KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 09/ 07/ 2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 07. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 09/ 07/ 2024
    SEMINA YA NENO LA MUNGU:
    MADA:
    "HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    SOMO LA LEO:
    ''UKUTA WA HOFU YA MABADILIKO''
    (YESU PALE GETHSEMANE)
    Marko 14 : 32 - 38
    Luka 22 : 40 : 44
    NENO KUU:
    "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    KUMBUKUMBU LA
    TORATI 28 : 6
    &
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    MAANDIKO YA LEO:
    Marko 14 : 32 - 38
    32 Kisha wakaja mpaka bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda niombapo.
    33 Akamtwaa Petro na Yakobo na Yohana pamoja naye, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.
    34 Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.
    35 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
    36 Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
    37 Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
    38 Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
    Luka 22 : 40 : 44
    40 Alipofika mahali pale aliwaambia, Ombeni kwamba msiingie majaribuni.
    41 Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba,
    42 akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.
    43 Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
    44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

    Mhubiri: Mch. Dr. Eliona Kimaro.
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
    Simu: +255 713 553 443
    CZcams: Kijitonyama Lutheran church
    Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

Komentáře • 25