WATU 8 WALIOFARIKI MFULULIZO KABLA RAIS MAGUFULI HAJAFA / ILIKUA VITA YA VIGOGO DHIDI YA MAUTI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 03. 2024
  • #Zungu #CharlesWilliam #Day2NewsTV

Komentáře • 143

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Před 2 měsíci +11

    Hata yeye atakufa tu,licha ya kuwatanguliza wenzake, , maendeleo hakuna nchi ni ufisadi tu kila kona,

  • @perrymagitta7783
    @perrymagitta7783 Před 2 měsíci +10

    Mwenyezi Mungu warehemu wote hao.

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 Před 2 měsíci +25

    wote wameuwawa na mabeberu,kwa mbinu za juu za kijasusi,afrika haiwezi endelea,hatujitabui,hawa wote wameondolewa kwa kuwa wanajitambua

    • @CharlesSimkoma
      @CharlesSimkoma Před 2 měsíci +1

      Kifo ni lazima

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Před 2 měsíci +3

      Na mabeberu hupitia kwa mwafrika mwenzie na liko wazi waliiwawa💔😭😭😭😭😭

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 Před 2 měsíci +1

      Mhh neno zito

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 Před 2 měsíci +2

      Wapo mabeberu wa ndani ya nchi.Tusisahau hilo pia.

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 Před 2 měsíci

      @@leonardchoma3765 uko sawa kabisa kaka Choma,me siamini kama TZ itakuja piga maendeleo aliyokuwa anayataka Mwalimu Nyerere na Magu,viwanda na kuendelea kwa juu haiwezekani,wezi wengi kuliko wanao ibiwa

  • @marymkamwa3779
    @marymkamwa3779 Před měsícem +1

    Unasimulia vizuri sana

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 Před 2 měsíci +17

    Lazima tu jiulize kwanini Taifa ilikua linafululiza vifo vya vigogo wa serikali tu kwanini baada ya Kufa magufuli ule mfululizo ukaanza kupungua pole pole na kanyamaza hadi Sasa? Ujanja wa wanadamu ni wa Muda MUNGU NI WA MILELE

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Před 2 měsíci +1

      Corona sasa hivi watu xlwamepata chanjo. !

    • @martinmwasubila8762
      @martinmwasubila8762 Před 2 měsíci +1

      Swali na mawzo yako ni mazuri sana. Bahati mbaya sana hatupendi kujiuliza wala kufanya uchunguzi pengine hata kushtuka na kuchukulia kwa uzito. Hapa kuna jambo la kujiuliza mbali na uwepo wa korona na hata chanjo kuja. Ukweli utajulikana tu hata kwa kuchelewa

    • @abdullynasry2205
      @abdullynasry2205 Před 2 měsíci

      Huna akil sawa sawa unaongea kwa chuki lkn kwa kusikilza habar

    • @chomasongidion6047
      @chomasongidion6047 Před 2 měsíci +1

      Unaakili nyingi ila njia yetu sote,

    • @ezekielmburu3418
      @ezekielmburu3418 Před měsícem

      Corona, magufuli was ignorant

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 Před 2 měsíci +11

    Huu ulikua ni mpango uliosukwa vizuri sana.. mimi nilikuja kushituka baada ya kuona mkapa kafa nikajua kuna jambo lipo chini chini

    • @user-qk2wu5wm1f
      @user-qk2wu5wm1f Před 2 měsíci +1

      😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana

    • @abdullynasry2205
      @abdullynasry2205 Před 2 měsíci +1

      Uyo ndo alikua baba wa magufuli ndo maana alivyoenda tu wamemfata na magufuli kwisha kaz

    • @vanessajames2192
      @vanessajames2192 Před 2 měsíci +3

      Yani balaa lilianzia pale yule mzee alikua yuko poa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Ikulu yani ilikua huzuni kwakweli

    • @abdallahibrahim280
      @abdallahibrahim280 Před 2 měsíci

      Nilikuwa nikifuatilia sana taarifa hizi kuanzia kifo cha mwamba mahiga lkn kilipofikia cha kijaz baaas niliishiwa nguvu kabisa baada ya kujiuliza hivi naye rais nusra yake iko wapi? lkn sikuyatoa ulimini kwa yeyote

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 Před měsícem

      Magufuri mwenyewe baada ya kifo cha mkapa alianza kushtuka Ila alikosa support..yule jamaa alikuwa na akili ya ziada

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Před 2 měsíci +10

    Waliomuua JPM Ndo wameua wote ila wanajijua na mioyo yao inawahukumu

  • @paulchagonja
    @paulchagonja Před 2 měsíci +6

    Bravo Mr ZUNGU.MSIMULIZI MWENYE SAUTI NZURI NA HUCHOKI KUMSIKILIZA.

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 Před 2 měsíci +11

    Ndugu mtangazaji una sauti nzi sana na Lafudhi nzuri sana ya LUGHA YETU ADHIMU YA KISWAHILI, Matamshi sahihi kabisa, keep it up, tuna pungukiwa sana na watangazaji wenye matamshi sahihi ya Kiswahili, pia wanao penda Lugha hii

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Před 2 měsíci +4

    Hiyi makala naifungua tu gafla naanza kusisimka.😢😢😢 sijuwi ni mie mwenyewe?

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 Před 2 měsíci +4

    Acha tuteseke tu hawa walioondoka walikua watetezi wa Taifa 😭😭😭😭

  • @user-bx1ji5he9j
    @user-bx1ji5he9j Před 2 měsíci +6

    Umemsahau mfugale

  • @user-kf6tz1px6f
    @user-kf6tz1px6f Před 2 měsíci +6

    Hata hivyo uchunguzi unapaswa kufanywa Hata kama si leo

  • @ananiamaganga786
    @ananiamaganga786 Před 2 měsíci +4

    Wananchi wote tunajua mchezo ulofanyika

  • @isaacmakori3645
    @isaacmakori3645 Před 2 měsíci +9

    Watanzania wenyewe ndio wamewaua wakombozi wa inchi yao 😭😭

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri Před 2 měsíci

      Una matatizo ubishi wa magufuli ndio umesababisha vifo vyote hivyo awaue nani kwa lipi ogopa kiongozi mbishi asieshaurika kama magufuli anaependa kujisifu mwenyewe

    • @samuelmuthui4699
      @samuelmuthui4699 Před měsícem +1

      Mliambiwa mvae barakoa mkasema mmelindwa na damu ya yesu...

    • @awadhially
      @awadhially Před měsícem

      😮

  • @ramadhaniathumani1025
    @ramadhaniathumani1025 Před 2 měsíci +2

    Hicho kipindi sitokisahau maishani mwangu!!nilimsoma kigogo -2014 sana hadi usiku wa maneno!

  • @user-ki6mk5xx5g
    @user-ki6mk5xx5g Před 2 měsíci +8

    Kigogo mwingine ni baada ya Raisi Magufuri ni Mzee Mfugale aliyekua Mtendaji mkuu wa Tanroad

    • @anacletferuz4954
      @anacletferuz4954 Před 2 měsíci

      Watu hamuelewi. Amesema aliokufa kabla ya kifo cha Magufuli siku chache

  • @jworld1480
    @jworld1480 Před 2 měsíci +6

    unasaut nzuri sana kaka kelvin

  • @elfacechongera6648
    @elfacechongera6648 Před 2 měsíci +4

    Na covid ikaisha kwani nchi zingine jirani walikufa namna hii? Mungu tenda jambo please.

    • @joshuakasemelo1675
      @joshuakasemelo1675 Před 2 měsíci

      Viongozi wa Nchi zingine walitumiaakili kujikinga wakwetu waliburuzwa na mkuu wao kwa kuamini shwaushilikina wakapiga nyungu hadi wakapeleka mhimbili wakapuuza kinga za kisayansi matokeo yake ndiyo hayo ndipo wengine wakasituka wakaanza kufuata sayansi ndiyomaana vifo vya viongozi kufa mfululizo vikakoma

  • @HansJotham-ht1ul
    @HansJotham-ht1ul Před 2 měsíci +1

    Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina LA BWANA lihimidiwe.
    Amen

  • @juliussuleiman3999
    @juliussuleiman3999 Před 2 měsíci +7

    Umemsahau Mahiga

  • @user-ql7rm2zw4d
    @user-ql7rm2zw4d Před 2 měsíci +1

    Umenisahau Balozi Augustine Mahiga

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Před 2 měsíci +2

    Histolia haidanganyi na hata baada ya maisha haya ukweli hautasitilika kamwe

  • @AwadhiKanyawana-ve2cp
    @AwadhiKanyawana-ve2cp Před měsícem +1

    Ata wananchi wasio na hatia walifariki mno wengne waliokotwa baharini tumuachie mungu ndio anajua zaid

  • @charleskombe
    @charleskombe Před 2 měsíci +2

    Wapi makofi ya Day2. Watu wamaana kabisa!

  • @user-te1gg8uj7j
    @user-te1gg8uj7j Před 2 měsíci +7

    Hakuna lolote ,,,,kama ni covid ina maana inachagua watendaji bora wa magufuli t????

  • @lucaschimba3148
    @lucaschimba3148 Před měsícem

    uko vizuri mbona wenyeviti ccm mkoa hujawataja waliofaliki nyuma jpm

  • @peterjoseph4771
    @peterjoseph4771 Před 2 měsíci +4

    Walisingizia Covid

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 Před 2 měsíci +2

    AGUSTINO MAHIGA ilikuwa mwaka gani!;

  • @batrumbeziks5946
    @batrumbeziks5946 Před 2 měsíci

    Itakuwa vizuri ukijifundisha Kiswahili kwanza kabla hujaendelea na matangazo mengine. Nenda Zanzibar ujue maneno ya Kiswahili yanavyotumika na kutamkwa.

  • @user-tl1nz7qx2l
    @user-tl1nz7qx2l Před 2 měsíci +2

    Acha watese na watoto wao Kwa kujipachikia madaraka mungu yupo Kwani wataenda wapo?

  • @abelmbega3707
    @abelmbega3707 Před měsícem

    Hatariiiii sana Jamani

  • @Broken_Beats__23
    @Broken_Beats__23 Před 2 měsíci +1

    Mzee Mfugale hivi sio rasmi sana nae maana msiba wake pia uliitikisa Tanzania

  • @MrishoMzelela-xb9bb
    @MrishoMzelela-xb9bb Před 2 měsíci +1

    Mkapa hujamtaja

  • @immaculathangalison5595
    @immaculathangalison5595 Před 2 měsíci

    Mileleee uwape ee bwana na lahaa ya milele uwangazìe wapumzike kwa amani amina

  • @user-kf6tz1px6f
    @user-kf6tz1px6f Před 2 měsíci

    Nakukubali sana nimeelewa

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 Před měsícem

    Watanzania waliuzwa na Magufuli. Ukweli ni kwamba barakoa zingevaliwa,mambo yangekuwa tofauti. Mungu ameweka sababu katika kifo. Ulizeni madaktari watawaambia ukweli. Pia fanyeni juhudi ya kwenda shule,sio kutegemea ushirikina....

  • @uwezotv
    @uwezotv Před měsícem

    Umemsahau eng mfugale

  • @user-qm4lg4yh7y
    @user-qm4lg4yh7y Před měsícem

    Kifo cha bakari mwapachu na sio juma mwapachu kwahio ungetoa picha za juma mwapachu..

  • @alexibrahim2517
    @alexibrahim2517 Před 2 měsíci

    Kazi nzuri Sana kiongozi, keep going up

  • @gasparkamiliusbutama6487
    @gasparkamiliusbutama6487 Před 2 měsíci +6

    Hii taarifa ukiunganisha na ripoti ya cdf mstaafu inatoa taswira kamili ya nini kilikuwa kimeamliwa kwa serikali ya awamu ya tano kwa maana baada tu ya kufariki kwa jpm na kuundwa serikali ya awamu ya Sita utitiri Wa vifo kwa viongozi wa juu katika nchi ulipungua na kuisha kabisa ni nini maana yake historia haisemi uongo Bali kweli utawekwa hadharani Bila shaka

    • @abdullynasry2205
      @abdullynasry2205 Před 2 měsíci +1

      Wamemuua yule jamaa na team yake ndo maana mzee mkapa alivyokufa tu awakutaka kusubl maana mkapa alikua baba mlezi wa magu

  • @samuelmuchiri7587
    @samuelmuchiri7587 Před 2 měsíci +1

    Tz mismanaged the Covid pandemic

  • @uwezotv
    @uwezotv Před měsícem

    Hivi vyama vya siasa ni hatari sana watubwanapaswa kuwa makinisana naa viongozi wao wanaposafiri nnje huko wanaenda kusuka mipango gani? Kisha wanarudi baada ya matukio kukamilika hii ni hatari sananini kiliwaondoa nchini na nini kimewarudisha wakati selikali ni ileile hii ni hatari sana

  • @user-kd5fy5ln5t
    @user-kd5fy5ln5t Před měsícem

    Asante sana❤❤🎉 unakipaji

  • @francislumeya7020
    @francislumeya7020 Před 2 měsíci

    Hivi Jaji Agustine Ramadhani, na Agustino Mahiga hawakufa kipindi hiki?

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 Před 2 měsíci

    Tunyamaze tu ila kuna kitu 😭😭😭

  • @kinademello
    @kinademello Před 2 měsíci

    Jamani huyo sio Bakari Mwapachu. Juma yupo hai

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem

    Zungu huko vizuri kutuabalisha'lakini umesahau mtu mmoja yule En.wa ujenzi yule wa Magufuli Mfugare ambaye amejenga hizo barabara za Kisasa

  • @frankmwinuka3413
    @frankmwinuka3413 Před 2 měsíci +1

    Umeongea vuzuri sana. Kipindi hicho si vigogo tu waliofariki dunia. Wananchi wengi hasa wenye umri zaidi ya miaka hamsini walipoteza maishi. Tatizo mojawapo ilikuwa matatizo ya upumuaji. Mimi nyumba yangu inapakana na kanisa la KKKT. Kipindi hicho kulikuwa na ibada za mazishi kila siku. Wakati mwingine zaidi ya moja.

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Před 2 měsíci

      NI kweli maana sasa hivi watu wenye umli zaidi ya miaka 50 hawapo na vifo vimepungua sana

  • @PetrolBhulugu
    @PetrolBhulugu Před 2 měsíci

    Sawa

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf Před 2 měsíci +1

    Shida iko ccm

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 Před měsícem

    Mbona picha ya JV Mwapachu?

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 Před 2 měsíci +2

    Baada ya chuma Vifo viliacha

    • @abdullynasry2205
      @abdullynasry2205 Před 2 měsíci +1

      Hawo waliokufa ndo watu wake magufuli yan ukisema team magu mdo hao 😂😂😂😂 ujuw kitu utachekwa na wamekufa kwa vifo vya kijinga ndo maana umeekewa uwelewe kuwa magu kaondoka na team yake inshort wameuwawa

  • @jumannepaskary3182
    @jumannepaskary3182 Před měsícem

    John kijazi

  • @spantonsamba6191
    @spantonsamba6191 Před měsícem

    Umechanganya picha kati ya bakari Mwapachu na Juma Mwapachu....aliyekuwa waziri wa katiba wa mkapa ni bakari Mwapachu...umezitumia picha za Juma Mwapachu (mdogo wake) pamoja na picha ya bakari Mwapachu

  • @chriss6321
    @chriss6321 Před měsícem

    Zungu napenda kiswahili chako. Starehe kukusikiza. BBC watakunasa tu. Hujambo

  • @JumaBakari-eb3ft
    @JumaBakari-eb3ft Před 2 měsíci

    na mzee mahiga

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 Před 2 měsíci

    Augustin Mahiga hajatajwa

  • @EMANUELMUSHI-kk4df
    @EMANUELMUSHI-kk4df Před měsícem

    Walitumia fursa ya covid kwa ufasaha usio kua na tija kwa nchi yetu zaidi ya kutengeneza nafasi wanazo taka wao

  • @Booking247
    @Booking247 Před měsícem

    Mkapa umemsahau kigogo

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 Před 2 měsíci

    Mbona hamkutaja mwenyekiti wa Board ya bandari mwana harakakati mzarendo mahiri

  • @user-ui1cj5re9k
    @user-ui1cj5re9k Před 2 měsíci

    Nzungu napenda unavyo tujuza kwelihongera kwakua nasauti nzuriiyamatangazo

  • @ObeidkilalikaRubuye
    @ObeidkilalikaRubuye Před měsícem

    Hata rais samia atakufa tu kwani hakuna Mjaja mbele ya kifo

  • @saidyatabu6375
    @saidyatabu6375 Před 2 měsíci

    Mbona hakumtaja Agostino Mahiga.

  • @user-mq9im1wd4x
    @user-mq9im1wd4x Před 2 měsíci

    Sio kwamba umesahau na mzee Agostino mahiga

  • @alipomwamahonje
    @alipomwamahonje Před měsícem

    Hakika wapumnzike kwa amani😢

  • @georgemedeye3469
    @georgemedeye3469 Před 2 měsíci

    Leo ndio nalifahamu jina lako

  • @user-kw5pb9dd7p
    @user-kw5pb9dd7p Před 2 měsíci

    Polen

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 Před měsícem

    Waliwahua hao kwasababu ndio waliokuwa na uwezo wa kuhoji hadhalani kuwa Magufuli kafaje

  • @anacletferuz4954
    @anacletferuz4954 Před 2 měsíci +1

    Zungu ee wewe unajuwa kusoma kwa weledi

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Před 2 měsíci +2

    Siwezi Kusema Kityu
    Halafu Ututajie Walio Potea Mpaka Sasa na Walio Jeruhiwa
    Wakati Huo wa Awam ya 5

  • @owdengodfrey771
    @owdengodfrey771 Před 2 měsíci

    Mbona hujamtaja Agustene mahige??

  • @jacksonfeleshi3044
    @jacksonfeleshi3044 Před 2 měsíci

    P. Wa.

  • @user-er5to1ko1y
    @user-er5to1ko1y Před 2 měsíci

    Na mkapa

  • @johnmbugani6532
    @johnmbugani6532 Před měsícem

    Na baada ya JPM

  • @lucaschimba3148
    @lucaschimba3148 Před měsícem

    hata leo viongozi ambao wataisumbua ccm 2025 wameondolewa ili uchaguzi usiwe mgumu tumefundishwa ujasusi tumeizidi hata urusi

  • @deven.oauditx7547
    @deven.oauditx7547 Před měsícem

    Acheni ushirikina! Magufuli alipingana na uwepo wa Covid na akawalazimisha watu waliokiwa karibu naye wasichukue tahadhari yeyote kujikinga. Sasa ukitegemea nini? Kwani wao siyo binadamu mpaka wasife.

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 Před 2 měsíci

    watu muhimu tu ????????

  • @MabulaLeonard
    @MabulaLeonard Před 2 měsíci

    Tutakufa wote 20100

  • @stephenruvuga7
    @stephenruvuga7 Před 2 měsíci

    Kumbukumbu yenye machungu; mwandaaji hakiki na ujiridhishe kuhusu habari ulizotoa na picha ulizotumia za Mwapachu; unazumzungumzia Juma Mwapachu au Bakari Mwapachu? Kuna mkanganyiko!!

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Před 2 měsíci +3

    Ni vifo vya mkakati!!

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 Před 2 měsíci

    Mfugale muhandisi umesahau

  • @ezekielmburu3418
    @ezekielmburu3418 Před měsícem

    Corona

  • @engelbertmkindi5648
    @engelbertmkindi5648 Před měsícem

    Huyu ni Juma Mwapachu mnakosea sana.

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Před 2 měsíci

    FEBRUARY mzee sio FEBRUALI....

  • @ObeidkilalikaRubuye
    @ObeidkilalikaRubuye Před měsícem

    Hakuna mjadala mbele ya kifo

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Před měsícem

    Walikuwa wanauwawa na kikwete

  • @davidbinna1202
    @davidbinna1202 Před 2 měsíci

    Hamna baya wakuu

  • @BongoSihami
    @BongoSihami Před měsícem +1

    Kiburi cha mtu mmoja kilileta maafa kwa taifa na familia nyingi ...Mungu akaingilia kati, taifa likapona

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 Před 2 měsíci +3

    Tatizo magufuli colona aliichukulia ni ushilikina wakaanza kupiga nyungu hayo yakawa matokeo ya kupuuza colona

    • @yohanamagehematictok
      @yohanamagehematictok Před 2 měsíci

      Kwa hiyo na yeye ni cirona ilimuondoa, na hiyo corona ilikuwa inawatafuta vigogo

    • @ananiamaganga786
      @ananiamaganga786 Před 2 měsíci

      Tulia wewe hakuna Cha korona Wala nini hivi kwani nawewe ni mtanzania na hujui Mambo yaliyofanyika

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Před 2 měsíci +1

    Umemsahau Mfwigale

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Před 2 měsíci

      Kama wakati wa mama kakimbia kuhojiwa juu ya upigaji mkubwa uliofanyika wakati wa mwendazake sekta ya barabara😅😅😅

    • @user-te1gg8uj7j
      @user-te1gg8uj7j Před 2 měsíci

      ​@@hassanmfaume4522upigaji gani alioufanya mfugale???uzushi TU!huu upigaji wa Sasa huuoni??au kwasababu ya kufanana faith!?

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Před 2 měsíci +1

    Ufisadi upi mbona CAG Asad,alitolewa baada kusema trion 1:5hazionekani,na ya Logola,+mkurungenz,Geita,acheni upendeleo,sahiv,kutekwa,wajulikana,pia,hakuna,wawekazaji,hawaporwi,mali,zao,matajiri wa merudi Dare salaam,akiwemo MANJI,DANGOTE,MBOWE,LISSU,Dangote,alifunga kiwanda,cha sumenti,acha mzee baba,fact ndoo hiyo,

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 Před 2 měsíci

    Covid hiyo