MANENO MAZITO ya MAKONDA KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA - ''NAKUPA MIEZI 6, SIO MIMI NI CHAMA''...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 10. 2023
  • MANENO MAZITO ya MAKONDA KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA - ''NAKUPA MIEZI 6, SIO MIMI NI CHAMA''...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 15

  • @user-th5xz1fg5t
    @user-th5xz1fg5t Před 7 měsíci +2

    w nawe mbwembwe nyng

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 Před 7 měsíci

    huyuu ndo sawa

  • @paulokiruwa9879
    @paulokiruwa9879 Před 7 měsíci

    Ccm wajanja sana, bandari imesaulika

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 Před 7 měsíci

    Dah huyu jamaa angepewa nafasi ya kumsaidia Majaliwa angewanyoosha sana wapiga deal wa Tamisemi!

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp Před 7 měsíci

    Ovyoooo

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 Před 7 měsíci

    Naangalia Serikali ya Baadae ya chama vha mapinduzi ,Ali HAPI ,MAKONDA,NNAPE NNAWIYE,JANUARY MAKAMBA,RIDHIWANI KIKWETE,ABDALAH ALI HASSAN MWINYI,DOTTO BITEKO,JOHN MELISA,YUSSUF MASAUNI,ISSA GAVU,JERRY SLAA ,AISEE HAPATATOSHA TUNA HAZINA KUBWA SANA YA VIONGOZI NCHINI KWETU!

  • @thomaspeter2540
    @thomaspeter2540 Před 7 měsíci

    Migogoro wanatengeza wenyeviti na madiwani wenu

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 Před 7 měsíci

    MAKONDA ni mwamba

  • @aud548
    @aud548 Před 7 měsíci

    😂😂😂😂

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Před 7 měsíci

    Hi inchi inamatapeli wengi

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 Před 7 měsíci

    Duu

  • @mussabuhe8881
    @mussabuhe8881 Před 7 měsíci

    Bado naomba na ali hapi arudi madalakani

  • @mussajulius
    @mussajulius Před 7 měsíci

    Malinda unaenda vizuri kaza kamba