SIO UCHAWI: JAMAA ANANYANYUA TAIRI LENYE KILO 480, ANATEMBEA JUU YAKE HUKU AMEBEBA MTU | MSWAHILI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 01. 2023
  • SIO UCHAWI: JAMAA ANANYANYUA TAIRI LENYE KILO 400, ANATEMBEA JUU YAKE HUKU AMEBEBA MTU | MSWAHILI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Komentáře • 201

  • @sulleymanjimmy3199
    @sulleymanjimmy3199 Před rokem +39

    Mfanyieni mpango aende America got talent nadhan atawashangaza wazungu zaidi ya kina Ramadhan brothers

  • @gxygxy9143
    @gxygxy9143 Před rokem +15

    Dogo anaweza kwenda kwenye michezo ya Olympics au Commonwealth na akafanya vizuri, kwa uzito wake wa 62kg nguvu zake ni extraordinary.

  • @awadhisarai4331
    @awadhisarai4331 Před rokem +8

    Huyo jamaa mpelekeni America got talent

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 Před rokem +7

    Watanzania nawaombeni mshare hii video sana tu! Huyu ataitwa America trust me guys

  • @mainaimma1114
    @mainaimma1114 Před rokem +1

    Kunyanyua vitu vizitu ambavyo having umbo la pembe unatumia miguu mikono na kifua hii ndio formular

  • @germanomuanga3153
    @germanomuanga3153 Před rokem +6

    Asante sana Babu Zembwela kwa kutuletea vipaji vilivyo jificha one love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🧢

  • @is-hakabinruweikh3833
    @is-hakabinruweikh3833 Před rokem +2

    Dah kaka noma sana wanasema n uchaw waite uwafundishe mazoez na namna na teknik inayotumika wap mguu mguu ukae wap na mkono up ushikilie kutumia nguv xako na z ziada!!

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Před rokem +3

    😄😄😄😄Wanawaza biya 2 ngavu hawana🔥🔥🔥🔥🔥💥💪💪💪💪Masha allah congratulations bro

  • @alexmavindi2104
    @alexmavindi2104 Před rokem +6

    Hongera sana babu zembwela mkongwe na fundi wa hizi kazi, ila ma Camera man wako wamekuangusha Kwenye shoots za Camera huenda wewe ukawa huzijui coz hauna huo utalaam ila wao wanajua walicho KIFANYA lakini pia niwapongeze kiasi chao wamejitahidi japo inabidi waongeze juhudi coz Camera haishutiwi kwa Mazoea ila kwa Skills. Asante naitwa Director Mavindi

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 Před rokem +2

    Jamaa anapolinyanyua anatumia mikono na kifua kulipush .....
    Hao wengne wanatumia mikono pekee bila kupush kwa kifua .....

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 Před rokem +10

    I wish you all the best my brother ☺️ much love from Mombasa Kenya 🇰🇪❤️

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 Před rokem +4

    Asee sio vizur kuchokoza mtu usiyemjua,huyo jamaa aliyenyanyua hilo tair ana mwili wa kawaida sana unaweza ukamchukulia poa kwenye daladala ila madhara yatakayokupata yatakuwa sio poa

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Před rokem

    Daaah,noumaa thanaa,yaani muda si mrefu tutamsikia yupo majuu

  • @muhitiraamissy7198
    @muhitiraamissy7198 Před rokem +2

    Uyoo jamaa salut sana amos kutoka burundii

  • @alexmavindi2104
    @alexmavindi2104 Před rokem +1

    Ila WASAFI bwana kwahiyo nyie bado mko 2022, kabisa Haki zote zime hifadhiwa (All rights Reserved 2022 ) wakati tuko 2023

  • @RobertGwelela
    @RobertGwelela Před měsícem

    Saluti sana kijana.

  • @user-gu7kg3vt3w
    @user-gu7kg3vt3w Před 2 měsíci +1

    Nice

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda Před rokem +2

    Daah. Aisee . Ila nahisi watu wanakosea kuweka miguu. Mwenyewe huwa anarudisha miguu nyuma kidogo ya tairi.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Před rokem +2

    Kila kitu mazoea....ndio maana unakuta mtu mdogo tu' ana kilo 60 sokoni anapandisha GUNIA mbili za kilo mia begani.....wakati unaweza kulichukua BONGE la mtu lenye kilo 100 na kitu na linaenda gym, lkn asiweze kunyanyua GUNIA Moja la kilo mia..!
    Kiufupi ni MAZOEA tu' ..ndio maana huyu Jamaa mdogo lkn analinyanyua...KISHALIZOEA

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před rokem +3

    Huyu Jamaa aonane na Diamond

  • @gershomchallo
    @gershomchallo Před rokem +1

    Mi nikukucheki tuuu namkumbuka Max...tuambie kidogo habari zake halooo

  • @salummambo1336
    @salummambo1336 Před rokem +1

    Mie ningekuwepo hapo ningenyanyuwa Hilo tile

  • @malickbyanaku5828
    @malickbyanaku5828 Před rokem

    Kuinua hyo NGOMA ndio mtiti..Hyo kutembea juu ya TYRE wakishua ndo watashangaa. Ila michezo ya MA TYRE tumekua nayo, Kuna mchezo unaingia NDANI ya TYRE mwenzako analitembeza kwa mkono Umbali kabisa..

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Před rokem +1

    2023 tutaon viing

  • @user-yh7zk8kp8u
    @user-yh7zk8kp8u Před 8 měsíci

    Twende Tena AGT wasafi mpeni connection

  • @azimioalbertongellaalberto4404

    Nakubal hzo Mbegu za madog ukizitia kweny viaz na kwenye mboga za majan

  • @murshidarajabu3456
    @murshidarajabu3456 Před rokem +3

    Mimi naweza hilo

  • @byangamartin6998
    @byangamartin6998 Před rokem

    Dah umenitowa Akili mwanangu Yani nimekukubali atari

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 Před rokem +2

    Hongera yake brother ila iyo habar ya kubebana hapana Kwa kweli 🤣🤣🤣🤣

  • @salimallynassor4972
    @salimallynassor4972 Před rokem

    Mm apo naweza kuinua

  • @dariokisitu9134
    @dariokisitu9134 Před rokem +1

    Ananyanyua au analisimamishaa

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe Před rokem +1

    Mashaallah

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Před rokem +1

    Mmhh ana balaa uyo 🙌🏻🙌🏻

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Před rokem

    Safi sana ajira sio lazima uajiriwe tayar umejiajiri hapo

  • @juniorjackson5062
    @juniorjackson5062 Před rokem

    Wengi wamenyanyua,hukuu miguu ipoo sawiaa,huyoo jamaaa amewekaa mguu mmoja umetangulia na mwengine umetangulia koo n distance ya miguu tu

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 Před rokem +1

    Iringa ndio kwetu

  • @freyzoo124
    @freyzoo124 Před rokem +2

    Hatare sana

  • @alhajjngoliomahmud6657

    Mashaallah tabaraka rahman

  • @adamyusuph1998
    @adamyusuph1998 Před rokem

    Noma sana 💪💪

  • @7threst322
    @7threst322 Před rokem

    Anaitwa mtumishi. Jamaa Alafu haringi mwamba mmoja pisi sanaa. Siku aliniambia nilinyanyue nikafeli. Ila nikainuia nae. Siku nyingi akaniambia nilisukume Toka beach ni mzigo.

  • @sheagraphics269
    @sheagraphics269 Před rokem +2

    Ili uweze kuinua Hilo inabidi uwe na strength ya mikono na miguu
    Miguu ndio inakupa nguvu zaidi ya kuinua

  • @geradisilivest7744
    @geradisilivest7744 Před rokem

    Thanks

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 Před rokem

    Ujuzi tosha serekali imuzamini kijana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 Před rokem

    Dogo umeunza Asante mungu akusaindie

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 Před rokem +1

    Wacheza ngumi, nendeni mkatafute pumzi kwenye hilo tail

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 Před rokem

    wa kwanza hassan mwakinyo wa pili huyoo jamaa ✍️

  • @kateadam8204
    @kateadam8204 Před rokem +2

    dah kudadek mungu kambark nataman nimuone live huyo mwamba

  • @stevenhaule8875
    @stevenhaule8875 Před rokem

    Nipo ruvuma... Nina uwezo wa kuliinua pia ..labda kuruka kamba ndio nitashindwa💪

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 Před rokem +4

    Jamaa ametisha sana😂😂😂😄

  • @ismaelkazungu1917
    @ismaelkazungu1917 Před rokem

    aende American got talent

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před rokem +2

    Jamaa ana kitu cha ziada kwenye mwili wake

  • @shijakashita9915
    @shijakashita9915 Před rokem

    Mmmh mi mbn naona Ni kawaida2, kutembea2 Apo juu

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 Před rokem +2

    Jangwani Sea breeze

  • @fadhilmtewa2224
    @fadhilmtewa2224 Před rokem

    Apelekwe jeshini huyo

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 Před rokem

    Mambo madogo sana ayo mbona tunainua ayo matairi ya ma roller na wheelloader

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 Před rokem

    Mungelituita kajala analiweza walai

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 Před rokem

    Ilo laili linanyanyuliwa kwa taimingi sio unanyanyuwatu

  • @DenisPiter-pn2gj
    @DenisPiter-pn2gj Před měsícem

    Oya zembwela hakuna alie jamba hata kidogo br

  • @upendolema3323
    @upendolema3323 Před rokem

    Mungu akuongoze ktk safari yako ya mafanikio

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před rokem +2

    Wonders never end guys 😢🙄🙄

  • @dannyblossproduction52

    Mungu aku bariki bro, Una kipaji

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Před rokem

    ongera kwakipaji chako chakipekee,mahan japo nimeona lakin bado sierewi erewi🙄Natamani nikuone live 🤦

  • @Ibrahim-lc2jo
    @Ibrahim-lc2jo Před rokem

    Mandonga anaweza kweli?

  • @maubreezy9378
    @maubreezy9378 Před rokem

    Mfanyieni mpango aenge kwenye got talent yyte

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 Před rokem

    Nimemwona leo 17th Jan pale Mbuyuni karibu na njia panda ya salasala, kituoni akifanya hivyo.

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 Před rokem

    Bro sogea nisije nikakubadilisha jina🤣

  • @nikolauskabogo6104
    @nikolauskabogo6104 Před rokem

    Kabogo family kabogo

  • @rajabundauka
    @rajabundauka Před rokem

    Nitakachoshindwa kutembea juu ya Hilo taili sio kuliinua.

  • @jengenimsuva377
    @jengenimsuva377 Před 5 měsíci

    Ndauli kabogo

  • @diodaud9264
    @diodaud9264 Před rokem +1

    Badala yakunyanyu mmtu anatikisa tako tuh

  • @bishikhaji
    @bishikhaji Před rokem

    Hongera kaka

  • @kawambwagude8340
    @kawambwagude8340 Před rokem

    Jahrou umeniangusha bhana mbavu yote hiyo mzee wangu

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 Před rokem

    Alikula pufyaaa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Před rokem

    zembwela ule wimbo wa zamani.ulokua unapiga Kwenye hichi.kipindi Mbona umeutoa? ulikua unazidi kupendezesha kipindi unachangamsha

  • @mohammedabdala7526
    @mohammedabdala7526 Před rokem

    Nyie watu msije mkajamba tu

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 Před rokem +1

    czcams.com/video/trGROLrv6Qs/video.html
    DAWA ZA KUPANDISHA NYOTA YAKO
    czcams.com/video/trGROLrv6Qs/video.html

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Před rokem

    Muleteeni bedera jamn ipo Oman 🇴🇲🇴🇲

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 Před rokem

    Nenda kamuite yule jamaa wa tabata kisukulu anayenyanyua pikipiki na kuvuta gari,ananyanyua hilo

  • @ahmedyare5089
    @ahmedyare5089 Před rokem +1

    Kuna mambo ya kujarabu kama kula lkn sio iii🤣

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Před rokem

    Yani zembwela eti njoo huku

  • @lucaslaurent2920
    @lucaslaurent2920 Před rokem

    Mmmh! Huyo jamaa ni hatari.

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 Před rokem +2

    Chupi imechanika😀

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 Před rokem

    Hii sasa hua tunasema usishane n ndovuu kun.....🤣🤣🤣🤣utakuja raruka msamba bure,huyu ukijaribu upigane naye atakuinua ka karatasi Wala

  • @rashidami7933
    @rashidami7933 Před rokem

    Hata mm naweza
    💪💪💪

  • @erenwesmgeni4837
    @erenwesmgeni4837 Před rokem

    Hakuna chaajabu kwenye taili Hilo hao wanakula chipsi kila sku ndiomaana hawana nguvu wanashindwaje hao

  • @frankmchome8493
    @frankmchome8493 Před rokem

    Wazee wa sabuni hata tairi ya bajaji hatunyanyui🤣

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před rokem +3

    Yote yanawezekana mazoez tuu

  • @siliakirojasi399
    @siliakirojasi399 Před rokem

    Hajanyanyuwa Bali ameliinuwa2

  • @talkymohamed785
    @talkymohamed785 Před rokem +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @naslee1010
    @naslee1010 Před rokem

    Eti natamani sana kujaribu ila tatizo moyo 🤣🤣🤣🤣

  • @jacksonchristopher6310

    Mi nakuja kujaribu hapo jina kilo 62

  • @amirabdallah6984
    @amirabdallah6984 Před rokem

    Kipaji iko

  • @psttitonakazaelimjema.9562

    Serekali iangalie Vijana na vipaji kama hivi.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před rokem

    Mara paap umeingia mziki wa mwana utachakaa mpaka ujikatae

  • @bonabonaza8947
    @bonabonaza8947 Před rokem +1

    Babu mvaamodo Kama max au machenini

  • @manasa2449
    @manasa2449 Před rokem

    Zembwela jaribu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @michaelngige3182
    @michaelngige3182 Před rokem

    Kabogo ni mkikuyu

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 Před rokem +2

    Eti kilo 400

  • @josephmtuanga7815
    @josephmtuanga7815 Před rokem

    Huyu inaweza ikawa 👇
    HAWAFU wa leo
    DAUDI wa leo
    Na wengine wa enzi hizo kwa nguvu walizojaliwa kustaajbisha waliowazunguka au hata Ulimwenguni kote❗👏🙏

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 Před rokem

      😂😂😂😂😂😂nikiksa mb nais presha

  • @cosrevynewchord2022
    @cosrevynewchord2022 Před rokem

    Safi xana haise