Chris Mwahangila - Nitetee Gospel Song SKIZA*860*655#

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 01. 2018
  • Chris Mwahangila presents his latest gospel song "Nitetee".
    Kwa Mawasiliano
    +255 716620000
    +255 756068844
    GMAIL:chrismwahangila@gmail.comKwa Mawasiliano
    +255 716620000
    +255 756068844
    GMAIL:chrismwahangila@gmail.com
  • Hudba

Komentáře • 1,4K

  • @edithasiko5572
    @edithasiko5572 Před 4 měsíci +39

    Whose listening to this in 2024?

  • @patrickkimeu8116
    @patrickkimeu8116 Před 5 měsíci +31

    2024 am still here, everyone praying God to fight their battles hit like and shout amen

  • @kentymuhonja6695
    @kentymuhonja6695 Před 8 měsíci +36

    Niliimba huu wimbo 2019 si usiku si mchana wakati kila mtu amenitenga, naniko na mtoto wangu halimaututi 1month in I.c.u without any change, sikukua hadi na nguvu ya kuomba lakini kupitia huu wimbo mungu alishuka na aka ni tetea hadi watu hawakuamini, thank you God 🙏 🙏 🙏

  • @jobagakajoseph
    @jobagakajoseph Před 5 měsíci +11

    Its 2024, let this be your break through year in Jesus name, Amen
    Nitete Mungu wangu, what an awesome song

  • @francisaula9222
    @francisaula9222 Před rokem +5

    My Kenyan brothers and sisters wapi likes za hii song

  • @lynnmutai2023
    @lynnmutai2023 Před 5 měsíci +11

    2024 and still listening to this song 🎵 Lord fight my battles and my enemies 🙏 i am trusting the Lord to open doors this year AMEN

  • @margaretnderitu6100
    @margaretnderitu6100 Před rokem +13

    Am here to testify,some days ago I had no money to clear my third year fees .I was Soo helpless,coz there is no way ungefanya papers without having cleared .
    I remember this song and locked myself inside my room ,cried helplessly asking God anitetee ,I cried like an hour helplessly yaani unalia kama mtoto crawling kwa floor .I checked my phone later to find someone had sent me the remaining balance and extra cash .
    God do tetea watu ,he says am close to the broken hearted ,trust me he is .
    It may seem like it's done on your side ,but God hatumiangi watch same na yeti .
    Be patient.

  • @roseemmanuel1265
    @roseemmanuel1265 Před rokem +22

    Whoever will listen to this song sing it like a prayer before the LORD for HE is a man of war you shall be victorious.

  • @annetk5133
    @annetk5133 Před rokem +8

    Nitetee Mungu wangu siwezi bila weww ,,shuka Mungu fungua njia pasipo kuwa na njia,,maadui zangu wote wanyamanzishe wote eeh Mungu,,,Nenda mbele yangu Mungu,Na nitashukuru

  • @jackiephyll1250
    @jackiephyll1250 Před 3 lety +149

    Nitete Mungu wangu ....2021 still here....Any person reading this may the Almighty locate your peace and harmony 🙏...you wll make it God's name

  • @marymichelle6280
    @marymichelle6280 Před rokem +21

    Ninao ushuhuda katika wimbo huu! Nilimuona Mungu katika viwango vikubwa mno. Asante sana, Mungu wa baba zetu, Ibrahim Isaka na Yakobo. Litukuzwe jina lako, Mungu uliyeumba mbingu na dunia, Utukufu ni wako. 🙏🙏🙏 Ninakushukuru kwakuwa hukunitetea tu, bali uliniweka katika viwango vingine!

  • @MirriamMunthali
    @MirriamMunthali Před rokem +22

    I always listen to this song countless times , it removes stress

  • @josephinemwambe3385
    @josephinemwambe3385 Před 6 lety +289

    Ameeeeeeen.. Wapi likes za wana WA mungu.... Wacha mungu wetu atutetee maana hatuwezi bila yeye

  • @stellak.2597
    @stellak.2597 Před rokem +14

    Thank You Lord... keep fighting for me and my family

  • @Saint-PaulFavour990
    @Saint-PaulFavour990 Před měsícem +1

    Am still listening this song Nitetee and it sounds fresh in 2024 may the Lord fight for me for those who fight against me🎉🙏💪

  • @aradiuskatigano8398
    @aradiuskatigano8398 Před 5 lety +15

    Ahsante Sana kwa wimbo wenye ujumbe mzito. Hakika hatuwezi sisi wenyewe! I can't stop listening this song! Ooh my God! You always bless the blessed ones! Nitetee na Mimi nikasimame kati ya wabarikiwa! Siwezi peke yangu. Amina📖📖📖

  • @markkipkemboi2407
    @markkipkemboi2407 Před rokem +26

    A true definition of gospel, inspired by the holy spirit of God,it inspires,uplifts and gives hopes all the time!

  • @emmangida9605
    @emmangida9605 Před rokem +11

    Emma from Kenya I'm really touched by this sound 🥰🙏nitetee mungu wangu nipe peace of mind eeh mungu wangu 🙏 I love it 🥰 God bless you my brother

  • @Patrick-ld4eu
    @Patrick-ld4eu Před 3 dny

    Nitetee mungu wangu nimepitia mengi nimeona mengi ,,,nionekanie😢

  • @julianamakokha2757
    @julianamakokha2757 Před měsícem

    2024 mungu wangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I'm really tired in this world..mungu nikujie na wanangu

  • @amosmokaya8596
    @amosmokaya8596 Před rokem +4

    Mungu nakuomba unapotetea wengine nami usiniache i need your presence God our enemies are stiil fighting us God take us through the hard moments we go through thanks God

  • @wafulawasieba8777
    @wafulawasieba8777 Před 3 lety +36

    Ni imani yangu kwamba Mwenyezi Mungu wangu tanitetea,mwishowe maadui wangu wote wataaibika watapoona nimeinuliwa na Mungu wangu.A very good song.God bless u my beloved bro Chris.

  • @BonfaceKarimi
    @BonfaceKarimi Před 4 dny

    Nitetee mungu wangu 2024 🙏🙏

  • @maryinduti9994
    @maryinduti9994 Před 4 lety +18

    Waaau napenda wimbo huu sana.mungu atatutetea kwa kila jambo.juu yeye Ni mwaminifu kwetu.amen

  • @gracesanka5329
    @gracesanka5329 Před 4 lety +8

    Nitetee mungu wangu safari yangu imejaaa vita kubwa bila wewe siwezi🙏🙏🙏🙏

  • @clemencemalemba7225
    @clemencemalemba7225 Před 3 lety +12

    🙏🇰🇪nitetee mungu wangu 🤲 fanya ktu bwana wakutambue , mob bless katika maishayangu bilayeye sitaeza

  • @martharmoranga2541
    @martharmoranga2541 Před 2 lety +1

    Nitetee Mungu wangu kwa maisha yangu😭😭😭😭😭😭

  • @martingitonga4863
    @martingitonga4863 Před 4 lety +1

    Amen mungu nitetee wimbo unabariki tena sana

  • @emmanuelzakayo259
    @emmanuelzakayo259 Před 3 lety +14

    Nimesikia minong'ono ya adui zangu wengi wanasema tuone atafika wapi,,,nitetee Mungu wangu

  • @kassimcherop2532
    @kassimcherop2532 Před 3 lety +5

    Yeyote anayetazama wimbo huu Mungu amtetee mwaka huu wa 2021 Amina.

  • @alexnaibei3389
    @alexnaibei3389 Před 3 lety +1

    majangili ni wengi,mungu tutetee hata mwenye unadhani ni rafiki kumbe

  • @happyphaniah2855
    @happyphaniah2855 Před 5 lety +2

    😭😭😭🙏🙏🙏eeh Mungu wangu naomba unitetee mm mwanao bila ww,mm siwezi kitu

  • @merryjonasani3452
    @merryjonasani3452 Před 6 lety +83

    MUNGU wangu nakuomba unitetee mimi na family yangu 👏👏👏👏👏

  • @samuelmuganga5604
    @samuelmuganga5604 Před 3 lety +4

    Mungu nitete pamoja na familia yangu na Jamii yangu yote.

  • @rehemamalechela768
    @rehemamalechela768 Před rokem +1

    Nitetee mungu wangu Maputo na majaribu ya adui zangu yasinivunje moyo

  • @serahwahome6150
    @serahwahome6150 Před 14 dny +1

    Nitetea Mungu wangu nakuomba

  • @adjustushaule5952
    @adjustushaule5952 Před 5 lety +35

    Nitetee Mungu wangu,mwaka huu 2019 ukawe wa baraka na mafanikio makubwa kwangu.

    • @deborathomas9619
      @deborathomas9619 Před 3 lety

      Nitete mungu wangu nitakapo uanza mwaka 2021 uwe wamafanikio kwangu

  • @jenniferisrael7354
    @jenniferisrael7354 Před rokem +7

    Listening to this song, and one of my prayer items is NITETEE MUNGU, sincerely we live in a world that is immersed in wickedness and if God does not come through to vindicate you, you can be immersed in the evil and shame that is after you.

    • @reubensituma1854
      @reubensituma1854 Před rokem

      I agree with you sister. Let us submit to HIM that HE may defend us during this time of evil. He is faithful.HE WILL DO IT FOR US. AMEN

  • @DorahNamonjeMulenga
    @DorahNamonjeMulenga Před měsícem

    I am trusting God to fight the battles for me in Jesus' name. - Zambia

  • @nambuyajoyce4672
    @nambuyajoyce4672 Před 2 lety +1

    🙏🙏🙏😭😭😭😭😭Nitentee Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭Bila Weewe Siwenzi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gracenjeri9914
    @gracenjeri9914 Před 3 lety +29

    Nani mwingine inasikiza 2020 mungu atutetee.....likes hapa tukieda....

  • @captaindiego7944
    @captaindiego7944 Před 4 lety +33

    Nimesikia minongono ya adui zangu, wengiii wanasema tuone atafika wapiiii?? Fanya kitu BWANA WAKUJUE ....Niteteee MUNGU...
    Be blessed bro

  • @UphemiaDebrah
    @UphemiaDebrah Před měsícem

    2024 huu Wimbo huniguza sanaa❤❤

  • @joycechengula7491
    @joycechengula7491 Před 8 měsíci

    Nitetee MUNGU wangu katika mapito yangu nakuomba baba yang 🙏🙏

  • @jackiedavid4737
    @jackiedavid4737 Před 3 lety +18

    Who's here 2020 still listening to this beautiful song... Mipango yao kwangu sio mizuri nitetee mungu wangu🙏

  • @tharcissekayumba3406
    @tharcissekayumba3406 Před 5 lety +13

    Que soit mon avocat, mon défenseur, mon bouclier, soit devant moi mon Dieu. "Mungu unitetetye" montre toi dans ma vie pour que le monde sache que tu es avec moi....

  • @daveaverena7970
    @daveaverena7970 Před 8 měsíci +1

    Please God here me out, you know what I go through. Nitete

  • @perischari3630
    @perischari3630 Před rokem +2

    Naomba Bwana Yesu unitee maana bila wewe siwezi hizi vita.Be blessed

  • @upendolalika7233
    @upendolalika7233 Před 2 lety +27

    Amen Amen,When God defends us,no weapons formed against us shall prosper

  • @esthermkasi317
    @esthermkasi317 Před 3 lety +3

    Amen ni tetee mungu wangu pamoja na jamii yangu maadui zangu wamenizingira Kila upande

  • @zairunshabanasaasante1973

    Kweli kabisa tunakuomba mungu ututetee katika maisha yetu. Amina (kitundu ernest nzelu)

  • @chebetjuliet8338
    @chebetjuliet8338 Před 8 měsíci

    Niko hapa bwana niteete yesu, nipikaniye papa yanyu

  • @kaninimaweu6596
    @kaninimaweu6596 Před 3 lety +41

    We love You From Kenya 🇰🇪🇬🇧

  • @gladyskanini4338
    @gladyskanini4338 Před 3 lety +5

    Amen.... from Kenya
    Niteteee Mungu Wangu🙏

  • @kstivow
    @kstivow Před 7 měsíci +1

    God bless you servant.Hakika Mungu hupigania watu wake🙏

  • @user-gk5kf4dc4e
    @user-gk5kf4dc4e Před měsícem

    Amen 🙏.niandalie meza mbele ya watezi wangu ninywe Nile ..

  • @continentallogistics9258
    @continentallogistics9258 Před 3 lety +8

    ooooh lord GOD,,,,What a lovely song,,,i know without you am nothing bt can do all things through Christ who strengthens me,,,,Fight my battles oooh lord

  • @trizamwei1329
    @trizamwei1329 Před 3 lety +5

    This journey it has never been easy on me...where unapata fitina na vita ndogo dogo hazina maana only to be hated..rejected...yaani huonekani ka binadamu kamwe. But because of God soldiering on and not giving up Mungu anakutetea and I can testify on this Mungu tu ameniwezesha....And now I will conquer by the time am finishing my contract ....Niteteeeeeeeee MUNGU AMEN

  • @carolinechemweno3315
    @carolinechemweno3315 Před rokem

    Mungu wangu Niko n ushuhuda ya kuwa umenitetea n watoto wangu n bado naomba unitetee kwa hii vita vya maishani

  • @rachelkilomba4251
    @rachelkilomba4251 Před 4 lety

    Nafuraiya wimbo niletee hakika mungu ndio mutetezi want kweli. Nitetee bwana mungu

  • @nurejustine7341
    @nurejustine7341 Před 3 lety +16

    My all time song" nitetee mungu wangu" thanks my brother Chris na mungu akubariki zaidi na zaidi.

  • @anitamawiamutisya5298
    @anitamawiamutisya5298 Před 3 lety +22

    I. Love your songs always listening from Dubai 🤩🤩🤩🤩🤩may God bless you

  • @mildredwekesa3357
    @mildredwekesa3357 Před 3 lety

    Nitetee baba, Kwani n we we 2 ndiye tegemeo langu kwani hii safari nakuhitaji Mungu wangu

  • @geoffreyimonje8058
    @geoffreyimonje8058 Před 3 lety

    Mungu wangu nitetee Mimi na familia yangu na maadui wangu nakwajia wewe unipiganie njia zao ziwe telezi na giza

  • @joharjohn5095
    @joharjohn5095 Před 5 lety +23

    Nitete mungu wangu nakuomba mungu safari yangu imejaa vikwazo barikiwa mtumishi wa mungu

  • @reubensituma1854
    @reubensituma1854 Před rokem +4

    According to the report from my Doctors is that l'm suffering from a condition called highper thyrosis but only do I believe the report from my God 🙏🙏 HIS PRAISE Will continually be on my mouth because He always defends me from sickness and diseases.I have fully given my life to Him.Praise God with me. Amen

  • @josephabunde5480
    @josephabunde5480 Před 11 měsíci

    Mungu ndiye mtetezi wa haki. Nitetee Bwana katika changamoto zote za maisha.

  • @janenafula9832
    @janenafula9832 Před 4 měsíci +1

    Nitete.mungu Wangu.....2024 God fights for me and my son😢

  • @cloudclaud6484
    @cloudclaud6484 Před 3 lety +4

    Bila Mungu hatuwezi🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣❣❣

  • @lilylastborn3317
    @lilylastborn3317 Před 3 lety +3

    Nitetee Mungu wangu from Nairobi still watching

  • @neymarhaule3499
    @neymarhaule3499 Před 2 lety +1

    Mdogo mdg nimeletwa mpk huku
    Ewe Mungu wang nitetee 2022 kwan vita yangu ni kubwa mnooo🙏🙏🙏

  • @Irene-wd8xq
    @Irene-wd8xq Před rokem

    Mungu asipotutetea, basi ni nani balozi wetu..... Amina, barikiwa mtumishi wa Mungu.

  • @scolamayomba4662
    @scolamayomba4662 Před 3 lety +3

    Nyimbo hii ni nzur Sana mung akubariki mtumishi

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 Před 4 lety +4

    Nitetee Mungu, mahali niko siwezi pekee yangu,, nakuomba Mungu wangu unitetee🙏🙏🙏🙏nabarikiwa na huu wimbo nikiwa Saudi Arabia,, hakika Mungu ananitetee katika majaribu yangu,, kazini Kwangu Nitetee Mungu wangu

  • @user-qk7rl1jg4n
    @user-qk7rl1jg4n Před měsícem

    Nitetee Mungu Baba ...😢😢😢😢😢I'm in Niederösterreich Vita vikali

  • @user-ph6hn7kn8v
    @user-ph6hn7kn8v Před 9 měsíci +1

    Mungu wa ajabu mwenye neema Tele hutukinga na mabaya yote...I love this song and I listen to it every day.. inaponya kinonda ya roho. God bless u

  • @winfredmuasya3516
    @winfredmuasya3516 Před 4 lety +9

    Nyimbo zako zanimbariki sana....mungu aendelee na kukubariki na kukuinua katika kila hatua unayochukua katika uimbaji wako

  • @haikamremi4865
    @haikamremi4865 Před 5 lety +4

    Siwezi peke yangu Baba.
    Amen mtumishi..

  • @monicaobiero7816
    @monicaobiero7816 Před rokem

    Nitetee Mungu wangu... Nikubaya hapa kwangu. Kwa Jina la Yesu nimeomba.

  • @wilkisterkemunto2668
    @wilkisterkemunto2668 Před rokem

    Mungu nitetee nimechoka kulia😭😭😭 huu mwaka uwe wangu wa baraka. Naomba nitetee🙏

  • @janifferasidanto9901
    @janifferasidanto9901 Před 4 lety +7

    Nitetee kulingana namaandiko yako this 2020 wangapi tunaitaji kutetewa na mungu

    • @davidoskelu
      @davidoskelu Před 3 lety

      Nitetee Mungu wangu hatakama mwaka unakarimbia kupita wa 2020🇧🇮

  • @tabbygeorges6125
    @tabbygeorges6125 Před 3 lety +4

    Nitetee Mungu wangu🙏

  • @amosbusingyewarugaba2550

    Wimbo bora hususani na hali kisasa maana Mungu antutetee kuepukana na janga la Uviko 19 ...

  • @helenaamos501
    @helenaamos501 Před rokem

    Nitetee eeh Mungu wangu ,naona unazidi kuniweka viwango vingine, I like this song alot...!!

  • @gladysmwamburi1147
    @gladysmwamburi1147 Před rokem +6

    I first heard this song in my mother's burial since then it just comforts me 😭

  • @puritykambua9206
    @puritykambua9206 Před 3 lety +6

    Enda mbele yangu nitetee bwana wangu🎶🎶🎶
    I love this song from earth back to the moon.
    You bless me man of God

  • @maureenmukoya267
    @maureenmukoya267 Před rokem +2

    Nitete Mungu wangu safari yangu ina vita kubwa kumbuka nchi yetu Kenya huu mwaka simama na sisi baba #peace what we need one nation one tribe one

  • @sinyasignal
    @sinyasignal Před 3 lety

    Uri umuhanzi muri bake kwisi wambara neza,uririmba neza,ndagukunda cyane.

  • @ruthngui463
    @ruthngui463 Před 5 lety +54

    Love the song" God fight for me make my enemies wonder" I feel much blessed

  • @niyongereange3513
    @niyongereange3513 Před 4 lety +5

    Mwahangila nyimbo zako zinanibariki sana

  • @marynzige4079
    @marynzige4079 Před 3 lety +1

    Nitetee mungu wangu kupitia huu wimbo

  • @milcajkamanda8118
    @milcajkamanda8118 Před rokem

    Mungu naomba uuendelea kunitetea katika Kila Hali na jambo.pingana vita vyangu Mungu

  • @wilkisteregesa9013
    @wilkisteregesa9013 Před 6 lety +58

    Nitetee mungu wangu nakuomba mungu safari ya wokofu wangu ni ngumu san.a kila ni kijaribu dhambi ya nisuiya nitetee mungu wangu hata warabuni bila mkono wako sitaweza peke yangu nishike mkono yesu mm nikikushika nitachoka Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana🙌🙌🙏

  • @bokejoseph2188
    @bokejoseph2188 Před 6 lety +16

    Nitetee Mungu wangu huu mwaka.Be blessed Chris kwa hicho kibaji Mungu amekubariki nacho.

  • @AngelRimoy
    @AngelRimoy Před 6 měsíci +1

    Naamini Mungu Baba umekwisha kunitete

    • @AngelRimoy
      @AngelRimoy Před 5 měsíci

      ❤ Asante Yesu kwa kuzidi kunitete

  • @roselynestua7095
    @roselynestua7095 Před 2 lety

    Ameeeen wimbo huu umenifariji Leo nime hamuka nakuhmba mungu anipikiniye Asante kwa hi wimbo

  • @hawakamwendo3352
    @hawakamwendo3352 Před rokem +4

    Glory to God thanks for this song

  • @nelsonmutimba7079
    @nelsonmutimba7079 Před 3 lety +11

    I don't understand understand the language, but you are the best I love your music it drives my spirit by listening to it, from zambia 🇿🇲😍😍😍

  • @peninahlimoh8788
    @peninahlimoh8788 Před 3 měsíci

    Nitetee mungu wangu kwa madeni na ndoa yangu

  • @wanyamamnc612
    @wanyamamnc612 Před rokem

    Nitetee eeh Messiah 😓😓,nahisi nimechoka ndani mwangu 😴.
    Fanya kitu Bwana Mungu,shetani aaibike,amen