CHIDI BENZ ASIMULIA ALIVYOMTOA MACHOZI MZEE YUSSUF, DIAMOND ALIKUWA KAMA DANCER

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 09. 2023
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

Komentáře • 39

  • @mchumiajuani1993

    Chid humu anajibu vzuri sana, kumbe waandishi ndio huwa wanazngua

  • @ahmedbahajj6551

    Chidi Benzi!!!one big character !!!Sharp memory,special voice.Angekuwa wapi kama si changamoto za madini..Chidi ni mkubwa sana

  • @CoachHafidh

    Nilkua nkitamani sana kumskia Chidi akiongelea huu wimbo...❤❤

  • @steeneldogworld

    Just love watching ur interviews Dada much love from Nairobi Kenya ❤️❤️❤️ To Chidi Benz our all time Hip hop Legend in East Africa....much love n Big Up Bro👍👍👍

  • @dullayochinyama8434

    Oy chid nakubar kitambo nandomaana ata mwanangu nikampa jina la Rashid yani chid benzi Rashid abdalla noma xana salute father kizazi chetu uyu jamaa ndo alituwasha

  • @DaudiMwantimwa-fc5dk

    Dada nakukubali Sana uko makini na una maswali makini

  • @Chida
    @Chida  +3

    Chi chi chid Benz sasaivi unaonekana uko vizuri yaani unarudia hali yako ya zamani. Shukran kukuona ivi ulivyo sasa

  • @alhajisabigoro2408

    Uyu Dada nampenda sana..! ❤❤

  • @chiefndatu1895

    KUMBE chid ana madin!! Elewa neno (KUMBE 🎉🎉

  • @omarimizia4700

    Chid benzi yupo uku morogoro haliyake Kwan sasa hailizishi

  • @HawaHamisi-rp3uh

    Mkali tulia ivyo Ivyo daimond kakurudisha kwenye game

  • @BIGSTONE-lb9po

    Chidi umenizinguwa ujuwe.kuhusu kipini kwenye puea.😢😢

  • @enockmalangwa7059

    Chid unaweza sana, lakini pia chid kuna kitu ambacho nimekipenda sana kutoka kwako, wewe ni mwepesi wa kubadilika, wasanii wengi wa zamani hawakuweza kudumu hadi leo ni kwasababu hawakukubali kubadilika kuendana na game ya sasa, moyo wangu ulikuwa ukiumia sana chid benz kuona unapotea kwenye game lakini nashukuru sana chid bado unajituma hata mimi nakuombea sana kwa mungu uweze kurudisha heshima yako, tafakari kitu chid hivi kwa mfano upotee kwenye game wakati bado tunakudai inakuaje?? Chid bado sana tunakudai kaka, hizi ngoma unazotoa ni kama unatuonjesha tu tu kaka.

  • @DigonzaKeimbe-uq1bx

    Salute chid..

  • @hassanparamana2215

    naaaaaaaachiiiiiiiiidiiiiiiiii.....💥🔥🙏💪🇹🇿🇦🇪

  • @user-jc8el6je5e

    Nakukubali.

  • @mukeshimanarose1334

    ❤❤❤🎉🇧🇮

  • @VannlyTembo

    🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤❤❤❤❤ sana

  • @abdulmohd6880

    Chidi hata swali la matching item analijibu kw essay😂

  • @cuulkidd

    anaongea vzur chidbenz