Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 09. 2022
  • #weweninani#
    Nikweli ni vizuri kusaidiana ili kila mtu afikie malengo,Lakini unapo pokea msaada Kumbuka Mungu ndie alie mleta kwako huyo mtu, ili usaidiwe kwa jambo lako kama ni Jema,
    hivyo kwakua Mungu ndo anae tuletea watu ili watusaidie kwa mambo mema,
    Bas usijarbu kukubali msaada utakao vunja uhusiano wako na Mungu au kuvuka mipaka kias cha kusahau kuwa wote ni wanadamu na Mungu aliwapa wengine kwanza ili wasaidie wengine.
    ( Kila mtu Duniani ana jambo ambalo linaweza kumpeleka kwenye hatima yake kama atalifanyia kaz mapema na kwa uwaaminifu)
    hivyo wale wote wenye moyo wa kusaidia watu walio pungukiwa msivunjwe moyo,
    Na wale wasio na shukuran wasikufanye uache kutoa misaada,
    Kumbuka alie kutuma kwa huyo mtu ni Mungu hivyo malipo ya iyo kazi yako njema utayapata kwa Mungu mwenyewe)
    👇
    It is true that it is good to help each other so that everyone can reach their goals, but when you receive help, remember that God brought that person to you, so that you can be helped in your matter if it is good.
    so God wants us to bring people to help us with good things,
    So don't try to accept help that will break your relationship with God or go beyond the limits of forgetting that they are all human and God gave them to others first so that they can help others.
    (Every person in the world has something that can lead him to his destiny if he works early and honestly)
    so all those who have the heart to help people who are in need, do not be discouraged,
    And those who are ungrateful should not make you stop giving aid,
    Remember that the one who sends to that person is God, so the reward for your good work you will get from God himself )
    Artist,Annoint Amani
    Song,Wewe ni Nani
    Album,Kiboko yake ni Usingizi, Album vol 6
    Language Swahili)
    Annoint Amani booking
    Instagram Annoint Amani
    +255767240181 = +255755099942 Dar es Salaam Tanzania )
    VIDEO,DIRECTED BY KHERI ONE +255693 354 566 ( HANSCANA DRAND )
    AUDIO ,A.E.A TONES PRODUCER BY MEDDY )
  • Hudba

Komentáře • 348

  • @elshamahwashira
    @elshamahwashira Před rokem +31

    Yani kila neno la huo wimbo linanihusu mimi,Mungu anisaidie washira🙏

  • @emanuelmwassa7272
    @emanuelmwassa7272 Před rokem +3

    Mungu hatoki kijijini kwenu

  • @shabanmwaisame8510
    @shabanmwaisame8510 Před rokem +5

    Wewe ni nan? Mungu ndo Kila kitu ktk maisha ya mwanadamu

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 Před rokem +27

    mulize yeye ninani congratulations my brother

  • @benedettawayua4078
    @benedettawayua4078 Před rokem +3

    Ongerala Sasa kaka nausikia kutoka Kenya

  • @zellahmsekeni
    @zellahmsekeni Před rokem +2

    gud sana kija wangu

  • @michaelkamillion111
    @michaelkamillion111 Před rokem +8

    Usijalibu kuwa kama Mungu kwangu 💯💯💯💯🙋🙋

  • @pacificah5575
    @pacificah5575 Před rokem +5

    Nice song,tubarikiwe zte🙏🙏🙏

  • @GULF444
    @GULF444 Před rokem +2

    Ww n NANI JAMENIIII.ALAAH.KAA KADO.

  • @annwanjiku7461
    @annwanjiku7461 Před rokem +5

    Wewe n nani uuuuiiii what a song I love your songs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa Před rokem +8

    Hakuna wa kuchukua nafasi ya Mungu maishani mwangu🙏🏿🙏🏿
    wimbo mzuri. barikiwa baba

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 Před rokem

      czcams.com/video/syQCeCNTHRo/video.html

    • @veronicahnduku4552
      @veronicahnduku4552 Před rokem

      Hio wimbo imenibariki Sana yeah tunaenda kiroho hatuendi kimwili barikiwa Sana

  • @osenmwampamba992
    @osenmwampamba992 Před rokem +5

    Ujawahi kukosea mungu akubariki sana

  • @falesbanda7520
    @falesbanda7520 Před rokem +3

    Hii iliwahi kutokea kwangu baba lakini Mungu ndie mukubwa hutoa liziki bilakinyongo akatoa nawatu wanabaki wanashangaa

  • @emmanuelwanyonyi9694
    @emmanuelwanyonyi9694 Před rokem +1

    Kijana napenda nyimbo zako, you're my favorite

  • @everlynatieno9800
    @everlynatieno9800 Před rokem +1

    Wambie wasikieungu ndie mwenye riziki changanya from nairobi

  • @musanyanje3942
    @musanyanje3942 Před rokem +1

    Congregation mtumishi nabarikiwa San San MUNGU azidi kukutumia uzidi kiondoa udhaifu

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele Před rokem +10

    WEWE NI Nani
    Unaye sumbuwa maisha yangu
    WIMBO MUKUBWA ƙwakweli
    Usinipunguziye mwendo mwanadamu mwenzangu
    Baba yangu Mungu akubariki sana

  • @k2tv385
    @k2tv385 Před rokem +3

    Akuna mwenye anaweza chukua nafaxi ya mungu

  • @IrakozeEv
    @IrakozeEv Před rokem +3

    Amen 🙏 amen 🙏 ubalikiwe mimbo mzuli sana

  • @reyvannyedsoni983
    @reyvannyedsoni983 Před rokem +1

    Hongera kwa kazii nzurii ujumbe mzurii mtumishii

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 Před rokem +2

    Ww ni nani unaeh sumbuah maisha yangu huu wimbo unisaiidieh mm unaeh toah lidhiki ni. Ww nmeipend hii

  • @joshuafixingkenya4222
    @joshuafixingkenya4222 Před rokem +1

    Congrats sir ❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @valleyvice9251
    @valleyvice9251 Před rokem +2

    Kazi nzuri San 👍👍

  • @kellyraju6254
    @kellyraju6254 Před rokem +1

    Wewe ni nice song 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇦🇪

  • @ERa-up5zi
    @ERa-up5zi Před rokem

    Napitia tu haya alafu nikakutana na huu nyimbo Mungu unaye toa riziki ni wewe nisaidie Mungu wangu 😢😢😢

  • @esinyenjohn6588
    @esinyenjohn6588 Před rokem +1

    100% wewe ni nani kwangu thanks annoint for that song

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka Před měsícem

    Kaka wimbo umenigusa kabisa na umelenga changamoto zote ninazo pitia asante sana mtumishi mungu azudi kukuinua na kukufungua

  • @mosesaringo9154
    @mosesaringo9154 Před rokem +1

    Bapebda msg zilizoko ndani ya nyimbo hiiii;annoint hongera sanaaaa unagusa jamiiii..

  • @sweetmenthol1083
    @sweetmenthol1083 Před rokem +1

    Woooow Amazing be blessed 🙌 hii safi

  • @DamarisKawira-fe3bq
    @DamarisKawira-fe3bq Před 23 dny

    Am here 2024 from kenya may God continue blessing you

  • @julianastonia9568
    @julianastonia9568 Před rokem +1

    Ndugu utafika mbali salimia mum sana

  • @user-zv5rv9sp5i
    @user-zv5rv9sp5i Před 5 měsíci

    Barikiwa mtumishi ujumbe mzuri kwa wanaosumbua imani za watu, ila ktk yeye atutiaye nguvu tunayaweza

  • @solangerechol6881
    @solangerechol6881 Před rokem +3

    Emen 🙏🏻

  • @moureenmunanie3383
    @moureenmunanie3383 Před rokem +1

    Wimbo mzuri nimebarikiwa Sana

  • @ellyyouth5873
    @ellyyouth5873 Před rokem +1

    Hi bro hii kweli imenitachi Sana be blessed Mungu akulinde🙏🙏🙏🙏

  • @ruthmulonci994
    @ruthmulonci994 Před rokem +1

    Nice one,
    Hawajui calendar ya Mungu ,wao ni nani?????????????

  • @marionraphael2191
    @marionraphael2191 Před rokem +6

    Amen when God says yes nobody else can say no,washidwe wanajaribu kushikilia Baraka zetu 🙌

  • @mohdrashd7921
    @mohdrashd7921 Před rokem +3

    Dady hongera kabisa mwanadamu nae hata ni nani umwangalie

  • @josephmashindike5600
    @josephmashindike5600 Před 2 měsíci

    Wewe ni nani usumbue maisha yangu ❤❤amen

  • @zakayokilumile
    @zakayokilumile Před rokem +3

    🔥🔥🔥

  • @nancylwosi9197
    @nancylwosi9197 Před rokem +1

    NCE bro annoint amani I love you so much

  • @monicalesuyai6936
    @monicalesuyai6936 Před rokem

    nimekuwa nikiskia huu wimbo radio nimejaribu kutafuta mwimbaji ni nani nisearch niuskie to ndio huu sasa asante mungu nimeupata inanibariki to🙏🙏

  • @sirajisoka8282
    @sirajisoka8282 Před rokem

    Wow annoint huwa unanibariki sana congrats my brother (SIRAJI SOKA) kutoka kenya

  • @lordofmercy9997
    @lordofmercy9997 Před rokem +1

    Wow yy n mwanadamu tu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @okongostephenv5421
    @okongostephenv5421 Před rokem +1

    🎉full message to the world🎉

  • @mosesaringo9154
    @mosesaringo9154 Před rokem +1

    Napebda songs zako sanaaaaaaa bigup annoint

  • @MartinWambua739
    @MartinWambua739 Před 11 měsíci +2

    Wewe ni nani uhulize maisha yangu

  • @doreenblessed1313
    @doreenblessed1313 Před rokem +1

    A very good song

  • @violajeruto7480
    @violajeruto7480 Před rokem +1

    Wow may God give more strength kumtumikia

  • @user-hx4rv4rn9o
    @user-hx4rv4rn9o Před 4 měsíci

    Hakika mungu ni mungu tu na mwanadamu ni mwadamu hakuna amshindae mung maneno Yao hayana nguvu yapepeluka na upepo tu

  • @kassebo
    @kassebo Před rokem +2

    m.czcams.com/video/AWx8S5KoHjY/video.html
    🎥 KASSIANO#KASSEBO #AHSANTE#OFFICIAL#VIDEO
    m.czcams.com/video/AWx8S5KoHjY/video.html
    🎥 KASSIANO#KASSEBO #AHSANTE#OFFICIAL#VIDEO

  • @lynejeroo891
    @lynejeroo891 Před rokem +3

    lam blessed bro nimeona hii song TikTok nikasema mbona nisifike CZcams Thanks 🙏🙏

  • @kelvinaman7453
    @kelvinaman7453 Před rokem +1

    On fireeeeeee

  • @user-xv3ib8td5r
    @user-xv3ib8td5r Před 8 měsíci

    Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu,amen

  • @wilsonngonyani
    @wilsonngonyani Před rokem +4

    Kaz bola Sana mtumish wa Mungu 🙏🙏🙏 🇹🇿🇹🇿

  • @bitwivyawe9141
    @bitwivyawe9141 Před 3 měsíci

    Nimekumbuka anae nitafuta kazi ananichongania kwa Bosse

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 Před rokem +3

    🙏

  • @safinakailemboyunusu8422
    @safinakailemboyunusu8422 Před 8 měsíci

    Hongra sana kaka,huuu wimbo naona kama nimeimbiwa mimi kwa niyapitiayo,ila Mungu ni mkuu sana namshukuru kila iitwayo leo.

  • @rozymuende7218
    @rozymuende7218 Před 8 měsíci

    Wewe ni Nani unaye sumbua maisha yangu

  • @afrikaone9609
    @afrikaone9609 Před rokem +1

    Wewe ninani 🙄🙄🙄💪💪💪

  • @JaneMusyoka-eg4po
    @JaneMusyoka-eg4po Před 9 měsíci

    This Amani,nyimbo zake huyu kijana! Are wonderful

  • @lordofmercy9997
    @lordofmercy9997 Před rokem +1

    Mungu nikumbuke na mm

  • @justicegevula9921
    @justicegevula9921 Před rokem

    Hongera Sana Kaka kila kipegele Cha hii nyimbo umejua kuwapa ukweli wanao tuharibia sn wao ninani

  • @imeldahwafula71
    @imeldahwafula71 Před rokem +1

    Wooow wewe ni nani??? 💕💕💕💕💕💕

  • @naomycherono5540
    @naomycherono5540 Před rokem +1

    Wow kazi nzuri sana Amen wewe ni nani mungu akuinue zaidi mtumishi wa mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪🇰🇪

  • @dorcasbosire6195
    @dorcasbosire6195 Před rokem +3

    Amen and amen 🙏🙏🙏🙏

  • @mohdrashd7921
    @mohdrashd7921 Před rokem +1

    Mwana wa dady e.machea Zanzibar

  • @zakayocomedyke6096
    @zakayocomedyke6096 Před rokem +1

    Nice one 👍

  • @janerose6882
    @janerose6882 Před rokem

    Wakenya tnakupenda sn kwakila wimbo unaotoa mngu akubariki sn mtumsi w mngu

  • @julitamwadime5073
    @julitamwadime5073 Před rokem

    Barikiwa man of God.yeye ni nani kweli?Hongeta kaka

  • @violahchepkemei1525
    @violahchepkemei1525 Před rokem +6

    From TikTok.....this song blessed my life......be blessed amani

  • @sophiaalexandersophia8610

    One love hujawa kukosea
    Nakupenda bure

  • @user-hf5cm2kd1q
    @user-hf5cm2kd1q Před 8 měsíci

    Barikiwa kaka mungu wetu ni mkuu kila jambo tuzidi kubarikiwa

  • @berlyembenzi4123
    @berlyembenzi4123 Před rokem +1

    Wow nice song,wewe ni nani unayesumbua maisha yangu

  • @janniffermary736
    @janniffermary736 Před rokem +3

    Amen 🙏, Mungu hakubariki sana dear 🙏 nice song nice video

  • @josephmutindaofficial2704

    Wow wimbo unaonibariki Kaka. Upendo mwingi kutoka🇰🇪🇰🇪

  • @anemonembongo7900
    @anemonembongo7900 Před rokem

    Wewe nani very nice song 🔥🔥🔥🎁💝💖🦅🦅🇫🇷🇨🇩

  • @juliusraphael1792
    @juliusraphael1792 Před rokem

    Wimbo huu uwafumbue macho wanaojiona ndyo mungu watu

  • @faithwanza2624
    @faithwanza2624 Před 9 měsíci

    Wimbo unatia nguvu sana kwA waliofujika moyo thanks bro

  • @elshamahwashira
    @elshamahwashira Před rokem +4

    Wow ujumbe mzito sana, barikiwa shujaa wangu🙏🔥

  • @denismwalyego5691
    @denismwalyego5691 Před rokem +1

    Pacha ❤️ amina

  • @queenvioletkenyavitukosasa5663

    Big up bro

  • @maryanut1625
    @maryanut1625 Před rokem +1

    Good.mulize.yy.ninani

  • @user-zx9jf9gs5x
    @user-zx9jf9gs5x Před 8 měsíci

    Wimbo umenigusa Sana mungu akubariki sana na huduma yako izidi kukua

  • @user-qz6de5cy4i
    @user-qz6de5cy4i Před 3 měsíci

    Mwanadamu hana mamlaka kabisaa 🙏 🙏 🙏

  • @marthanasimiyu6792
    @marthanasimiyu6792 Před rokem

    Hayo ni maisha yangu ndugu umeyanenea Mungu akubariki na akuinue kwa huduma zaidi!

  • @margretmorara4193
    @margretmorara4193 Před rokem +2

    Amen.nakusupport napenda nyimbo zako from 🇺🇸

  • @janetmwelu5132
    @janetmwelu5132 Před rokem +1

    Congratulation brother

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 Před rokem

    Kilaninapousikiliz huu wimbo ninaurudia marambili. Safi sana kaka

  • @hellenswagi6620
    @hellenswagi6620 Před rokem +1

    Sure God is greater

  • @everlynatieno9800
    @everlynatieno9800 Před rokem

    Wambie ukweli Mungu pekee ndie anapeana riziki ujumbe mkali sana

  • @floicemukoma9970
    @floicemukoma9970 Před rokem +1

    Mungutupekendiyemuwesayote,Ameeeen

  • @puritymbithe4483
    @puritymbithe4483 Před rokem

    Amen wewe ni nani hata ushindane nami so touching 🙏🙏🙏 humbled

  • @nahashonlagat3279
    @nahashonlagat3279 Před rokem +1

    Congratulations bro

  • @anaelmiraji
    @anaelmiraji Před 11 měsíci

    😂😂😂😂😂😂 mwambie huyooo Mungu hatoki kijijini kwaoooo😂😂😂😂..,.... Amen ujumbe imefika kaka barikiwaa

  • @Shantel-oy2ru
    @Shantel-oy2ru Před měsícem

    Much love from 🇹🇿 I really like this man this song is touchebly

  • @kingjaymmoh980
    @kingjaymmoh980 Před rokem +3

    Amani,Niko narok Kenya I do like your gospel songs. forever God ni pure!

  • @matendeedirisa2571
    @matendeedirisa2571 Před rokem

    Asante bwana muziiki wako iko Mzuri.njema njema zaidi papa

  • @OliverMoti
    @OliverMoti Před 2 měsíci

    Amen , mtumish nice song

  • @sammymusili
    @sammymusili Před rokem

    tena yeye n nan katika maisha yangu ashidwe