuja kufa vibaya

  • @bulengwamisiri5630
    @bulengwamisiri5630 Před 15 dny +4

    Mangungu tuachie timu yetu mangungu

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 Před 14 dny +1

    yaani huyu babu hajui chochote ni wazi anakaa tu ktk cheo chake anaulizwa wapi wanafanya kitu yeye anajibu venue au dah km ataendelea huyu tutasundana mangumi siku zijazo kwa kweli

  • @christopherjoseph9981
    @christopherjoseph9981 Před 15 dny +2

    MANGUNGU tuna imani kubwa sana na ww

  • @worldwidemedia0410
    @worldwidemedia0410 Před 13 dny +1

    😂😂😂😂Ila mangungu

  • @mathayojoseph5228
    @mathayojoseph5228 Před 15 dny +1

    Magungu your best kuliko una vision sana mzee natamani ungekuwa Yanga but hawawezi kuhelewa KBs kwa sasa but watakuhelewa siku moja mo nikwasababu hana toa pesa kwa watu ndio maana unatakiwa usichoke hata kdg mzee wangu

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 Před 13 dny +1

    Unalazimisha nini hapo Simba kwann unatufelisha alafu unafaida gani hapo Simba tumekuchoka sana Mara unamleta mazoki

  • @user-py3mz6xd2t
    @user-py3mz6xd2t Před 14 dny +1

    Wewe mzee nikiongozi unaona mupo sawa tulitengemea munaleta mabadiliko umekalia malubano naupiga dili

  • @shadrackkibona7178
    @shadrackkibona7178 Před 10 dny +1

    Mangungo aondoke tu

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 Před 14 dny +1

    We Mangungu kwani huna kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kuing'ang'ania nafasi ya uenyekiti wa Simba? Unachokitaka Hapo Simba ni kipi?

  • @user-uo9kk7kn9z
    @user-uo9kk7kn9z Před 15 dny +3

    Mangungu tokaaa hapo Simba hatukutakii

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e Před 15 dny +3

    Kujivisha umwenyekiti unafanya wanachama tukutoe Kwa nguvu.

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py Před 15 dny +3

    Liningaww toka

  • @petermilol2104
    @petermilol2104 Před 14 dny +1

    Huyu Mhuni alileta Manzoki kwa ajili ya Kampeni

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 Před 14 dny +2

    mangungu bado yupo sana

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 Před 15 dny +5

    We
    Sema tu sisi atukutak

  • @user-td1yn9dt7p
    @user-td1yn9dt7p Před 13 dny +1

    Uyo atoke mjinga kwanza anafanyaja kazi na GSM

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m Před 14 dny +1

    Mangungu yupo vizuri Sana piga kazi

  • @user-ki3gt6gy1l
    @user-ki3gt6gy1l Před 12 dny +1

    Wewe uli sitahili ukaongoze mashoga siyo Simba huna sura ya kuongoza

  • @user-vm9pw4el5d
    @user-vm9pw4el5d Před 9 dny +1

    huyo ni mamluki wa watu huyo ila atajuwa mwenyewe mungu yupo

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje Před 14 dny +1

    Milion 10 izo ndo chenji za jobe

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 Před 15 dny +6

    Mangungu your very smart. Piga kazi

    • @erasmusleonidas6729
      @erasmusleonidas6729 Před 15 dny +1

      Ndani ya miaka 3 amefanya kazi gani ili tuone usimart wake?

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu Před 14 dny

      Hatuangalii mabaya tu"nayey ana mazur mengi kayafanyaaa

    • @jumaomy-is1ez
      @jumaomy-is1ez Před 14 dny

      NI hivi "you are very smart"😢

    • @AliiMkobe-en7df
      @AliiMkobe-en7df Před 11 dny

      Utopolo mnamfurahia mtu wenu kazi mliyomtuma anaifanya kwa Uaminifu mkubwa lakini bahati nzuri tumeshtukaaaa.Atang'okaaa

  • @Raphaelchacha-wo6xq
    @Raphaelchacha-wo6xq Před 14 dny +1

    Mangungu mxenge ww

  • @jeromemmary9192
    @jeromemmary9192 Před 15 dny +2

    Mangungu anajibu maswali kisiasa tuu

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před 14 dny +1

    Huyu mzee anaihujumu simba hatumtaki atoke tu

  • @user-lz1lj9qg8e
    @user-lz1lj9qg8e Před 11 dny +1

    Yaan kiongozi unatakiwa kuonyesha dira yake ipi sio kushutumu watu nikuficha mapungufu na madhaifu

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 Před 12 dny +1

    Akili yako imechoka Mzee achia vijana wapambane

  • @allywaziri1343
    @allywaziri1343 Před 14 dny +1

    Mangungu huna jipya nini unangangania kunanini ndani ya simba ? Hutakiwi siutoke kama huna maslai? Ondoka hawakutaki

  • @user-hn8cb4tf5h
    @user-hn8cb4tf5h Před 15 dny +2

    Tuachie Tim yetu

  • @user-td1yn9dt7p
    @user-td1yn9dt7p Před 13 dny +1

    Atoke huyo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu

    Piga kazi baba"tunajua kuna watu wanatumwa"kwa maslah yaoooo"piga kaz babaaaaa

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 Před 14 dny +1

    Shikilia mwamba

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 Před 14 dny +1

    Kwani ngunguz huna kwenu

  • @FracsisiSiwale
    @FracsisiSiwale Před 14 dny +1

    Magugu acha ujinga kwanini ukatarie kiti

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 Před 13 dny +1

    Nikisikia hata sauti nakereka kabisa

  • @victorgogadi55
    @victorgogadi55 Před 15 dny +2

    Lile swali la 20bn, halikuulizwa why?

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před 15 dny +1

    Mbona waandishi mnamuuliza maswali ya kumpamba huyo mtu?

  • @makamelila
    @makamelila Před 15 dny +1

    Hujamaa hana jioya aondoke tu kama wenziwe wanasimba hatumuamini kwanza kiingia hapo kwwnye uongoI kaingia kwa fedha kwamsikiyizo aondoke hatakiwi kuwepo hapo hana analoliganya

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 Před 15 dny +1

    Wewe achana na kadi usitagulize kadi kadi yako ni yamchogo ondoka

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 Před 14 dny +1

    Kama watu wengi hawakutaki si uondoke tu mzee?? Unang'ang'ania kuna nini mzee??..uachie ngazi ukakae na wajukuu wako huko kijijini!

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 Před 15 dny +2

    Mangungu Yuko smart sana aisee sikujua hilo

  • @RamadhaniDaudi-ui4wh
    @RamadhaniDaudi-ui4wh Před 15 dny +1

    😮

  • @erickmasumbuko3841
    @erickmasumbuko3841 Před 14 dny

    Mangungu piga kazi😂😂😂 mie ni mwana Simba na kadi ninayo😂😂😂😂

  • @user-zf2kf3ik5z
    @user-zf2kf3ik5z Před 15 dny

    Yan ww hifai kwa nn unatutesa si utoke Yan wengi wanaumia kwa ajili yako si uachie ngazi ka we mzalendo kwel afu tuone wengine watafanya nn ukiendelea mwakani hata shirikisho hatuooni

  • @Ambwene
    @Ambwene Před 15 dny +1

    MIMI KAMA MWANA SIMBA NAKUKUBALI SAANA MANGUNGU, WATU WANAKULETEA UNAFIKI TUU KOMAA NAO BABA HAKUNA KUTOKA HAPO 😊😊😊😊

    • @nashirkamugisha9425
      @nashirkamugisha9425 Před 15 dny

      Unazengua Wewe sio Simba 😂. Hakuna mwanasimba ana hamu na huyo mzee

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph Před 15 dny +1

    Mangungu piga kaziiii sisi wana chama wa Tanzania tuko pamoja usitishwe na mapimbiii piga kazi sisi serikali na wanachama tuko pampja na mooo ukiondoka simba itashuka daraja 😢😢😢😢😢😢

  • @allywaziri1343
    @allywaziri1343 Před 15 dny

    Akina mzaramo siwasikii na wala siwaelewi au ndio walewale tusiwe mamluki natusiishi kwa ajili wa watu Tuwe Simba nguvu moja