MZARAMO: ATAPIKA NYONGO BAADA YA USHINDI MNONO | AWAVAA MASHABIKI WA SIMBA"WANAFIKI"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 05. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
  • Sport

Komentáře • 39

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 12 dny

    Mzaramo akil imezidiwa na mwili.

  • @Franccoz
    @Franccoz Před 12 dny +1

    DR MO ANASEMAA UKWELI, HAWAA NI MACHAWAA WA VIONGOZI, TUTATESEKA SANAA NA HAWA VIONGOZI WANAWAGAWA MASHABIKI

  • @FaustineTango
    @FaustineTango Před 12 dny +1

    Chawa chawa chawa jaman sasahiv tanzania uchawa ni dili

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 Před 11 dny

    Daaah!!! Hali tete

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh Před 10 dny

    Mzaramo nilikua nakukubali sana lakin kwahiki unachokifanya Cha kuwasifia wachezaj kwenye mech ndogo kama hizi unatukosea sana Simba Bado sana hiyo timu co ya kupambania nusu final Clab bingwa hatuna Wachezaji hapo hivi kwakufanya hivo nikuwafunika shuka viongozi Ili wazidi kutulia pesa zetu nakuwaleta Akina jobe, Fred, na wenzake hatulitak hilo lizid kututafuna timu yetu ni yakawaida sana

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Před 12 dny

    SIMBA SPORT CLUB ❤❤❤ WAKALI WA TANZANIA TOP 5 IN AFRICA

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 12 dny

    Kumbe mnajijua kuwa nyinyi ni wanafiki

  • @user-ye5fq1wc3g
    @user-ye5fq1wc3g Před 12 dny

    Dr
    Mohamedi yuko sahihi

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 Před 12 dny +1

    Hii mbwa ni miongoni mwa mbwa zinazotukwamisha simba kwa kupewa elfu 30, doctor MO yupo sahihi

  • @eliasakhamisi7947
    @eliasakhamisi7947 Před 12 dny +1

    Chawa la viongozi simba leo imecheza pumba hiyo iko wazi hasa kipindi cha kwanza na wewe hilo tambi linakupa pressure.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Před 12 dny

    Wewe ndio mnafiki namba moja

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 12 dny

    Ndo maana Simba hawafanyi vzr,wakishinda tu kila mshabiki ni msemaji,mchezaji akifanya vzr tu mechi moja wanampandisha na kumuimba sana kuliko kuisifia timu kwa ujumla.

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 Před 12 dny +3

    Mashabiki wenzangu simba tusi danganyane timu sio nzuri na tusipo badilika kwa hizi mechi zilizo bakia mutabaki hapo hapo namba 3 timu haina muelekeo mzuri

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 Před 12 dny

      Utaendelea kuongea hivyohivyo

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 Před 10 dny

      Ukweli lazima usemwe kwa kweli nashukuru nduguangu kwa kuwa mkweli tunataka mashabiki wa aina yako, tuko pamoja

  • @salminmayla
    @salminmayla Před 11 dny

    Huyu mzaramo wa Simba ni kiande botebote

  • @saidkhamismasai1204
    @saidkhamismasai1204 Před 12 dny

    Toa uchawa hapo

  • @KenedyMboma-zb4cq
    @KenedyMboma-zb4cq Před 12 dny

    Tutakupa usemaji mnafikiwewe

  • @Is-haqMawata
    @Is-haqMawata Před 9 dny

    Nilikua shabiki wako mkubwa lkni unanisikitisha sana

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA Před 11 dny

    Mbwa mama yako.....Uchaguzi ndio utamuondoa MANGUNGU.. SIO JAZBA

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 Před 12 dny

    Viongozi watoweni msianze msimu na vilio.

  • @YasinSioja
    @YasinSioja Před 12 dny

    We ni chawa unapingana na ukweli? dk mo yuko sahihi aliongea ukwel simba tunawahitaji kama dk mo wengi jamaa anajua

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 Před 12 dny

    Waandishi tizama mlivowanafiki sana nyie wakat sisi tumecheza mchana sikuona mkienda kuhoji watu baada ya game ila kwenye mechi y Simba mmejazana na kuhoji washabiki ila hata msapot Simba vipi mwakani tunaenda club bingwa

  • @ip_header
    @ip_header Před 12 dny

    Massssshabiki wa Simba timu ikifungwa wanalalamikia viongoz, wakishinda Simba ya Mgunda..!
    Tatizo hawajui wanahitaji nn ndio maana hakuna mabadiliko kila msimu kwasababu, wababaishaji ni wengi

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 Před 12 dny +1

    Umahiri wa refa ndo umetubeba

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh Před 10 dny

    Acha ushenz mzaramo wewe unakula na hao viongoz ndio maana unawakingia kifua

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh Před 10 dny

    Pamoja na wewe unataka kua ni mnafic wakwanza

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před 12 dny +1

    FUMUENI UONGOZI UO...MNGETAKA KUSHINDA MNGESHINDA MWANZO SIO SASA LASIVYO MTALIA NA KULIA

  • @KenedyMboma-zb4cq
    @KenedyMboma-zb4cq Před 12 dny

    Mnafiki nambamoja wewe namangungu nambamoja

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 Před 12 dny

    Mzaramo acha umama na uchawa mwanaume huwa na msimamo hata wewe ni munafiki

  • @songombingo108
    @songombingo108 Před 12 dny +1

    Upumbavu ni kufurahi kuifunga Geita ambayo inashuka daraja

  • @juniorjoshua2452
    @juniorjoshua2452 Před 12 dny +1

    Ww ni chawa wa viongozi,huna maana kabisa,nyie machawa mnatuharibia timu,mmoja wapo ni ww mnafiki

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga Před 12 dny

    😂😂😂😂mpeni timu Mgunda mtajutaaaa

  • @suleilammasanja-fm9ou
    @suleilammasanja-fm9ou Před 12 dny

    C lazima utume ujumbe katafute pesa ule na fml yako