EXCLUSIVE: IRENE UWOYA alizwa na Ada ya mtoto wake/Anatumia maziwa kuogea/Tuhuma za kumuua Ndikumana

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 10. 2019
  • copyright of ZamaradiTV
    Produced by Zamaradi Mketema
    Camera/Editing by Bestizzo
    Color Grading by JEFF
  • Zábava

Komentáře • 1,8K

  • @boboyann3435
    @boboyann3435 Před 4 lety +9

    Wale wanawake wa Wasafi TV wajifunze kutoka kwako Zamaradi, wanakua na kiherehere mingi sana kwa interview zao.....Irene u made me cry😭😭😭😭😭

  • @asiakomba1056
    @asiakomba1056 Před 4 lety +36

    Daaah nimejikuta ntokwa Na machozi pambana Dada kwa ajili ya mtoto WK krish love

  • @pinahoscar6735
    @pinahoscar6735 Před 4 lety +19

    Irene napenda the way unavoongea yan sauti yako tamu balaa👏👏👏maswali makini, majibu makini kiujumla bonge la interview hongera zamaradi baby😘

  • @jailethjosephales8860
    @jailethjosephales8860 Před 4 lety +14

    Nakupenda Sana Irene uwoya Mungu yu nawe pamoja na mwanao.. Pole haya ni mapito ya Dunia everything will be alright 😍😘🙏

  • @keylopaxassey3375
    @keylopaxassey3375 Před 4 lety +450

    Interested interview.. You need a small table, tissue papers, and maybe some water..

  • @naomimmary3885
    @naomimmary3885 Před 4 lety +41

    Bora ata ulimzaaga mtoto wako leo anakuwa faraja kwako, kuliko ungemtoa mungu akulinde umalize mwendo salama

  • @everlynekakatoi1704
    @everlynekakatoi1704 Před 4 lety +26

    Irene,you r a hero,singles mothers r hero's,hakuna mtoto anaishi maisha mazuri katika hii dunia kama mtoto was single mother,keep it up dear

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo1322 Před 4 lety +57

    Kama unamkubali zama gonga like hapa

  • @Angetrida
    @Angetrida Před 4 lety +53

    Zama nlimiss Sana vipindi vyako your the best...and big up to Irene she is a woman and a half 🤗❤️❤️

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 Před 4 lety +37

    Nakupenda sana Irene mungu akutumzie mtoto wako na mungu akupe mwingine

  • @joycedaudi8765
    @joycedaudi8765 Před 4 lety +4

    Love you uwoya, jitunze sana, pia naona ada ipo juu sana ndugu yangu. Mtafutie shule ambayo itakup una fuu kulipa ada, usiogope wanadam kusema ni kawaida yao. Nakupenda,

  • @keits255
    @keits255 Před 4 lety +42

    “ Tanzanian Oprah “ people Seem to open up with you Zamaradi . You’ve got that connection with people ! Good interview!

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV Před 4 lety

      Kate Semiono czcams.com/video/YIoCQeP48yk/video.html

  • @benzemabenzema5383
    @benzemabenzema5383 Před 4 lety +57

    Nampenda Sana Irene😘umeniliza stay blessed

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 Před 4 lety +86

    Huwa naumia nikiona mwanamke akilia especially single moms ...pole irene..God will see you through darling

  • @angelmwandata2233
    @angelmwandata2233 Před 4 lety +82

    Irene mbna unatuliza wenzio huku pole dada😭❤❤

  • @neemammary5985
    @neemammary5985 Před 4 lety +17

    Hongera zama nimependa kabisa interview yako Ireen pole umeniliza

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Před 4 lety +35

    Awww mtoto anaakili sana mpeleke shule ya kawaida usijitese Irene huyo mtoto yuko kama mwanangu anavyonipaga moyo your beautiful mama kaza buti mamaa

  • @dorislelo287
    @dorislelo287 Před 4 lety +17

    Best interview Irene amefunguka unatendeaga haki zama ila pale alipokua analia ungejaribu hata kumliwaza kidogo kingine mahijiano mengine pasikose angalau maji na tissue

  • @dignaerasto6699
    @dignaerasto6699 Před 4 lety +9

    Nakupenda Sana madame Irene na zamarad Uko vizuri Sana

  • @janewilson8620
    @janewilson8620 Před 4 lety +5

    Kitu nimependa kiswahiliglish hamn had raha zama na Irene mpo vizur wote muuliza na muulizwa nimewapenda

  • @MARY-bt1zm
    @MARY-bt1zm Před 4 lety +16

    Nakupenda da Irene na sijutii maana sote wanadamu na kila mmoja wetu ana mapungufu yake..😍😍😍

  • @tasharosre6026
    @tasharosre6026 Před 4 lety +24

    Hongera zamarad nakupenda bure unajua kuhoji, Irene penda ww

  • @ansilaulotu7178
    @ansilaulotu7178 Před 4 lety +15

    That's what we call absolutely mother's heart, mother's love, mother's everything!!

  • @user-gl4du6vo7j
    @user-gl4du6vo7j Před 9 měsíci +1

    Pole sana kipenz nskupenda your very strong...umeipenda damu yako we ndo mama ww ndo baba....keep on going pambana mamaang we love u

  • @hadijahassan9426
    @hadijahassan9426 Před 4 lety +37

    Dah hii interview nimeipenda sanaaaaaa hongera Dada zama kwakuuliza vzr maswali❤hongera Irene umejibu vzr maswali❤Leo umepona Irene moyo wako utapoa Kwa machungu yaliyopata sababu umeongea utajisikia vzr sana ❤

  • @SandraSalomeAngolorctr
    @SandraSalomeAngolorctr Před 4 lety +21

    Dada Zama..you are doing a great job but a nice table between those chairs with a box of tissues and some cute flowers would be nice. Love from Ug🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @aishaomary7384
    @aishaomary7384 Před 4 lety +3

    Pole Irene hata ivo unaitaji pongezi kwa kusomesha mtoto kwa Ada hiyo mungu akupe maisha marefu

  • @switbird24love57
    @switbird24love57 Před 4 lety +7

    Irene answered the question accordingly......Big up zama

  • @WendoJuma
    @WendoJuma Před 4 lety +28

    Irene....she is very emotionally

    • @severinemabirika2249
      @severinemabirika2249 Před 4 lety +1

      U can't say she is very emotionally .....but say she is very emotional

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997

    Irene ni mwanamke mrembo Masha ALLAH, na unajiamini pia wewe ni mwanamke wa shoka ALLAH akutanguliye katika malezi ya mtoto

  • @mariamissa4765
    @mariamissa4765 Před 3 lety +3

    Daah nmeumia kweli kuona machoz yako ,Irene mungu akuongoze dada katika safar ya maisha yako na mwanao

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA Před 4 lety +26

    Bonge moja la Interview....💕💕💕 duh hadi nimelia na Mimi.

    • @estamapesa363
      @estamapesa363 Před 4 lety

      Dada Yangu mambo uko wapi jmn ckuon miss you much

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 Před 4 lety +31

    Umenitamanisha TAKE ONE, hongera Sana zamaradi maswali mazuri na majibu mazuri, Irene uko Sawa always

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 Před 4 lety +44

    Zamaradi hongera Sana Irene ana kuheshimu Sana kwa kujibu hayo maswali yote

  • @SB-li5qv
    @SB-li5qv Před 4 lety +6

    Irene mzuri mnoo....Big up Zama.

  • @neykazungu6184
    @neykazungu6184 Před 4 lety +3

    Wow! Asante Dada Zamaradi kwa interview nzuri, Pole Irene kwa mapito uliyopitia, usife moyo endelea kupambana wewe ni mwanamke mzuri na jasiri....Nakupenda sana

  • @bettykim146
    @bettykim146 Před 4 lety +18

    Congratulations sister zama I like the way you put your interview in order more love from Kenya 💕💕❤

  • @Gmalen
    @Gmalen Před 4 lety +29

    Dada Irene maisha yako ni fundisho kwa akina dada wengi mno na hata sisi akina kaka , tunashukuru sana kuwa muwazi
    Honestly Nakupenda sana dada ❤❤❤

  • @evancemsyangi8324
    @evancemsyangi8324 Před 4 lety +202

    Kama umeona I phone toleo jipya gonga like

    • @aminakombo582
      @aminakombo582 Před 4 lety

      leleopard mbona kama povuu achaa wivuu

    • @blackpantherleopard6320
      @blackpantherleopard6320 Před 4 lety +1

      @@aminakombo582 😁😁😁sasa wivu wa nini akati ivyo ni vya kawaida mmmm africa bwana umaskini unatuma mtu anasifu kitu cha ovyo kweli ungesema ana miliki gari la kwanza kisamani siyo iyo simu au ungesema nyumba

    • @maryemmanuel6764
      @maryemmanuel6764 Před 4 lety

      evance msyangi na hotel kubwa anazotumia achane nazo kwanza

    • @sophiakasim5153
      @sophiakasim5153 Před 4 lety +1

      Na ndo alichotaka kuonyesha

    • @mustafaabdul6297
      @mustafaabdul6297 Před 4 lety

      Upo vizuri sanatu

  • @wamchomvudedone9873
    @wamchomvudedone9873 Před 4 lety +57

    Interview nzur ila ushaur kuwe n Maji,tissue o coffee...

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Před 4 lety +30

    Pole sana Irene wangu mungu yupo 🙏🙏❤️

  • @malisemagasper1685
    @malisemagasper1685 Před 4 lety +43

    Hongera sana zamaradi unahoji kwa step lkn pia maswali yako ya heshima sio ya hovyohovyo yan unajua kuuliza kwa hekima

  • @jeygelgerald674
    @jeygelgerald674 Před 4 lety +8

    Usimuilze maswal yakumliza nampenda sana uwoya she's my twin

  • @mwanakheriseleman3106
    @mwanakheriseleman3106 Před 4 lety +9

    Hongera zama kwa interviews nzuri, na Irene umejibu vizuri kiasi tumeelewa maumivu unayopitia pole sana.

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339

    Huyu mwanadada ana heshima zake interview yake inavutia hana pang'ang'a kama wabongo hao wengine ni mtaratibu hadi una miss tu aendelee na mahojiano

  • @mgenisalim6947
    @mgenisalim6947 Před 4 lety +42

    Best interview ever daa zama ur so smrt unapouliza maswali

  • @charlynmasai2164
    @charlynmasai2164 Před 4 lety +11

    zamaradi is the best his interview is of high level

  • @lovennesclement1291
    @lovennesclement1291 Před 4 lety +3

    Dah umenitoa machoz Irene wangu,usjali Mungu akutie nguvu ili mwanao apate elimu bora

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 Před 4 lety +13

    Pole sana Irene hayo yote ni mapito
    Thanks so much Sister Zamaradi 😘

  • @alimashaban6318
    @alimashaban6318 Před 4 lety +11

    Ma sha Allah irine uwoya you are a strong woman keep it up,umeniniliza ulipolia na ukanichekesha kwa maneno ya krish eti acha zako mm wee huna hela😂😂😂afadhali yako ww unajuwa mzazi wake alifariki!sisi wengine tunapambana na wazazi wa watoto wetu wapo ila hawashuhulikii watoto wao🙉🙉

  • @swabrakaisary8960
    @swabrakaisary8960 Před 4 lety +1

    Pole saana Iren kwakweli umenistisha saana nimkasa ambao Mimi napitiaa wakusomesha mtoto ivyo nimeumia saana Munqu akutie nquvu

  • @esthermiseka8315
    @esthermiseka8315 Před 4 lety +18

    This interview makes me cry😰

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 Před 4 lety +18

    Technical advice: Kuna Mwangwi unasikika ambao sidhani kama ni necessary, fanyia kazi hilo @Zamaradi

  • @gloriaodaba4001
    @gloriaodaba4001 Před 4 lety +113

    Zama you need tissues if u have to evoke such deep emotions from people.I like your interview the.

    • @leilamom2270
      @leilamom2270 Před 4 lety +1

      Hongera zama

    • @farahmussa9754
      @farahmussa9754 Před 4 lety +4

      Kwahio zimekosekana tissue bado hajafanya vizur jamani 😏, mwanamke hand chief 👌na wala si mzigo.Leo hajaweka kitu kesho akiweka soda bado utasema aweke wine ,waja mengine tupunguze.

    • @stanleymlela2474
      @stanleymlela2474 Před 4 lety +4

      Kwani nn nayeye da Irene asitembee na leso

    • @watson2488
      @watson2488 Před 4 lety +4

      gloria odaba ,,,its true tissue would do , than wiping out tears with them bare hands

    • @yasmenoozm8094
      @yasmenoozm8094 Před 4 lety +1

      @@stanleymlela2474 aki ww🤣🤣🤣

  • @asnalially6799
    @asnalially6799 Před 4 lety +23

    Yaan bonge la interview zama anauliza maswali kiakili sana mpaka irene kaongea ukweli wote sijasikia NO comment 😄😄😄👍👍

  • @neemaerasto1842
    @neemaerasto1842 Před 4 lety +6

    sister zamarad ur a super woman
    i lov very much big up and ur interview session
    very sorry irene uwoya let God be with u in ur hard time ur passing through

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 Před 4 lety +11

    Unaniliza dada uwya❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢

  • @lulusaid7602
    @lulusaid7602 Před 4 lety +21

    Hongera sana Irene Mungu akutunze wewe na mwanao💕

  • @getrudejuma3354
    @getrudejuma3354 Před 4 lety +9

    The only high valued professional journalist, wengine wanatafuta udaku tu!

  • @miriamcheya3136
    @miriamcheya3136 Před 4 lety +6

    Km ulishawah kufwatilia interview za irene nahukuona machoz sponges kwa zama km umeona hilo gonga like twende sawa

  • @thammyfrancis9568
    @thammyfrancis9568 Před 4 lety +17

    Much love u Irene 😘

  • @joanalfred1074
    @joanalfred1074 Před 4 lety +13

    Zama please lighten the stage imepoa sana make it classy , otherwise it’s dope! You know you are the best! Irene thanks for sharing

  • @lidaroserutaguza3987
    @lidaroserutaguza3987 Před 4 lety +10

    Nakupenda sana Irene hakuna kama mama I believed in that just be strong my dear 💖😘😘😘😘kila kitu kinatokea kwa sababu just believe in God

  • @ivythequeen5820
    @ivythequeen5820 Před 4 lety +6

    What a heart touching interview ,it gat some lesson too

  • @zumzummohamedi6513
    @zumzummohamedi6513 Před 4 lety +14

    Zamaaaaaaaaa nakupenda Bure nipo arusha japo arusha ujatutembelea

  • @vailethywalter5674
    @vailethywalter5674 Před 4 lety +6

    lrine nakupenda sana wewe ni mwanamke mzuri na jasiri sana 😘

  • @ahmedali1552
    @ahmedali1552 Před 4 lety +4

    Million 30....wabongoo kwa kuongezaa mazerooooo

  • @evagracefredy4950
    @evagracefredy4950 Před 4 lety +40

    Irene umeniliza sana kuhusu mtt sina ata chakuongea pole sana msomeshe mtt ndo msahada wako na msili wako

    • @effieyange5392
      @effieyange5392 Před 4 lety

      Ishi kulingana na pato lako..au ulie kila siku.

  • @aloycemasele7236
    @aloycemasele7236 Před 4 lety +210

    Unalia? Yaan mi nikifanyiwa interview niongee yangu na mtt wangu hata mtangazaji utalia mpaka ufunge kipindi, single mother sisi hee mungu ndie anaejua.

  • @lucymsensemya4650
    @lucymsensemya4650 Před 4 lety +4

    very nice interview hongera Zama,pole Mama Krish najua unayopitia I'm a single mother too

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 Před 4 lety +13

    AMINA IRENA MDOGO WANGU BARAKA ZA WAZAZI NI MUHIMU SANA SANA. ASIKUDANGANYE MTU.

  • @ruthnandwa7022
    @ruthnandwa7022 Před 4 lety +1

    From +254 Irine am proud of you......am really shedding tears coz of your story......may the almighty God shower his blessing unto you and your son Chrish....keep going gal. ...don't loose hope

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 Před 4 lety +37

    Zama tuliyemisii sasa👌👌👌

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 Před 4 lety +45

    I like vile camera man anajua kuzoom Irene wakati anaongea kitu iko na uzito

  • @sakinakamagi5938
    @sakinakamagi5938 Před 4 lety

    mdogo wangu Irene Nakupenda sana ninavyokusikiliza Na nilovyokuchukulia nimejifunza sana, hongera Naomba Na Mimi uniialiike uko vizuri mama Na mungu akusimamie ktk kazi zako

  • @user-vf3tb9mk5i
    @user-vf3tb9mk5i Před 4 lety +2

    😥😥😥😥😥😪😪😪😪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Umeniliza pia irene Mungu akulinde💖

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Před 4 lety +34

    Zama wee dada unajuwa aisee sikutaka hii interview iishe wallah yaani uko makini na unajuwa unachofanya kweli wew kichwa Nakuona mbali sana Dada angu Much respect Irene Uwoya Umejieleza Vizuri Sana ila next time Zama uwe unawekaga Tishu karibu❤❤❤👏👏👏👏

  • @goodluckkitomari2809
    @goodluckkitomari2809 Před 4 lety +13

    Zamaradi unajua sanaaaaa kumfanyia mtu interview mnooo ww ni no 1 yang toka take one mpka leo❤️ sanaaaa

  • @victorpaulmalatu5036
    @victorpaulmalatu5036 Před 4 lety +2

    Mungu anipe maisha marefu kwakweli,nimeuona uthamani wangu kwa wanangu nikiwa kama baba,god bless me.

    • @Neemakilimba
      @Neemakilimba Před 2 lety

      Victor paul malatu ,Hilo jina la malatu mbona nilababu yangu

  • @theresajohn-go8ko
    @theresajohn-go8ko Před 10 měsíci

    Hongera dada zamaradi love you...I like the way she is strong and fighter...

  • @shighadiomar7691
    @shighadiomar7691 Před 4 lety +95

    My Tanzania bae zamaradi 💕💕💖🇰🇪

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 Před 4 lety +23

    nimeipenda sana love u zama and uwoya pole sana na matatizo pia ata mm sipendagi vile watt wanacoment kuhusu mtt

  • @brianmbuvi1498
    @brianmbuvi1498 Před rokem +1

    Good interview Zama🙏 MUNGU ampe Irene maisha marefu aone uzao wa crishy watching from KENYA

  • @milkametrine2670
    @milkametrine2670 Před 4 lety +196

    Hii ni interview yakwsnza Irene kujibu kila swali analo ulizwa

    • @marthadeo159
      @marthadeo159 Před 4 lety +11

      Ndio ninategemea na wanaomuuliza wengine wanaruka ruka ty harafu wanataka wajue kiundani, mtu lazima umtegenezee mazigira na namna ya kumuuliza swali kutokana na mazingira

    • @queenbibisha1961
      @queenbibisha1961 Před 4 lety +1

      Milka Metrine true leo akuna no comment

    • @chachabeauty9780
      @chachabeauty9780 Před 4 lety +1

      Kbsaa

    • @habeebahassan585
      @habeebahassan585 Před 4 lety

      Milka Metrine kabisaa

    • @lucybaya3183
      @lucybaya3183 Před 4 lety +1

      Kabisa

  • @azizahmkindi393
    @azizahmkindi393 Před 4 lety +18

    Good interview nic zamaradi

  • @saidymtenda9777
    @saidymtenda9777 Před 4 lety +50

    Jaman comment fupi fupi wengine wavivu kusoma🤔

  • @witnessdnl4110
    @witnessdnl4110 Před 4 lety +4

    U touch my heart irene

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 Před 4 lety +117

    Zama weka tissue box pemben yako au hata leso
    Hata maji au coffee

  • @joharimlenda5973
    @joharimlenda5973 Před 4 lety +76

    Mwenye interview zake mjini amerudi hongera sana Zamaradi kwa kazi nzuri na zenye ubora

    • @tahahsjsbbehbsd9610
      @tahahsjsbbehbsd9610 Před 4 lety

      Jmn unajina kama langu 😘😘😘😘😘😘😘😘 lop you wajinà

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 Před 4 lety

      nakupend weri woy😘😘😘😘

  • @margrethsalvatory1359
    @margrethsalvatory1359 Před 3 lety +7

    Wallah ma single mother tunapitia wakati mgumu sana, Jaman mungu awape waume zetu umri mrefu sana nimelia aisee.

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 Před 4 lety +8

    Ilike the way you interview her Zamarad

  • @maliselagodfrey6781
    @maliselagodfrey6781 Před 4 lety +12

    Good interview

  • @prisilakapinga3781
    @prisilakapinga3781 Před 4 lety +191

    Wale wa st Kayumba wenzangu nipen likes

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 Před 4 lety +8

    I like the interview.

  • @devybernardlaizer7713
    @devybernardlaizer7713 Před 4 lety +2

    Nimekuelwa Irene love you be strong mamii 😘😘

  • @husnamagembe4782
    @husnamagembe4782 Před 4 lety +14

    Dah... Pole irene.. Zama uko vzur kwny interview

  • @sadanassor7966
    @sadanassor7966 Před 4 lety +42

    Zama maswali yako mazuri saan mungu akulinde na maduwi❤❤❤

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 Před 4 lety +13

    Hongera Sana Zama kipindi chako hakichoshi kabisaa.
    Irene ❤️

  • @shakirashabby3306
    @shakirashabby3306 Před 4 lety +1

    nampendaa sana irene

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 Před 4 lety +11

    Daahh hayo Manywele jamani mtu unaweza kulala vipi jamani😳😳😳 marefu namna hio mengii kisha mazito dah🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️