Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 09. 2021
  • kutokana na kuwa wanafunzi wengi wanapata shida kusoma na kufaulu kutokanan na mbinu wanazotumia wakati wa kusoma, leo utajifunza mbinu za kuzingatia ili upate wepesi wa kusoma masomo yako haijaalishi yatakuwa na ugumu wa aina gani.
    kwanza kabisa utajifunza mambo makuu matatu ambayo hujitokeza katika ubongo wakati wa kusoma na kupelekea wanafunzi kutofaulu vizuri mitihani yao pamoja na mbinu za kufanya ili kuyatatua.
    mbinu zenyewe ni
    Displacement
    inteference
    Neurone decay
    Displacement: hali hii inatokea pale ambapo mwanafunzi anasoma mada yake na mara tu mada aliyosoma kabla yake hupotea kutokana na kuondoshwa kwa maelezo ya mwanzo katika ubongo.
    unachotakiwa kufanya ni kusoma kwa vipindi, kwa mfano unasoma kwa daika 25 au 30 halafu unapunzika kwa dakika 5 au 10 halafu unaendelea kusoma.
    interefence
    Huu ni mchanganyiko wa maelezo ya mada katika ubongo wako na tatizo hili huondolewa kwa kupata maelezo ya kutosha kuhusu mada husika
    Neurone decay
    hii ni hali ambayo neurone za ubongo hukosa nguvu na kushindwa kuweka maelezo katika ubongo. unaweza kupunguza tatizo hili kwa kunywa maji ya kutosha na kula chochote kabla ya kusoma hata kama biskuti
    Ukisikiliza kwa umakini video hii hapana shaka utajifunza ndani yake mbinu amazo AMABAZO zitakusaidia katika kusoma masomo ya aina zote yakiwa magumu au hali ya kawaida tu.
    Mr. TUKRIM AMEIR KHAMIS

Komentáře • 20