MAGUFULI ATUMBUA JIPU MBELE YA WANANCHI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 04. 2016

Komentáře • 348

  • @thabitiajibu4404
    @thabitiajibu4404 Před 2 lety +13

    RIP Chuma wa Africa@Magufuli tutakukumbuka daima

  • @nassoromzenga866
    @nassoromzenga866 Před 5 lety +13

    Nampenda magu kwasababu sio muoga sio kuwatumbuwa2 sukuma ndani

  • @odhiambovictor4762
    @odhiambovictor4762 Před rokem +4

    Magufuli rest in peace we love you

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc Před 3 lety +37

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @gabrielgodwin2698
    @gabrielgodwin2698 Před 2 lety +7

    Rais wangu DR Magufuri nikisikiliza hotuba zake naongezewa nguvu ya kuendelea kufanya kazi za kukuza uchumi wa family yangu na taifa kwa ujumla.

  • @Mooge-baban
    @Mooge-baban Před 5 lety +21

    Great African leader if we only had 5 leaders like him in Africa believe me Africa would have changed for better

    • @view2387
      @view2387 Před 4 lety

      He is the worst leader of Africa he does not obey the rules he is just making his own Rules wich is not Right at all

  • @Crabtree1844
    @Crabtree1844 Před 2 lety +3

    Kazi kwisha bila nyef nyef! Jembe kutoka Chato. Ewe mwenyezi Mungu ulitupatia dume kweli. Sijaona Afrika mzima. Aaah, shuja wetu! Asante Mungu, hapa tumeona Rais wa wanyonge. Hakuna nyef nyef.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Před 2 lety +8

    Mtu akishakufa ndio tunamkumbuka mema yake R.I.P MAGU

  • @daudsteven4232
    @daudsteven4232 Před 2 lety +3

    R.I P. Mh john joseph magufuli

  • @selemanmwandele3910
    @selemanmwandele3910 Před 4 lety +4

    Mungu endelea kumlinda rais wetu mh John pombe magufuli

    • @kessyiklam2585
      @kessyiklam2585 Před 4 lety

      MAGUFULI AWAELEZA WATENDAJI WAKATA DODOMA KUFANYAKAZI KWA UWADILIFU

  • @salimhegal1456
    @salimhegal1456 Před 3 lety +8

    Tutamkumbuka baba wa siyo Tanzania to ila Africa nzima mungu ailaze roho yako in special places in heaven 😥🙏🏿

  • @buturonseme4599
    @buturonseme4599 Před 2 lety +1

    Hayati Joseph magufuli alikuwa mtu mzuri sana.

  • @richardelias3952
    @richardelias3952 Před 2 lety +1

    Best quality of a leader 1. Ability to control and make timely decisions, Magufuli has all of these. Currently mama ni kama anahubiri zaidi corona na usawa wa kijinsia. Sina hakika kama anajua vitu na haina ya watu walio mzunguka

  • @sanjifilm1722
    @sanjifilm1722 Před 5 lety +7

    Sijajenga kwa maraisi wote lkn kwako nimejenga mungu akulinde

  • @Ibrah__
    @Ibrah__ Před 2 lety +3

    Niishammiss tyr rais wetu jaman🙏

  • @omarkhamis3909
    @omarkhamis3909 Před 2 lety +1

    Mjomba magu njooooo Sasa hivi mtu akiaharibu hapa napelekwa kuleeeee wakatiwako kulikua na Simba

  • @allyprizoo4241
    @allyprizoo4241 Před 4 lety +6

    mungu akuweke jembe

  • @samwelilaizer661
    @samwelilaizer661 Před 2 lety +1

    Mungu tuomba utupe kiongozi Kama Dr John pombe Magufuli

  • @georgeshamba6027
    @georgeshamba6027 Před 2 lety +1

    Mama Samia nae afanye hivyo inchi ataiweza sana.

  • @martineshija2712
    @martineshija2712 Před 2 lety +1

    Hapa ndiyo nilikuwa nawahi kuangalia taalifa ya habar lakini sasa hiv naikimbia kabisa aukuzma kabisa tv.

  • @nchamosishaffi500
    @nchamosishaffi500 Před 5 lety +9

    mungu mlinde magufuli na hassadh za waja yaani yy ni rais anae faa kabisaa mtenda haki may God bless you mr president..ungekuwa kenya mambo yangekua nywee

  • @hilaliamatozy2506
    @hilaliamatozy2506 Před 2 lety +1

    Huo ndio uwongozi kila mmoja mtazania anajua kilakitu sio msemo wa mama nitatumia kalamu situtajua umemuonea sema hazalani tujue makosa yao kalamu ndonini

  • @muhubirirwesapaul3150
    @muhubirirwesapaul3150 Před 6 lety +10

    Mungu msaidie Dr Rais Magufuli ili aweze kutekeleza yale yooooote anayotaka kuendeleza TZ

  • @kesirashid5006
    @kesirashid5006 Před rokem

    Asante baba bdo nakukumbuka

  • @victoropondo250
    @victoropondo250 Před 2 lety +6

    Very transparent African leader,may God rest his soul in peace.

  • @lomulendavid8283
    @lomulendavid8283 Před 4 lety +8

    Rais ya wanyonge milele.

  • @maryerick5487
    @maryerick5487 Před 3 lety +5

    Tutakukumbuka daima ww ni kumbukizi wetu kwa mema ulioiachia Tz yako

  • @selemanimadeha9459
    @selemanimadeha9459 Před 2 lety +4

    Ee mungu tumemkumbuka huyu mtu.

  • @edisonkashaija4067
    @edisonkashaija4067 Před 3 lety +2

    Magu mungu akutunze uko ulipo

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 Před 2 lety +2

    Nakulilia kila siku moyo unqvuja damu,pumzika rais wangu kwa amani

  • @mithlekhalfan4895
    @mithlekhalfan4895 Před 6 lety +8

    Kanyaga jomba magu usiogope mungu yupo pamoja na ww na utaulizwa siku ya kufufuliwa uwongoz umeutumiaje usirud nyuma kandamiza kijoti usiwe na shaka kura yangu naanza kukipa saiv

  • @muzakiruahmada3654
    @muzakiruahmada3654 Před 2 lety +3

    Nakukumbuka sana raisi wetu hayati magufuri mungu akulaze mahali pema peponi dahh!! Bdo tunakukumbuka

  • @geradcmarongo3753
    @geradcmarongo3753 Před 3 lety +4

    We ni mwamba WA chuma lala baba alama yako iko miyon milele

  • @PhilemonGodphery-xp1dc

    Rais wetu unge kuwepo hadi lewo tunge kuwa mbali sana Mungu akulinde mahali ulipo amin

  • @ellylanda7227
    @ellylanda7227 Před 2 lety +1

    chumaaaa mwambaaa raix
    wa wanyonge

  • @user-kj7wv6yt6l
    @user-kj7wv6yt6l Před 10 měsíci

    Mungu aiweke roho ya Mareham pema pepon

  • @ngonghomishamo
    @ngonghomishamo Před rokem

    Yang na Azam 2022

  • @kanchusagali9448
    @kanchusagali9448 Před 5 lety +7

    mh.raisi endelea kutenda kazi mungu yu pamoja nawe akulinde

  • @joyelia5356
    @joyelia5356 Před 3 lety +5

    BABA LAO RIP BABA TUNAKUKUMBUKA SANA😭😭

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb Před 4 lety +1

    Nyinyi mumekaa tu kipiga makelele tu haa sasa Angalieni sisi tutamleta mzee magufuli hopo hapo huyu mzee sio au mukamuona ni kipochi huyu ndio kiboko yenu mutaipata nyinyi

  • @abmmediastudio4388
    @abmmediastudio4388 Před 2 lety

    nilikupenda sana baba

  • @shabanilaiti898
    @shabanilaiti898 Před 2 lety +1

    We miss you uncle

  • @bahatimohamedi7053
    @bahatimohamedi7053 Před 5 lety +2

    Ubalikuwe na mungu

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 Před 2 lety +3

    Wangapi tuko apa 2021??

  • @boazmike677
    @boazmike677 Před 5 lety +4

    Hata Akija Kenya ataona tunashida

  • @priscussleonardsoka3436
    @priscussleonardsoka3436 Před 2 lety +1

    tutakumbuka daima baba

  • @zuwenazuena5639
    @zuwenazuena5639 Před 2 lety

    Mwazi mugu akusamehe ulipo kosea baba mungu ailaze loho yako mahala pema peponi amni

  • @rausatimbarubukeye2746
    @rausatimbarubukeye2746 Před 5 lety +10

    v.I.p,abarikiwe,magufuri!

  • @juliusmago4406
    @juliusmago4406 Před 4 lety +5

    Azam

  • @aminakiduku2554
    @aminakiduku2554 Před 5 lety +2

    Mkuu wa mkoa dar es salaam embu tunaomba tusaidie jangwani tunateseka mafuriko hatuna pakwenda je selikali haiwezi kutusaidia tumepeleka malalamiko Kila tukienda wanataka pesa je ni haki kwa mtanzania au

  • @SwalehMgumia-zz4pe
    @SwalehMgumia-zz4pe Před rokem

    .....Leo hii alie mchongea nae hana kazi, siasa mchezo mbaya sana

  • @kilian7192
    @kilian7192 Před rokem

    Naitaj..MOVIE..ZA.VASICO

  • @georgeshamba6027
    @georgeshamba6027 Před 2 lety

    Hii ilikuwa nzuri sana kwa kuendesha inchi Kama Tanzania,hata aliyepo kwa sasa akifanya hivyo hivyo ni sawa.

  • @jrmsagati3542
    @jrmsagati3542 Před 4 lety +7

    fighter never worry

    • @krewabdiel8253
      @krewabdiel8253 Před 2 lety

      Sorry to be offtopic but does anyone know a way to get back into an Instagram account?
      I stupidly lost the account password. I would love any tips you can offer me!

  • @onesmominga844
    @onesmominga844 Před 2 lety

    We Albert Bashite ulikuwa mbeya sana.lakin nawewe pumzk kwa hofu kubwa

  • @rhodangollo3532
    @rhodangollo3532 Před rokem

    Uhur tanzania

  • @faustinsanga4996
    @faustinsanga4996 Před 5 lety +1

    Da Magufuli big up sana tetea na jenga Taifa la wanyonge TANZANIA

  • @emmanuelmlelwa2162
    @emmanuelmlelwa2162 Před 2 lety

    Yanga

  • @PhilemonGodphery-xp1dc

    mahali ulipo Mungu akulinde

  • @rosedavid499
    @rosedavid499 Před 5 lety +3

    mambo mengine mnashangilia tu hayajawakuta kumwachisha kaz mtu awe anawaonya mi naumia kuona hivyo jaman 😢😢😢😢

  • @danielkaputi5373
    @danielkaputi5373 Před 2 lety +1

    Huyu ndo ilikua nyundo ya chuma

  • @msetikebwasimasatu8849
    @msetikebwasimasatu8849 Před 3 lety +3

    Yani siamini Kama huyo mzee ametoweka ktk uso wa dunia

  • @wilsoncrespo6544
    @wilsoncrespo6544 Před rokem

    Kiongozi aliyejali maslahi ya Watanzania Mungu ailaze roho yake mahali pema

  • @elijahmutunga7950
    @elijahmutunga7950 Před 5 lety +7

    Mheshimiwa rais mm ni mkenya napenda uongozi wako

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 Před 5 lety +4

    nice president.wapumbavu tunatoa tunaitaji watu wachapa kaz na wenyekuitaji maendeleo ya nchi yetu

  • @welmankahamba2152
    @welmankahamba2152 Před 5 lety +4

    Ufunguzi wa jengo laikulu dodoma

  • @angeljustine1978
    @angeljustine1978 Před 2 lety +1

    Siasa na upendeleo vilitawala sana makonda ulihujumu mambo mengi lakini uliachwa wengine wakatimuliwa kama mbwa maisha ya ujanja ujanja na upendeleo huwa hayadumu

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 Před 2 lety +1

    Chumacha pua Rip mkuu wangu

  • @shabanilaiti898
    @shabanilaiti898 Před 2 lety

    Home of Intellectual

  • @obedizebedayo2882
    @obedizebedayo2882 Před 2 lety

    Makonda.umeishi Kama mfalme ezi izo Leo unaishi Kama mkimbiz ata siku ikiisha ukiwa salama hofu jujujuu.nakuambia mtegemea mwanadamu mwenzie amelaaniwa.

  • @JosephWambura-uq6rl
    @JosephWambura-uq6rl Před 9 měsíci

    ❤❤❤

  • @jongokamagdenge8106
    @jongokamagdenge8106 Před 2 lety

    Maguufuli atakumbukwa saana lasivyooo atokeeee MAFUNGUO. Kuzba pengo

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 Před 2 lety

    Mko wapi sasa?

  • @mariaraphael5463
    @mariaraphael5463 Před rokem

    Hakika bab tumekukumbuka sana sis wa hali ya chini🙏🙏🙏😂😂

  • @wistonlaizer5124
    @wistonlaizer5124 Před 5 lety +2

    Mungu atawalinda siku zote watanzania wenzangu tupendane

  • @nasirmwenyezimunguakupokee4638

    Makonda mungu alikuwa anakuona ulivyo kuwa unamkanyagia mwenzio ili kibaruwa kiote nyasi na kweli ukafanikiwa lakini sasa utatafuta cha kujibu wewe sasa

  • @alicethadeo9200
    @alicethadeo9200 Před 6 lety +4

    Aaaaaaa maguuuuuu ubarikiwe xn baba mkubwa

  • @nicodemuskenga7439
    @nicodemuskenga7439 Před 2 lety

    Lala Salama mgogo wa tanzania

  • @Frank-un6bu
    @Frank-un6bu Před rokem

    Nyarugusu SDA Ay. Choir

  • @MaryManka-xc8tq
    @MaryManka-xc8tq Před rokem

    Tutakukumbuka Sana baba yetuu

  • @tommylee2681
    @tommylee2681 Před rokem

    Dah bas 2 we mzee pumzka kwa aman

  • @user-bc5kt8hh6n
    @user-bc5kt8hh6n Před 5 měsíci

    Daima tutakukumbka kipenzi cha watanzania pumzika kwa amani

  • @mwana-unique
    @mwana-unique Před měsícem

    Nani yupo may 2024.

  • @adilikatula4198
    @adilikatula4198 Před 6 lety +6

    Mh,Raisi John Magufuli. Kiukweli napenda uongozi wako''ninaishauri serikali yako itengeneze katiba ili uendelee kuongoza Nchi,hata kwa miaka 20 ili nchi yetu ifikie malengo

  • @ismailngombo8947
    @ismailngombo8947 Před 5 lety +4

    matukio yaleo ya kiswaili

  • @richardjanuary9565
    @richardjanuary9565 Před 7 lety +6

    hapa kazi tu magu

  • @shukurukaliwali5367
    @shukurukaliwali5367 Před 3 lety +4

    😭😭😭

  • @jedarryadam5788
    @jedarryadam5788 Před 2 lety +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @mdabemdabe9709
    @mdabemdabe9709 Před 3 lety +1

    I lived you more much dady

  • @taufikichipinda6726
    @taufikichipinda6726 Před 2 lety

    Yanga na azam

  • @jacksonnelson5686
    @jacksonnelson5686 Před 6 lety +2

    Safi sana Raisi wetu

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 Před rokem

    Enzi za utukufu waao...

  • @geraldpaul122
    @geraldpaul122 Před rokem

    Maguuuu😭😭

  • @onlygame5110
    @onlygame5110 Před 2 lety

    Hivi nikweli hii sauti haita sikika Tena Mimi Bado siamini kabisa

  • @kisayansimedia1626
    @kisayansimedia1626 Před 2 lety +2

    Good job 👍

  • @ebraniacosmosy2072
    @ebraniacosmosy2072 Před 2 lety

    Leo mwezi wa 9 nmerudia kukutazama baba etu

  • @makwayazuberi4307
    @makwayazuberi4307 Před 2 lety

    R.i.p JPM

  • @ibrahimchacha3214
    @ibrahimchacha3214 Před rokem

    Lala kwa aman

  • @abdihq4228
    @abdihq4228 Před 2 lety

    KWASABABU MAKONDA HAKUWA SIGNATORY NA HAKUWA MSIMAMIZI KWAHILI MNA MIPANGO YENU

  • @SimonJackson-ls3un
    @SimonJackson-ls3un Před rokem

    Daniel mgogo