KISA KOCHA MSUVA KIBU WAGOMA KUJIUNGA NA TIMU YA TAIFA STARS" WAELEZA SABABU ZA KUTOKUJIUNGA NATIMU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 05. 2024
  • #taifastars #msuva #kibu #kombeladunia #indonesia #tff #zambia #azamtv

Komentáře • 5

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 Před 27 dny +3

    Jemedar na Oruma muko wapi? Mlichonga sana kwa Dickson Job, mbona kwa hawa mmefunga mabakuli yenu? Au kwa sababu sio wachezaji wa Yanga?

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op Před 27 dny

    Huyo kocha mwache ajijue mwenyewe, kiroba!

  • @kelvinliheta9769
    @kelvinliheta9769 Před 27 dny

    Wamegoma kujiunga sababu uyo kocha ni mbaguzi analeta uzanzibar wake....

  • @LucasMagukuru-hc9kr
    @LucasMagukuru-hc9kr Před 20 dny

    Mtu kama kibu amepata tarifa akiw mbal, kwaio atafika sio mda, huku hajui mnoga ana matatizo ya kifamilia, huku msuva ameonekana Leo mazoezin ni mzalendo sana, Kam hamuwez Kaz muache kupotoxha na kugombanixha watu, hii ndio bongo, hayaa

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 Před 27 dny

    Ndio watanzania hao. Wachezaji wa nchi zilizoendelea huona fahari kuchezea mataifa yao!