Ongera sana vijana, kazi njema mbarikiwe kwa jina la Yesu Masiya. Mungu awasaidiye muishi kwa amani na mdumu kwenye ndoa mpaka kifo kitakapo watenganisha.
Tofautisha comedy na Mungu, uwezi sema comedy ni mungu, masanja kutumia comedy akiwa madhabahuni ni sawa labda inaweza fanya watu wakaelewa neno zaidi ya akiwa serious
Masanja l love your job but kindly tell the bride and groom always to look at each other in the face, to make assurance of what they are talking.To look down is not good idea.
Kwani wewe unaangalia mavazi, mwonekano na namna anavyoongea? Au unaangalia ujumbe na matendo yake? Usihukumu usije ukahukumiwa, maana anaye hukumu ni Mungu peke ake.
@@evoteclimited2319 hata shetani ana maneno mazuri sna kuliko hata ambyo ww unayajua.... lakin kuwa mtumish wa mung ni kuwa mtauwa mbele yamacho ya bwana mtu aliyeacha yote naye akijkana na kumfuata mungu... aliyeacha utu wake wa zaman na kuuvaa utu mpya..... usijedanganya kwa maneno ya watu hata yule mwovu mkuu anamaneno mazur zaid ya unavfkir..
Majina haya Yana patikana ndani ya Biblia,vitabu vingine vimeiba ndan ya Biblia,,Ila Kuna baadhi ya vitabu vimediriki kubadili mpaka majina mengne kwa kiwahofia wafuasi wao,mfano km jina la Yohana wa kwenye Biblia wanamuita (Yahaya) n .k
That's a business like another business,je wanaenda na sheria na ushuhuda wa iman ya yesu? Cku yesu akirud kuna watumish wengine atawakataa!! Watadai tulitoa mapepo,tuliponya,yesu atawakibu ondoken cwajui!!!
Lipo kinondoni Leaders ukifika hapo Leaders uwanjani utaona kibao chake napia kam unatokea makumbusho unashuka kituo cha kontena unashuka na njia hd ufike benk ya Kcb utaona kibao chake pia ila kam unatokea maeneo ya kariakoo unapanda gar za masaki unashuka ubalozi wa ufaransa ukishuka tu pia unaona bango lake la kanisa la masanja FEEL FREE CHARCH Utakuwa umefika kabisa kanisani kwake karibu
@@rachaelkazimili4092 shida ya sisi watanzania tunapenda kum judge mtu bila kumjua kiundani ila kwa mm nakaona ni ka dada kenye imani sana mbele za Mungu
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa kusimamia agano takatifu Hilo MUNGU awasimamie sana
Amina, mchungaji masanja endelea na kazi ya mungu, usisikilize maneno ya adui za mungu maadamu mungu amekuita umtumikie,songa mbele
Ila tuwen makin sana sana. Hakuna userious hapa naona maruweruwe tu
Good servant of God ,as Yesu ndye njia keel na uzma! Ubarikiwa
Wonderful proceeding .
Big up pastor Masanja.
Ongera sana vijana, kazi njema mbarikiwe kwa jina la Yesu Masiya. Mungu awasaidiye muishi kwa amani na mdumu kwenye ndoa mpaka kifo kitakapo watenganisha.
Kazi nzuri sana hii uliyoifanya bishop
God bless you pastor
Acheni kumuhukumu mtu.maandiko yanasema usihukum usije nawe ukahukumiwa......mungu ndie aliyemwita afanye kazi yake.
Mambo masanja
Safiiiiiiiii sanaaaaa pastor
Nimefurahi mtumishi Kwa kuto tamka ktk shida na Raha.🎉🎉🎉🎉🎉hujawaungamanisha agano la shida na raha🎉🎉🎉❤
Hongera sana mtumishi wa Mungu.
Pia hongera nyingi kwa Musa ,
Apatae mke amepata kitu chema🔥🔥
Tofautisha comedy na Mungu, uwezi sema comedy ni mungu, masanja kutumia comedy akiwa madhabahuni ni sawa labda inaweza fanya watu wakaelewa neno zaidi ya akiwa serious
Balikiwa kweli inapendeza mchungaji kwa hao wawiilii Mungu awatunze
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.Kazi yako ni njema sana👏👏
Ongera sana kaka
Hongera kijana Ila jikaze ndoa mh
Mungu aitunze hii ndoa
🔥🔥🔥🔥💕🤝
Uko sawa
Mungu tuhurumie lkn haya lazima yawepo ili maandiko yatimie
Barikiwa katika jina la Yesu kristo
Get it be done
Hamna wito hapa😂
Amen
Mwenyezi mungu utuhurumiye
🤣🤣🤣 ni yeyeeee!!
Hapo hakuna mchungaji zaid ya ujinga ujinga tu, yan sasa hv din imeiingiliwa kwel kwel yan kila mtu ni mchungaji
Masanja cheni za nn?
Ongera kwakazi njema
eti Ni yeyeeee 🤣🤣🤣🤣Mungu akaitunze inshallah
Biarusi wa jinaaa jmn😌 Mariam
💜💜💜💜💜
Mwanza mwanza! Mtumishi feel free church tunataka Mwanza
Masanja ameitwa na Mungu mwenyewe, kwa kusud maalum
MUNGU gani anaeruhusu mchungaji kuvaa cheni simhikum lakin Yesu alisema jifunzen kwangu
@@lydiaemmanuel7893 uliona wapi akitaza
Masanja l love your job but kindly tell the bride and groom always to look at each other in the face, to make assurance of what they are talking.To look down is not good idea.
Ndoa haitak mazoea icho unachosema unataka wawe wamezoeana
@@francismangula2715 l think you have no awareness. Period
You lack some knowledge brother.
Amina
Sijaona kma kweli kuna roho mtakatifu kwa masanja... hakika sio kila kanisa ni la mungu
Kwani wewe unaangalia mavazi, mwonekano na namna anavyoongea? Au unaangalia ujumbe na matendo yake? Usihukumu usije ukahukumiwa, maana anaye hukumu ni Mungu peke ake.
@@evoteclimited2319 hata shetani ana maneno mazuri sna kuliko hata ambyo ww unayajua.... lakin kuwa mtumish wa mung ni kuwa mtauwa mbele yamacho ya bwana mtu aliyeacha yote naye akijkana na kumfuata mungu... aliyeacha utu wake wa zaman na kuuvaa utu mpya..... usijedanganya kwa maneno ya watu hata yule mwovu mkuu anamaneno mazur zaid ya unavfkir..
Umetumia kipimo gani?
Mungu/MUNGU nasio mungu
mung huangalia ndani ila sis binadamu tunaangalia nje ww umeonaj km hkn roho mtakatif
Kiburi chako ndo hasara kwako brother
Kwaiyo sio mpaka kifo kiwatenganishe au ckuizi co mpaka kifo
Amenii
Hivi huyo mke wa katibu akiangalia hii kwa sasa anajisikiaje jamani, Mungu amsaidie tu kwakweli
Wewe uliyekomenti kuwa aache mzaa madhabauni wewe nana mpaka huuu kumu atatengenezwa na Mungu aliye muita si binadamu
Caption haijakaa mujarabu ukisema ntacheka wakati ni jambo la serious nashangaa!
balikiwa sana wanandoa mmenikumbusha mbali
Masanja ukiwa madhabahu usitumie tonic ya komed. Kaa madhabahuni kwa utulivu. Chagua kuwa comedian au kuwa Mchungaji. Huwezi kutumikia mabwana 2.
Hata mie cpendi kabisaaa cyo ucha mungu huo
@@claraedwardmalingumu3565 kwan wachungaji hutumia sauti zao wawapo mazabahuni au wana sauti zao za kbumba
Wewe unataka aongee nini
Pande zote mbili zimakubaliana this ndoa ( wazazi
Masanja mpaka sasa una nyimbo ngap?
Mwenye wivu aokoke
Vizuri mtumishi
🤣😂😂👏👏
🙏🙏
musa and mariam
khadija and yusufu
Ameni.
Yes
Mtumshi🥰
Amina
Piga kazi masanja
Utawaepuka wengine wote na kubaki nayeye peke yake wote NDIO
Imeisha hyo
Ameni
Bass
Kama igizo hilo
Mussa na mariam wafikaje kufunga ndoa kanisani😅😅😅😅
Hatuja elewa maana yako
Majina yapo pande zote kwa wakristo na msikitin
Majina haya Yana patikana ndani ya Biblia,vitabu vingine vimeiba ndan ya Biblia,,Ila Kuna baadhi ya vitabu vimediriki kubadili mpaka majina mengne kwa kiwahofia wafuasi wao,mfano km jina la Yohana wa kwenye Biblia wanamuita (Yahaya) n .k
Unamuulizanani au una jiuliza mwenyewe
Wamefika kama wengine
ndoaa
Akujibu mkeo ndo alikuwa anajua
Na shida ndio ilianzia hapa Sasa ..........
That's a business like another business,je wanaenda na sheria na ushuhuda wa iman ya yesu? Cku yesu akirud kuna watumish wengine atawakataa!! Watadai tulitoa mapepo,tuliponya,yesu atawakibu ondoken cwajui!!!
Kosa liko wapi?..
Usihuku usije ukahukumiwa
Hao maharus hiyoo sio ndoa ni uhuni nyie wazinifu tu mbele za Mungu
Hawa wamama nao watoto mbele kila muda muna haribu tukio
Hiv hapo kunajasho kweli mbona kuna fen
😂😂😂😂😂🙄🙄🙄Wanadamu Mna kazi kweli kweli
Chap xana
HII NIFUJO TU, NO UTUMISHI HAPA
Sawa ni Moses na Mary . Musa na Mariam wanaowana Msikitini sio Kanisani .
Hayo ni majina tu ila ya na maanisha Musa na Mariam kwafano wewe katika kabila lako unamwitaje Mungu waarabu wanamuita Allah wazungu wanamuita God
Ni yeye
Heee
Pete haina maana yoyote kwenye ndoa
Matapeli bhana
Hahaha
Nan kakutapel
Kama rahis katapel na wewe
Mchungaji Safi Sana. Naamin one day ntatokea hapo church. Location wapi ?
Lipo kinondoni Leaders ukifika hapo Leaders uwanjani utaona kibao chake napia kam unatokea makumbusho unashuka kituo cha kontena unashuka na njia hd ufike benk ya Kcb utaona kibao chake pia ila kam unatokea maeneo ya kariakoo unapanda gar za masaki unashuka ubalozi wa ufaransa ukishuka tu pia unaona bango lake la kanisa la masanja FEEL FREE CHARCH Utakuwa umefika kabisa kanisani kwake karibu
ATI ASKOFU!!!!!!
Mke wa pilipili naye ni pastor🤔🤔
😆😃😃😃☹️😢
Huyo dada muone hivyohivyo tu ni muombaji mzuri sana
@@rachaelkazimili4092 shida ya sisi watanzania tunapenda kum judge mtu bila kumjua kiundani ila kwa mm nakaona ni ka dada kenye imani sana mbele za Mungu
Pole yake manake hiyo kazi siyo mchezo Mungu amsaidie
Kiukweli2 masanja unaniboa hiyo cheni wanayo vaa waganga wakienyeji
Yaani na mimi nimeuangalia mh haya tumuachie Mungu mwenyewe
Usihukumu ndugu
@@godfreywilliam9673 hajui lakini mungu anaendelea kumtengeneza ataachaga tu
Kwan Waganga wanavaaga cheni na umejua kama wanavaaga cheni au na wewe ni Mganga au unaendaga kuaguliwa huko🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
Mungu tusaidie na wew pia mmmm
Eti Askofu???
Unataka awe vp
YAANI HATA SAUTI YAKO MASANJA NI KIUSANII MUOGOPE MUNGU ONGEA KWA HESHIMA.NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Ahahahahaahha
Wamependeza Mungu awe nawo kila siku
You don't know God well.. Masanja ni Mtumishi wa Mungu na milele hata kwa kuzungumzaje he speaks God words and powerfull.
Roho mbaya tu inakusumbua ww
@@farajachesco985 anamatatizo huyu nae.
Zuchu nyumba ndoga
Hagg uliorusiwa na askofu mmeionna
Masanja kusema la ukweli wewe ni comedian upastor umevamia kwa nyuma
HAKUKUA PETE EDENI.
NINYI MMETOA WAPI?
NA KWA ANDIKO LIPI?
Pete ni ishala tu ya Upendo Hakuna kwenye Andiko ndugu yangu
Pete Ni ishara ya kua mtu kaoa au kaolewa
Msiongee neno juu ya huyu jamaa, huyu ameitwa na Mungu mwenyewe
Hata nguo eden hazikuwepo wewe hizo umetoa wapi?
Basi mwishowe hata kula mchicha utasema ni dawa.
Amen
Amen
Ameen
Amen