EXCLUSIVE: MAYELE ALIVYOZIKATAA AL AHLY & MAMELODI, "SIMBA HAWAKUTUMA OFA"| AGUSIA MAISHA YAKE MAPYA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 10. 2023
  • Sport

Komentáře • 189

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Před 7 měsíci +64

    The KING Mayele💚💛💚💛💚💚💚Wananchiiiiiii ganga like hapa kama unamkubali.

  • @kwejimisobi4491
    @kwejimisobi4491 Před 7 měsíci +19

    Fiston kalala Mayele, mzee wa kutetema. Hongera sn broo ni kweli hauchez rough, Mungu akusaidie sn kwenye maisha yko ya mpira

  • @lossarungira965
    @lossarungira965 Před 7 měsíci +17

    Ndugu umefanya uamuzi wa hekima Sana, not just money lakini umereason vya kutosha, keep the spirit up!

  • @tumaramadhani3381
    @tumaramadhani3381 Před 7 měsíci +10

    King mayele bado tunakukumbuka sana insha Allah allah akufanyie wepes kweny kazi yako

  • @mmewaswida
    @mmewaswida Před 7 měsíci +27

    Mayele wewe ni mtu na nusu. Yanga tunakupenda. God bless you.

    • @danielchamoto9376
      @danielchamoto9376 Před 7 měsíci +2

      Wakwenu au wa pyramids. Mna manatizo sana nyie nyuma mwiko😅😅

  • @LeticiaRichard-zm7co
    @LeticiaRichard-zm7co Před 7 měsíci +8

    MAYELE COME BACK TO YOUNG AFRICAAAA WE STILL NEED YOU

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 Před 7 měsíci +18

    You are still in wananchi hearts, God bless you our brother Fiston K M

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 Před 7 měsíci +9

    Mayele hongera sana Mungu azidi kukupa uwezo

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Před 7 měsíci +10

    Mayele wetu ss wanayanga tunakuombea dua sana MUNGU akulinde na uendelee na kipaji chako🙏

    • @sethjohnson7266
      @sethjohnson7266 Před 7 měsíci

      Mayele ni mchezaji wa timu zote. Siyo lazima Yanga tu. Shangaa unamkaribisha Tz anatokea mlango mwingine wa Msimbazi. Utamchukia?? Mwacheni dogo afanye kazi yake vizuri

  • @charlesmanga7362
    @charlesmanga7362 Před 7 měsíci +7

    Sisi wanayanga na Tanzania kwa ujumla tunakuombea mafanikio na binafsi mimi ingawa sio mwanamichezo najifunza vingi toka kwako...una nidhamu na malengo thabiti kwa vitendo na maneno... keep it up bro

  • @user-pw3xt9mw1n
    @user-pw3xt9mw1n Před 7 měsíci +5

    King mayele unajua sana kuieleza

  • @user-vl2ux2wl2l
    @user-vl2ux2wl2l Před 7 měsíci +4

    Jitahidi sana kumuomba Mungu kaka, utafanikiwa tu, Wala usivunjike moyo Mayeleeeee!!!

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 Před 7 měsíci +9

    😭 ALWAYS IN OUR 💛💚 KEEP IT UP OUR BROTHER

  • @user-yx8sh5rl7f
    @user-yx8sh5rl7f Před 7 měsíci +4

    namkubari mwamba japo mimi simba lakn the king uwakika

  • @christianmaganga8413
    @christianmaganga8413 Před 7 měsíci +1

    Umebet vzr mayele..daah sisi simba tunajuta kwann tulimpeleka miquisone Al ahly..ww umejitahdi kuangalia mambo mengi sana big up bro..

  • @PauloAlfayo
    @PauloAlfayo Před 7 měsíci +2

    Mungu akubarik sana kaka bado tunakupenda yanga ukaribieee tena zaid na zaid tunakuombea sana

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 Před 7 měsíci +2

    Hongera sana MAYELE TULIFURAHI SANA KUKUONA MUBASHARA

  • @user-ir3lf1wl6n
    @user-ir3lf1wl6n Před 7 měsíci +2

    Fiston kalala Mayele Dieu est plus grand que Dieu tabenusse

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 Před 7 měsíci +3

    Mayele, una heshima sana

  • @user-hf2pk9gc7y
    @user-hf2pk9gc7y Před 7 měsíci +5

    Mayeleeee tunakumis sanaaa nnjoo tuteme bwanaa huku weshakuwa na jeuri huku

  • @mksix6
    @mksix6 Před 7 měsíci +3

    Congo boy unakichapa sana

  • @tbm_mapazia
    @tbm_mapazia Před 7 měsíci +3

    mungu akusaidie ktk maisha yako

  • @FlansiscaTossy
    @FlansiscaTossy Před 2 měsíci

    Hongera sana hizo ni baraka kutoka kwa wananchi tulikupenda na bado TUnaendelea kukupenda. 💚💛🧡🙏

  • @KadabraGadna-xu5ez
    @KadabraGadna-xu5ez Před 7 měsíci +2

    The pridator mayele the king of judgle

  • @redpenkingofvoice
    @redpenkingofvoice Před 7 měsíci +2

    Mungu akubariki , hutafunga sana

  • @sultanmbogo8537
    @sultanmbogo8537 Před 7 měsíci +2

    uko sawa mungu akupambanie

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi Před 6 měsíci

    Hongera mayele kwakutokupata kadiyanjano na hongerasana kwa hekma na busara nakwakujitahidi mungu akubariki

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 Před 7 měsíci +1

    Mungu akubaliki😊

  • @majidkhamis5485
    @majidkhamis5485 Před 7 měsíci +5

    Safii sanaa kwa akili kubwa

  • @ramadhannjolesti
    @ramadhannjolesti Před 7 měsíci +2

    Ni mwamba kweli kweli💪👊🙏

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 Před 7 měsíci +2

    M/Mungu Akuwezeshe Amiiin.

  • @jumakapesa2940
    @jumakapesa2940 Před 7 měsíci +4

    Nimependa sana kwamba hujawahi kupata kadi ya njano na hautamani kupata kadi. Huchezi rafu na humfati refa kulalamika.
    Shima yako sana.

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey Před 7 měsíci +1

      😂😂😂😂 et hilo alikwepek n sehemu ya mpira hata akpata n sawa tu maana hakuna atakayeshangaa

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 Před 7 měsíci +1

    ALWAYS WE ARE LOVE YOU AND MISS YOU. WELCOME AGAIN. WANANCHIIIIIIIIIIIIIIII.

  • @user-yk9wv7ps4s
    @user-yk9wv7ps4s Před 7 měsíci +3

    Dada anahoji vizr cyo mizengwe

  • @imakulaba
    @imakulaba Před 6 měsíci

    I'm sure you will still be a king Mr.mayele

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 Před 7 měsíci +1

    Wetu huyoooooo mumemuona💚💛💚💛💚💛

  • @melodious2
    @melodious2 Před 7 měsíci +1

    huyo mtoto mimi ndiye ananikosha kumsikia na kumuona plz tag her

  • @molleldavid9510
    @molleldavid9510 Před 7 měsíci +3

    Very humble

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 Před 7 měsíci

    The king FESTON mayele

  • @BeatriceKassim-tz8bf
    @BeatriceKassim-tz8bf Před 7 měsíci +1

    Mayele mtaje huyo kiongozi turuke nae😂😂😂mwamba ana nidhamu sana kuna yule mshambuliaji wa upande wa pili ana kadi nyingi za njano kuliko kiungo😂😂😂🙌🙌

  • @Abdulmarickshamsi-xl7ry
    @Abdulmarickshamsi-xl7ry Před 7 měsíci +3

    Endelea kupambana bro ukipenda rudi bado heshima yako ipo

  • @user-eg9jq5ny3n
    @user-eg9jq5ny3n Před 7 měsíci +3

    Mwananchi huyooooo

  • @lwzmangulu7532
    @lwzmangulu7532 Před 7 měsíci +1

    Huwa unakuwa mtulivu Sana asee kwenye interview mayere the king

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 Před 7 měsíci +1

    ❤❤my G for life

  • @RojamfikilwaMfikilwa
    @RojamfikilwaMfikilwa Před 2 měsíci

    Mi wa simba rakini mayere anaakil sana

  • @kaberwaferdinand8485
    @kaberwaferdinand8485 Před 7 měsíci +2

    Bado tunakuhitaji wananchi , we miss u

  • @JoyceAndrea-lf2ue
    @JoyceAndrea-lf2ue Před 6 měsíci

    Feston oyeeeeeeeeee 💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💛💚💚💚💚💚💚💚💚👏 karibu 🤝

  • @jamesshitindi
    @jamesshitindi Před 7 měsíci +2

    Mayeleeeeeee

  • @saidibanda8347
    @saidibanda8347 Před 7 měsíci +2

    Mayele nimchezaji mwenye akili sana

  • @peterjosephsangei6116
    @peterjosephsangei6116 Před 7 měsíci +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 we ni balaa man

  • @selinalawala2270
    @selinalawala2270 Před 6 měsíci

    Mayele yupo kimkakati, safi sana.

  • @josejbilshani
    @josejbilshani Před 7 měsíci +1

    Karibu unyamani

  • @rude_killer93
    @rude_killer93 Před 7 měsíci +5

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Před 7 měsíci +2

    Ungenda al ahaly wangekuuwa kiwango usinge cheza maisha

  • @richardkimori5008
    @richardkimori5008 Před 7 měsíci

    Wana Yanga Tutakukumbuka zaid ulchofanya Kwenye Ngao za Jamii 2 mfululizo superb performance

  • @fistonmakopa598
    @fistonmakopa598 Před 7 měsíci

    Mayele number one ☝️ king 👑

  • @user-ee9xn2yg4o
    @user-ee9xn2yg4o Před 7 měsíci

    Aaaaaah!!!! FISTO KALALA weeeee!!!! hongera sana

  • @sumillohabdallah3259
    @sumillohabdallah3259 Před 7 měsíci

    Safi interview nzuri

  • @tbm_mapazia
    @tbm_mapazia Před 7 měsíci +2

    mwaba king

  • @LionelRichard-wj6zi
    @LionelRichard-wj6zi Před 7 měsíci +2

    Mtangazaji katuangusha sana kama hajajipanga na maswali yake badala APIGE exclusive interview la hatar anajiumauma tu

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 Před 7 měsíci +3

    Kumbe mwamba anapiga hesabu ya mbali sio ya karibu kama Fei toto 😂😂
    Yaani ameiona mamelodi ni team waweza enda lkn kupata namba ni mtihani kidogo,pia hawana Cha kujifunza kwakuwa ni team kubwa.
    Kaona piramidy ni team kubwa kifedha lkn kimafanikio anaweza kupata ubingwa akiwepo yeye na akawa ktk historia ya team hiyo na hawezi kusahaulika kama ilivyo kwa yanga hawezi kusahaulika kwa kucheza finally ya shirikisho asee king mayele una akili kubwa sana

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide Před 7 měsíci

    5:53 Point kubwa ya interview iko hapa big brain capacity kwako

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 Před 7 měsíci

    Mungu aendelee kukupigania

  • @user-fj9fl5gi7c
    @user-fj9fl5gi7c Před 7 měsíci

    ❤❤❤❤ mungu akujalie na kipaji chako

  • @user-mr8hq7ji9y
    @user-mr8hq7ji9y Před 6 měsíci

    ❤❤❤❤
    8:58

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk Před 7 měsíci +2

    Mama ali tetema

  • @revocatusbahatibussiah5201
    @revocatusbahatibussiah5201 Před 7 měsíci +1

    Ligi ya kwanza n morroco

  • @gumbomakulo328
    @gumbomakulo328 Před 7 měsíci +2

    We jamaa ni mtu sana

  • @user-sy3rd1jn4n
    @user-sy3rd1jn4n Před 6 měsíci

    Ah tumekumiss Sana jamn na style yak ya tetm

  • @SaidiKhatibu-rf5pr
    @SaidiKhatibu-rf5pr Před 7 měsíci

    Duh nataman kulia aiseeee how I love you my best player

  • @AishaSeif-dv9bs
    @AishaSeif-dv9bs Před 7 měsíci

    All the best brother mayele❤❤❤❤

  • @nkosiyabomasuku1795
    @nkosiyabomasuku1795 Před 7 měsíci

    Lakin Mayele umesahau siku ya Ngao Ya Jamii tarehe 13/08/2022. Furaha ilizidi mno!

  • @kanukanukanukanu5598
    @kanukanukanukanu5598 Před 7 měsíci

    Dah ongera sn kwa kugundua kwamba ligi ya tanzania n ya kupanga matokeo

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 Před 7 měsíci

    King mayeleee

  • @user-ii8lr4rk9n
    @user-ii8lr4rk9n Před 7 měsíci +2

    Unauwezo wa kuchezea izo tim

  • @user-rd3zb5rg5s
    @user-rd3zb5rg5s Před 7 měsíci

    Jembe letu Hilo💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @stanpeter1076
    @stanpeter1076 Před měsícem

    Mdomo mwingi ila ni mchezaji mzuri

  • @hansmaxhandu6920
    @hansmaxhandu6920 Před 7 měsíci

    Mchiz anachap kiswahili Kama kazaliwa bongo

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo Před 7 měsíci +2

    ❤❤❤❤

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Před 7 měsíci

    Safi sana King mayele

  • @salummweleka.3542
    @salummweleka.3542 Před 7 měsíci

    nakukubali san kaka wakikuzingua tu ludi nyumbn tumekumic kutetema mwamba

  • @mussasampambile798
    @mussasampambile798 Před 7 měsíci +1

    Acha uwongo wew unakataa al ahal unaenda timu isiyo na mashabiki

  • @JosmanSwila-qq6gs
    @JosmanSwila-qq6gs Před 7 měsíci

    Tumekusi sana tunakutakia mafAnikio mema mungu akusaidie

  • @jacksonmakarck9536
    @jacksonmakarck9536 Před 7 měsíci

    Daah bint ulitoka

  • @dericknathani3298
    @dericknathani3298 Před 7 měsíci

    Mayere❤❤

  • @kclpaints2981
    @kclpaints2981 Před měsícem

    Huyu mnafiki sana anatamani kurudi Tz halafi anasema anajuta kucheza Tz

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 Před 6 měsíci

    💚💛💚💛

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před 7 měsíci

    We missed you

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Před 7 měsíci +1

    Fatilia Al ahali utupe mbinu zao sisi yanga

  • @user-ox8hr4xv6w
    @user-ox8hr4xv6w Před 7 měsíci +1

    Ongela kwakuchaguwa timu vinginevyo ungefeli akili nyingi vema

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Před 7 měsíci +1

    Ndio maana tunakupenda bado wananyanga

  • @user-ns5gk7rg3f
    @user-ns5gk7rg3f Před 7 měsíci

    Ndio❤

  • @suleimanzimbwe373
    @suleimanzimbwe373 Před 12 dny

    Ulijisikia uko Congo au Tanzania ..kwani TZ ndo kwenu

  • @AishaSeif-dv9bs
    @AishaSeif-dv9bs Před 7 měsíci

    Ila wanachi tutazidi kukuombea sana yanga sc

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Před 7 měsíci

    Sema kule mlienda ajili yasimba

  • @lawiyorambwiza4100
    @lawiyorambwiza4100 Před 7 měsíci +1

    King@-♥︎♥︎♥︎♥︎♥︎♥︎√

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Před 7 měsíci

    Yes! Mayeleee! Faru dume la kutetema

  • @JoyceAndrea-lf2ue
    @JoyceAndrea-lf2ue Před 6 měsíci

    Feston oyeeeeeeeeee💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @patrickimran2645
    @patrickimran2645 Před 7 měsíci

    nice for good xomeback predator max is there for you mama na manara wanakumiss sana aalaf na Rais wa wanaanchiiii

  • @RabeccaAdam
    @RabeccaAdam Před měsícem

    Mayele kiujumla.watanzania au wanayanga tunakupenda sana ipambanie timuyako ifanye ikukumbue miaka yt hakuna majini wala uchawi hata kwawachazaji wezako pia huwa wanalogana so pambana uku ukimuomba mungu nec