Muhimbili TV
Muhimbili TV
  • 160
  • 643 594

Video

Ungana na Prof. Janabi kufahamu Huduma zinazotolewa kwa Warahibu wa Pombe, Muhimbili.
zhlédnutí 991Před 21 dnem
Ungana na Prof. Janabi kufahamu Huduma zinazotolewa kwa Warahibu wa Pombe na Dawa za Kulevya Hospitali ya Taifa Muhimbili
WATOA HUDUMA MUHIMBILI WALIVYOPIGANIA UHAI WA MTOTO MALIKI HASHIMU
zhlédnutí 1,1KPřed 28 dny
WATOA HUDUMA MUHIMBILI WALIVYOPIGANIA UHAI WA MTOTO MALIKI HASHIMU
MALIKI HASHIMU (GOBA) ARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI WAZAZI WAMSHUKURU MHE. RAIS.
zhlédnutí 1KPřed 28 dny
MALIKI HASHIMU (GOBA) ARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI WAZAZI WAMSHUKURU MHE. RAIS, WATOA HUDUMA, VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE
JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
zhlédnutí 19KPřed měsícem
JE KUNYWA POMBE NI AFYA? Ungana na Prof. Mohamed Janabi katika mahojiano maalum na Prof. Pamela Kaduri, Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili na Mbobezi wa Uraibu kutoka chuo Kikuu cha Toronto, Hospitali Kuu ya Afya ya Akili na Uraibu (Centre for Addiction and Mental Health), Canada ili kupata ufahamu zaidi kuhusu athari zitokanazo na unywaji pombe.
IS DRINKING ALCOHOL HEALTHY?
zhlédnutí 1,2KPřed měsícem
IS DRINKING ALCOHOL HEALTHY? Join Prof. Mohamed Janabi in his Exclusive Interview with visiting Prof. Pamela Kaduri from the Centre for Addiction & Mental Health (CAMH), and the University of Toronto, (Canada) to get more insight on the risks of drinking alcohol.
Enhancing and Strengthening Plastic Surgery at Muhimbili National Hospital
zhlédnutí 502Před měsícem
Join Prof. Mohamed Janabi, the Executive Director of Muhimbili National Hospital on his exclusive interview with visiting Plastic Surgeons Prof. Kenneth Bermudez and Dr. Edward Miranda from University of Califonia San Francisco-USA aiming at performing and training for plastic and reconstruction surgery as well as paving way for further collaboration with the hospital.
One-on-one with Prof. Mohamed Janabi and Barbara Harper Founder/Director Waterbirth International
zhlédnutí 349Před měsícem
*#Full Interview One-on-one with Prof. Mohamed Janabi and Barbara Harper Founder/Director Waterbirth International#*
BODI YA WADHAMINI KUFANYA MABORESHO YA VITUO VYAKE VITATU VILIVYOPO NJE YA MUHIMBILI UPANGA
zhlédnutí 183Před 2 měsíci
Bodi ya Wadhamini na Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wamefanya ziara kwenye vituo vyake vilivyoko nje ya eneo la Upanga ili kuona hali halisi ilivyo kuelekea hatua mbalimbali za kuviboresha kutoa huduma bora zaidi.
MUHIMBILI YAONGEZA KASI YA UPATIKANAJI MAPEMA MAJIBU YA VIPIMO VYA MAABARA
zhlédnutí 678Před 2 měsíci
Katika kuimarisha huduma bora kwa wagonjwa ikiwemo upatikanaji mapema wa majibu ya vipimo vya maabara, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeongeza pikipiki mbili kufikia nne ili kurahisisha usafirishaji haraka wa sampuli kutoka majengo ya kutolea huduma yaliyopo sehemu mbalimbali ndani ya hospitali ukilinganisha na ilipo maabara kuu.
KATIKA KILA WANAWAKE WATANO, MWANAMKE MMOJA ANA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU, PROF. JANABI #Afyapodcast
zhlédnutí 8KPřed 3 měsíci
KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU ENDELEA KUELIMIKA NA PROF. JANABI, NI TAR 17 MEI YA KILA MWAKA #Afyapodcast
THE REPUBLIC OF KOREA COMMITS CONTINUED SUPPORT TO MUHIMBILI
zhlédnutí 157Před 3 měsíci
THE REPUBLIC OF KOREA COMMITS CONTINUED SUPPORT TO MUHIMBILI The Republic of Korea has pledged continued support to Muhimbili National Hospital by strengthening its medical system and capacity building in various medical specialties hence improved health care. Member of the National Assembly of the Republic of Korea Hon. Shin Hyun-young, who is also a Member of Health and Welfare Parliamentary ...
JAMHURI YA KOREA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA MUHIMBILI KWENYE HUDUMA ZA KIBINGWA NA MIFUMO
zhlédnutí 135Před 3 měsíci
JAMHURI YA KOREA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA MUHIMBILI KWENYE HUDUMA ZA KIBINGWA NA MIFUMO YA UTOAJI HUDUMA
Kama familia au ukoo wako una historia ya Saratani tafadhali tazama video hii ili kujifunza.
zhlédnutí 3KPřed 3 měsíci
Mammography ni kipimo cha kisasa cha saratani ya matiti kinachopatikana Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga), ni kipimo kinachotumia teknolojia ya mionzi kidogo katika kupiga picha za X - Ray.
Mwaisela waja na Janabi Cup
zhlédnutí 370Před 4 měsíci
Mwaisela waja na Janabi Cup
Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu.
zhlédnutí 1KPřed 4 měsíci
Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu.
"Experience State-of-the-Art Diagnostics Services with our CT-Angio at Muhimbili National Hospital
zhlédnutí 222Před 4 měsíci
"Experience State-of-the-Art Diagnostics Services with our CT-Angio at Muhimbili National Hospital
#AFYAPODCAST Fahamu juu ya Matibabu mapya ya kiharusi Muhimbili
zhlédnutí 11KPřed 4 měsíci
#AFYAPODCAST Fahamu juu ya Matibabu mapya ya kiharusi Muhimbili
MUHIMBILI KUSHIRIKIANA NA JAMII KUTOA ELIMU YA MALEZI NA KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI
zhlédnutí 273Před 4 měsíci
MUHIMBILI KUSHIRIKIANA NA JAMII KUTOA ELIMU YA MALEZI NA KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia yazinduliwa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi
zhlédnutí 113Před 4 měsíci
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia yazinduliwa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia Muhimbili
zhlédnutí 82Před 4 měsíci
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia Muhimbili
UZINDUZI WA MASHINE YA KISASA INAYOPIMA SARATANI YA MATITI MUHIMBILI (MAMMOGRAPHY)
zhlédnutí 712Před 4 měsíci
UZINDUZI WA MASHINE YA KISASA INAYOPIMA SARATANI YA MATITI MUHIMBILI (MAMMOGRAPHY)
*# Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu kufanya Uchunguzi
zhlédnutí 1,7KPřed 4 měsíci
*# Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu kufanya Uchunguzi
Muhimbili inafanya huduma ya ubadilishaji wa damu kwa wagonjwa wa Selimundu ( Sickle Cell)
zhlédnutí 336Před 4 měsíci
Muhimbili inafanya huduma ya ubadilishaji wa damu kwa wagonjwa wa Selimundu ( Sickle Cell)
#*Afya Podcast# Fahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..
zhlédnutí 126KPřed 4 měsíci
#*Afya Podcast# Fahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..
Afya Podcast#*The 10 common habits that may harm your KIDNEYS...with Prof. Mohamed Janabi
zhlédnutí 634Před 4 měsíci
Afya Podcast#*The 10 common habits that may harm your KIDNEYS...with Prof. Mohamed Janabi
*#JE, WAZIJUA HUDUMA MPYA NA ZA HARAKA ZA VIP ZILIZOBORESHWA MUHIMBILI??
zhlédnutí 698Před 5 měsíci
*#JE, WAZIJUA HUDUMA MPYA NA ZA HARAKA ZA VIP ZILIZOBORESHWA MUHIMBILI??
Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu NJIA SITA ZA KUPUNGUZA UPANDAJI WA SUKARI KWENYE DAMU#*
zhlédnutí 41KPřed 5 měsíci
Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu NJIA SITA ZA KUPUNGUZA UPANDAJI WA SUKARI KWENYE DAMU#*
*#MUHIMBILI YAJA NA MPANGO WA DHARURA WA KUHUDUMIA WANACHAMA WA NHIF#
zhlédnutí 567Před 6 měsíci
*#MUHIMBILI YAJA NA MPANGO WA DHARURA WA KUHUDUMIA WANACHAMA WA NHIF#

Komentáře

  • @MosMan444
    @MosMan444 Před 2 hodinami

    Mimi dada nimemuelewa vizuri sana, ambao hamwelewi ni wale walotegemea wapewe eti umuhimu wa kunywa pombe na blah , blah kama hizo, mkafikiri labda hawa ni wanasiasa wa bongo, mmegonga mwamba, hawa ni wataalamu wako vizuri. Daktari janabi hujawahi kupindisha ukweli, Mungu awabariki, nyinyi ni miongoni wa watanzania wachache sana wenye upendo! Mwengine mwenye upendo ni mimi! 🤔

  • @JosephRyoba-lb2dy
    @JosephRyoba-lb2dy Před dnem

    Umesema hamna dawa utakayopewa hospital kwa ajili ya chango ila mbona tukieleza tunapewa grip water au beladona, Kuna ukweli Gani juu ya hlo

  • @simonpasua428
    @simonpasua428 Před dnem

    Thank you my Dr. For your advice

  • @HappyChuwa-gs8bw
    @HappyChuwa-gs8bw Před dnem

    Nani nd ana hojiwa sasa hapo 😂

  • @AsiaAbdu-g7l
    @AsiaAbdu-g7l Před dnem

    Huyu dada anavyo jbu afai kufanya kazi toronto ajui bora aje kufanya kazi buza

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha Před 2 dny

    Unatuchanganya maelezo Yako hayaeleweki

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha Před 2 dny

    We Pamela unazunguka Hadi hatukuelewi

  • @mboyipaul
    @mboyipaul Před 3 dny

    Hahahaha huyo dada kasema anafundisha ila hawezi hata kuelezea...hiyo elimu aliyoipata Canada mbn anazidiwa na nurse wetu hapa mtaani.

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d Před 4 dny

    MashaAllah Alhamdllah Rabbllaamin hongeren madoctor na wote mliohusika kwa kazi nzuri.mlioifanya

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 Před 6 dny

    Hongera Janabi madaktari kama ww huwa ni neema kwani BIASHARA YA MATIBABU nibiashara kubwa kwenye ubepari, NGUVU inayotumika kujenga vituo vya afya angepewa fedha Janabi kutoa elimu, tunajivunia Janabi alisoma aelimike na sio kusoma kupata cheti

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 Před 6 dny

    Nimejifunza watu 4 kuhusu kula na funga nikaona maajabu makubwa ya Mtume Muhammad( saw) 1) Erick berg2) Janabi 3) Nassor bachu fadhila za njaa 4) jean claude vandame meal....

  • @habibukilonge9540
    @habibukilonge9540 Před 7 dny

    Pombe( kileo) kiwe kikubwa au kidogo athari zipo Kwa afya

  • @mwanaidihassan5868
    @mwanaidihassan5868 Před 7 dny

    Binafsi Janabi ni mwalimu bora sana nimepunguza kula wanga na nimeacha kula mchana kabisa, nimepata matokeo haya 1. Uzito umepungua 2. Tumbo limepungua 3. Nguvu zimerudi sichoki ovyo ovyo 4. Sura imekuwa na mvuto au muonekano

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Před 8 dny

    Alichopanga Mungu binadamu hawezi kutenganisha asante Mungu kwa uwezo wako,asanteni madaktari kwa kazi nzuri

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Před 8 dny

    Hahaha 🤣 hawa ni wataalam wawili kila mtu anajua mafahali wawili hawakai zizi moja mimi nimeelewa lakn ila kuwe na mtu anauliza ambaye hajui

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 Před 8 dny

    Unit ndo Nini? Sema idadi ya chupa

  • @adamuadamumussa7289

    ❤❤

  • @adamuadamumussa7289

    ❤❤MUNGU kakuketa duniani pia kakupa uhai na elimu ya juu ili utuokoe na maradhi na unatupa njia sahihi ya kuishi, chukua maua yako baba🎉🎉🎉wewe ni mtu muhim sana katika dunia hii,, tunapata faida na elimu unayotupa bure kabisa ingali wewe ulitumia pesa nyingi kuipata nasema ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI🤲🤲

  • @aloyce6583
    @aloyce6583 Před 8 dny

    Dr. Pamela ni msomi asiyejua vizuri application ya elimu yake, that's why anatoa maelezo mengi kwa jambo dogo na jepesi.

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 Před 10 dny

    Barabara mbovu hku shida tupu hebu utukumbuke mbunge wetu jamani

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan Před 11 dny

    Shukurani sana Allah akihifadhi endelea kutoa elimu pi ushauri kuhusu vyakula hatarishi na anavyotakiwa kutumia mwenye dalili na mwenye sukari❤

  • @daniellaizer1614
    @daniellaizer1614 Před 11 dny

    Unywaji wa pombe imeharibu, mipango, sera za familia na misimamo ya wazazi kiutawala na maamuzi sahihi za kijamii na kiuchumi ktk familia.

  • @MaryKihata
    @MaryKihata Před 15 dny

    Ahsante mueshimiwa ubarikiww kwa SoMo zuuri mnooo

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 Před 16 dny

    Pombe haijawahi kumuacha mtu salama

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Před 17 dny

    ASANTE SANA MTAALAMU. SWALI LANGU NI JE SUMU YA POMBE INAWEZA KWA MFANO UKIJIKWARUZA KIDOGO KIDÒNĎA KIKAKATAA KUPONA KWA MDA MREFU?

  • @RevocatusSebastian-c8o

    Dokta vip kwa anaekula matunda usiku kisha akanywa maji nakulala je, anahatari kupata kisukari maanna matunda yanasukari pia

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Před 17 dny

    👏🏼👏🏼

  • @LizyKinabo
    @LizyKinabo Před 18 dny

    😂😂ma dr hawapayuki kweli

  • @AmirJuma-p5j
    @AmirJuma-p5j Před 18 dny

    Doctor tuletee mfamasia

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Před 19 dny

    Acha watu wanywe tu,serikal inatengeneza tutafanyaje😂😂

  • @pamelaegan8546
    @pamelaegan8546 Před 20 dny

    Doctor Pamela tunashukuru sana kwa kutuelimisha katika swala hili, nimependa kwa kweli ulivyoongelea kwa ufasaha Jambo hili na wengi Katina jamii tutapata uwelewa zaidi ili tuweze kafanya maamuzi mazuri na bora kuhusu kiwango na matumizi ya pombe. Shukrani doctor!!!👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před 20 dny

    👍👊✌️.

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 Před 20 dny

    Bia ni dawa

  • @AgapitiManday
    @AgapitiManday Před 20 dny

    Thank you very much Prof. Janabi and Dr. Pamela for a good lesson on a difficult area of ​​human life (alcohol). Dr Pamela, you are very well understood and we will continue to consider your good professional advice, thank you very much

  • @AgapitiManday
    @AgapitiManday Před 20 dny

    Ahsante sana Prof. Janabi na Dr. Pamela kwa somo zuri kwenye eneo gumu la maisha ya mwanadamu (pombe). Dr. Pamela umeeleweka vizuri sana na tutaendelea kuzingatia ushauri wako mzuri wa kitaalamu, ahsante sana!

  • @user-bf1jd9nl3v
    @user-bf1jd9nl3v Před 21 dnem

    Hingeren sana wataalamu wetu kwa elimu nzur sana..naitwa Mr nyadoo kutoka mbeya

  • @annetmbwambo9369
    @annetmbwambo9369 Před 21 dnem

    Dr Pamela huileweke mbona unahalalisha watu wanye pombe

  • @nkopokajr5645
    @nkopokajr5645 Před 21 dnem

    Hongereni sana

  • @ernestroman8264
    @ernestroman8264 Před 21 dnem

    Huyo mwanamke haeleweki kabisa alafu eti ni daktari 😂

  • @lucasdeus5653
    @lucasdeus5653 Před 23 dny

    Janabi Vs JPM

  • @aje-farmsmashambayanayotem7392

    Hivi ni vipindi vizuri sana, badala ya kukaa na elimu kwenye bongo na vitabu vya taaluma sasa imerahisishwa na kuelezwa kwa lugha nyepesi inayoeleweka katika Jamii ambayo ndio wanufaika haswa. Hongereni sana MNH

  • @ahz6907
    @ahz6907 Před 25 dny

    Kuna watz wanambeza sana dokta janabi ila wangejua madini anayotupa yana thamani gani kwa afya za watanzania wasingethubutu kutamka negatives. #TUENDELEE KUJIFUNZA

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 Před 25 dny

    Prof.Janabi 🤔

  • @calabash4221
    @calabash4221 Před 25 dny

    Pombe unaizungumziaje na afya? Pombe inenywewa kwenye mazingira gani? Kuna topics nyingi za kiafya ila hii haina maana yeyote...

  • @hamenyayohanakasase5836

    Jibi fupi na la moja kwa moja ni kuwa, pombe haina mchango chanya wowote kwenye afya ya binadamu. Mchango wowote iliyo nao ni hasi.

  • @gomelakipaya6373
    @gomelakipaya6373 Před 26 dny

    Dada alitakiwa apewe maswali kwanza ,ndio afanye interview.. anapata tabu kuelezea points ila yuko vizuri sana msomi.

  • @user-vw6qw6kk9w
    @user-vw6qw6kk9w Před 26 dny

    Hongereni madaktari

  • @mpondamaliva7666
    @mpondamaliva7666 Před 28 dny

    Pombe ni sumu hajkuna mjadala

  • @gallegalleson4427
    @gallegalleson4427 Před 28 dny

    Better than the other ? ! Mswahili akijua kisambaa anakuwa mtumwa

  • @gallegalleson4427
    @gallegalleson4427 Před 28 dny

    We mwanamke jieleze kwa kiswahili we siyo mzungu !!!

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Před 25 dny

      Mbona mnaogopa sana viingereza we elewa unachoelewa ivyo vingine viache msipangie watu alaaa

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 Před 23 dny

      Sio kosa lake. Ni kosa lako kukimbia umande

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Před 23 dny

      @@prosperjuma905 maisha kakasoe mwenyewe analaumu watu