EXCLUSIVE: Mke wa Mc Pilipili afunguka kukerwa na Tabia ya kupostiwa na mumewe/pilipili alia

Sdílet
Vložit

Komentáře • 1,1K

  • @lizybety256
    @lizybety256 Před 4 lety +102

    Jmn mena anamiguu mizur jmn kam unakubal pita n like

  • @rehemaedson5732
    @rehemaedson5732 Před 4 lety +7

    Kutoka ndani ya moyo wangu naipenda sana interview zako dada @zamaradi imenigusa sana maongezi ya filena really amesimama kama mama na anajibu kwa uaminifu mkubwa na mapenzi yake yaantoka ndani hongeren sana katika hii life upo nayo @mcpilipili na dada zama weka tisue hapo watu wote wanakuja wanagusa mioyo ya watu wanalia sana ila wanajifuta wapi machozi yao haapna poresha kwa hili kwa kweli am so proud of you zamarad

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 Před 4 lety +277

    Masha Allah
    Kama umemuona huyu dada amenenepa like hapa zisipungue 5.

  • @princesedgr9068
    @princesedgr9068 Před 4 lety +7

    Daaaaah....interview yakiwangoo.....mr en mrx pilipili mungu azid kuwaongoza nakuwpa maisha maref zaidiii ...💕💕💕💕nawapenda saan jamniiiii

  • @theblackpearl7035
    @theblackpearl7035 Před 4 lety +34

    I come, I like, I comment. ❤
    Mena anahekima sana. Hopefully Pilipili will rise to the ocassion

  • @namnyackyshamburi6615
    @namnyackyshamburi6615 Před 4 lety +70

    Daaaaaah nimejikuta nalia ee Mungu bariki hii familia shika kikamilifu

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 Před 4 lety +21

    Pole saana pilipi. Allah ampemaisha marefu mama yako.na mwenyenzi mungu awape furaha daima

    • @sarahryoba1011
      @sarahryoba1011 Před 3 lety

      Mke umepata mzur sana safi sana nawatakia maisha marefu

  • @hadijakabona955
    @hadijakabona955 Před 4 lety +59

    Anae ikubar hii cp kama mie tujuane ap nawapenda sn Allah awape maisha ya bark Tele 😍😍😍😍

    • @neemapalanjo4208
      @neemapalanjo4208 Před 4 lety

      Mungu hawabariki sanaa

    • @neemamushi1318
      @neemamushi1318 Před 4 lety

      Hahahahaha acha unaa wew kaka inaonekana unapelekeshwa alafu ziki ndo zinakusumbua .mena mtot wa kishua mno lazma uwe msogo kma pilitono

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 Před 4 lety +33

    Mungu kakupa mke pilipili jamani mungu awafikishe mbali sana mzikane

    • @sabrinapaschal6125
      @sabrinapaschal6125 Před 4 lety

      Mungu azidi kuwabariki Muishi maisha marefu yenye furaha siku zote za maisha yenu

  • @changanikisesa7021
    @changanikisesa7021 Před 4 lety +78

    Philomena she has class.Very class the way she talk,she seats,etc.She handles her self very well.Yupo tofauti na mume jaribu kumbadilishaaa.Atabdilika

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 Před 4 lety +39

    Nikisikiaga sauti ya pilipili huwa nacheka,mc wa Taifa with qute mena be blessed

  • @pendopendo7427
    @pendopendo7427 Před 4 lety +34

    Dada amenenep hongera Mume anajua kulea

  • @evajohn7001
    @evajohn7001 Před 4 lety +81

    Leo ndy nimegundua kwa nn siku ile ulilia ulipokua unamvisha Pete kwa ,huyu Dada anamungu na ni mke.

  • @nasratkibwana9827
    @nasratkibwana9827 Před 4 lety +20

    😭😭pole Sana pilipili, ila huyo ulienae Ni mwanamke sahihi kwako nimempenda sana

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 Před 4 lety +10

    Nitakua mchoyo kamasinto semachochote Mungu awapefuraha daima muishia maisha yenye kumpendeza Mungu nawanadamu japo kwasisi binadam kuturidhisha siwote

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 Před 4 lety +10

    Uko vizuri,Philomena,I like you! Barikiwa!

  • @ummywashir364
    @ummywashir364 Před 4 lety +19

    Your just like me,wema wangu ,Upendo wangu unaniponzaga sana...but never stop!!blessings always comes to us in ways we don’t understand,bcoz of ou hearts!!.

  • @happynessmarki2780
    @happynessmarki2780 Před 4 lety +6

    Hapo kwenye kiss! Dah! Nawapenda sanaaa @mcpilipili na @qutemenapilipili😍😍😍😍😍

  • @ReynaMrema-qy3fw
    @ReynaMrema-qy3fw Před měsícem +1

    When you have a good heart people will take a good advantage of you. Broo hongera Sana tafuta hela kaka suala la mke umelimaliza🥺🥺😭😭🥰🥰❤️❤️🙌🏻🙌🏻

  • @LouiseERne98
    @LouiseERne98 Před 4 lety +78

    Zamaradi, we need more tissues & water for the guests; please and thank you. This was very emotional and powerful interview. God bless this couple for sure!

    • @SblMz-kw5gk
      @SblMz-kw5gk Před 4 lety +2

      sijui kama anasoma comments ila ni kweli tissues na maji muhimu sana kwenye hizi interview

    • @nemochristopher2317
      @nemochristopher2317 Před 4 lety +2

      Tunatonga na bajeti

    • @elizabethchuwa2583
      @elizabethchuwa2583 Před 4 lety

      @@SblMz-kw5gk
      Mjm
      Mfx

    • @allymtamilwa6899
      @allymtamilwa6899 Před 4 lety

      Kunakuwaga na break katika kipindi kwa ajili ya matangazo labda ndio wanapewa

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 Před 4 lety

      Hili swala tumesha muomba sana naona hasomagi comment zetu

  • @magrethmeja3209
    @magrethmeja3209 Před 4 lety +24

    Da zama wewe ni bonge la host yaan interview zako hazichoshi mtu unatamani uendeleee kuangalia na kusikiliza Big up sana

  • @Hassanmofty
    @Hassanmofty Před 4 lety +254

    Jamani leo zam yangu namm naombeni like.

  • @chainbre275
    @chainbre275 Před 4 lety +28

    Kweli philomena unafura hadi umenenepa. MashaAllah

  • @Sarah1.
    @Sarah1. Před 4 lety +134

    Twwnde mbele turudiii, ,, mke wa pilipil n mzurrrr jaman%%%

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv Před 4 lety +13

    The way mlivyoongea hapa ni tofauti kabisa na mwanzo before marriage....leo mko serious

  • @mwajumachao9151
    @mwajumachao9151 Před 4 lety +12

    Nice interview BT (Eco )
    sauti ya hall iko juu kushinda sauti zenu

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda Před 4 lety +38

    Zamaradi napenda namna unavyofanya interview zako zinaibua mengi ya kujifunza kwetu sisi watazamaji.
    MC Pilipili jiachie uwapo kwenye interview. umejaaliwa mke mzuri sana mwenye ufahamu mzuri na upendo. Mungu awajaalie mzidi kupendana na kudumu ktk ndoa yenu

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 Před 4 lety +27

    Ama kweli MC PILIPILI unajua kumtunza mkeo Phelomena uliepewa na Mungu. Anaonyesha furaha ndani hadi nje kuwa na wewe. Keep it up and Phelomena hold him tightly.

  • @dorynkristiansen4719
    @dorynkristiansen4719 Před 4 lety +43

    NIMEGUNDUA KWANN MC 🌶NI MWEPESI WA KULIA....Sababu ANA ROHO NZURI-Kama Tulivyomsikia Mkewe Akisema!

  • @roseswai5778
    @roseswai5778 Před 4 lety +7

    Nimejikuta nimeipenda hii couple, dah pilipili amepata mke Sana'a she is very smart

  • @prettyakoth4306
    @prettyakoth4306 Před 4 lety +9

    I love this lady she is very beautiful nd very loving, she loves her husband very much, may GOD bless your marriage

  • @rukiashoko7528
    @rukiashoko7528 Před 4 lety +5

    Daaah mpaka nimelia sanaa mungu awabariki sana umepata mke anaye kupenda kwa dhati yani zama kila kipindii watu wana lia

  • @asha-bo9sn
    @asha-bo9sn Před 4 lety +13

    Zamaradi today you look good!! Nimekusifu Kabla sijaangalia interview!!

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 Před 4 lety +9

    Mungu Wabariki Hawa wanandoa Nakupenda sana Philomena mpende mumeo daima

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 Před 4 lety +7

    Nimejifunza nimeburudika nimefurahishwa nanyinyi mahojiano mazuri majibu mazuri wanandoa mungu awatangulie huko muendako Nimewapenda 💜💜💜💜💜💜hongereni Sana zamani na wanandoa😘😘😘

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 Před 4 lety +45

    Umenene pa phimenah Mc pilpil ajua malezi shika sana ulicho nacho

    • @vivianvenant7729
      @vivianvenant7729 Před 4 lety

      😍😍😍

    • @carenkachecheba5538
      @carenkachecheba5538 Před 4 lety

      Mungu awatunze Sana Mc pilipili.. Atunze penzi lenu... Maombi yawe silaha kwenu mtadumu Sana... Mpk machozi yamenitoka but6 Mungu awe nanyi... Amen

  • @najma3268
    @najma3268 Před 4 lety +6

    She is very smart phelomena❤️and mc pilipili hongera kwa kupatamke

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 Před 4 lety +48

    Wale wote wanaotazama hii interview na ku-comment have a lovely day na mwenyenzi mungu awabarik.

  • @joycesichone4121
    @joycesichone4121 Před 4 lety +2

    ( MKe mwema MTU hupewa na BWANA) ,hongera pilipili mungu amekupatia MKE mwenye hekima.

  • @G.S985
    @G.S985 Před 3 lety +2

    Nimelia mimi asante Zam kwa inteview ya kutufunza
    Lovely and blessed couple nimewapenda sana

  • @ezekielmasanja2017
    @ezekielmasanja2017 Před 4 lety +50

    Mim nawashangaa sana watu wanao mshangaa pilipili kulia aisee pilpili anampenda mke wake na philomena ni bonge la manzi aisee nimwanamke ambae yupo tayari daaah

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo Před 4 lety +10

    Nawapendaaa tu Philo na Pili pili.... Mungu awalindee mzeekee pamoja

  • @happyramson2969
    @happyramson2969 Před 4 lety +3

    Nakupenda sana Mena uko vizuri sana hongera mama i wish siku moja nikuone live nitafurahi sana huna dharau huna misifa na ww ni mzuri sana😘😘😘

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 Před 4 lety

      Tenaaa sana sura umbo tall. Mi napenda mashavu yke nataman wazae.watazaa mtoto mzuri

  • @baubahashim6280
    @baubahashim6280 Před 3 lety +1

    Pole sana bro hakika Mungu alikupa mke huyo kutokana na Moyo wako akawe ndio furaha yako ktk maisha Mungu azidi kuwatunza sana 💕💕💕

  • @catherinejames9510
    @catherinejames9510 Před 4 lety +36

    Hta mtu unae angalia must utakuwa emotional mena you make some women's strong just unavyoishi na mc kama.mim yan am feel proudly no matter how people say kuusu mtu unae date nae wew ndo unaujua undan as mtu wako keep it up nimewapenda snaa sna sna kama.unamkubali mc pilipili na mkewe comment hapa the strong couple in Tanzania

  • @kadungulu1
    @kadungulu1 Před 4 lety +1

    very emotional but above all mungu, ni wa huruma and he has paid your goodness with a good wife.zamaradi asante kwa ujuzi wa maswali yaani mama na kuheshimu ya kazi yenye ladha mungu akubariki .

  • @missthussein2648
    @missthussein2648 Před 4 lety +2

    Nimelizwa kwa hii interview jmnii duuu Mungu asimame nanyi katika ndoa yenu nimewapenda bure❤❤❤😘dada zama hongera sana💪👏

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 Před 4 lety +18

    Zamaradi kma kweli unasoma comments zetu mbona hutekelezi na unajua maswali yko kwa wengine yako sooo... Emotion, bas jpo maji mtu ashukishe kile kitu kooni aendelee na maongezi

    • @magrethjohn8576
      @magrethjohn8576 Před 4 lety

      ummu adam,haoni au dharau!unapoongea na mtu kwa muda mrefu maji na tissue ni muhimu sana.

  • @lucinajerome9518
    @lucinajerome9518 Před 4 lety +23

    Nice interview keep it up Dada zama

  • @cuteaishajoseph6906
    @cuteaishajoseph6906 Před 4 lety +6

    Ukweli wa mungu uyu dada nimzuri jaman mc pilipili kaokota dodo kwenye mtii wa mpingo

  • @brianmrema4041
    @brianmrema4041 Před 4 lety +1

    Mc pilipili umenifunza na kunikumbusha mengi imani yako ilikua kma yangu kuamini kila mtu na kuona kila mtu ni kma mimi na la pili mfano wa yakobo kuishi maisha yako na kutambua marafiki wakati wa dhiki na pia maombi juu ya mke/mume. Mbarikiwe kwa kweli

  • @shaniahrachma7767
    @shaniahrachma7767 Před 4 lety +6

    So emotional I love this couple God bless them abundantly

  • @adelinesturmfels7969
    @adelinesturmfels7969 Před 4 lety +6

    I love this interview nmependa sana Philomena anavyojieleza na kuonesha mapenzi ya dhati kwa mumewe....Greetings from 🇩🇪

  • @hakikajuma8453
    @hakikajuma8453 Před 4 lety +1

    Mumenitoa machozi Ww mc pilipili nakusii na kuombea kwa mungu akuepushe na tamaa za kiduniya uyo mwanamke mueshimusana na usitende ukamuumiza kwa duniya ya sasa wapo wanawake wa chache sana wakubeba changamoto zako kujikabizi yy na kuzifanyika kazi akuweke uwe mtu wa fulatu.mungu awalinde kwenye maisha yenu .

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 Před 4 lety +2

    Naomba nicomment mara ya pili,,,mc pilipili umepata mke bora sana ambaye anathamini hisia zako,,,for sure nimempenda bure na Mungu awatunze sana sana

  • @jescangwaya9885
    @jescangwaya9885 Před 4 lety +3

    Mungu akubariki sana Pilipili na mkeo. Leo nimewaelewa sana! Mmenipa somo.

  • @ashahamis4174
    @ashahamis4174 Před 4 lety +11

    Tunataka mtt sasa kama ndoa mshafunga mungu awape kizaz chema inshallh

  • @gloriarobert6582
    @gloriarobert6582 Před 4 lety +1

    Mungu bariki ndoa hii, iwe na furaha na amani siku zote. Upendo utawale zaidi kwenye maisha yenu yote. 💑

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 Před 4 lety +2

    Mc pili pili mungu awe na nyinyi nimewapenda bure mungu awape miaka mingi muishi Kama Bibi kidude

  • @rabiaathuman5865
    @rabiaathuman5865 Před 4 lety +6

    Pole sana na hongera kuwa na mke mzur 😢😢

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 Před 4 lety +3

    I don't know what to say. I wish u guys Love And Long life. May God Protect You guys

  • @lizatz9842
    @lizatz9842 Před 4 lety +1

    This was very emotional and Zama thanks for letting them share their emotions to teach us bless you All

  • @fatmaabdul1407
    @fatmaabdul1407 Před 4 lety +2

    Dah! Mnanigusa! Upendo na huruma zilizopitiliza kwa waja ni mtihani sana....hongera una bonge la wife,Mungu awatunze ktk ndoa yenu.

  • @user-zw6ne3qy4s
    @user-zw6ne3qy4s Před 4 lety +10

    MashaAllah pili pili umebarikiwa baba mkeo mwema huyo umeletewa na mungu🙏🙏

  • @changanikisesa7021
    @changanikisesa7021 Před 4 lety +58

    Maskini wameniliza,whats wrong with Bongozi Interview no tissues /water

    • @mariakiwia
      @mariakiwia Před 4 lety

      Hakuna meza,hakuna glass za maji👎

    • @mariamhamisi6714
      @mariamhamisi6714 Před 4 lety

      Maji na tissue ni muhimu sana kwakweli

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 Před 4 lety

      Kila mtu na style yake ya kuendesha mambo yake,msikariri kua tissue na maji ni lazima kila sehem😕😕😕

  • @yassinsaid1119
    @yassinsaid1119 Před 4 lety +1

    Dah hongeren sana sana wanandoa pia Hongera kwa Bro mc pilipili mana umejua kuchagua mkeo ni mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 Před 4 lety +8

    Kuitwa mume wangu or mke wangu raha sanaa❤️❤️💓💓M/Mungu awalinde muwez kudum kweny ndoa Inshaallah 🙏🙏

  • @nabdabdi9297
    @nabdabdi9297 Před 4 lety +8

    Mwalimu wangu huyo jamani mwalimu Emanuel shule ya msingi changa😄😄

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 Před 4 lety +3

    Wow you're wife is a degree holder, no wonder she carries herself with decorum and dignity.. very decent and focused lady. Congratulations guys and keep supporting each other

  • @nasrasillim4308
    @nasrasillim4308 Před 4 lety +9

    Mashaallaah mke amenenepa pilipili unajua kutunza uwe ivoivo daima

  • @rehemadaudi742
    @rehemadaudi742 Před 4 lety +3

    hivi wakiwa hapo hawaruhusiwi kuwa na kitambaa cha kufutia jasho au machozi? i love this couple god bless u forever

  • @marypaul8908
    @marypaul8908 Před 4 lety +48

    Ukiona upo kwenye mahusiano upo huru jua tu upo single hii kweli kabisa

    • @smartstationery5223
      @smartstationery5223 Před 4 lety +2

      Zama wangu nakupendaje sasa? Mimi sio mtangazaji ila natamani siku moja nikufanyie mahojioano

    • @rahillhamidu2544
      @rahillhamidu2544 Před 4 lety

      @@smartstationery5223 imo kali kuliko zote

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 Před 4 lety

      @@rahillhamidu2544 🤣🤣🤣🤣mwenzetu kaamua kusema ya moyoni

    • @williamkavuta5193
      @williamkavuta5193 Před 4 lety

      Kwel lakini aisee...nimeipenda.Tupunguze kusemana bas

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 Před 4 lety

      Kweli kila mtu na uelewa wake.Nachojua kwenye mahusiano kila mtu anatakiwa awe huru kwa mwenzake mtaishi kwa raha kama marafiki.Sio kubanwa kama uko kwenye jela la mahusiano hamna nafasi .
      Kwenye mahusiano kikubwa kila mtu kujiamini na kujiheshimu

  • @rukiashoko7528
    @rukiashoko7528 Před 4 lety +4

    Woooh nampenda uyuu dada asante da zama kwa kumfanyia interview mu mtafute lulu akiwa na majizo sasa itanoga😍😍😍

    • @mungijoseph6372
      @mungijoseph6372 Před 4 lety

      mungu awe mtetezi wnu! mc hakika mungu kakupa kile unachostail mpende mkeo muheshimu!

  • @maryammaryam5789
    @maryammaryam5789 Před 4 lety +8

    Mtoto mashallah pilipili umewafunga midomo manyakunyaku na wanaojishauwa shavu dodo hongela kaka kwa matunzo yko

  • @mmary70
    @mmary70 Před 4 lety +4

    Zamaradi sio kila siku kuniliza, pilipili I feel you bro. May God awape we na mkeo furaha na future ndefu pamoja

  • @loolaa1783
    @loolaa1783 Před 4 lety +4

    Poleee saana broo nakushaur usijekumtendea baya mena mke umepewa na mungu yaan ukipta mke mwenye kubeba hisia zko kama zake wachache sana bro nawapenda saaana nampogeza cute mena wngu jaman sichoki kumwangalia mungu awatangulie ktk safar yenu ya ndoa.

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 Před 4 lety +2

    Zamaradi uko unique! Hongera na kipindi chako,barikiwa!

  • @agnesslyatuu993
    @agnesslyatuu993 Před 4 lety

    Daa mmenilizaa.Pilipili na mkeo nimewapendaaa sana.Mungu awatunze jamani na awazidishie Upendo ktk maishayenu yote in Jesus name!

  • @sophiaabeid2471
    @sophiaabeid2471 Před 4 lety +3

    This is very touching, mena is a great woman.

  • @naimamwaibanje156
    @naimamwaibanje156 Před 4 lety +7

    Hongera sana Mc pilipili umepata mke haswaa mke anaejua wapi ulikotoka mtunze sana na umpende sana mkeo

  • @Ontuzu
    @Ontuzu Před 4 lety +1

    Kuolewa kuzuli Mena umependeza sana umenenepa vizuli sana mdogo wangu,love youuuu

  • @faithmbaga1105
    @faithmbaga1105 Před 4 lety +3

    powerfull interview.Bravooooo

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 Před 4 lety +3

    Hongera pilipili you have a wise wife 😍😍😍congrats Mina

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 Před 4 lety +74

    Mc pilipili usije ukamtenda huyu binti...anakuelewa na kukupenda

  • @essiesamoa8492
    @essiesamoa8492 Před 4 lety +2

    Mara ingine zama please do keep some tissues there,, just incase of vitu zingine hutokea tu na mtu a nashindwa kujizuia majonzi,, inakua so emotional kiasi cha kulia,,, wipes or tissues yaeza saidia,, mihufwata interview zako,, en most of thm Zinafika to a point of being emotional,, ama tumaji iiiseee,,,, Mungu azidi kubariki this blessed couple,,,, bigup zama

  • @RAFIKI_TANZANIA
    @RAFIKI_TANZANIA Před 4 lety +87

    ALIYEONA MIGUU YA ZAMALAD AGONGE LIKE🤣🤣🤣

    • @rechoalmasi2107
      @rechoalmasi2107 Před 4 lety

      😁😁😁😁😁😁😁

    • @kisscathy5801
      @kisscathy5801 Před 4 lety +3

      Hivi kwenye kipindi hairuhusiwi kuvaa soksi?🤣🤣

    • @winnjohn3712
      @winnjohn3712 Před 4 lety +1

      Miguu haina nyama😂😂😂

    • @gracetweve8485
      @gracetweve8485 Před 4 lety +2

      mapito chanel MI staki hahaha alivyovikunja sasa Kama vimiwa

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 Před 4 lety +1

      😆😆😆umenifanya nicheke kijinga kweli

  • @saidamuniri223
    @saidamuniri223 Před 4 lety +4

    Dah! Pilipili mungu awaongoze daima

  • @meedaafarai9677
    @meedaafarai9677 Před 4 lety +4

    ❤😭😭👏nice mungu awabariki.

  • @joannemkali524
    @joannemkali524 Před 4 lety

    Dada Zamaradi I look up to you so much,nilivoanza video sikujua ntaimaliza,hongera sana kwa couple hii nmejifunza mengi mengi sana,I look up to them sana,the best thing I’ve watched today!

  • @lydiabuyungu5117
    @lydiabuyungu5117 Před 4 lety +2

    Nimevutiwa sana na hii couple, M/Mungu awalinde na kuwaimarisha kila siku

  • @makitivo246
    @makitivo246 Před 4 lety +5

    Hanoi Ainu anamuheshimu mkewe na anampenda Tena sana acheni wife namtangoja sana wabaya wa Dunia na hamuogopi wanapendana 🙏🏿❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤️❤️❤️❤️

  • @anastaziamuro822
    @anastaziamuro822 Před 4 lety +16

    Congratulations Zama. Maji kwa wageni, Tissue🔥

  • @rozalaizer5985
    @rozalaizer5985 Před 4 lety

    Hongereni sana na hii ndoa yenu mpaka Mungu atakapowatenganisha....maisha yenu yana mafunzo mazuri sana, ahsante nimegain something

  • @salhakhalfan8696
    @salhakhalfan8696 Před 4 lety

    Jmn mmeniliza,,, mungu awasimamie ktk mapenz yenu yazid na mzidi kuelewana kwa kila hali mashaallah

  • @Sarah1.
    @Sarah1. Před 4 lety +3

    Toooo emotional.......... Ooooohhh God bless youuu mc pilipili na mkeo....mena ni mwanamkeeee na nusu.... God bless you

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 Před 4 lety +9

    Great couple.
    The sound though Zama....

  • @doriceukwama9451
    @doriceukwama9451 Před 4 lety +6

    Mmeniliza jaman. Love u all Mungu awatangulie ktk yote.😘😘

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 Před 4 lety +27

    Dada mzuri huyu mashaallah

  • @moonashariff9309
    @moonashariff9309 Před 4 lety +21

    Inaonekana ulitendwa sana na madem, that's way mungu kakupa mke mwema kwako

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 Před 4 lety +7

    Nimewapenda sana wanandoa hawa mungu awatunze awabariki sikuzote