TAARIFA MPYA KUTOKA HANANG' ,WATU 23 WAFARIKI "UOKOZI UNAENDELEA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 12. 2023

Komentáře • 69

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 Před 6 měsíci +4

    Poleni sana ndugu zetu, Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu,Wapumzike kwa Amani wapendwa wetu wote waliopoteza maisha. Na wapokee uponyaji wote waliopata majeraha.Mungu baba wa Mbinguni tushindie na kutulinda kwenye kipindi mabadiliko ya tabia nchi.

  • @yasentamaffa7873
    @yasentamaffa7873 Před 6 měsíci +3

    Wa nyumban poleni sana mwenyenz Mungu aisaidie hasa maeneo yaliyo athirika poleni sana wa gendabi mwambao wa mlima hanang mwenyenz Mungu awatie nguvu

  • @user-gq5ht8kw1z
    @user-gq5ht8kw1z Před 6 měsíci

    Poleni sana ndugu zangu mungu awafanyie wepesi

  • @yohanamaiga3031
    @yohanamaiga3031 Před 6 měsíci +1

    Poleni sana Ndugu zetu. Mwenyezi Mungu awaepushe na hili.

  • @user-mv2hk4yr7d
    @user-mv2hk4yr7d Před 6 měsíci

    Mungu azilaze roho za marehmu wote mahal pema peponi
    AMiana

  • @BatuliHashimu
    @BatuliHashimu Před 6 měsíci

    Daah inauma Sanaa poleni ndugu zetu tupo pamoja

  • @user-kh8tj1dd8m
    @user-kh8tj1dd8m Před 6 měsíci

    Pole sana ndugu zetu mungu awake nguvu ameen😢

  • @user-gz8bb3hz5y
    @user-gz8bb3hz5y Před 6 měsíci

    Poleni sana ndugu zetu wa katesh Mungu afanyike faraja kwa kipindi hiki Cha majonzi mazito ya kuwapoteza ndugu zetu kwa mafuriko

  • @pastorysylvester4480
    @pastorysylvester4480 Před 6 měsíci

    Polen sn ndg zetu ktk kipind hiki kigumu Mwenyez Mungu azd kuwatia nguv na faraja zake ktk kipind hik kigumu

  • @HussenAhmed-ql9xw
    @HussenAhmed-ql9xw Před 6 měsíci

    .poleni Sana Wana kateshi MUNGU awape subra katika kipindi hi kigumu Cha maafa

  • @jacolaztv4108
    @jacolaztv4108 Před 6 měsíci +2

    Mungu iokoe Tanzania

  • @faudhiasaid6902
    @faudhiasaid6902 Před 6 měsíci +3

    Polen sana watu wa manyara

  • @andrewkalinga5409
    @andrewkalinga5409 Před 6 měsíci +1

    Poleni Sana Ndugu zetu

  • @user-eg2wk4xx3h
    @user-eg2wk4xx3h Před 6 měsíci

    Poleni ndugu zetu tupo pamoja kwa ibada

  • @user-te2tb1rl3c
    @user-te2tb1rl3c Před 6 měsíci

    Polen sana jaman

  • @NeemaSulle
    @NeemaSulle Před 6 měsíci +1

    Poleni sana

  • @user-xh7jm9vb1g
    @user-xh7jm9vb1g Před 6 měsíci

    Poleni Wakazi wa manyala

  • @user-tc2ul3uk5o
    @user-tc2ul3uk5o Před 6 měsíci

    Poleni Sana Ndugu zetu!

  • @user-co6ku1sn8f
    @user-co6ku1sn8f Před 6 měsíci

    Poleni sana Wana Hanangw mungu awasaidie katika maafa hayo.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Před 6 měsíci +2

    Eeee Mungu wa Mbingunii tuepushe mafuriko yasiwe ni sehem yetu

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Před 6 měsíci +2

    Poleni sana ndugu zangu wa Hanang mungu yupo na nye inshaallah tunawaombea

  • @YesayaDambwi-ne1gg
    @YesayaDambwi-ne1gg Před 6 měsíci

    Poleni sana ndg zangu

  • @teddyelias533
    @teddyelias533 Před 6 měsíci

    Daaah poleni jamn

  • @mathajulias5750
    @mathajulias5750 Před 6 měsíci

    Jaman poleni sana

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Před 6 měsíci +1

    Mwenyezi Mungu AWAFANYIE WEPESI

  • @idrisalikembe1831
    @idrisalikembe1831 Před 6 měsíci

    duuu!! polen sana

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 Před 6 měsíci

    Mungu awake uvumilivu na polen sanaa

  • @user-gu9pq2dw2f
    @user-gu9pq2dw2f Před 6 měsíci

    Asante sana 3:44 Millard

  • @user-me1gb7rm9g
    @user-me1gb7rm9g Před 6 měsíci

    😭😭😭😭Allah atunusur jaman na awapumzishe mahal pema wapendwa wetu

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Před 6 měsíci +1

    Daah mtihani huu 😢😢😢😢

  • @FadhilafadhilaAlly
    @FadhilafadhilaAlly Před 6 měsíci

    Pole I jamani

  • @catherinefrance3642
    @catherinefrance3642 Před 6 měsíci

    Pole sote kwetu ni huzun sana

  • @BaselinoElimwasi-hh6px
    @BaselinoElimwasi-hh6px Před 6 měsíci

    Wa nyumbani poleni sana sana

  • @wsws998
    @wsws998 Před 6 měsíci

    Poleni tanzania

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 Před 6 měsíci

    Mungu simamaaa

  • @PhilmonPaul
    @PhilmonPaul Před 6 měsíci

    Mungu aturehemu jamani

  • @andreapaul3379
    @andreapaul3379 Před 6 měsíci

    Jamani katesh sio kijiji imeripotiwa kimakosa,,anyway Pole kwa wote waliodhurika kila kitu kitakua sawa

  • @user-hy7lx8ki7i
    @user-hy7lx8ki7i Před 6 měsíci

    Polenisana nduguzangu kwamjangahayo

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 Před 6 měsíci +3

    ***Duh huyu mkuu wa mkoa anajua kujieleza sana tangia Akiwa Iringa nampenda sana***

    • @eldabwaga4170
      @eldabwaga4170 Před 6 měsíci

      Polen Sana ndugu zetu m/ mungu awatie nguv

  • @PeterKivuyo-yi7yf
    @PeterKivuyo-yi7yf Před 6 měsíci

    Poleni sana ila barabara azina mitaro nikubwa ya kupitisha maji

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 Před 6 měsíci

    Polen san

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Před 6 měsíci +1

    Na hii ni sababu ya miundo mbinu mibovu. Watu wa mipango miji hapo sasa wamepanga nini kwa siku zijaxo?.

    • @hassansaid7311
      @hassansaid7311 Před 6 měsíci +1

      Ndugu yangu mafuriko ni Mafuriko hakuna nchi unayoijua duniani ambayo haijawahi kupata athari ya mafuriko including marekani ambayo wako mbele kwa maendeleo ya miondombinu, pia watu wanafariki kwa mafuriko.
      Yes tupange miji yetu vzr, ila si kweli hiyo ni sababu pekee ya kuyazuiaa mafuriko, tuombe Mungu tu.

  • @starsdady917
    @starsdady917 Před 6 měsíci

    Inna lillahi wainna ilaihi raajiuni😢😢😢

  • @RoseDanielson-yd4lq
    @RoseDanielson-yd4lq Před 6 měsíci

    Enyi ndugu wa katesh poleni kwa mafuriko

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 Před 6 měsíci

    Subhana Allah mawe pia yemesukumwa na maji subhana Allah ghariba

  • @mosesmnyantope9534
    @mosesmnyantope9534 Před 6 měsíci

    😅

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Před 6 měsíci +1

    Poleni sana wahanga na Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu marehemu.
    Namuona Mungu katika tukio hili, turudi tutubu na tumuombee Sana huruma yake.
    Hii Dunia na haya maisha ni hamna kitu bila Mungu. Anaweza kumaliza ulimwengu maramoja kama alivyoimaliza enzi za Nuhu. Ee Mungu utuhurumie sisi na Dunia nzima. 😭

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Před 6 měsíci

    Hiyo kazi ya usafi ni kazi ya watu wa zimamoto wakisimamiwa na jeshi. Waje hapo zimamoto wafanye kazi.

    • @ElimuBure1-Sanga
      @ElimuBure1-Sanga Před 6 měsíci

      Jitahidi kuandika jambo jema Kwa ajili ya taifa letu.
      USAFI ni jukumu la Kila raia Kwa kushirikiana na vyombo husika vya serikali.

  • @daxiringa8108
    @daxiringa8108 Před 6 měsíci

    picha yenu mbovu

  • @swafiya254
    @swafiya254 Před 6 měsíci +1

    Mrudie Mungu wenu 😢😢

    • @godsondeo7539
      @godsondeo7539 Před 6 měsíci

      Wewe umemrudia mungu kwa kasi gani?

    • @swafiya254
      @swafiya254 Před 6 měsíci

      @@godsondeo7539 uliza mamako mxiuuu

    • @CHIIZATV-hl4zu
      @CHIIZATV-hl4zu Před 6 měsíci

      Hujielewi wewe😢

    • @swafiya254
      @swafiya254 Před 6 měsíci

      @@CHIIZATV-hl4zu ww kama wajielewa ungejiita kutombana, uchafu umezidi ombeni maghfira kila siku mikasa

  • @user-ql9xx8ly2l
    @user-ql9xx8ly2l Před 6 měsíci

    Daa poleni Dana mkoa wa manyala😂😂😂😂😂

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 Před 6 měsíci

    Poleni sana ndugu zetu.

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 Před 6 měsíci

    Poleni sana

  • @julianadaudi8541
    @julianadaudi8541 Před 6 měsíci

    Poleni sana

  • @user-et8dp7kw4l
    @user-et8dp7kw4l Před 6 měsíci

    Poleni sana