SAUTI YA MDUDU SISIMIZI | Tabia yako ndio FUNGUO yako - SHEIKH SHAMS ELMI
Vložit
- čas přidán 28. 09. 2023
- Khutuba nzuri ya Sheikh Shams Katika Kongamano Maalum la 'Reforming Generation''
Ili upate vitu vingi vizuri kama hivi Tafadhali tembelea youtube channel yake @Elmitv68
Mashallah🙏, Allah akupe afya njema nyakati zote uzidi kuelimisha jamii inshallah
Ujumbe mzuri sana sana sana ALLAH AKULINDE na kila SHALI
Na ipo aya ina sema
Sikuwaumba binaadamu na majini ila kwa kuniabudu
Surat Adhaariti..
Ma Sha Allah, Mwenyezi Mungu Akuzidishie Elim na Hekma
Masha'Allah, nimependa sana alivyoongea rafiki yangu Shk Shams Elmi. Mola amuongezee ilmu na ufasaha wa kufikisha da'awa kwa watu.
Allah humma Ameen
Mashallah
😢😢😢😢 astaghaflu llah
Masha allha
Shukrani 👏
Alhamdulillah
Sheikh wanaume wengi wapo hivyo pia hata ss wanawake tupo hivyo tubadiliken
Mashallah