Uhusiano wa Usingizi na Mafanikio Yetu

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 04. 2024
  • Uhusiano wa Usingizi na Mafanikio Yetu:
    Ungana na Ezden Jumanne akifafanua kuhusu uhusiano wa karibu uliopo kati ya mafanikio yetu na uzingizi (kulala kwetu). Somo hili litakwambia sababu za msingi za kwanini tunahitaji kulala na kupata usingizi wa kutosha... Karibu!
    .
    Tuandikie kile ulichojifunza kwenye comments, gonga “LIKE” pamoja na “ku-share” link ya somo hili kwa wengine. Asante
    .
    KUWA MZUNGUMZAJI MAHIRI KWA KOZI HII:👇🏼
    Boresha uwezo wako sasa wa kuzungumza na utengeneze njia za kuingiza kipato zaidi. Nunua kozi ya “Speaking Skills Course”
    Kwa bei ya punguzo ya 20,000 TZS tu!
    👇🏼👇🏼
    Tuma neno “KOZI” au “COURSE” kwenye whatsapp: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    NUNUA VITABU:
    Nunua kitabu kitakacho kusaidia kukua na kujiongezea thamani.
    Kupata orodha ya vitabu tuma neno: “KITABU” au “VITABU”
    kwa WhatsApp namba: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    KOZI YA CZcams CHANNEL MASTERY (BURE):
    Ichukue hapa: / @youtubepesa255
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Media Personnel & An Entrepreneur
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / ezden_voiceover
    .
    KWA MATANGAZO NA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri la video na sauti
    Tuwasiliane:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    Kujiboresha, Ukuaji binafsi, Mafanikio, Malengo, Mipango, Kuhamasisha, Ushawishi, Kujitambua, Nidhamu, Kujiamini, Ubunifu, Uwezo, Uongozi, Uhusiano, Afya ya akili, Afya ya mwili, Ustadi wa maisha, Falsafa ya maisha, Mafanikio ya kifedha, Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji, Elimu mtandaoni, Mafunzo, Tabia, Kujenga uwezo, kitabu, vitabu, Kiswahili, Tanzania, Ezden Jumanne, Success Path Network, pesa, chaneli ya elimu, mwalimu wa mafanikio, njia za mafanikio, utajiri, Swahili Motivation,
    .
    #Kulala #usingizi #mafanikio

Komentáře • 19

  • @AziziAlly-fy5ke
    @AziziAlly-fy5ke Před 10 dny

    Sijawah kujutia mb zangu hapa gonga like kama unamkubali ezden

  • @Muddy_rizzo
    @Muddy_rizzo Před 2 měsíci +3

    Toka nilipo anza utaratib wa kulala mapema na kuamka mapema basi hua inafika saa 5 mchana nahisi ni kama saa 8 mchan yaani kaka upo sahihi ❤💯

  • @PrincePriscuss
    @PrincePriscuss Před 6 dny

    Umetishaaa❤❤❤❤❤

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 Před 2 měsíci

    Kweli kabisa kulala ni muhimu na akili inafanya kazi 👍🏻

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 Před 2 měsíci +2

    Alhaamdulillah yaan mie starehe yangu kubwa ni kulala 😂😂Uwiiii kumbe kulala mapema kuna faida nyingi hivyo

  • @njochelanim
    @njochelanim Před 2 měsíci

    Fact🤝

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Před 2 měsíci

    Shukrani sana kaka

  • @emmanuelrichard6771
    @emmanuelrichard6771 Před 2 měsíci +1

    Mwalemi

  • @saidalhabsi9257
    @saidalhabsi9257 Před 2 měsíci

    😂😂😂Alhamdulillah

  • @sakinamyao8284
    @sakinamyao8284 Před 2 měsíci

    Ni kweli kabisa kulala mapema kunakufanya uamke mchangamfu na kufanya akili yako ifanye kazi vizuri

  • @mkson1
    @mkson1 Před 2 měsíci +2

    sijalala mpaka saahizi. 😂

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 Před 2 měsíci

    Shukran sana

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo Před 2 měsíci

    Ok kaka Asante sn Nitajaribu kulala mapema😢🎉❤

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Před 2 měsíci

    Asante sana

  • @jenifasefu1692
    @jenifasefu1692 Před 2 měsíci

    Ni kweli lakini mimi nafanya biashara ya chapati so nakuwa macho mpakaa saa 9 nikiwa naandaa na biashara ina malizika saa 5asubui nikirudi home malala mpakaa sa 11je ni sahihi kaka

  • @sirlymnjagi9625
    @sirlymnjagi9625 Před 2 měsíci

    Ahsanta Sana mostly I sleep 11pm even if I try to sleep early

  • @barakamalele1692
    @barakamalele1692 Před 2 měsíci +2

    😂kumbe niwengi hatulali, gonga like apa tujuane tulio live mpaka saiz

  • @mahmoudmtanga8448
    @mahmoudmtanga8448 Před 2 měsíci

    kwa wastan mzuri unatakiwa kulala masaa mangapi kwa uchache?