MFANYABIASHARA MKENYA AMLILIA RAIS SAMIA -AKWAMA ARUSHA ADAI KUPEWA KESI ya UHUJUMU UCHUMI KIMKAKATI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 05. 2024
  • MFANYABIASHARA MKENYA AMLILIA RAIS SAMIA -AKWAMA ARUSHA ADAI KUPEWA KESI ya UHUJUMU UCHUMI KIMKAKATI
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 170

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před měsícem +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @KISALIKAAYA
    @KISALIKAAYA Před měsícem +18

    Nenda kwa Rc Makonda atamaliza Holi swàla!Wala Holi halimwitaji Mh.Raisi!

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 Před měsícem +8

    Aisee pole sana kaka...Everything will be fine...Mwandishi msidie kwa kwenda kwa mkuu wa mkoa solution itapatikana chap...

    • @cleversalbaba-em4jf
      @cleversalbaba-em4jf Před měsícem +1

      Yeah Global mmefanya kaz nzuri sana kumsaidia ndg yetu huyu toka kenya 🇰🇪 ila mpelekeni kwa makonda atasaidiwa mara moja hakuna kitakachoharibika makonda ni mtu wa haki sana atamsaidia...

    • @MonaJuma-cp3jg
      @MonaJuma-cp3jg Před měsícem

      Mm ni mtz ilanimeumia sana nakupata huruma kwa kaka angu mkenya

  • @micahpaul5734
    @micahpaul5734 Před měsícem +7

    mwandishi msomi, that was a very good interview, keep it up

  • @bellaseverua609
    @bellaseverua609 Před měsícem +12

    Kwa nini msiende law RC?makoda yuko vizuri kwa mambo hayo

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Před měsícem +6

    Huyo business partners wake wa Arusha ndio mtihani

  • @viviankihiyo1076
    @viviankihiyo1076 Před měsícem +2

    Kolumba uko vizuri sana kwa habari ya ku 15:38 hoji. Big up sana!

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Před měsícem +1

    Pole sana mkenya yataisha tuu Mungu atakusimamia najua atakua amekuchoma kutaka kumsingizia uongo.

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi Před měsícem +1

    Jibu swali Koka.Rejea taarifa ya wakili, wewe kuwa na hofu ya Mungu wacha kumtendea binadamu mwenzio haya.

  • @justice607
    @justice607 Před měsícem +6

    Makonda kesho yuko kwa office

  • @user-jb7nh5pp2e
    @user-jb7nh5pp2e Před měsícem +1

    Pole sana brother...makonda atamaliza usikonde

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Před měsícem +1

    Mahakama si chini ya miaka kumi kesi ndiyo itaisha je ataweza kenya Tanzania kila mwezi uonevu mtupu muogopeni Mungu hamuendi na mali wala kampuni utaenda kama ulivyozaliwa hacheni ujambazi

  • @deogratiuskweka8488
    @deogratiuskweka8488 Před měsícem +6

    Wabongo wengi uaminifu shida…

  • @user-nr2xh4ui2f
    @user-nr2xh4ui2f Před měsícem +5

    Wachaga ukifanya nae biashara apo anataka kumzurum

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Před měsícem +1

    Kenyan is our neighbour and needs support from honest individuals or organisations.

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk Před měsícem +2

    Babu rama na yeye kesi yake ilianza kama mchicha mpaka akajiua .Mungu ampe haki huyu jamaa

  • @Jeneffershishi-ik4jo
    @Jeneffershishi-ik4jo Před měsícem +2

    Ongea ya mlalamikaji linadhihirisha kwamba huyo kaka sio utawezaji kukata simu wakati unaojiwa

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 Před měsícem +2

    Yaani uchunguzi wa kesi za hapa Tanzania zinachukua hata miaka 10

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Před měsícem +1

    Usifanye biashara na mchaga atakudhulumu kwa sababu krismas lazima akaonyeshe alichoiba kwa huo mwaka mzima

  • @adrianmnzava8165
    @adrianmnzava8165 Před měsícem

    pole sana ,itaisha na utaendelea na biashara yako

  • @Jeneffershishi-ik4jo
    @Jeneffershishi-ik4jo Před měsícem +1

    Makonda makonda Boss WA wote huu unyanyasaji utaisha maana umekuja,makonda makonda mtoto WA mungu uko wapi,unyanyasaji sio mnzuri kabisa Mimi nikitoka tz nikapumua hakufai kwa wakenya lakini Watz karibuni kwetu hatuna makumbwa

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Před měsícem +1

    Uzuri Kaka angu Makonda alishasema ikipita Mei mosi atazungumza na wafanyabiashara wa Namanga. Usijali jirani( Mkenya). Yupo mwamba hapo Makonda 🔥🔥. Watanyoka hao majizi!

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Před měsícem +1

    Hili suala linavuruga wawekezaji kuja kuwekeza nchini,hatimae atatakiwa amlipe fidia kubwa huyu mkenya😢

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 Před měsícem

    Wabongo tuache janjajanja, mwogopeni Mungu.

  • @ErasmiOllomi
    @ErasmiOllomi Před měsícem +2

    Makonda mpenda haki ajaona nn mkuu wetu wa mkoa arusha tunaomba umsaidie huyo ndugu yetu mkenya hapate haki yake mkuu

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li Před měsícem +10

    Mr koka nitapeli na hii itareta shida kwa watanzania wengine wasije wakenya wakalipiza kisasi kwa watanzania wengine huko Kenya wewe koka ni mtu hatari unatumia polisi kumzuru mfanyabiasha WA nchi jirani ni hatari sana na nyiye polisi hebu mumtende haki huyo mkenya huwo ni uhasama mujuwe

    • @cleversalbaba-em4jf
      @cleversalbaba-em4jf Před měsícem +1

      Unamfahamu Mr. Koka ndg fadhil?

    • @sisterlbloodofjesus4084
      @sisterlbloodofjesus4084 Před měsícem +1

      Fadhil una maana polisi wa Tanzania wanashirikiana na tapeli?

    • @ains1122
      @ains1122 Před měsícem

      Anamaanisha tapeli aweza kuwadanganya polisi au pia huwenda amewahonga​@@sisterlbloodofjesus4084

  • @philimonwelwel1960
    @philimonwelwel1960 Před měsícem +1

    Tatizo watanzania hawako straight kwenye Kila kitu ukiangalia maelezo ya Mr koka unaona yana ubabaishaji mwingi ambao mwishoni ili ashinde ataingia kwenye rushwa,,, daaaah pole kaka yetu kutoka Kenya bado tunakupenda hili lisikukatishe tamaa na kutuharibia taswira ya nchi yetu naamini haki itapatikana tuu✍️✍️🇹🇿🇹🇿

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 Před měsícem +1

    HAPO MOJA KWA MOJA HUYO UTAJIRI KOKA ANATENGENEZA MGOGORO WA RAIA KWA RAIA

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 Před měsícem

    Huyo Mtanzania anatengeneza mazingira ya kumzulumu mwenzake.

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 Před měsícem +2

    Jamani mfanyie haki jamani mkenya ni ndg yetu jamni.

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 Před měsícem +1

    Angekuwa tapeli asingeomba msaada kwa rais.

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 Před 28 dny

    Alete namba zake za simu tufanye biashara ya usafirishaji wa abiria

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 Před měsícem +1

    Uovu hauna nchi wala kabisa hata wakenya wapo madhalimu lkn kma dhuluma ni mbaya zaidi kumdhulum mgeni maana ni mnuko utakaonukia wenzenu ugenini

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Před měsícem +1

    Ni makosa ya polisi. Kumushikilia mtu bila sheria. Hapa pesa inatumika na sio kisheria.

  • @Jeneffershishi-ik4jo
    @Jeneffershishi-ik4jo Před měsícem +1

    Unyanyasaji utaisha lini tz kwa wakenya???????????????? Makonda uuuwiiiiiii uko wapi mdogo wake magufuli jamani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Před měsícem +2

    Haki itendeke tafadhali😮.Mako n da msaidie😮

  • @NataliaMayo-mw4ge
    @NataliaMayo-mw4ge Před měsícem +2

    Pigia wakenya wezio wazui shato zote mpaka muafaka upatikane

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Před měsícem +1

    Dhamana hata kama ni sikukuu dhamana inatolewa

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 Před měsícem

    Kwa mazingira hayo inaonyesha Polisi wamepewa rushwa!!

  • @annacyril5832
    @annacyril5832 Před měsícem +3

    Wabongo shida kufanyanao biashara Jamani.

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 Před měsícem

    Tunaijui hii

  • @gaspermuija1999
    @gaspermuija1999 Před měsícem +1

    Mbona kuna Ubarozi mdogo wa Kenya apo Arusha na Mkuu wa Mkoa ni rahisi kumaliza ilo swala

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e Před měsícem

    Sio vizuri kumuonea patna wako kwakua tu eti uko kwenu hata wewe unassfiri

  • @diuchilesaidi778
    @diuchilesaidi778 Před měsícem +5

    wabongo wengi hawana uaminifu

  • @paulinaobiria9649
    @paulinaobiria9649 Před měsícem

    Duh!

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 Před 28 dny

    Hawa watu jamani 😢

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Před měsícem +1

    Tanzania itakuwa kizingiti kikubwa kwa maingiliano ya Africa mashariki kuna dhuluma kubwa hasa polisi mahakama na CID. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pitisha ufagio wa chuma katika idara hizo zimejaa matapeli na watumishi wasio waaminifu pole sana kijana inasikitisha sana dhulma ya namna hiyo

  • @Shosemlaki-sh2ng
    @Shosemlaki-sh2ng Před měsícem +1

    Naenda kwa makonda chap Kama upepo hy inaisha mkuuu haki itendeke kwa kila binadam

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 Před měsícem

    Hii inazidi kutufundisha Business partner is not a good aider , maana hapo inaonekana wazi kabisa tamaa , ndo imechukua nafasi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Před měsícem +1

    Pole nenda kwa MAKONDA HAPO HAINA HAJA YA MAMA MAKONDA ANATOSHA

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Před měsícem +1

    Kamateni raia wote wa kigeni wasiibe chochote ndani ya Tanzania,sukuma wote gerezani walipe walichoiba

    • @shamzone388
      @shamzone388 Před měsícem +1

      Ukichimba kisima unaingia mwenyewe kwanza kaa vizuri

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před měsícem +1

    IMEPANGWA NA HUYO MWENZIYO.

  • @familytalks1
    @familytalks1 Před 29 dny

    Shareholder anatuletea aibu ndogondogo, sasa kama wewe ni shareholder na mwenzako iweke umpeleke polisi, finish your differences

  • @adrianmnzava8165
    @adrianmnzava8165 Před měsícem +1

    mr makonda RC YUPO

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j Před měsícem +2

    Wewe umemuita unajua kila kit u achen fitna mafanikio sio unafk

  • @NataliaMayo-mw4ge
    @NataliaMayo-mw4ge Před měsícem +1

    Naomba serekeli iingilie kati kwani sisi tukiwa kenya tuna sikilizwa sana

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 Před měsícem +1

    Mtafuteni mkuu wa Mkoa Makonda

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 Před měsícem

    Nenda kwa RC Makonda atamsaidia maana tayari police wamehongwa na huyo Mtz kwahiyo mkenya hatotendewa HAKI yake, cha msingi serikali yetu imsaidie ndugu njeri apate HAKI zake zote ikiwemo simu na laptop na nguo na apewe stahiki zake anazostahili katika kampuni tusingependa kabisa kuona mtu akionewa na ni jirani yetu mwema.

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t Před měsícem

    Chunguza hapa Tanzania ni kampuni zipi za share holders zimesonga mbele kimaslahi? Kampuni nyingi za share holder huanza vizuri lakini pesa zikianza kuwa nyingi tamaa huanza kati yao na hapo kampuni huanza kuyumba!! Kibiashara wakenya wako active sana kuliko watanzania. Ndio maana kuna wakenya watatu wanafanya biashara pamoja huko marekani wanamiliki zaidi ya malori 300!!

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm Před měsícem +1

    Makonda ingilia kati hii issue isije haribia mkoa wako ambao umeunadi unataka uwe wa kitalii

    • @sisterlbloodofjesus4084
      @sisterlbloodofjesus4084 Před měsícem

      Hata mkoa wa kitalii sheria lazima ifuatwe Mkenya akifanya utapeli sheria itamshughulikia

  • @fatemafatemamubarak3965
    @fatemafatemamubarak3965 Před měsícem

    Ukichomoka Arusha usirudi kuna kila aina ya matokeo

  • @jedidahbintidaudi8241

    hii italeta shida kati ya nchi hizi mbili. viongozi wachangamke kumsaidia huyu jirani yetu. Jamni mkenya wa watu hebu hangaikeni kumsaidia kwa kweli

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 Před měsícem +1

    Wahini kwa makonda fasta

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před měsícem +1

    Jeshi la Polisi lina tumika kufanya dhuluma

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j Před měsícem +2

    Wabongo ao akili nyingi

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 Před měsícem +1

    Huyo Koka nae aeleza ukweli

  • @jesseinduswe4703
    @jesseinduswe4703 Před měsícem

    Wakenya tunapata shida sana when in business with Tanzanians

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Před měsícem

    KWANZA HAKI YA BINADAMU IKO WAPIIII ALE WAPI ALALE WAPI??

  • @Jeneffershishi-ik4jo
    @Jeneffershishi-ik4jo Před měsícem

    Jamani jamani watz kwa kutuonea wakenya tumezoea lakini mkumbuke mungu alali, kingine watz wameishi Kenya wengi tu na sisi hatuna maneno,wachaga wamejaa hapo kikomba lakini hamna mtu anaweza kuwaonea, hapo nmg watz wamefungia hoteli nyingi upande WA Kenya lakini upande WA tz uwezi dhubutu mara kibali Cha kuishi, mara dependant pass mara hiki, yaani tuvitu tudogo yaani unashagaa kwa Nini hayo, muheshimiwa makonda uko wapi mtenda ukweli, mama Samia uko wapi mama yetu

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Před měsícem

      Mini mchagaAisee kwenye village yetu pekee nafahamu zaidi ya 100 wako nairobi wanauza nguo gicomba, kijiji chetu kina watu zaidi ya elfu 60 wapo kikomba.. kuna gar zinaitwa naekana sacco.zinakuja ad hapa mpaka wa Tanzania hata 30 kwa sku to Nairobi ,kaka Yangu wa kwanza anauza viatu Nairobi..tangu nkiwa mdogo the place of hope and hustle ni nairobi, nkiwa la 7 shule ya msingi watu walikua wanajifelisha mtihani waende Kenya kutafta good life,...
      So sjui why kenyans are welcoming yetu we cant reciprocate that

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před měsícem

    Inasikitisha. Ila kwa ushauri unapotaka kuingia ubia na mtu fanya upekuzi (due diligence) ya kina. Huyo mzee kuna kitu anakificha. Kama kampuni inashukiwa basi wabia lazima washukiwe wote.

  • @ElizabethShao-gr2cg
    @ElizabethShao-gr2cg Před měsícem

    Huyo koka anaonekana si mtu mzuri. Ila askari wetu wanapaswa waangalie pande zote mbili Kwa sababu ni watu walikuwa partner katika biashara yao

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 Před měsícem

    Arusha please taratibu msiaribu cv ya mtu kumbuka Kenya ni jiran ytu mpeni haki yake

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 Před měsícem

    Hili Jambo litaleta shida kubwa lisiposhughulikiwa kwa busara na haki,shuttle za Tz itakuwa ngumu kuingia Kenya.

  • @user-nr2xh4ui2f
    @user-nr2xh4ui2f Před měsícem +1

    Mchaga kwenye hera anaweza kuku

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Před měsícem

    Yaani akili ya mkenya bado anaitaka wakati anamfanyia fujo .aaaaaaaa ye mtz mwenzetu aliye amekwama fyuuuu

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy Před měsícem

    Yani mambo mnayoyafanya kwamasrah yenu yatatuhalibia taifa zima tutaonekana watanzania ote niwashenzi hayo co maisha

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu Před měsícem

    mama Samia hamsadii MTU na kamwe hawezi kukusaidia

  • @sylvestermitanda3502
    @sylvestermitanda3502 Před měsícem

    Mkuu Makonda lichungulie hilo lalamiko la huyo Mkenya,Kuna baadhi ya watumishi wa Uma (askari)hapo Arusha huenda wanatumika kinyume na maadili na hiyo inachafua jeshi letu la Polisi.

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Před měsícem

    Mmh

  • @sylvestermitanda3502
    @sylvestermitanda3502 Před měsícem

    Na huyo Mtanzania anayemzunguka kunyakua haki ya business partner wake toka Kenya.hiyo sio sawa dhuruma haina tija.

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Před měsícem

    Pesa tu kweli?

  • @user-ef6tl6fy1g
    @user-ef6tl6fy1g Před měsícem

    Ss watanzania wengine tunarohombaya huyo mwenziwe anachoyo

  • @hbdina
    @hbdina Před měsícem

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Sisi watu wengi weusi tuna kasumba gani ya kutotendeana haki?

  • @IsugiloGwanda
    @IsugiloGwanda Před měsícem

    Watanzania tuweni na huruma

  • @rashiduchongole1333
    @rashiduchongole1333 Před měsícem

    Police hana ruhusa yakumziwa mtu masaa 24

  • @saidimwishehekienda933
    @saidimwishehekienda933 Před měsícem

    Ivi hawa polisi wa Tanzania mnawaonaje jamani??

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le Před měsícem

    Mbona pamoja na dc kutoa hoja ya kuzuiliwa lkn naye simuelewi iweje awe na maisha magumu hapo mjini kma ni bosi wa madereva hao? Lkn pia kma ni tapeli wa mtandaoni ni ushahidi umeonekana iweje achiwe uraiani akiteseka mtaani kwa nini asiwe kizuizini?lkn pia huyu anayetuhumiwa asingeweza kuendelea kukaa hapo a geisha zake kma simu zake na laptop hakuna ushaidi ni uonevu mtupu

  • @magrethyoseph3034
    @magrethyoseph3034 Před měsícem

    Achakuibia mwenzenu mutakufa

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Před měsícem

    Pamoja na hayo ni vema kesho ukaenda kwa RC

  • @stephenmuthama-bl3eq
    @stephenmuthama-bl3eq Před měsícem +4

    Shuttle zote za Arusha zifungiwe kenya , huu ni ushenzi

    • @ains1122
      @ains1122 Před měsícem

      Kweli kabisa wafungiwe wala wasifanye biashara kenya

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd Před měsícem

      uende kwa raila odinga muingie kwa bara bara haraka

  • @abdullahabdul9246
    @abdullahabdul9246 Před 29 dny

    Nenda Kwa makonda tu

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Před měsícem

    Uchunguzi gani wakati kila kitu kipo wazi wewe koka acha ujanjaujanja unatumia pesa kumkandamiza mwenzio acha ujinga .

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Před měsícem

    Kama halali hajatosha hata halamu haitofaaa

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Před měsícem

    Biashara as watzd bomu dhulumati kibao😅

  • @ains1122
    @ains1122 Před měsícem

    Acheni dhulma WA Tanzania, mutaharibu mahusiano na wakenya, mutatuma watanzania walioko kenya kenya nao tuwadhalilishe

    • @Soon815
      @Soon815 Před měsícem

      Fanyen kama mnaweza! Unataka kenya iwr sehem ya Tz

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Před měsícem

    Katika maisha tusiwe wepesi wa kuaminiana kwenye kipato haswa pesa hata awe ndugu, huyu kafanyiwa ivi kijua huyu mkenya kwaiyo anafanyiwe usumbufu tu,dhuluma watu hawana hofu ya mungu unafanya ivi hujuwi kesho yako ukifa utazikwanazo mali jamani daa.

  • @LucasMponda-cm6gf
    @LucasMponda-cm6gf Před měsícem

    Mzee koka huyu achunguzwe pia

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před měsícem

    POLE SANA.

  • @isackpallanjo2562
    @isackpallanjo2562 Před měsícem

    Koka utaishia kwenye jeneza unawajua wakenya au unawasikia?unajichimbia kaburi mchanakweupe acha utapeli hizopesa hutazitumia hatashilingi kwao miundombinu inauzwa sokoni kamanyanya ukifika kuzimu utanikumbuka kwaheri

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi Před měsícem

    Mh.Wakili mshauri huyu mteja wako amwone mh.RC Makonda, yeye ni muwakilishi wa Rais.
    Tunaheshimu utendaji wake.Hakuna uzembe kwake wala ubabaishaji.