Uyu mwamba Ni noma tumechelewa kazini kwajili yake nimeamka nika play clip yake na apo ndo tatizo lilipo anzia kuja kushituka sa 4 linajua Sana limidevu
Koi muzungu uko fresh ma man na kipindi chako ila ndugu yangu hichi kipindi nicha comedy ila sasa kuna wachekeshaji wanaongea matusi tunaona aibu kwakweli mara mama mkwe yupo uchi,wapa sawa ila wengi nivijana hawajaowa wanaona kawaida tu nakuomba sana ndugu najua
Kucheka sio kwamba he is the best...... bas tu anapendwa ....the way anamiliki stage anaonekana and the way anatumia saut yake he seems to be the best Bravo mc madevu
Kati ya wote walio postiwa madevu kauwaaa ❤️🇹🇿❤️🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Sana kaua kwa kwer namsubir eliud sasa
Uchekeshaji wa Madevu n wa kiwango cha lami 🔥🔥
seriously,Madevu ni next level zaidi ya platform yenyewe 😂😂😂😂
Madevu ndio Teacher wa Comedy wallah.. kamaliza 🔥🔥🎺
🥰
@@elizabethsamwel6697 Bravo
I love mc madevu ana kingereza kizuri sanaa🥰
My no 1 stand up comedian in TZ,Madevu
Mandevu we ni matako sana yani umenifanya nicheke kwa nguvu niko kwenye daladala mpaka watu wameniona chizi
naombeni battle na madevu basi😁🤣
maana ameshashindikana
😂😂🤣🤣🤣 kwahiyo wewe utamyweza?
This is comedy we need, he's the king
Broo nakukubal sana unajua yan hulazimishi jokes zinatoka tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Madefu kocha wangu 😁😁😁😁
Katisha sana huyu jamaa💕😄😄
I do ever comment in public issue post,but u made it bro,and i real appreciate CHEKA TU ,Big up KOI to MADEVU ntaanza kuja kwa show
madevu ni 🔥🔥🔥 anabalaa na nusu harafu yy mwenyew haring
Shoutouts all the way from Dubai... Kaka uko vizuri.
0
0
habari
The king is back👑
Uyu mwamba Ni noma tumechelewa kazini kwajili yake nimeamka nika play clip yake na apo ndo tatizo lilipo anzia kuja kushituka sa 4 linajua Sana limidevu
Kazin unaend saa nane
@@ibrahimpatrick5871 😂😂😂
The king is back 😂😂😂👋🏼
So far so good.....Madevu is unbeatable
Huyu jamaa Ni fundi Sana🔥🔥
We jamaa n nomaaaaa
The King is back 🙌💪
Wazazi wangu ni wazee tu hapa!
My bro big up
Haahaaaaa noma sana
The best of them all😂😂
Kwa saiz Madevu Eliud Joel master Leonard Aza boy mh subilia tuone Moto wake n baraaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
KWANINI UMEMWAGA!?
Kwanini umemwaga ile ya mwanzo!!
Kumbaaavuuuu
Come to chuchil show in kenya
The real king is back 🙌 😂😂😂
Nakupenda San jaman.. unanivunja mbavu Sana. 🙌
Huyu jmaaaa nihatareeee
Huyu mwamba hana mtu wa kubatle nae ebu tuwe serious
Case closed
huyu jamaa ni real stand up comedian, appreciate 😅
Ninoma sana sema loud ipo chini sn
Aise uyu jamaa ni nomaa
The king is back
Real king comedian is back
Madevu ,,,,,naomba mpambano wew uchekeshe me nicheke
King unajuaaa 😂😂😂😂😂
Uliiteka show kiukweli bro
😂😂😂this guy is mad
Superb
Aisee hakuna kama madevu jamani..achana nae kabisa huyu mtu...hahahah
mc madevu ni king 👐✋
Kama Churchill show
Madevu ndo mfuniko aisee. Very organised, like this guy
Koi muzungu uko fresh ma man na kipindi chako ila ndugu yangu hichi kipindi nicha comedy ila sasa kuna wachekeshaji wanaongea matusi tunaona aibu kwakweli mara mama mkwe yupo uchi,wapa sawa ila wengi nivijana hawajaowa wanaona kawaida tu nakuomba sana ndugu najua
Very talented brother
Yan ndonamchik leo nmempenda bureeee madevu
Madevu the great!!!
The King is back🔥🔥
Mr madevu ni noumaaaaa😘
Good job
Madevu hana kazi mbovu, nimeanza kucomment kabla ya kuview...
The king is back for sureeeeee
Madevu anajua sana😂😂😂😂😂🇹🇿.
👏👏👏 ur the best bro
Madevu ata Kama unafundish mathematics lazima wafauluu aseee 😂😂😂😂😂
Madevu hatari 😅😄🇹🇿
Huyu mtu ni mbaya Sana kwenye comedy ni teacher wenu hata coyo hutoboi kwa madevu 🔥🔥🔥
Worth paying for....great,
Kwakwwli huyu ndo master wa Comedy
Noma sana. You are the best mzee. Tunaweza kukutumia ikibidi nchi zishindane kwenye comedy
Leo hukuimba haijawa nzuri
U r the best
Ukisema unachekesha uwe Kama Huyu Sasa Sio jolmaster anatuletea upuuzi maandazi
Huyu jamaa na Leonardo ni balaa
Hata Leonard Bado sana
Mtazamo wenu, kwangu mm dogo anajua
Aah Leonardo kitu gani hajui yule dogo
@@hunchoonetz8747 Pole yako unafikiri kama humkubali ww itakua hvyo kwa kila mtu
Leonardo mkali
Ety maulidi we ni snichiii😂😂😂
Very professional
Waoooh this guy z genius
WaBongo tuna stresses sana, Yani hivi ndo munacheka😳😳😳😳😳
Nlikua natafuta comment ya mtu ambae hajacheka, nafikiri mimi tu ndio sijacheka nkajua nnatatizo.
@@rilaandmel3842 Umeona Ehh😳😳
@@hamoudcreator6343 acha tu
Kucheka sio kwamba he is the best...... bas tu anapendwa ....the way anamiliki stage anaonekana and the way anatumia saut yake he seems to be the best
Bravo mc madevu
Kacheki bandama it seems like haliko sawa😃
Bora hata nimepata mc wa harusi yangu
nmezaliwa kw operation...
Nakukubali Sana kakaangu
Madevu amenichekesha mno.. jaman me nna pumu
Madevu yupo vzuli na sauti yake iyo mashallah
😀😀big man
Huyo dada aliyelewa angeishiwa nauli ndo angenyooka vizuri
Mandefu kani uwa leo aose bgp sana kaka
Aah yan namkubal kama wiizi
😂😂😂😂😂😂 GENIUS MADEVU
Madev nimah aisee
Safi Sana
Oya 😂😂👏👏
🙌🙌
Kwa bongo huyu Mzee anatisha
The 👑
Daah huyu mwamb.
Nkubal broo
Killed😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti imezaliwa kwa operation
Madevu nomaaa🔥🔥
Noma
King🤣
Jamaa anajua uyu
Madevu nakuomba uwe mc wangumi boxing Sauti yako inafaa
Umetisha madev
Mandevu unajua sana
Madevu salute km kiba
Nimechekaaaa hatari hili jamaa ni hatari