PASS TRUST
PASS TRUST
  • 119
  • 24 599
UKAGUZI MRADI WA MJASIRIAMALI KATIKA NANE NANE - ZANZIBAR
Matokeo chanya ya kuwahudumia wananchi wa Zanzibar katika Maonesho ya Nane Nane 2024 yalionekana papo kwa papo. Kwenye ‘video’, ni Maafisa Biashara kutoka PASS Trust wakiwa wametembelea mradi wa mjasiriamali wa kilimo biashara ambaye alionesha uhitaji wa huduma za maendeleo ya biashara na huduma za fedha hasa uwezeshaji wa dhamana za mikopo ya kilimo biashara.
Tunakualika kuendelea kutembelea PASS Trust kwa ushauri na uwezeshaji zaidi ili kukuza biashara yako na kuongeza tija katika uwekezaji wako kwenye sekta ya kilimo biashara.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - Saa 11:00 jioni. Tovuti: www.pass.or.tz
#zanzibar #passkilimo #passtanzania #passtrust
zhlédnutí: 6

Video

ASANTE KWA KUJA - MAONESHO YA NANE NANE - 2024, DODOMA
zhlédnutí 27Před 21 dnem
Asante kwa kutembelea banda la PASS Trust katika Maonesho ya Nane Nane 2024 yaliyofanyika Dodoma, Zanzibar, na Simiyu. Tunaendelea kukupa huduma bora za maendeleo ya biashara na huduma za fedha. Furaha yetu ni kuona mafanikio yako katika kilimo biashara! Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - Saa 11:00 jioni. Tovuti: www....
ASANTE KWA KUJA - MAONESHO YA NANE NANE - 2024, ZANZIBAR
zhlédnutí 13Před 21 dnem
Asante kwa kujumuika nasi katika maonesho ya Nane Nane 2024. PASS Trust itaendelea kuwa bega kwa bega na wewe katika kukuza biashara yako. Furaha yetu ni kuona mafanikio yako yakikua zaidi. Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - Saa 11:00 jioni. Tovuti: www.pass.or.tz #zanzibar #passtrust #passkilimo #passtanzania
ASANTE KWA KUJA - MAONESHO YA NANE NANE - 2024, SIMIYU
zhlédnutí 79Před 21 dnem
Asante kwa kuja kutembelea PASS Trust kwenye Maonesho ya Nane Nane 2024 yaliyofanyika Dodoma, Zanzibar, na Simiyu. Tutaendelea kutoa huduma za kifedha na biashara zinazokidhi mahitaji yako. Furaha yetu ni kuona ukifanikiwa! Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - Saa 11:00 jioni. Tovuti: www.pass.or.tz #passtrust #passkili...
ASANTE KWA KUJA - MAONESHO YA USHIRIKA - SUD 2024, TABORA
zhlédnutí 46Před měsícem
#USHIRIKA2024 Asante kwa kuja PASS Trust na kuendelea kupata huduma za maendeleo ya biashara na huduma za fedha kwenye sekta ya kilimo, ufugaji, uvuvi, mazao ya misitu, na viwanda. "Tunaboresha Maisha kupitia Mapinduzi ya Kilimo biashara". Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - Saa 11:00 jioni. Tovuti: www.pass.or.tz #pas...
"TUMEONGEZA AJIRA KWA WAKULIMA WA PAPAI" - ASPEC
zhlédnutí 100Před 2 měsíci
Kutana na Mkurugenzi wa Utafiti, Uzalishaji na Masoko kutoka Kampuni ya ASPEC Ndg. Ascarlyon A. Lufurano akielezea namna Kampuni yao imekuwa sehemu ya kuchochea mapinduzi ya kilimo biashara na kuwawezesha wakulima wa kilimo cha papai kukua kiuchumi. PASS Trust imeiwezesha ASPEC kuwa sehemu ya wanufaika wanaopatikana kwenye Banda la PASS Trust katika Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Ushirika D...
"AJIRA ZIMEONGEZEKA, PASS NI MKOMBOZI WETU"
zhlédnutí 14Před 2 měsíci
Kutana na Makamu Mwenyekiti wa Kanyovu Coffee Curing Corporative Joint Enterprise, Ndg. Erick Charles Daudi akizungumzia namna PASS Trust ilivyowawezesha kiuchumi. PASS Trust imeiwezesha Kanyovu Coffee Curing Corporative Joint Enterprise kuwa sehemu ya wanufaika wanaopatikana kwenye Banda la PASS Trust katika Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) - 2024 @ushirika_tcdc yanayo...
"TUMEZALISHA AJIRA KWA WAKULIMA WA ZABIBU"
zhlédnutí 34Před 2 měsíci
Kutana na DANE WINE ( @danewinetz ) ambacho ni kiwanda cha kutengeneza mvinyo kutoka Dodoma, Tanzania kilichogeuka kuwa soko kwa wajasiriamali wa kilimo biashara wanaolima zao la zabibu. Kiwanda hiki ni moja ya mradi uliyowezeshwa na PASS Trust kwa kuongezewa dhamana na kupata mkopo kutoka benki, na kufanikiwa kuwa soko kwa wakulima wa zao la zabibu, ambapo kimefanikiwa kuongeza uzalishaji, kuo...
"NAPATA HELA MPAKA ZA KUSOMESHA WATOTO WANGU KUPITIA KILIMO"
zhlédnutí 108Před 2 měsíci
Twalibu Yahaya Munda kutoka Chama cha Bitale Mkongoro AMCOS mkoa wa Kigoma ni mnufaika wa huduma ya dhamana za mikopo ya kilimo kutoka PASS Trust ambaye yupo kwenye Banda la PASS Trust kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) 2024 @ushirika_tcdc yanayofanyika viwanja vya Nanenane (Ipuli) Mkoani Tabora kuanzia tarehe 01/07/2024 hadi tarehe 06/07/2024. Twalibu ameelezea na...
NIMEPATA NYUMBA, GARI, NA WATOTO WAMESOMA KUPITIA KIFAA HIKI CHA KILIMO
zhlédnutí 883Před 7 měsíci
Hii ni makala ya wajasiriamali wa kilimobiashara kutoka maeneo mbalimbali ambao wameweza kupata zana za kilimo na viwanda kutoka PASS Leasing Company Ltd (Kampuni tanzu ya Taasisi ya PASS Trust) ambapo, zana hizi za kilimo zimewasaidia kupambana na umaskini pamoja na kutunza mazingira ya jumla katika shughuli za uzalishaji. Uwezeshaji huu umewafanya waweze kuzalisha kwa tija na kufikia malengo ...
UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA KILIMO, MABADILIKO YA TABIANCHI
zhlédnutí 28Před 11 měsíci
Mkurugenzi Mtendaji - PASS Trust, Yohane Kaduma akifanya mahojiano na Kituo cha Habari cha Uhuru FM @uhurufmdigital ambapo amezungumzia masuala mbalimbali yanayofanywa na PASS Trust katika sekta ya kilimo nchini ikiwepo suala la upatikanaji wa taarifa za kilimo (myororo wa thamani), pamoja na mabadiliko ya tabianchi. Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za PASS Trust, wasiliana na Kituo cha Huduma k...
MKOPO: DHAMANA YA KIJANI YA MKOPO WA KILIMO YA HADI 80%
zhlédnutí 210Před rokem
Kupitia PASS Trust unaweza kupata dhamana ya mkopo wako wa kilimo ya hadi asilimia 80 katika miradi inayozingatia utunzaji mazingira. Hii ni katika miradi ya kilimo, ufugaji, uvuvi, mazao ya misitu, na viwanda. Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za PASS Trust, wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja: Piga simu bure: 0800 75 0037 Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - saa 11:00 jioni. Tovuti: www.p...
MAFANIKIO YA KIJANA MJASIRIAMALI ANAYEUZA VIAZI NA PEMBEJEO MBEYA
zhlédnutí 167Před rokem
PASS Trust katika Huduma za Fedha inatoa dhamana ya mkopo wa kilimo, ufugaji, uvuvi, mazao ya misitu, na viwanda (mnyororo wa thamani) kwa vijana. Vijana wanapata dhamana ya kuanzia 20% hadi 80% katika miradi yote ya kilimo na katika miradi iliyowekeza kwenye utunzaji wa mazingira. Kwenye 'video' ni kijana Mjasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya aliyefanikiwa kupata dhamana ya mkopo wa kilimo kutoka ...
MAFANIKIO YA WAKULIMA 7,000 | WANAWAKE WANAFIKA 3,000
zhlédnutí 229Před rokem
Kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini tumefanikiwa kuzungumza na Mdau mkubwa kwenye sekta ya kilimo kutoka shirika lisilo la kiserikali la Movement for Community Development - MCODE Tanzania linalofanya kazi na Taasisi ya PASS Trust katika kuwawezesha wajasiriamali wadogo wa kilimobiashara kupitia vikundi. MCODE Tanzania wanajihusisha na kuwasaidia wajasiriamali wadogo kuunda na kusajili vikundi...
WARSHA YA WADAU WA KILIMO-SHINYANGA
zhlédnutí 32Před rokem
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara - PASS Trust, Ndg. Adam Kamanda akiwasalimu na kuwakaribisha wadau wa kilimobiashara kwenye warsha iliyofanyika Shinyanga. Vile vile ameiongelea kampeni yetu mpya ya KIJANISHA MAISHA na PASS Trust kwa ujumla. #kijanishamaisha #passtrust #passkilimo #passtanzania #kilimobiashara
WARSHA YA WADAU WA KILIMO-BARIADI,SIMIYU.
zhlédnutí 34Před rokem
WARSHA YA WADAU WA KILIMO-BARIADI,SIMIYU.
WARSHA YA WADAU WA KILIMO-BARIADI, SIMIYU.
zhlédnutí 124Před rokem
WARSHA YA WADAU WA KILIMO-BARIADI, SIMIYU.
Warsha ya PASS Trust, Mkoa wa Manyara-Babati.
zhlédnutí 38Před rokem
Warsha ya PASS Trust, Mkoa wa Manyara-Babati.
Warsha ya Wadau wa kilimo-Katavi.
zhlédnutí 36Před rokem
Warsha ya Wadau wa kilimo-Katavi.
NAMNA NEMC INAVYOWASAIDIA WAKULIMA KATIKA MAZINGIRA
zhlédnutí 59Před rokem
NAMNA NEMC INAVYOWASAIDIA WAKULIMA KATIKA MAZINGIRA
MRADI WAKUCHOCHEA UTUNZAJI WA MAZINGIRA, MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI PASS TRUST
zhlédnutí 67Před rokem
MRADI WAKUCHOCHEA UTUNZAJI WA MAZINGIRA, MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI PASS TRUST
MATUKIO TOFAUTI UZINDUZI WA PROGRAMU YA KIJANISHA MAISHA
zhlédnutí 61Před rokem
MATUKIO TOFAUTI UZINDUZI WA PROGRAMU YA KIJANISHA MAISHA
HOTUBA: UZINDUZI KAMPENI YA KIJANISHA MAISHA
zhlédnutí 104Před rokem
HOTUBA: UZINDUZI KAMPENI YA KIJANISHA MAISHA
PASS INAVYOTOA HELA MIRADI YA VIJANA NA WANAWAKE
zhlédnutí 216Před rokem
PASS INAVYOTOA HELA MIRADI YA VIJANA NA WANAWAKE
MAHOJIANO MAALUMU, UZINDUZI WA KAMPENI YA KIJANISHA MAISHA.
zhlédnutí 89Před rokem
MAHOJIANO MAALUMU, UZINDUZI WA KAMPENI YA KIJANISHA MAISHA.
MAFANIKIO YA MKULIMA MDOGO, ALIYEKOPA TREKTA LA MKONO (POWER TILLER)
zhlédnutí 8KPřed rokem
MAFANIKIO YA MKULIMA MDOGO, ALIYEKOPA TREKTA LA MKONO (POWER TILLER)
MAFANIKIO YA KIWANDA, CHANZO CHA AJIRA KWA VIJANA NA SOKO LA UHAKIKA
zhlédnutí 654Před rokem
MAFANIKIO YA KIWANDA, CHANZO CHA AJIRA KWA VIJANA NA SOKO LA UHAKIKA
MAFANIKIO YA KUWAWEZESHA WAKULIMA - OFISI YA KANDA YA ARUSHA NA KIGOMA
zhlédnutí 187Před 2 lety
MAFANIKIO YA KUWAWEZESHA WAKULIMA - OFISI YA KANDA YA ARUSHA NA KIGOMA
MWALIMU KIJANA ALIYEJIFUNZA KILIMO BIASHARA KWENYE KITUO CHA AIC-PASS
zhlédnutí 182Před 2 lety
MWALIMU KIJANA ALIYEJIFUNZA KILIMO BIASHARA KWENYE KITUO CHA AIC-PASS
MAFANIKIO YA VIJANA WAJASIRIAMALI WA AIC-PASS
zhlédnutí 1,8KPřed 2 lety
MAFANIKIO YA VIJANA WAJASIRIAMALI WA AIC-PASS

Komentáře

  • @GibsonHuluye
    @GibsonHuluye Před měsícem

    Utaratibu kukopa power tiller ukoje

  • @StevenSaid-yl1qk
    @StevenSaid-yl1qk Před 4 měsíci

    Napataje mawasiliano ya pass ofisi za Bariadi

  • @ayubumwanginga2077
    @ayubumwanginga2077 Před 6 měsíci

    Habari NAOMBA na Mimi unifundishe JINSI ya kufanikiwa nipo TAYARI NDUGU yangu

  • @nahimanafiston6518
    @nahimanafiston6518 Před 7 měsíci

    Your address please mimi niko Burundi 🇧🇮

  • @user-ic6mw8yp4y
    @user-ic6mw8yp4y Před 8 měsíci

    Tatizo hamtoi mamba zenu wengi tunahitaji

  • @Charles-rr6tf
    @Charles-rr6tf Před 8 měsíci

    Maoni yangu muwemnatoa namba zenu za simu ili tujuwe namna yahuduma zenu kwa wakulima

  • @KhayratJoel-pe6ur
    @KhayratJoel-pe6ur Před rokem

    kinachokera hamtoi namba zenu za simu wengi tunahitaji jamani

  • @ChristinaSabuni-jk1uf

    Jinachristinanipodarnapendakujiungapass

  • @hamisikimbatikwa6959

    Namba zenu mbona hampatikani?naomba namba

  • @henrywambua7770
    @henrywambua7770 Před rokem

    Mbeya pass ipo wapi

  • @kakawamashariki8978

    Nashkru ndugu kwa ushuhuda wko ikiwa ni kweli, maana sekta hii ya kilimo nayo ina madarali wengi kias cha kusitasita kuamini hata kilicho kweli. umenipa motisha kwani binafs nina shamba ispokuwa mtaji wa kuwekeza ili nipate matokeo bora bado sina. Nitawtembelea nione, salaam za pongezi.. toka mwanza 🐟

  • @festodanny6859
    @festodanny6859 Před rokem

    Nambaa zenu sizipati jmn

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 Před rokem

    niko nandoto yakua mkulima nanipenda kilimo ira sjui nitumie njia ipi niwafikie nipate mafuzo sahihiiiiiiii yakilimo

  • @alioumariko4650
    @alioumariko4650 Před rokem

    MALi 🍑🍐🍉🥝🍋🍎🧅🍅🍌🥒🥭🍈🤝🇲🇱🤝🤝💪💪🤲👋👋

  • @qurannasunnahtzonlinetv7432

    Nikitaka kuja kujifunza inakuaje

  • @ezekielmshitu
    @ezekielmshitu Před 2 lety

    Hichi kituo kipo wapi?

  • @michaelshija3601
    @michaelshija3601 Před 2 lety

    Kwa maana hiyo hamfanyi kazi moja kwa moja na wateja pasipo na vyombo vya ki fedha?

  • @richardrenatus9582
    @richardrenatus9582 Před 2 lety

    Hallow, Mr chairman can i get fund and start the kilimobiashara here at kyerwa district, i want to start farming this year 2022 Norvember, my farm is near by water source hence get product in all seasons if i grow any crop.

  • @evaemmanuel8777
    @evaemmanuel8777 Před 2 lety

    Hongera PASS kwa kusimamia mazingira

  • @gloryolomi7
    @gloryolomi7 Před 2 lety

    Nzuri🔥🔥🔥 mbona fupi alafu😂😂

  • @emmanuedamas2952
    @emmanuedamas2952 Před 4 lety

    Na mim nawezaje kufaidika?

  • @babuuferunzy968
    @babuuferunzy968 Před 4 lety

    👍

  • @janethraymond6031
    @janethraymond6031 Před 4 lety

    Safi sana #pass

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan

    Muziki uko juu sana

  • @fredrickmkami5263
    @fredrickmkami5263 Před 5 lety

    Jamani ofisi ziko wapi tusogee hapo..??

  • @nasrywavanilla489
    @nasrywavanilla489 Před 5 lety

    Nice

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 Před 5 lety

    nahitaji msaada wenu. mm ni mkulima wa zao la vanilla.

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 Před 5 lety

    ni kwa namna gani mnaweza nisaidia mm mkulima wa vanilla?

    • @passtrust2198
      @passtrust2198 Před 5 lety

      Wasiliana na ofisi yetu ya kanda iliyopo karibu nawe. Mawasilianao yote yapo hapa. PASS Trust ni taasisi inayowasaidia wakulima na wafugaji kupata mitaji katika benki ili waweze kuwekeza katika shughuli zao za kilimo na ufugaji. PASS inafanya kazi na benki zifuatazo TADB, CRDB, NMB, Bank of Africa (BOA), ACCESS Bank, Post Bank, Equity Bank,Vision Fund Micro-finance Bank, Mkombozi Commercial Bank,Kilimanjaro Co-operative Bank,Bank ABC,Bank M, AMANA Bank, AKIBA Commercial Bank na TIB. Huduma za PASS ni kama vile:- 1. Kufanya upembuzi yakinifu wa miradi ya kilimo na ufugaji 2. Kuandaa michanganuo ya biashara na kukuunganisha na benki 3. Kukuongezea dhamana ili benki ikupe mikopo Maeneo ambayo PASS inasaidia katika mnyororo wa kilimo ni:- • Wakulima wa mazao mashambani ya chakula na biashara • Wasindikaji • Wauzaji wa mazao ya chakula • Wakulima wa matunda na mbogamboga • Ujenzi wa maghala • Mashine na zana za kilimo • Malori ya kusafirisha mazao • Wafugaji wa:-  Kuku  Ng’ombe  Nguruwe  Ufugaji wa samaki kwenye mabwawa  Nyuki  n.k MAWASILIANO Mobile 0655772698 (Jumatatu hadi Ijumaa) Makao Makuu Dar Es Salaam Jengo la patel ghorofa ya 3 mtaa wa kisutu Simu: 022 2110394/5 Morogoro (ofisi ya kanda ya mashariki) Jengo la National Audit, ghorofa ya pili, Mtaa wa katope karibu na bwalo la JKT umwema Simu: 023 2613371/2613371/2613372 Mbeya (ofisi ya nyanda za juu kusini) Karume Avenue NHIF Tower, Mezzanine Floor Simu: 025 2500218 Kigoma Mtaa wa Lake Tanganyika Jengo la NSSF Mafao, Ghorofa ya pili Simu: 028 2802710 Mwanza (ofisi ya kanda ya ziwa) Jengo la NSSF, ghorofa ya kwanza, wing B Barabara ya Kenyatta Simu: 028 2505036 Arusha NSSF Building - Kaloleni, 1st Floor Arusha - Tanzania Tell: 027 2520012 Mtwara (ofisi ya kanda ya kusini) Vigaeni Street, 1st floor PPF Plaza. Simu 023 2334625.

    • @joviangeofrey7212
      @joviangeofrey7212 Před 5 lety

      @@passtrust2198 et nyie mnamsaidia mtu vidogo vidogo ka madawa n.k. wakati mm nina proposal ambayo nahitaj pesa ili kufanya kilimo changu kiwe kikubwa

    • @godfreyacrey9484
      @godfreyacrey9484 Před 5 lety

      Mimi ni mkulima wa alizeti napatikana UYUI TABORA napata vipi mkopo wa pembejeo ? Email yangu luambagodfrey@gmail.com 0757822360

    • @godfreyacrey9484
      @godfreyacrey9484 Před 5 lety

      @@passtrust2198 please nahitaji mkopo wa alizeti napatikana UYUI tabora