NAGWA AMFUMA MBAYA WAKE AKIHOJIWA NA MO TOWN SANYA, AWACHANGANYA WOTE | HIVI NI KWELI
Vložit
- čas přidán 7. 03. 2022
- NAGWA AMFUMA MBAYA WAKE AKIHOJIWA NA MO TOWN SANYA, AWACHANGANYA WOTE | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Kuna siku mtapigwa kwa kazi yenu hii inahitaji ujasili ooooh mungu wanguuuuuuuuu🙏🙏
Sio Bongo Hii
Nagwa nakupenda bure 😀😀😃😃😃 sikuoni CZcams bwana ILA KWA HIYO SHOW HATA MIMI NISIWE MUONGO NINGEOGOPA 😂😂. Hii imezidi zoote kwa Nembo za mtaa one love brother 🇺🇸.
Jamanini nimelia harafu nimecheka kwa nguvu 😆 kajua kuchezesha watu kajaza ahaa masha allah🥰🥰😍🤩❤nampenda nagwa
Noma
Salha naomb no yk
@@sahiltvontheline5560 tuma yako me nichukue
Ushamtamani dhambi😂😂😂
huy kak chiz au 😂😂😂😂😂
Bonge la exclusive na ngoma ngumu ngoma nagwa salute sana🔥🔥
respect to you nagwa 🔥🔥🔥 u killed it
Hii namba mbaya cheko buku Hahhhhh, Hadi Mkojani alkua anaota anapigwa mitama, a. K. A Buti la jeje
Jamaa anawakazia sanaaa duuuh 🥲🥲🥲🥲🥲
Sema nagwa anazingua sana
Absolutely amazing, funny and scary 😂😂😂😂😂 ngoma nagwa nakubali sana from Kenya
9:59 😂😂nagwa msenge sana et Mbona unawanga road kama hivyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😂😂
Jamani naombeni dawa maana nimecheka mpaka naumwa🤣🤣🤣🤣🤣
Sema aoo wengine babazetu jmn kueni na heshima 😅😅😂
😅
😀😀🤣🤣🤣🤣😀
😂😂😂
Mo town ameenda mbali kweli kipindi kama vya Ulaya watu wanalia wanateswa alafu ni mchezo na anakuwa ajui kabisa baadae akijua anajiona mjinga
😂😂Nagwa aminia Eti Ali Kiba we unasemaje🤣🤣
Nimeipenda sana
Nyie huy nagwaaa antk kuwap presh wat 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍
Cyo fresh, kuwafanyia mashabiki hivyo, wengine unaweza kuwapotezaa
Anafanya masiala tu si kweli
Hatar Sanaa, Ngoma Nagwa Kauwa Show, Wana Wanamkubali Alafu Wanamuogopa, Hatali Sana Huyu Kiumbe😂😂
Mbona kama umenisimulia mm
Daa
On this you kill it bro 😂
Creativity on point 🔥
pamoja wote,nagwa na mo town sanya👏👏👏👏👏
Nagwa noma
Wa meua🔥🔥🔥🔥
Ngoma nagwa fundi mmoja matata🔥🔥🔥🔥
Sijapendaa bhanaaa ndio nn sasa kumkolomea mwenzie kma ivyo
Haipo sawa hata kidogo
Naisi inje ya camera wanamalizana
Try me my lawyer will be Happy to get busy for a while lol.
KIPINDI KIKALI SANAA ILA KUZALILISHA WATU HII SIO SAWA ADI WATU WANAPIGA MAGOTI MUNAKOSEA SANAAA
Ni funny ndio maana ya kipindi akuna udhalilishaji apo
@@peterjr8073 yeah
@@lareineminah1353 oky
Mambo t ya maisha una loga hazalan kwer mo town Sanya mtu wa watu wa mitumba jauu
Katika show zote ulizowahi kufanya hii ya Nagwa imetsha sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥nagwa in real life ni mkorofi walahi😂😂😂🔥
Huyu mwamba noma sanaaa ngoma nagwa nakukubali kinyama
My Favourite Show 🔥🔥🔥🔥
Jamn nyumban goms Moja daaah ,nembo ya mtaa 🔥🔥🔥
Our hood
TULIOSIKIA MUUNI A MAINDI 🤜🤜👊 like apa twende sawa 1k
Ila ipo siku yatawatokea puan,Hiz Mambo za kuwakaba watu hovyo mtaan sio poa kabsaaaa daaa
Umeona eeh ukut mtu anabastola yake na stress juu anampiga anaua
Huelewi nini sasa kuhusu michezo ya Prank 😀😀😀😂😂😂
Hawa watu wanaowaweka kwenye VIPINDI kwa kuwasurprise wanapaswa wawalipe
Hahahahahahaha waliitwa mpaka walipwe
Mwanzo uyo muuzaa vi2 mackini
fact
@@mariambakari7796 sa we huoni wanawaita au kuwasimamisha Kisha kuwashirikisha scenes na kuwapost Kisha kujipatia kipato pasi na malipo.
Walipwe wakati ni Prank tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Acha roho hiyo bana
Oy nagwa acha mambo ya kiboya unajikuta nani?? Oya Fanya yako mambo ya kusema wasambaa tumelegea utakuja amka ujikute Bahalini day moko, oya si ni wauni kitambo mdg ang😂😂
Hawa mlio waigizisha bila wao kujua na kuwafanya washiriki wa kuu ilipaswa muwalipe ( maana wengine wamefedheheka na hawakuwa tayar kuonekana mitandaoni katika aina hizo za scene)
Kama wameridhia au mmeelewana basi ewala, hata hivyo na mm nishabiki pia wa nagwa, kwa pamoja tunaendelea kuburudika kwa kazi nzuri za mo-town (Mr Streeter)
Hi haipo sawa kabisa watu na familia zao wanadhalilishwa!!...No it's against humanity.
Kama Ndy akutane na wahuni wembe alafu ananitushia hivyo, namchana mbona easy tu
Kila kitu munasemaa nyie mupew nin asa
@@hamadhamis5602 hilo swali ungemuuliza makimugaa!!
huyu mwana nampenda sana 💪💪
Jitahid Brooo Hikaz yako mim kusema ukweli naipenda sanaaa had Nawezaa kuku igizia motasanya
Wazungu hawamuwez huyu jamaa.. mgumu sana jamaa 😂😂😂😂🤷♂️
Hapana sio sahihi mungu anawaona
Mjini shobo mfukon tubak na mtafutano wa maisha
Nimemmmiss sana Nagwa mazee, hizo mikwara ndio nimezimiss,😂😂😂😂😂😂
This is number one 🔥
Sana
Daaaaah ❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Nagwaa 🙌🏽✊🔥
Nampenda sana Nangwa jmn siku aje tandale
Umetisha Nagwa
Umetisha sana
Sanya umetisha number one show 🔥🔥🔥
Ametisha
Miye wakati wote nahisi vita kwenye mwili wangu,ujaribu huu ujinga nitakumaliza
🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda Ukraine ukamkute baba Putin
🤣🤣🤣
😅😅😅 Wew unizidii mm aisee Kila mdaa wa moto aisee
@@ramsikhamis7083 😁😁😁😁😁
Daa,wallahy kwamkwala huo lazima uogope man😢😢😢😢😢
Show kali sema ikizidi sana inakuwa embrassement
Kabisaaaa.
Nmecheka kinoma #NAGWA NOMA SANA😂😂😂😂😂😂
I like you my brother ✌✌✌✌ ckupingi nagwaaaaaaaaa..
Mmetisha sana hii show aseeeeeee
Ila live shobo si nzuriii 🤣🤣🤣🤣🤣
Pindi la kijanjaaaaaa 🙌🙌🙌🙌
😄😄sema Nangwa amenifurhisha sana mikwara yake
Kipindi kizuri lkn usanii ukizidi anawadhalilisha watu waungwana!
True man cvzuri vile wanafanya wananyanyasa watu kisha yao yaendee utapata mtu mbaya pia mtakwaruzana
BIG SHOW 💥💥💥
😃😃😃😁😭nimechkaa kwa sauti hadi basi duuh nkublii nangwa 💓boy chafuu
Una tengeneza kipindi kama movie noumea sanaa man umetishaa
Oyaaa sheriaaa 😅🙌🙌
Hichi kipindi iko siku kitaishia kituo cha Polisi watu wengine wamechanganyikiwa na maisha hatuombi mabaya ila kwamtindo huu tusubir watu wengine washavurugwa na maisha huu ni ujinga
😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣
Ningekuwa Mimi ningemlima ngumi ya meno😂😂😂 anavyofoka na kusogeza lisura
Sijaipenda kabisa hii episode... Mmedhalilisha watu hii sio sawa kabisa...
😂😂😂😂😂
Pole jamaa....
Umeona kaka yng mie had nimeona huruma maan wanavyovurugwa had huruma kupigishwa magot dahh
Yap.
@@iddimoshi8459 qweli kabisa
Mo town sanya ni nomaaa irudiweee irudiweeee🔥🔥🔥
Burna boy wa bongo 😁Nagwa ma nigga sheria
Nagwa salute sana maan nmecheka balaaaaaaaa mpk nmeumia Tena
Mungu anawaona
Nimejiskia vibaya sana asee 💔💔💔kuzalilisha watu
Umeona ee .. Wanatakiwa wawe makini sana wanavyokiendesha hichi kipindi kitawakost one day.Wasiwaze tu kufurahisha watazamaji bila kujali kua wanazalilisha watu sasa huyo dogo vp kama angekimbilia barabarani akagongwa na gari?
@@isiakamfugale3621 kweli usemalo, maana akili yake ilishavurugika.
This killed it 💪💪💪 maubunifu kibao
Show kali saana sanya umetisha 🇹🇿🇶🇦
Nagwa 👊🔥🔥🔥
Mtakuja kuzinguliwa mnafanya ujinga Tu I don't think kama ni good acting that is stupidity
Angeendelea na ile idea yake ya mwanzo aliyokuwa na wasanii kwenye gari then anaongea na wapita njia vizuri , Lakini hii watakuja kuumia siku moja kwasababu watakutana na watu wakorofi na wapo faster wakifungua macho na akili mtu wao kaumia tayari .
@@gooddeeds162 inategemea na muhusika wa kipind
Hii n kama prank baba
@@hassanfumbwe1207 Prank kwa bongo watu hawajafunguliwa sana kuhusu.
Ukija kusema prank ushaumia utamlaumu nani hapo ?
@@salim02tv24 Sijaelewa Kivipi Yani
I like this show
Ila kwa hasira zangu msije mkanifanyia hivyo nitapiga wote na Msanii mtakaekuwa nae nitavunja na hayo Macamera yenu
Ukileta hasira lete kwa wasanii vibonge wazembe ukileta kwa wamba zinachapwa kweli ujue😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 this is the best daaaah Nagwa😂😂
Aisee hii kitu safi Sana hiii 😁😁😁😁🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼 cjacheka mda mrefu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Umetisha nagwa
nagwaa anajua kuchimba biti na lazma utulieee
Unyaama mwingiiiiiiiiiiiiiiii 🔥
Daaaah ngom Nagwa we kweli msera hii ni live
Ngoma Nagwa 🙌🙌🙌🙌
Kuweni makini mtakuja kutana na mbabe wakati nyie mnatania afanye kweli awatwange bakora sana nawashauri siku mkija tarime njooni na heshima sana
Waje wakutane na mababe kweli
Mkono mkono tu haipingwi kwani shingapi hiki ni kipindi kila mtu anajua huyo wa tarime itakuwa amedhamiria
Tarime NDIO nini 🥴
@@marcsthinker3882 jina la mtu hilo
@@Kimanzi001 mapanga au
07:25 Ntamuua mimi😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Sema dogo wa simu mmemzingua sana😂😂 anatia huruma kinoma daah
Msambaaa muoga katoa jasho kuongea awez tatizo shobo
Hio mzeee Ni nomaaa aseeee
Nisamehe mwanangu, nisamehe mwanangu🤣🤣🤣adi nimemwonea huruma mshkaji
The Best Show😅😅😅😅
Jaribuni kuingia kwa mtu Aliepinda, mtazima camera wenyewe, Mnaangalia pia watu wa kuwadhalilisha.
Sio kuzalilishana ni kawaida mbona hata mbele vipo
Ushamba na njaa zako tu hizo
Nagwa you killed it duu ata waeza Lia
Sijapenda japo nikazi ila mlezalilisha wa2 😢😢😢😢
Ila sanya ww ni shida mtaani kweli hili pindi ni lakijanjaa
Dogo wa simu Katia huruma na
tuachane na tu nauigizaji nagwa mwizi😅😅😅😅
😀😀😀😀nakukubali aisei nme enjoy nagwa
Ila sijapenda anavyo wakazia hivyo hadi wanataka kulia sio poa
My lovely sanya wanguuuu
Show kali sanaaaaaa
Hii iko lit sana 😅😂😂🔥🔥🔥