Kilimo Tanzania
Kilimo Tanzania
  • 9
  • 10 972
ZIJUE AINA MBALIMBALI ZA MICHE|MATUNDA|UTUNZAJI|KILIMO
Je unazifahamu aina za miche mbalimbali ya matunda kama vile Maembe,Machungwa,Parachichi nk.Katika episode huu utajifunza aina tofauti za miche ya matunda na namna bora ya utunzaji na uandaaji wa miche hiyo.
Usiasahau kulike video hii,kutuandikia maoni na kisha KUSUBSCRIBE ili uwe mmoja wa wanafamilia ya kilimo Tanzania.
Karibu
zhlédnutí: 261

Video

NJIA RAHISI YA UZALISHAJI MIGOMBA|KILIMO|MBEGU BORA
zhlédnutí 2,3KPřed rokem
Je unajua njia rahisi za uzalishaji miche ya migomba kwa kutumia shina la mgomba?Zijue faida zake hapa na namna rahisi ya kuzalisha miche na mambo muhimu ya kuzingatia.
MASHINE ZA KUCHAKATA MAZAO|KILIMO|MAZAO|THAMANI@Kilimotanzania1
zhlédnutí 256Před rokem
Uzalishaji wa mazao unaenda sambamba na uchakataji ,utunzaji na usindikaji ili kuongeza thamani.Tazama Video hii ili uweze kujifunza zaidi kuhusu mashine mbalimbali zinazoweza kupatikana hapa hapa Tanzania.
AFYA YA MIMEA|MBEGU BORA|KILIMO|SOKOINE
zhlédnutí 191Před rokem
Je unafahamu kuhusu kliniki ya mimea??Unajua umuhimu wa kupima ubora wa mbegu zako kabla ya kuzitumia?Unaweza kuitambua mbegu bora kwa macho??Karibu ujifunze
TAZAMA SAHANI YAKO...CHAKULA SALAMA/SUMU KATIKA VYAKULA NA MAZAO
zhlédnutí 280Před rokem
Je umewahi kusikia kuhusu sumu kwenye chakula??Je unajua njia za kupunguza sumu katika vyakula?Unaamini kuna mchanganyiko wa viambata sumu katika chakula?Majibu ya maswali yako yanapatikana katika video hii. Karibu kutazama na kisha tuandikie maoni ,maswali na mchango wako katika sehemu ya maoni.
KILIMO CHA UMWAGILIAJI|MAMBO YA KUZINGATIA|UMUHIMU NA FAIDA ZAKE|KILIMO TANZANIA
zhlédnutí 5KPřed rokem
Je unafahamu kuhusu kilimo cha umwagiliaji?asili yake?mambo ya kuzingatia,faida na hasara zake.Jifunze kwa Mhandisi Festo Silungwe kwa kina zaidi.
MAZAO YA JAMII YA MIKUNDE|UMUHIMU LISHE NA AFYA
zhlédnutí 413Před rokem
Je unayafahamu mazao ya jamii ya mikunde??unajua faida zaks katika lishe na afya ya mwili wa mwanadamu.Karibu ujifunze kupitia video hii na mtaalamu wa Lishe na Chakula
FAHAMU KUHUSU KILIMO TANZANIA|KILIMO TANZANIA
zhlédnutí 1,7KPřed rokem
Karibu kusikiliza utangulizi wa chaneli yetu ya Kilimo Tanzania hapa utajifunza,utaelimika na kubudurika.

Komentáře

  • @sissysiffa7046
    @sissysiffa7046 Před 2 měsíci

    Well done sir .👏🏾👏🏾

  • @SaidiOmary-qq4ni
    @SaidiOmary-qq4ni Před 4 měsíci

    Naomba namba mhandisi nimependa somo len

  • @albertmwakisambwe463
    @albertmwakisambwe463 Před 4 měsíci

    Ili kujua ubora wa maji ya kisima cha kuchimba gharama bei gani?

  • @daudimangire4976
    @daudimangire4976 Před 9 měsíci

    Tunaomba wapimaji wakupata maji sahihi watoe huduma hizo bure kwani kufanikiwa kwangu ndo kutoa ajira kwa wengine

  • @user-kg1se2hp2h
    @user-kg1se2hp2h Před 9 měsíci

    Napenda kilimo chaumwagiliaji

  • @ematenbusinesssolution9949
    @ematenbusinesssolution9949 Před 9 měsíci

    Naomba namba yako mtaalam

  • @filbertsulusi8963
    @filbertsulusi8963 Před 10 měsíci

    Nimependa Sana kipindi chenu cha kilimo cha umwagiliaji,mm napenda nipate mawasiliano yenu,mm najiusisha na kilimo cha umwagiliaji

  • @SixtusMuhagama-fo5sk
    @SixtusMuhagama-fo5sk Před 11 měsíci

    Nahitaji kupanda maparachici

  • @kedmonlameck8401
    @kedmonlameck8401 Před rokem

    Naomba kuunganishwa kwenye grump yakilimo cha umwagiliaji .ninachangamoto nyingi shambani niko kwenye kilimo cha mpunga mtomaragarasi .nambegu Nathan hapo sua morogoro. Tunahitaji sana semina ili tuone tija yamafanikio

  • @daudmasawe4459
    @daudmasawe4459 Před rokem

    Mm nashid na wot pampu nch 8 naipat wapi sory

  • @user-yd3zd3jf4n
    @user-yd3zd3jf4n Před rokem

    Nimesikia umwagiliaji wa matone. Nimevutiwa nao. Naendelea jifunza, kabla sijaamua weka shambani kwangu. Asante kwa elimu hii mnayotoa

  • @paulinajemson2719
    @paulinajemson2719 Před rokem

    Somo zuri sana ,asante sana muwezeshaji

  • @rehemaerastomwaipopo8761

    Waooh. Kwa platform hii, tushindwe Sisi tu Kwa kutothubutu kwetu. Kwa kifupi, imesheheni madini mengi ambayo ni mtaji mkubwa sana wa kufanikisha kile kinatakiwa. Msiache kutupa vitu hivi🙏🙏🙏

  • @getridermwasile2849

    Sante kwa kutupatia elimu Mai WANGU, nakupenda bure tu kichwan umejaa AKILI tupu

  • @jacobndalahwa2992
    @jacobndalahwa2992 Před rokem

    Nafanya kilimo lakini tatizo maji pia nambegu nipo kahama shy

  • @WitsporaSwai-dz2fu
    @WitsporaSwai-dz2fu Před rokem

    Nice content , najifunza

  • @devoutermwalupanga63

    🔥

  • @stelachalo4619
    @stelachalo4619 Před rokem

    Go goo my girl ❤️❤️

  • @mariethakipeta-sx3ex

    Asante kwa elimu nzuri miss hekima

  • @RebecaNyamhanga-jl7jx

    Hongereni KILIMO TANZANIA 💚🇹🇿🔥

  • @janethsenyagwa1339
    @janethsenyagwa1339 Před rokem

    Congratulations a lot napenda kulima ila mvivu hope utaniispire kuchukua hatua

  • @mariethakipeta-sx3ex

    Asante kwa elimu nzuri miss hekima

  • @stephanokihaga6891
    @stephanokihaga6891 Před rokem

    Congrats dear Mungu akutunzee

  • @abdulshango2123
    @abdulshango2123 Před rokem

    Mada sahihi kwa wakati sahihi hususani katika wakati huu wa mabadiliko ya tabia ya nchi na hali ya hewa.

  • @abdulshango2123
    @abdulshango2123 Před rokem

    Somo mujarabu kabisa kwa lishe.

  • @gloriajulius9233
    @gloriajulius9233 Před rokem

    Asanteh kwa elimu nzuri

  • @topbdesigners5650
    @topbdesigners5650 Před rokem

    Good 👍

  • @noeroby233
    @noeroby233 Před rokem

    Elimu Bora na inayoeleweka Kwa urahisi sana

  • @noeroby233
    @noeroby233 Před rokem

    Elimu Bora na inayoeleweka Kwa urahisi sana

    • @agnethamsuha-yr9cq
      @agnethamsuha-yr9cq Před rokem

      Hongeraaa Sana Dr silungwe kwa elimu nzuriiii keep up the good work.

    • @jacobndalahwa2992
      @jacobndalahwa2992 Před rokem

      Nifanyeje Mimi napenda kilimo lakini Sina maji lakini kionzio Cha shamba kipo shamba heka moja narobo

    • @jacobndalahwa2992
      @jacobndalahwa2992 Před rokem

      Pia kiujumla shida maji tu

  • @hekimamliga2139
    @hekimamliga2139 Před rokem

    Ahsante kwa kuendelea kufuatilia vipindi vyetu. Tunakukaribisha uendelee kulike ,comment,uliza maswali na pia usisahau kusubscribe katika chaneli yetu.

  • @saidMnyanga-yk3rf
    @saidMnyanga-yk3rf Před rokem

    Vizuri

  • @bensonmwambwelwa-zi8de

    Asante Dr.festo for good explanation

  • @williammubanga2271
    @williammubanga2271 Před rokem

    Madini ya kutosha kutoka Eng.Festo

  • @marykinyaiya8773
    @marykinyaiya8773 Před rokem

    Very well spoken and easy to understand.

  • @leonardlema1915
    @leonardlema1915 Před rokem

    Asante Dr.Silungwe, very informative, very composed! Endelea kutoa elimu hii kwa kufanya topics mbalimbali ambazo ni changamoto hapa nchini.

  • @yohanamsanga9411
    @yohanamsanga9411 Před rokem

    Good thing 💥

  • @AkwilinTarimo-hw9tk

    Very clear and informative. Keep it up.

  • @janetmollel1309
    @janetmollel1309 Před rokem

    👍

  • @maulidkabalika-go9qf

    Hongera Ma mkubwa😘😘👊👊👌👌👌

  • @devoutermwalupanga63

    🎉maharage,soya,choroko,njegere nakuendeleaa

  • @NeemaChacha
    @NeemaChacha Před rokem

    Wow..❤️ najifunza vingi

  • @hekimamliga2139
    @hekimamliga2139 Před rokem

    Ahsante kwa kutazama video yetu na kutupa maoni.....Usisahau kusubscribe,kucomment,kulike,kushare na rafiki zako na utakua umesogeza elimu hii kwa watu wengi zaidi.

  • @kanjeharmonize7405
    @kanjeharmonize7405 Před rokem

    Naitwa Nelson na muliza mtaalamu beatha alishawai kulima.swali lapili marage mekundu yana virutubisho gan neto

    • @Kilimotanzania1
      @Kilimotanzania1 Před rokem

      Ahsante kwa swali zuri Nelson na karibu sana.Nitajibu swali la pili maharage yana virutubisho vingi sana Yana aina zaidi ya sita za Vitamini,Madini ya chuma,manganese,zinc,potashiamu,calcium,protein,nyuzinyuzi,na lipids

    • @beathathomasmkojera5711
      @beathathomasmkojera5711 Před rokem

      Ndio Nelson Nimeshawahi kulima maharage. Na nimelima maharage ya soya ambayo yana rangi ya kijivu na pia maharage ya njano.

  • @elizaberthbaynit2845

    ❤❤

  • @deborasanga8167
    @deborasanga8167 Před rokem

    Asante Sana kwa somo. Naomba kuuliza, je kuna tofauti kati ya maharage ya njano na Aina nyingine ya maharage? Na utofauti ukoje? Na je ni kweli ya njano yanafaa zaidi kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    • @Kilimotanzania1
      @Kilimotanzania1 Před rokem

      Ahsante kwa swali lako zuri .Ni kweli kuna aina nyingi za maharage kutokana na asili yake(breeder seed).Ndani ya maharage kuna asidi iitwayo Phytic ambayo ikikutana na madini kama calcium,zinc zilizopo kwenye maharage basi husababisha mtu kupata kiungulia na kujaa gesi na hivyo watu husemi hayafai kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo sababu ya kiwango kikubwa cha Asidi.Hivyo basi ili kupunguza kiwango cha asidi inashauriwa kuloweka maharage yako kwa kati ya saa 1_2 kabla ya kupika .Na ikiwa utataka kuloweka zaidi ya masaa 2 basi uyaweke kwenye friji .Maharage ya njano yana kiwango kidogo cha ile asidi hivyo watu wwngi husema yanafaa kwa mgonjwa na ziko aina nyingine kama vile Sua maharage.La muhimu sana ni maandalizi ya maharage kabla ya kuyapika

    • @deborasanga8167
      @deborasanga8167 Před rokem

      @@Kilimotanzania1 asante sana

  • @evelynemsite5907
    @evelynemsite5907 Před rokem

    💥🥰

  • @fanrich3897
    @fanrich3897 Před rokem

    Oneni mambo mazuri kutoka kwa mtaalam wetu aunt mzuri 😂 subscribe,like na kushare tuwafikie watz wote

  • @yusuphchinduli6740
    @yusuphchinduli6740 Před rokem

    Congrats mate, the kind of youth the nation is desirable to have👏👏. Courageous, Keep it up👍

  • @THEREZAMAGESA-ll6eb

    Congrats madam hekima I'm proud to have you as my teacher

  • @salagandalubinza1090

    Congratulations Madame, let's go