"MIMI NIKIENDA CHINA KUFUNGUA DUKA LA PLASTIKI NITARUHUSIWA? UWEKEZAJI SIO KUUZA UBUYU" - SHABIBY

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024

Komentáře • 42

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Před 2 měsíci +8

    Sio plastiki tu tanaweza kupewa eneo kama loliondo likawa la kwetu

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm Před 2 měsíci

      😂😂😂😂😂😂😂Uko serious kweli !????

  • @imallya6513
    @imallya6513 Před 2 měsíci +7

    Point kubwa mno!! Vijan wengi wanamitaj midogo wanashindwa kufany biashar kwasababu wachina wanauz bei za jumla na rejareja

  • @AhmedAhmed-kc2cr
    @AhmedAhmed-kc2cr Před 2 měsíci

    FACT

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 Před 2 měsíci +6

    Hapo umesema ukweli wachina na waturuki wanauza mpka masufuria je tukienda kwao tuuze sufuria watakubali

  • @Gamba177
    @Gamba177 Před 2 měsíci +2

    Wizi huo wabunge acheni unafiki

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 2 měsíci +2

    Wewe unasema selikali iliangaliye na wewe ni mubunge haya tutaiga Kenya Iko siku mutatupa mulejesho watoto wa masikini mungu yupo tuzalau tu fala akibumbuluka mjanja Hana lake

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Před 2 měsíci +6

    mbunge na yeye analalamika anaomba serikali iliangalie nje ya Bunge 😂😂😂😂

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt Před 2 měsíci +3

    Kiukweli mbunge nchi yetu imekuwa ya hovyo sana watu wanakuja wanapewa fulsa ambazo kwao tukienda sisi hatuwezi kupewa uku wachina wnafanya biashara kama kwao wanauzampaka viatu vya mitumba haaa hii shida sana kwetu

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 Před 2 měsíci +1

    Kwenye upande wa risiti wala usiwatetee yaani maduka yanayotoa risiti halali yanahesabika. Wengi wanaandika kiwango kidogo na pia unakuta hiyo risiti ilikuwa ya mtu mwingine unapewa ww ukidai, yaani wengi ni wadanganyifu. Mimi nilishakataliwa kuuziwa bidhaa kisa nataka na risiti.

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 Před 2 měsíci +1

      Fanya na wewe biasha utowe risiti halali

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 Před 2 měsíci +1

      Maana huelewi nini watu wanakikataa ila ukifanya ndio utajuwa

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 měsíci

      ​@@samirhumud7408 Risiti zitolewe bhana acha mambo yako sema tu Kodi ipunguzwe ni kubwa sana

    • @2116-n
      @2116-n Před 2 měsíci

      ​@@samirhumud7408walipe Kodi halali kulingana na mauzo, waliamua kuwa wafanyabiashara😊😊

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 Před 2 měsíci

    Acheni uchawi fanyeni kazi vijana, ujinga huu ndio wanao kule South Africa, wao kaz hawatak wageni wakipambana na kutoboa wanaandamana na kuleta fujo. Kwangu mm ni ujinga plus

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist Před 2 měsíci +2

    HAPA KUNA SHIDA, WAFANYA BIASHARA AWASHINDI KULIPA KODI, KODI SIO RAFIKI MISICHANGANYE WATU .

  • @aminbhulji1677
    @aminbhulji1677 Před 2 měsíci

    Uko sawa kabiisa Kwani hawaijui wahusika

  • @binseif2216
    @binseif2216 Před 2 měsíci

    Shabiby hujawahi kukosea siku zote upo upande wa wananchi,lkn baadhi ya wananchi niwajinga lazma wakukosoe

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 Před 2 měsíci

    Siyo hiki tu! Wanafanya biashara ya risiti ndogo.ukitaka risiti full lipa vat? Uelewa tu vat ni mbadala ya kodi ya mauzo zamani.
    Kuna mawakala huko mitaani kariakoo wanatangaza biashara ya china na unalipa dar na unaletewa mzigo mpaka nyumbani lakini hakuna risiti.
    Pita njia ya halali kununua kitu chochote hata kenya uone sheria zinazohitajika

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Před 2 měsíci

    Wachina waondoke katika biashara zetu ndogondogo ikiwemo pia kamari huku mtaani ambapo sasa wamewafanya vijana wetu kuwa waraibu! Aidha, Mhe. Shabiby, hoja zako mbona hatukuzikia ndani ya ukumbi zikawekwa kwenye kumbukumbu?

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 2 měsíci

    Office za mawakili wote wanachua mamilioni mbona hawatowe lisiti?

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Před 2 měsíci

    Maafisa wa TRA.Ajira zao mashaka tupu,mishahara yao mashaka,tena Kuna kiongozi mmoja kwa ujinga wake alitamka kuwa TRA mishahara yao iwe maalumu(mizuri) ili wasiwe na tamaa.Kifupi kodi zetu ni kubwa.Suluhisho,baada Kenya ni kwetu,hakuna anayekubali kuonewa au kuporwa.

  • @jeffmap4038
    @jeffmap4038 Před 2 měsíci

    uwelewa wenu wabunge ni mdogo sana. hamjui matatizo ya kikodi kabisa. na tatizo lenu mkipewa malalamiko ya kuongelea bungeni mnataka hela kwa mtoa taarifa ili suala lake muweze kuliongela bungeni. ni shida sana tafuteni muda wa kukaa na kujua matatizo ya kikodi.

    • @jeffmap4038
      @jeffmap4038 Před 2 měsíci

      Mfano. kwenye mfumo ya tax portal. unapigwa fani ya kodi ya 250,000/= kwa kuchelewe kuposti malipo ya 2,500/= na ukichelewa kutoa ripoti ya mwaka ya biashara iliosajiliwa Ltd unapigwa fini mpaka 5,000,000/=. na wakati mwingine hata hizo kampuni hazifanyi kazi

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs Před 2 měsíci

    Zambia tu hapa jirani? Hakuna mtanzania anaruhusiwa kufungua hata genge la nyanya bila kibali maaluum cha kulipia mamilioni ya pesa.

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Před 2 měsíci

    Hana lolote huyo sukari kasema anajua kuna madudu lakini hawezi kusema.

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard7443 Před 2 měsíci

    Huo uwekezaji mkubwa watz kumbe hatuwezi ee

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Před 2 měsíci

    WALAU KIDOGO AKILI ZIMO

  • @abednego3876
    @abednego3876 Před 2 měsíci

    Ukiona ccm wamemaind ujue hali ni mbaya 😂.

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 Před 2 měsíci

    Mkumbuke china kunauza chai

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Před 2 měsíci

    Serikali ya kipumbavu kabisa haimtetei Mtanzania yoyote anayekandamziwa na wageni katika nchi yake, wala nje. Angalia mashirika ya simu yanavyowalangua wananchi, wakati hiyo inayoitwa miheshimiwa yakodoa macho tu kama mjusi aliyebanwa na mlango!

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 2 měsíci

    Mzee wasila kinana watastafu lini au wawo wa NATOa lisiti wapi

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Před 2 měsíci

    ilo neno kosa. ndo atulitaki kulisikia pumbafu nyote nyie

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 2 měsíci

    Ww Mzee na wewe usiwe chawa nchi Haina umeme je hutauza?

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Před 2 měsíci

    unaongea ujinga tu. hujui uchumi wewe kwenda zako uko.

    • @imanatrusttz950
      @imanatrusttz950 Před 2 měsíci +1

      Wewe siunajua uchumi ok
      Wewe na yeye nan mwenye uchumi imara!??

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Před 2 měsíci

    unaongea ujinga tu. hujui uchumi wewe kwenda zako uko.