MBINU ZA KUONGEZA UFAULU WA MASOMO KWA HARAKA ZAIDI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 09. 2024
  • Wanafunzi wengi wanatamani Kuongeza ufaulu katika masomo yako lakini wanashindwa kujua MBINU za kufuata ili kuondoa changamoto hiyo.
    Mbinu hizo TANO ni pamoja na:
    1. Growth mindset
    2. ⁠spaced repetition
    3. ⁠interleave the studies
    4. ⁠Elaboration
    5. ⁠Generations
    Growth mindset
    Ina maana ya Ubongo wako Unamini kuwa unaweza Kuongeza ufaulu wako
    Spaced repetition
    Maana yake ni kutumia ratiba Maalumu ya Kurejea masomo yako.
    Interleave the studies
    Hii ina maana ya Kwamba ukisoma masomo yako pitia masomo mengi kwa wakati mmoja.
    Elaboration
    Ina maana ya kwamba Tumia maelekezo zaidi kufahamu ulichosoma
    Generation
    Mbinu hii inaelezea kwamba unapopewa masuala au kazi na Mwalimu, jibu masuala hayo Kichwani Mwako kabla ya kupata majibu katika sehemu sahihi
    Natumai kuwa umefaidika na somo hi.
    Usisahau KUSUBSCRIBE katika channel HII ili uendelee KUJIFUNZA zaidi mbinu za kisaikolojia za kuongea uwezo wako wa akili na Kukuza kumbukumbu.
    Mr. Tukrim
    Mtaalamu wa Ubongo…Nafundisha jinsi ya kutumia Ubongo kitaalamu

Komentáře •