EXCLUSIVE: AUNTY EZEKIEL aelezea kuumizwa kwake na Moze Iyobo kuomba hela wanawake wengine/nimemzidi

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 23. 11. 2019
  • Aunty Ezekiel amefunguka mengi kuhusiana na Maisha yake binafsi ya ndani pamoja na Baba Mtoto wake ambae ni Dancer maarufu wa Diamond Platnums Moze Iyobo ambae hapa katikati waliachana na sasa wamerudiana tena, lakini pia ameelezea mengi kuhusiana na maisha yake mengine, sababu za kurudiana, tofauti yao ya kipato, bila kusahau mwanaume aliekuwa nae alivyoachana na Moze
    copyright of ZamaradiTV
    Produced by Zamaradi Mketema
  • Zábava

Komentáře • 1,1K

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 Před 4 lety +235

    Nampenda aunty Ezekiel jamani ni mwanamke muelewa na yupo straight I like her

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 Před 4 lety +124

    IN TANZANIA I LIKE ZAMA SHE SO WELL COMPOSED AND VERY PROFESSIONAL AND THE WAY SHE ASKS QUESTIONS ..so naturally

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 Před 4 lety +198

    Napenda interview ya hivi sio mtu kila anachoulizwa jibu NO COMMENT 🙄 Asante aunt kwa kufunguka na pia Asante zama kwa maswali konki 👌👌

  • @sarahprecious4145
    @sarahprecious4145 Před 4 lety +63

    All the way from Kenya gonga likes,love Aunt and Wema so much

    • @redemptorbbombo402
      @redemptorbbombo402 Před 4 lety

      Love you too Sarah

    • @asaniafechi1921
      @asaniafechi1921 Před 4 lety

      Aksante.sana.dada.aunti.kwahukweli.wako.sikila.mwanamke.ambaye.anayepata.hujasiri.kamahuo.hubarikiwe.pia.bila.kumsahahu.dada.mtangazaji

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 Před 4 lety +117

    Zamaradi ! Unaonekana una Hekima na akili nyingi sana dah! Napenda sana interview zako. Zamaradi (wewe ni Mpole sana)

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 Před 4 lety +25

    Aunty you are my type💪💪.....I can't mix my kids with different fathers.......mama cookie you are very smart in your mind......

  • @monicaashery3540
    @monicaashery3540 Před 4 lety +86

    Nampnda aunt jmn dah, saut yake murua and she is cute

  • @gracegracegrace1827
    @gracegracegrace1827 Před 4 lety +76

    Hizi ndio interview sasa ......!! Achana na kina muna mambo ya kubuni na kina no comment ...nimeipenda interview hata yeye mwenyewe na ngozi yake natural 😘😘💞Zamaradi upo vizuri

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 Před 4 lety +139

    Ange kuwa Irene uwoya leo tunge koma na No comment hongera sana Aunty pia hongera sana Zamaradi Tv tume enjoy kwa maswali na majibu

  • @honestyerasto
    @honestyerasto Před 4 lety +15

    I love this woman (Aunty Ezekiel) She's real

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 Před 4 lety +19

    Mama moze ni bibi mwenye hekima Mungu ambariki sana.

  • @ItsHusna528
    @ItsHusna528 Před 4 lety +10

    I love zamaradi💓😍 she’s so beautiful independent, responsible and an orphan like me. I can relate to her so much. She has an amazing character.

  • @happyrichards319
    @happyrichards319 Před 4 lety +21

    Auntie is very matured and honest... Yani hizi ndo interview za kuangalia sio unamuuliza mtu kitu au swali anakujibu no comments...

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 Před 4 lety +6

    Zamaradi wewe ni zaidi ya iyo professional uliyonayo unaakili nyingi yani ni sawa unaangalia mpira wa ulaya mchezaji akiwa na mpira kabla ajatoa pasi unatamn ule mpira upelekwe wapi na ukafika ulipotaka ufike very intelligence

  • @viviancorner162
    @viviancorner162 Před 4 lety +71

    Napenda hiki kipindi ila naomba ufikirie kutafuta kameza kadogo kwa mahitaj kama maji na tissue sababu mahojiano yako yanampeleka mtu awe na wakati tofaut anachangamka na kuumiaa, huzuni , furaha , mda mwingine tuliona machozi kwa irene na muna ! Wawekee meza maji kidg na tissue zamaradi itapendeza zaidi !! All i all the show is very nice!❤❤

  • @mwajabusultani6420
    @mwajabusultani6420 Před 4 lety +66

    Big up aunt..hiyo ndo heshima ya mwanamke..hata mwanaume pia anapaswa kujifunza kumuongelea vzr mwenzako...domo ajifunze hapa

  • @tatuusimba9583
    @tatuusimba9583 Před 4 lety +14

    Nakukubali sana Ant katika watu waliofurahi kurudiana na mose nahisi hakuna kama Mimi nakupenda sana ant

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 Před 4 lety +104

    Mwanaume akikupenda anahukudumia baby. Mnao amini mlike hapa

  • @faudhiajuma7340
    @faudhiajuma7340 Před 4 lety +153

    Like za zamaradi mtu asokosea mwenye secta ii

  • @chainbre275
    @chainbre275 Před 4 lety +21

    Zamaradi unajua kuwatekenya Hao celebrities paka wakatekenyeka yani mtuanafunguka yauvinguni yoteeee bila stress hogera sna zama💪💪💪💪👏👏👏❤️❤️💕

  • @halmamudy1
    @halmamudy1 Před 4 lety +82

    Nampendaa aunty Sana,she is a bright woman!

    • @sophiambwana8942
      @sophiambwana8942 Před 4 lety +2

      Hongera Sana Aunt nimekuelewa ni bongela mwanamke,Mbele ya Moze, Mungu azidi kuwapa upendo nakupenda.😘

    • @ezgardfungo4671
      @ezgardfungo4671 Před 4 lety +1

      true she is, I have also learned that

    • @halmamudy1
      @halmamudy1 Před 4 lety +1

      @@ezgardfungo4671 anajielewa!

    • @ezgardfungo4671
      @ezgardfungo4671 Před 4 lety +1

      @@halmamudy1 sikufikiria yupo hivi, mara kibao huwa namuona pale the luxy then naona ndo walewale

    • @halmamudy1
      @halmamudy1 Před 4 lety +2

      @@ezgardfungo4671 anaakili Sana yakujituma na amekomaa kiakili,ingekuwa ni mdada mwingine asingengemrudia Baba mtoto wake,lakini Aunty kwaza mbali na future ya mwanae. Pia nje kumejaa😂😂

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 Před 4 lety +5

    Auntie u are very intelligent lady zama u are the most professional woman I know in Tz , wee ndio mfano wa young upcoming girls in TZ big love 💗 from 🇨🇭🇨🇭🇨🇭

  • @mamamagita560
    @mamamagita560 Před 4 lety +14

    Nimejifunza mengi sana kupitia hii interview, big up aunt, much love ❤️

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 Před 4 lety +31

    Well done aunt, yaani umefanya vizuri kurudiana na baba mtoto wako. Kwenye relationship siku zote mkiachana anayeumia ni mtoto kuliko wazazi.

  • @chazzybahili3696
    @chazzybahili3696 Před 4 lety +16

    Auntie is very smart!! Sikuwahi fikiria kama yuko hivi!

  • @zaharadaffa6851
    @zaharadaffa6851 Před 4 lety +64

    Zama ktk wote uliwahoji Aunty yupo smart sana

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 Před 4 lety +7

    Hongera Zamaradi kwa interview nzuri na Aunty Ezekiel, Imependeza na amejibu vilivyo. Asanteni Sana!

  • @auntyominde3565
    @auntyominde3565 Před 4 lety +9

    I love this lady aunty Ezekiel you are just Real much love from 254

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 Před 4 lety +33

    Nampenda sana Anti sababu hajisikii kama mastaa wengine

    • @piligeorge8278
      @piligeorge8278 Před 4 lety +1

      Mume ni kujua majukumu yake kulingana na kipato chake mshike sana mume wako aunt Ezekiel

  • @aymaansaid8594
    @aymaansaid8594 Před 4 lety +38

    Aunty upo vzr maana unakua kwenye uhalisia mkweli thanks kwa kumjali mumeo kaza moyo usitazame ulipodondoka tazama uliposimama now

  • @justinejulius3544
    @justinejulius3544 Před 4 lety +6

    This is very emotional. ..it's touch my heart. .. Nimependa jinsi zamarad alivyoweka maswali kauliza kinidhamu zaid

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 Před 4 lety +6

    Thanx Zama🙏....Aunty umenigusa, MUNGU TUPE NGUVU SINGLE MOTHERS 😔 Alhamdulilah 🙏

  • @samniza1763
    @samniza1763 Před 4 lety +4

    She is beautiful inside out with a beautiful soul. I don't think money matters, there is many husbands who earn less than their wives, but what matter most is the love between the 2 and nothing else. Love conquers all. Love you aunt Ezekiel.

  • @enidtv2354
    @enidtv2354 Před 4 lety +8

    she is very open sana i love her, zamaradi big up

  • @zubeydashabaan668
    @zubeydashabaan668 Před 4 lety +19

    This lady is so matured 😍😍 i love you girl May your family never break forever ❤❤

    • @adelinalucas8193
      @adelinalucas8193 Před 4 lety

      Nje kumejaaaa nawapenda nyie watu mko vizuri sana wamama wa nguvu

  • @Zainablicious
    @Zainablicious Před 4 lety +18

    Zamaradi, you rock! Your interviews are so professional! I love you 💕🌹 Well done Mama Cookie, you are a home-maker 💕🌹

  • @bitemimimi5502
    @bitemimimi5502 Před 4 lety +4

    Zama I salute your interview techniques .kwa level ya motivational interviewing kuwa performed Tanzania kwa kiwango Cha juu ivyoo wow your doing a great job .

  • @nurathkassim9199
    @nurathkassim9199 Před 4 lety +4

    nakupenda mnooo auntezekiel una roho nzuri sana ...😍😍😍

  • @celinelihaka2362
    @celinelihaka2362 Před 4 lety +2

    Hongera sana sana Aunty. Nimependa umeonesha ukomavu sana katika mapenzi na ndoa. Nimependa ulivyosema hupo kuacha tena( you'r not going to quit)

  • @murekatetehenriette1438
    @murekatetehenriette1438 Před 4 lety +83

    Watu wote wakiwa wazi kama Aunty ni vizuri.acha wakina Irène no comment.

  • @nasramasimba3532
    @nasramasimba3532 Před 4 lety +25

    Zama u got a talent Allah has blessing u...
    I really like u

  • @jamesdelicious3957
    @jamesdelicious3957 Před 4 lety +4

    Ila aunty Ezekiel unampenda Sana moze iyobooo Mpakaaa Rahaaaaa jaaaaaman 😍😍😍 MUNGU AWALINDE❤

  • @queenzuu6333
    @queenzuu6333 Před 4 lety +5

    I never commented but I love aunty ekeziel so much......much love from somalia❤❤❤🥰

    • @Muganyizi
      @Muganyizi Před 4 lety

      DIAMOND PLATNUMZ welcome sir in tz...that our best actor anti Ezekiel

  • @Ms.Shansha
    @Ms.Shansha Před 4 lety +5

    she is beautiful and very open...hope to see your upcoming movies#auntyezekielinzamaraditv

  • @merryethipia6047
    @merryethipia6047 Před 4 lety +8

    Aunt yuko smart sana kwenye maswali kajibu yote 👏👏

  • @suzziejelagatt
    @suzziejelagatt Před 4 lety +7

    Shes kind mature and straight forward. I love her mind set

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 Před 4 lety +14

    I just love her she so beautiful and mature may God protect her union. Zama that was good interview!!!

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 Před 4 lety +6

    Truth be told
    Tukubali tukatae WATOTO wameokoa/ na wataendelea kuokoa ndoa/mahusiano mengi
    Hapa duniani, I swear isingekua ni watoto NDOA nyiiingi zaidi ya tuzionazo ZINGEKUA CHALIIII
    tuwaulize hata mama zetu , ni vile tu hawawezi kusema openly

  • @priscaprisca2569
    @priscaprisca2569 Před 4 lety +3

    Lv u Dr Aunt kwa kuwa comfortable kujibu maswali yote straight Bila zile no comment😚

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 Před 4 lety +15

    Hongera sana Aunt kwa maamuzi mazuri

  • @happymaimu3774
    @happymaimu3774 Před 4 lety +3

    Kama unesikia Wanaume zako gonga like. Supper interview.

  • @robbyhyroon6870
    @robbyhyroon6870 Před 3 lety +1

    Dah,nimechelewa kuiangalia hii interview but nilichojifunza kutoka kwa mamdogo wangu Unty Ezekiel ni kwamba Kwanza Unty anajitqmbua anachokifanya katika maisha ake pia nimuuelewa kwa kweli.Big up Unty.

  • @florencemwikali9291
    @florencemwikali9291 Před 4 lety +31

    Have never watched an interview to the last drop ...but with this one replayed severally ,good job bby Zara

    • @jamibehoq8512
      @jamibehoq8512 Před 4 lety

      Ģggģģgfģģ

    • @drmahaba
      @drmahaba Před 4 lety

      you cant regret watching this girl, she is a star of her own style

  • @sharonmusembi5567
    @sharonmusembi5567 Před 4 lety +3

    Nampenda sana huyu dada( Aunty Ezekiel)tangu enzi za marehemu kanumba... from Kenya 🇰🇪

  • @monalisachela8103
    @monalisachela8103 Před 4 lety +11

    Safi Sanaa mama kuki kuludiana na baba kuki 👏👏👏👏👏

  • @eddierwega2012
    @eddierwega2012 Před 4 lety +3

    I've loved the story kwa kweli very touching. Kuna mahali nimeguswa sana

  • @isihakazomboko8663
    @isihakazomboko8663 Před 4 lety +4

    Niwe tu mkweli Aunty nakupenda mnoo serious.nakupenda mnoo for everything.mungu yunawe kila kona..

  • @lizngure4739
    @lizngure4739 Před 4 lety +30

    Aunt Ezekiel is so real i love her n zamaradi i like ur professionalism 💯

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 Před 4 lety +27

    Huyu Zamaradi yuko makini na maswali yani kila penye jibu nae anapata swali lengine🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 Před 4 lety +1

    Nimekupenda sana hata mimi naomba Mungu nilipata mume na wish nijekuwa na family ya watoto wa baba mmoja .inshallah Aunt Mungu atakufanyia wepes kuzaa watoto wa baba tofauti inaumiza

  • @kadungulu1
    @kadungulu1 Před 4 lety +1

    I love you zamaradi kwa kuwa huna wivu na una penda kuinuawanawake wenzako na jamii kwa jumla.Mungu akuzudishiye na akulinde mama .

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 Před 4 lety +28

    Ninachompendea anty ni mkweli hua napenda kumsikiliza sio kina monalove penda sana anty ezekiel😘😘

  • @kerryhoza6173
    @kerryhoza6173 Před 4 lety +6

    You are so smart Aunty! Be blessed

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 Před 4 lety +7

    Anty you're are the best women you have done the good decision

  • @maryshoocharles1254
    @maryshoocharles1254 Před 4 lety +7

    Aunt jaman anajua san kujieleza muwazi san n anajielew I real love and like her

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 Před 4 lety +17

    Hahahahahaaaaaa hahahaha huko nje kumejaa kwakweli aunt tulia tuu namtu wako habibty hahahaha,,,
    God blesse u

  • @abellajaneth4147
    @abellajaneth4147 Před 4 lety +3

    Auntie nimekupenda bure,uwa uko muazi sana na unajielewa sana,big up

  • @stellahmutheu9249
    @stellahmutheu9249 Před 4 lety +1

    Interview nzuri kabisa napenda jinsi alivyo tulia zama na kuuliza maswali ya hekima....napenda kabisa sauti ya Aunty yaani hajafake kama wanavyofake sauti wengine wanapohojiwa! Mob love from +254 mama cookie

  • @teclarutto3275
    @teclarutto3275 Před 4 lety +7

    You are one in a million Aunty, may your marriage last longer, love you so much.

  • @drmahaba
    @drmahaba Před 4 lety +9

    GOOD JOB ZAMARADY, I LOVE THE FLOW OF YOUR LOGICAL QUESTINING, it is superb

  • @keiramayars7544
    @keiramayars7544 Před 4 lety +17

    I'm in love with this interview Zama😍... big up sana... wanawake real kama hawa ndo utuleteage... kina Irene tupa kule!! Fake fake kila idara. Yuck😪😂

  • @costanciakavindi9992
    @costanciakavindi9992 Před 4 lety +1

    We ni mwanamke wa nguvu! Tunakuombea mungu na familia yako hadi mzeeke pamoja, mapenzi yana ngivu sana hasa mkiwa na watoto. Umeamua sahihi na.mungu anawapenda sana na kawapigania. Nanyi msiache kumshukuru maana bila yeye tayari dunia ilikuwa imewaweza. Nawapenda mno

  • @fatmaalkhuleidy1728
    @fatmaalkhuleidy1728 Před 4 lety +8

    Zama you are a good host and Aunty amejibu kisawasawa 100% looking forward for interviews with mama dangote and Tanasha......

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 Před 4 lety +3

    Masha Allah Aunty your a mother I love you more thank you for that much luv from ug

  • @mgenisalim6830
    @mgenisalim6830 Před 4 lety +4

    Best Interview nampenda Aunty Coz yuko real

  • @victoriajohn2270
    @victoriajohn2270 Před 4 lety +9

    Aunt Ezekiel nimekwelewa mnooooo tena mnooooo endelea ivoivo Mama unafaa kuigwa mpenzi Safi sanaaa👏👏👏

  • @khalekichambo1131
    @khalekichambo1131 Před 4 lety +11

    Awesome interview, aunt Ezekiel ni muwazi na mtu wa hisia. Tutegemee na Mose nae atakua hivyo ndani ya nafs yake ili penzi lidumu

  • @tabithanjeri493
    @tabithanjeri493 Před 4 lety +3

    In love with your colour complexion aunty..... Zama kudos,nice interview

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 Před 4 lety +11

    Kipato hakiwez kubeba heshima inategemea na nafasi uliyompa mtu,

  • @fadhilaissa1938
    @fadhilaissa1938 Před 4 lety +14

    Aunt nakupenda unajibu vizuri sio wengine wakifanyiwa interview wakiulizwa maswali no comment sasa cjui wanakubaliaga nini kufanya interview.

  • @lucyabinlai928
    @lucyabinlai928 Před 4 lety +32

    Mungu nijaalie mama mkwe km mama moze🙏

  • @ntungwanayomary4371
    @ntungwanayomary4371 Před 4 lety +5

    Masha Allah zama big up aunty yuko powa kabisa anaongeya kweli

  • @pendonana2822
    @pendonana2822 Před 4 lety +3

    Aiseee ngozi nyeusi nzurii bhanaaa asikwambie MTU mmependezaa na rangi zenu za asili

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 Před 4 lety +3

    Thank you zam your so professional big up gal

  • @callmesubra5472
    @callmesubra5472 Před 4 lety +8

    Always the best interview zama 👏🏽👏🏽👏🏽

  • @chainbre275
    @chainbre275 Před 4 lety +33

    Mama cookie eti huko nje kumejaa
    Kila mtu na mtu wake kwahiyo sitowahi kuazisha Tena mausiano mapya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 Před 4 lety +6

    wonderful interview. Zama is a professional host, utajibu tu masuala yake, na aunty Ezekiel is truly a wonderful woman. nime enjoy mwanzo mwisho. God bless all the families

  • @cartasrwabutomize9616
    @cartasrwabutomize9616 Před 4 lety +1

    Ongera sana zamaradi kipindi chako ni kizur ,nimempenda sana aunt jaman

  • @andreasdeosdedith2596
    @andreasdeosdedith2596 Před 4 lety +2

    Love u 😘 much ma Cookie,ndoa ni mavazi tyu mnaishi na malengo na mipango yenu ndo arusi kuuuu❤️❤️❤️❤️❤️

  • @daisytatyana9731
    @daisytatyana9731 Před 4 lety +5

    I like this woman , dream yake is real.

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 Před 4 lety +6

    Nyie wanawake nawapenda aunt, na zam,up sana

  • @shuwekhatwalib3331
    @shuwekhatwalib3331 Před 4 lety +1

    WOW....i like hio statement that hukuwahi furahia mabaya ya baba mtoto wako.Big up girl,let love take control.

  • @upendorichard847
    @upendorichard847 Před 4 lety +2

    Aunt unazidi kutupa moyo wanawake wenzio hakuna mausiano yasiyo na misukosuko ila nimejifunza kitu kwako leo nakupenda you strong woman

    • @neemarama5902
      @neemarama5902 Před 4 lety

      Dada huyu ana akili zaidi, nadhani bongo movie na wasanii wote kwa ujumla wajifunze,

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 Před 4 lety +22

    We learn through mistake auntie Ezekiel family first good job.

  • @alimashaban6318
    @alimashaban6318 Před 4 lety +24

    Nakupenda sana mama cookie❤❤❤you are so beutiful💋na unaongea vizuri sana👍

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 Před 4 lety +1

    Jitaidi mama kuki kupunguza mwili ili muendane lkn pia nimekupenda sana umeonyesha utofauti mkubwa sana sana na waigizaji wengine wakike mungu akubariki mwongoze baba kuki ili mzeeshane hata km kakukosea act km mama kwake LOVE YOU mama kuki and baba kuki

  • @shahiddy2825
    @shahiddy2825 Před 4 lety +1

    Zamaradi nakupenda unapachika maswali amabyo kama mtu sio mjanja anatapika kila alichonacho hata kama alitaka kuficha.
    uko vizuri kwa kweli.

  • @omanoman4182
    @omanoman4182 Před 4 lety +52

    Nakupenda aunty💏nakupenda zamarad wiki nyingine tuletee wema sepetu au batuli

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 Před 4 lety +1

      Wema atatuletea kinge kingii

    • @tausak4568
      @tausak4568 Před 4 lety

      Cathereen Exzavery 🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️

    • @mohameeddoaan2296
      @mohameeddoaan2296 Před 4 lety

      Unishindi mimi nampenda sana mungu amsimamie

    • @munirayakoub3682
      @munirayakoub3682 Před 4 lety +1

      @@m.mmarckus6298 sasa situtajifunza nawewe🤣🤣🤣usinichekeshe bwana

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 Před 4 lety

      @@munirayakoub3682 bwanaaaaa,kinapitiliza km siyo wa kwetu

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 Před 4 lety +93

    Ila mi nampenda sana Aunt, anavyoongea yuko really sio interview ya Muna lol🤣 iliboa sana

  • @jamilaathumani7950
    @jamilaathumani7950 Před 4 lety +1

    Anti nimkwer sana kwenye maongez yake mim namuelewa sana yani maisha yake nikama yang tofauti nikidogo sana ,,,big up umefanya kwer nakitu sahihi