'Vijembe dhidi ya Jaji Warioba sasa vikome'

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 04. 2014
  • Wajumbe wa Bunge Maalum wameaswa kuacha kumsakama aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba na timu yake, kwani maoni alowasilisha si yake, bali ni ya wananchi.
    Rai hiyo imetolewa Bungeni hapa leo na Mwanasiasa Mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru wakati akitathmini mwenendo wa Bunge hilo katika mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba:

Komentáře • 9

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 Před 3 lety

    Ww mzee pinda maneno yko kwa nn yana pishana na kingombare mwiru mungu ata kuhukumu jinsi unavo stahili!!

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 Před 3 lety

    Waenga mtabaki kua wahenga wa muache mzee walioba afanye kz ya wananchi!!!

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 Před 4 lety +1

    Kichwaa!!!!

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Před 3 lety +1

    Nä bado wanaendelea kumtukana mwenyekiti wa tume ya katiba Jaji Joseph Warioba "Niwashenzi wasio jitambua"

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 Před 3 lety

    Mutanzaniahalisi

  • @alexandershirima468
    @alexandershirima468 Před 10 lety

    bunge jadilini yale ya kuisaidia na kuipeleka nchi hatua zaidi na si kumsakama jaji warioba kwani tumechoka wananchi kuona mazungumzo mengi ni warioba tu. bunge la katiba limeahirishwa nini hasa mlichojadili?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Před 2 lety

    Hawa ndiyo wanatuangusha siku zote, hawa wabunge tunawachagua halafu wanatuangusha. Watanganyika walitoa 60% hata Zanzibar ni 60% kwa hiyo tuachieni Rasimu yetu.
    Hao wanachota pesa wanakula vizuri, watoto wao hawanashida, hacha kutudanganya wewe Pinda.

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 Před 3 lety

    Babu wa msimamo,maamuzi makini bila kuogopa yeyote,wala kuogopa kukosa kitu,ama kupewa.awakumbusha viongozi wasiwasahau wananchi wanataka mabadiliko na matarajio yao Kwa viongozi

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 Před 3 lety

    Walioba mutanzania halisi