Mch. Daniel Mwasumbi - NGAJA GWA NKISU (Official Music Video).
Vložit
- čas přidán 21. 12. 2021
- Watch and hear the message (NGAJA GWA NKISU),Gospel song by Daniel Mwasumbi.
UNAWEZA KUSIKILIZA NYIMBO ZA EV. DANIEL MWASUMBI KUPITIA LINK HIZI :
Boomplay
www.boomplay.com/artists/4926...
Spotify
open.spotify.com/artist/3Z3cw...
Amazo Music
music.amazon.com/artists/B0B4...
#DanielMwasumbi#NgajaGwaKisu#
Kumwamini Yesu ni faida❤
Miaka ya 1990 nikiwa mdogo sana, kila nikiimba hizi nyimbo niliimba kwa machozi sana , ule upako niliokuwa nausikia siwezi simulia
Kwa kweli nimebalikiwa sana mungu awape maisha malefi
Ipo siku tutamuona bwana yesu machozi yatakoma mungu awabariki sana
wimbo huu aliupenda sana marehemu baba yangu sana sana ....R.I.P BABA!!
Nakumbuka niko darasa la tatu 1987.malika igembe tky
Mungu akukumbuke mtumishi wa
Jesu yesu ugwe ISA nkamungwangu
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Niliwaona mara moja nikiwa mwanafunzi Mbeya miaka ya 1990 kwenye mkutano wa Reinhard Bonke mkihudumu pale. Never forget
Naloli bhandu wa KYALA,tukabhankisu ikii...
Si wa duniani, tunasafiri tu, tunajiwekea akiba kwa kristo, Malaika ungoja mlangoni pake, ndivyo tusemavyo si wa duniani
YESU nkamu gwangu nga gwankisyu iki abhatata angubhaghagha
Mtumishi na mwimbaji wangu Bora wa Enzi za ujana wangu Kazi mzuri mtumishi
Hii nyimbo nawakumbuka Marehemu Baba na Mama yangu!!walikua wakiupenda sana
Jaman mbarikiwee
Nikimsikiliza Mwasumbi namkumbuka sana baba yangu(R.I.P great man)
Nakumbuka miaka hiyo ulikua unakuja Kyela kwa mchungaji Kasunga kweli ya kale ni dhahabu. Ubarikiwe mtumishi
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Good song may good God bless you
Oh! my Lord. Nimekumbuka nyumbani jamani hadi machozi dah. Ubarikiwe sana mtumishi🙏