Jomireso voices Tz - Sogea (Official Video) 4k

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 12. 2022
  • Artist: JOMIRESO VOICES TZ ( +255 765 766 438)
    Song : SOGEA
    COMPOSER: Majogoro
    Audio : Pro EPHRAIM (+255 745 772 120)
    Video : Dr. RJ (+255769 672 995)
    HILO TATIZO SIO KUBWA
    Usuluhishaji wa migogoro katika mwili wa Kristo ni muhimu kwa sababu kadhaa.
    ¶Kuepuka migogoro, bila jitihada za kutatua, kunaficha uhalisia na majibu sahihi na kueneza tatizo kulifanya kuwa kubwa zaidi.
    ¶Ikiwa Kuna makwazo yametokea Kati yetu tunapaswa kutoa nafasi kuzungumza mezani pamoja. Hii itatoa fursa ya kulimaliza tatizo*
    ¶Lengo la ufumbuzi wa migogoro ni *umoja*, na umoja katika kanisa huwa tishio kwa shetani.
    ¶Ukikaa na makwazo moyoni bila kukaribisha mazungumzo na ndugu yako, unaweza kudhani na kuliona tatizo hilo kuwa kubwa. Wakati kinyume chake tatizo hilo ni dogo sana likiwa mezani
    ¶Pia tunaambiwa tusiruhusu "mizizi ya uchungu" kuongezeka kati yetu, na kusababisha matatizo na uchafu (Waebrania 12:15).
    ¶ #SOGEA
    kaa na ndugu yako meza moja, imba, farijiana nae #tatizosiokubwa
    Zaburi 133:1-3
  • Hudba

Komentáře • 327