Hizo karanga zinasagwa ama hivyo hivyo? Mkitoa Elimu hakikisheni mnanyoosha maelezo maana mtu atatumia hatoona Matokeo atahisi ninyi ni Matapeli kumbe hamjui kunyoosha maelezo.
Mbona hizo darsa zinakuwa kama za uchoyo hiyo omix ndio nn au basi sema unayo na utoe namba za sim zako tujue moja tu kama unauza hizo dawa kuliko kutupiga chenga tu
Allah akuongoze uzidi kutuelimiaha
What is homixi?
Hizo karanga zinasagwa ama hivyo hivyo? Mkitoa Elimu hakikisheni mnanyoosha maelezo maana mtu atatumia hatoona Matokeo atahisi ninyi ni Matapeli kumbe hamjui kunyoosha maelezo.
Dr, Omikxi, ipoje na inapatikana maduk Gani?
omix ndo nini docta fafanua vizri inshaala tujue
Nitumie namba yako
Omixi ndo nini kaka?
Omiksi inapatikana wapi na ni nini hiyo
Mm nipo unguja Zanzibar iyo dawa ya omiksi nemeitafuta sana huku sjaipata
Omits ni aina gan ya dawa na inapatkana wap
Dr naomba utuonyeshe hiyodawa ya omiksi
Nkololo daniel
Karanga unazitwanga awu
Kwa huku tutaipataje mttabibu
Hii OMIX ndyo nini maana ata ukigugo haipo.
Omix ni Nini ?
Mbona hizo darsa zinakuwa kama za uchoyo hiyo omix ndio nn au basi sema unayo na utoe namba za sim zako tujue moja tu kama unauza hizo dawa kuliko kutupiga chenga tu
Sawa kaka wambie wa funguke