MAZAO YA JAMII YA MIKUNDE|UMUHIMU LISHE NA AFYA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 03. 2023
  • Je unayafahamu mazao ya jamii ya mikunde??unajua faida zaks katika lishe na afya ya mwili wa mwanadamu.Karibu ujifunze kupitia video hii na mtaalamu wa Lishe na Chakula

Komentáře • 13

  • @elizaberthbaynit2845
    @elizaberthbaynit2845 Před rokem

    ❤❤

  • @evelynemsite5907
    @evelynemsite5907 Před rokem

    💥🥰

  • @NeemaChacha
    @NeemaChacha Před rokem

    Wow..❤️ najifunza vingi

  • @maulidkabalika-go9qf
    @maulidkabalika-go9qf Před rokem

    Hongera Ma mkubwa😘😘👊👊👌👌👌

  • @devoutermwalupanga63
    @devoutermwalupanga63 Před rokem

    🎉maharage,soya,choroko,njegere nakuendeleaa

  • @abdulshango2123
    @abdulshango2123 Před rokem

    Somo mujarabu kabisa kwa lishe.

  • @fanrich3897
    @fanrich3897 Před rokem

    Oneni mambo mazuri kutoka kwa mtaalam wetu aunt mzuri 😂 subscribe,like na kushare tuwafikie watz wote

  • @kanjeharmonize7405
    @kanjeharmonize7405 Před rokem

    Naitwa Nelson na muliza mtaalamu beatha alishawai kulima.swali lapili marage mekundu yana virutubisho gan neto

    • @Kilimotanzania1
      @Kilimotanzania1  Před rokem

      Ahsante kwa swali zuri Nelson na karibu sana.Nitajibu swali la pili maharage yana virutubisho vingi sana Yana aina zaidi ya sita za Vitamini,Madini ya chuma,manganese,zinc,potashiamu,calcium,protein,nyuzinyuzi,na lipids

    • @beathathomasmkojera5711
      @beathathomasmkojera5711 Před rokem +1

      Ndio Nelson Nimeshawahi kulima maharage. Na nimelima maharage ya soya ambayo yana rangi ya kijivu na pia maharage ya njano.

  • @deborasanga8167
    @deborasanga8167 Před rokem

    Asante Sana kwa somo. Naomba kuuliza, je kuna tofauti kati ya maharage ya njano na Aina nyingine ya maharage? Na utofauti ukoje? Na je ni kweli ya njano yanafaa zaidi kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    • @Kilimotanzania1
      @Kilimotanzania1  Před rokem

      Ahsante kwa swali lako zuri .Ni kweli kuna aina nyingi za maharage kutokana na asili yake(breeder seed).Ndani ya maharage kuna asidi iitwayo Phytic ambayo ikikutana na madini kama calcium,zinc zilizopo kwenye maharage basi husababisha mtu kupata kiungulia na kujaa gesi na hivyo watu husemi hayafai kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo sababu ya kiwango kikubwa cha Asidi.Hivyo basi ili kupunguza kiwango cha asidi inashauriwa kuloweka maharage yako kwa kati ya saa 1_2 kabla ya kupika .Na ikiwa utataka kuloweka zaidi ya masaa 2 basi uyaweke kwenye friji .Maharage ya njano yana kiwango kidogo cha ile asidi hivyo watu wwngi husema yanafaa kwa mgonjwa na ziko aina nyingine kama vile Sua maharage.La muhimu sana ni maandalizi ya maharage kabla ya kuyapika

    • @deborasanga8167
      @deborasanga8167 Před rokem

      @@Kilimotanzania1 asante sana