MSICHANA MDOGO ANAYEENDESHA MAGARI MAKUBWA NJE YA NCHI/NISHAZIBA NJIA PORINI/WANAUME WALINISAIDIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 09. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 1K

  • @nancymwanyae7730
    @nancymwanyae7730 Před 2 lety +4

    Super woman , hongera dada , whatever man can do woman can do better,wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @irenelindsey1005
    @irenelindsey1005 Před 2 lety +29

    I drove tractor-trailers for 24 years in the USA. Retired in 2017. Drove Freightliners, Mack’s, Volvo, Peterbuilt and started with a Cabover. All manual shift🤗

    • @JackMuringo36
      @JackMuringo36 Před 2 lety

      Wow!!! Can you connect me please... I'm Jack

    • @emerynimbona6859
      @emerynimbona6859 Před 2 lety

      I like it ✌️ please allow me to be in close contact

  • @ayoubbenta4955
    @ayoubbenta4955 Před 2 lety +7

    Allah akulinde mwajuma wetu,safi sana mdogo wangu uwe na maisha mema na marefu.

  • @katekupaza9385
    @katekupaza9385 Před 2 lety +21

    Hingera sana binti! Mimi pia napenda kumpongeza sana mwajiri wake kwa kumpa chance na kua na imani naye bila ubaguzi...kwakweli hongera sana mwajiri!

  • @johnnyshauri6170
    @johnnyshauri6170 Před 2 lety +6

    Kila la kheri Mdada,aki umeweza hongera kwa kila ufanyalo Mwenyezi akutangulie kwa kila jambo...Salute from....🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BabaLaos
    @BabaLaos Před 2 lety +8

    Hongera sister, dereva mwenzako hapa. Mi ndoto ilikua kazi ya baharia ila nikaishia kua dreva. Mola akulinde na misukosuko ya kazi hii na ajali za barabarani👊🏾

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 Před 2 lety +1

    Nampongeza sana ameonyesha ujasiri na kuwaonyesha vijana wa kike kutokuwa waoga kufanya kazi ambazo zinachukuliwa kuwa ni za wanaume. Ila hao matajiri wake wangetafuta jinsi ya kumlinda wampe utingo mwanamke mwenzie asiwe peke yake! Ni hatari hata kwa mwanaume kusagiri peke yake sembuse! Hongera sana mwanangu Mwajuma! Mungu akutunze na kikuzidishia.

  • @kombosalehe3156
    @kombosalehe3156 Před 2 lety +9

    Hongera sana! Lkn kwa safari hizo ndefu ingependeza zaidi uwe unatembea japo na mtu mmoja

  • @fidelm2020
    @fidelm2020 Před 2 lety +27

    More love ❤ from Kenya 🇰🇪 Dada yetu, imagine tu kibahati upate visa ya kufanya hii kazi Marekani jameni wewe utakuwa katika nafasi nzuri kabisaa. Hongera sana na uzidi kutia bidii kwa kazi unayofanya....kudos 🙏🙏🙏

    • @jepkorirzipporah3777
      @jepkorirzipporah3777 Před 2 lety

      UK wanauitaji wa dereva,dada yetu afanye yake

    • @cheronokorir8357
      @cheronokorir8357 Před 2 lety

      @@jepkorirzipporah3777 uko na link ,am a good driver pia ,nikipata chance I will appreciate,Chepkorir😍

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Před 2 lety +2

      Yaani hizi akili mbovu tuziache...mawazo ya kukimbia kwetu.... turidhike kwetu na tujenge nchi zetu

    • @janenjenga5639
      @janenjenga5639 Před 2 lety

      Jenga Tanzania pia kuna pesa

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 Před rokem

      @@ezekieljacob5795 kuijenga ww inatosha

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Před 2 lety +77

    Wanawake Oyee. Chapa kazi uje kuwa na Lori lako utoe Ajira Kwa madereva wengine.
    Mwajuma The Truck Driver 🚛🚒

  • @mwikalimusyoka2450
    @mwikalimusyoka2450 Před 2 lety +3

    Super girl am proud of you well done kazi ni kazi God bless the work of you hands

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 Před 2 lety +6

    Hongera sana mdogo wangu Mwajuma kwa kuwa msichana unayejiamini hakika utafika mbali sana ,Mungu akuongoze ktk hatua zote za mapito yako🙏

  • @ombenmichael3473
    @ombenmichael3473 Před 2 lety +72

    She's very smart, I do appreciate those ladies who are hustling themselves

    • @isariamunis3944
      @isariamunis3944 Před 2 lety +4

      Hongera. Sana sana huu ni moyo mkuu mno.

    • @lukoslukos1331
      @lukoslukos1331 Před 2 lety +1

      @@isariamunis3944hongela sana bint lakini changamoto kubwa sana nikupata watoto happy hakuna cha watoto bwana kule Bibi kule kuna wajukuu hapo?

    • @PendahlawKE
      @PendahlawKE Před 2 lety +1

      czcams.com/video/Smu7gj2od5Y/video.html

    • @janenjenga5639
      @janenjenga5639 Před 2 lety

      @@lukoslukos1331 hamna hiyo ni mawazo yako.mie ni deree wa bus naniko na wajukuu

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku5673 Před 2 lety +6

    Mungu amlinde kwenye SA safari zake big love gal from Kenya

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 Před 2 lety +11

    Daaaa uyu shujaa aisee Kwa kwelii,,, tenaa anaendesha roli gum aswaa FAW double clutch....🔥🔥🔥🤟🏾

  • @priscahmalemba4411
    @priscahmalemba4411 Před 2 lety +18

    Masha'Allah, am proud of her, she is indeed a super woman. Congratulations

  • @musafirigratien9768
    @musafirigratien9768 Před 2 lety +3

    Congratulations kwa wewe Dada yangu mungu akusaidie kwa.kazi.yako.kila.siku.balabalani

  • @philosophertax6417
    @philosophertax6417 Před 2 lety +5

    Hongera mwanadada,upole wako sio wa kawaida,🙏,ujaliwemengi na Maulana, shukran kwa kampuni kukupa gari jipya 🙏🙏.

  • @mabugabm7708
    @mabugabm7708 Před 2 lety +5

    Piga kazi Mwajuma, Mwenyezi MUNGU yuko pamoja nawe...!!!

  • @bdtvurumuri7712
    @bdtvurumuri7712 Před 2 lety +2

    Hongera sana Dada wetu kazi niPowa

  • @qerysir4410
    @qerysir4410 Před 2 lety +12

    I shower you with Kenyan love🇰🇪💕🇰🇪

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 Před 2 lety +7

    Mmh honger mdogo ilo gari unalibuluza wewe ❤️❤️❤️🙏🙏Mungu akuongoze

  • @estherwanjikutv157
    @estherwanjikutv157 Před 2 lety +4

    Waoooh msichana umebarikiwa sana, Mwenyezi MUNGU amulinde popote aendapo.

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 Před 2 lety +3

    Wanawake tunaweza hongera sana dada mungu akutagulie

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 Před 2 lety +20

    Namwonea huruma.
    Namwombea salama yake..na Mungu amfanyie wepes
    Amin

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 Před 2 lety +3

      Sasa una mwonea huruma kwa lipi na akat ana tafta maisha

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 Před 2 lety +3

      @@ilynpayne7491 Ana kosa vingi,yaani kimapenzi inatakiwa awe mke wa tatu au nne...Msaidizi tu...Maana sijui kama anampa haki mumewe sawasawa au ndiyo anamuachia majukumu house girl!!!

    • @shakirasaidi7657
      @shakirasaidi7657 Před 2 lety +1

      We unawaza mapenz tu

    • @mzizirashid709
      @mzizirashid709 Před 2 lety +1

      @@shakirasaidi7657 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Et Mke wa Nne Jaman Kuna watu Hawana Huruma Et

    • @joshpenoguko4773
      @joshpenoguko4773 Před 2 lety

      Huyu ndiye Mwanamke Nga'ngari, so simple lady.

  • @phoebetaylor8089
    @phoebetaylor8089 Před 2 lety +4

    Mrembo kazi ni Kazi...pesa ni pesa. Thanks for encouraging other girls..well done.

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 Před 2 lety +5

    Nikujituma tu akuna kazi ngumu ukiitilia maanani 🤲🏾kaza mwendo ndugu utafikia marengo yako kwa uwezo wa Allah

  • @ibrahimismail713
    @ibrahimismail713 Před 2 lety +7

    Safi sana Mwaju!Kwanza unajiamini halafu unajua kujielezea.Good...stay blessed.

  • @habibaathman7953
    @habibaathman7953 Před 2 lety +3

    Dada hongera sana..Mungu akutangulie na akulinde..wewe ndio Best super woman ....Endelea kuvunja miamba

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 Před 2 lety +18

    Anaweza Sana huyo,huwa siwaelewagi madem wengine wa kibongo, wanasema kila kitu hawawezi...binafsi kanikosha sna mwajuma..! Napenda wadada wenye uthubutu Kama yy💪

    • @hildamatinga2249
      @hildamatinga2249 Před 2 lety +2

      Woii, mi apa Nina ka rumion tuu kananishinda, nikitaka kutoka arusha kwenda moshi ni lazima nimlipe dereva anipeleke....😢

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 Před 2 lety

      @@hildamatinga2249 hiyo ndo tunaita uthubutu ujaamua tu

    • @hildamatinga2249
      @hildamatinga2249 Před 2 lety +2

      @@ricksonlyimo5594 😨 sijui ata nifanyeje, yaani Mme wangu ana magari ya manual, nikasema ni magumu sana haya, wacha niagize automatic.....kiruuuu🙄

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 Před 2 lety +1

      @@hildamatinga2249 ndo unapaswa ujifunze sasa ujue

    • @hildamatinga2249
      @hildamatinga2249 Před 2 lety +1

      @@ricksonlyimo5594 Asante kwa kunitia moyo😊

  • @godfreymussa2953
    @godfreymussa2953 Před 2 lety +4

    Anatisha mtoto wa kike mungu amtangulie katika safar yake ya maisha ana moyo wa uthubutu katika nafsi yake anastahili pongez na kama vp serikali inaweza kumpa kaz aendeshe gari ndogo malory changamoto sana mm nipo kwenye kampuni ya kilimo naona madereva wa kiume wanavyoumia na kukaza belt.

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 Před 2 lety +11

    🙏🙏blessing Sana sister anguu..... Mungu akulinde njiani....🙏🙏🙏

  • @georginareginald6083
    @georginareginald6083 Před 2 lety +4

    Hongera dada mwenyezi MUNGU akutangulie ukatimize ndoto zako😘😘😘🙏🙏🙏🙏

  • @martinndaini6610
    @martinndaini6610 Před 2 lety +67

    May God protect this lady forever and ever in Jesus name Amen Amen Amen Amen

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 Před 2 lety +3

    Safi sana dada lakee' MUNGU akubariki akuongoze ktk kazi ktk maisha yawe nimafanikio2"

  • @vincentinimah3272
    @vincentinimah3272 Před 2 lety +4

    Hongera.Mungu akuzidishie nguvu ya kazi🙏

  • @fatumamwakasi8836
    @fatumamwakasi8836 Před 2 lety +13

    Nakukubali sana sister angu (YOU ARE SUPERWOMAN)

  • @didadunga9278
    @didadunga9278 Před 2 lety +2

    Safi sana Mwajuma endelea kumuomba mungu utimize ndoto yako ya kuwa Baharia
    God bless her

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 Před 2 lety +3

    Mwajuma maashaallah hongera sana pia unarangi mzuri usihalibu ngozi yako

  • @khadijabalolwaeuphrasie3488

    Maa shaa Allaah
    May Allaah protect you lady

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 Před 2 lety +34

    Ukweli lazima nimpongeze sasa Mwajuma ila namshauri asichokoke Mungu yupo na Atamsaidia kwa kila Jambo. Pia Namumbusha asisahau kumuabudu Mungu kwani Mungu ni Hakimu wa Yote.

    • @frankmollel3781
      @frankmollel3781 Před 2 lety +1

      Hakika namfagilia huyo dada Kuna aliyekuja kampuni ninae fanya dah niliacha kazi nikaenda kusomea udereva

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 Před 2 lety +3

    MashaaAllah barakallah fiykum wajazzakullahu khaira ALLAH akulinde

  • @karimiaggie4541
    @karimiaggie4541 Před 2 lety +5

    Super woman... God bless you mammi.. May he protect you... Go girl

  • @sizarina7963
    @sizarina7963 Před 2 lety +9

    Wooow good garl nimempenda sana huyo mrembo kama mmi Pia dereva miaka kama yke by mi mkenya

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 Před 2 lety +4

    Hongera sana mwanangu mungu akutangulie ishalla

  • @user-sm8wg7tm7i
    @user-sm8wg7tm7i Před měsícem +1

    Je t'encourage ma sœur i love you so Mum

  • @bdtvurumuri7712
    @bdtvurumuri7712 Před 2 lety +2

    Hongera sana Dada wetu na Hapa kigali tuna Gupenda sana

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 Před 2 lety +99

    Hongera sana Dada yetu, Mungu akujalie yaliyo mema na akupe ulinzi katika safari zako.

  • @janefrolakalinga5664
    @janefrolakalinga5664 Před 2 lety +6

    Big up mdog angu Mungu akufanyie wepesi jambo lako litimie.....!!!

  • @abdallahlyimomrwana9134
    @abdallahlyimomrwana9134 Před 2 lety +5

    Love so much driver mwenzangu mungu akuongoze vema

  • @rukiamwachupa9191
    @rukiamwachupa9191 Před 2 lety

    Wa mama tusilaale laale laale wa mama tusilale bado mapambano,, ongera dada Mungu akulinde kwenye kz yko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿

  • @puritynjeri5418
    @puritynjeri5418 Před 2 lety +8

    MashaAllah dada you're the real super woman💪💪🔥

  • @zaitunabdala6385
    @zaitunabdala6385 Před 2 lety +3

    Wanawake wanaondesha magari makubwa wapo wengi kwa sasa Ila nimependa kwauyu nimdogo Sana ongera Sana dada mwajey

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 Před 2 lety +2

    MashaAllah binti yang nae anapenda hii kaz

  • @bushuurwajohnbosco5803
    @bushuurwajohnbosco5803 Před 2 lety +21

    She is blessed and well disciplined. God bless

  • @hassanurassa2633
    @hassanurassa2633 Před 2 lety +12

    I respect woman like you

  • @johdee_official8057
    @johdee_official8057 Před 2 lety +35

    Much love and respect from kenya,,,,super woman

  • @deogratiasbinamungu8209

    Dada Mungu akujarie nimefurahi sana niko niko Missenyi bukoba Kyaka bwengabo

  • @annconcilliakombo7190
    @annconcilliakombo7190 Před 2 lety +3

    Our beloved GOD protect this lady all the way

  • @costabandale7507
    @costabandale7507 Před 2 lety +14

    She's 27 years old, driving a heavy vehicle. She is cool and smart.
    When I arrived, Tanzania I will see you. Keep the courage

  • @richadimburuja9206
    @richadimburuja9206 Před 2 lety

    Uko vizuri Dada umejieleza vizuri chapakazi mungu akutangulie

  • @severindamian9233
    @severindamian9233 Před 2 lety +1

    Hongera sana binti Ila boss akupe Actros Benz. Hyo FAW inakuumiza bana

  • @djdj3urj88
    @djdj3urj88 Před 2 lety +3

    Kwakweli siongei mungu akujalie mama amgu

  • @tafari988
    @tafari988 Před 2 lety +22

    Congratulations super woman for showing girls that they can do anything they set their minds to and, do it with class at the same time! And on that note if she can make it to the US she'll make about $7,000 = Tzsh 14,700,000 per month in that retrospects. Hongera dada mdogo. 👏👏🙌🙌😊🇰🇪

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Před 2 lety

      And how much clear or take home....dont fool people yoon !!

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Před 2 lety +2

    Masha'allah.dah uyu dada anastahiki pongezi 💗

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Před 2 lety

    Wanawake Sai Hakuna kz tunashindwa kiraisi, mungu akuongoze ktk kz zako. Mashaallah tabaracka Rahman.

  • @theranthiatv1mviews
    @theranthiatv1mviews Před 2 lety +34

    Kenyan girls take Mwajuma's challenge and venture into the field indeed it is a very inspiring story.I love the piece

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Před 2 lety +8

    Mashalaah safi sana WANAWAKE TUNAWEZA💪💪🙌

    • @alikhamis6326
      @alikhamis6326 Před 2 lety

      Huwezi ww anaweza yeye jifunze na ww si kila anachofanya mwanammke mwezako na ww uweze ujifunze utaweza huo ndio ukweli dada

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 Před 2 lety +1

      @@alikhamis6326 kila mtu na kipaji chake
      Huwez jua mie nafanya nn kakaangu

    • @saumurashid5232
      @saumurashid5232 Před 2 lety

      Tunawezaaaaa

  • @dominicmburu5743
    @dominicmburu5743 Před rokem

    From Kenya with love.....I also just got my class CE truck driving license natumaini tutapatana kwa barabara inshallah na bahati yako uko na kazi

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 Před 2 lety

    Good.... Kila lakheri Mwajuma.... Mungu akusimamie..

  • @davidkirumba4082
    @davidkirumba4082 Před 2 lety +3

    Hapo Sawa dada, talenti n yako, well done, good motivation 🙏

  • @dommymondah8296
    @dommymondah8296 Před 2 lety +15

    I love the spirit in this lady.. much salute to Mwajuma

  • @muajumaarashidi4029
    @muajumaarashidi4029 Před 2 lety +2

    Maa shaa Allah wajina umenipa nguvu hata mm ya kuweza kupambania hiki ninachokiamini Allah Azidi kutupa nguvu nabujasiri in shaa Allah 🤲🤲🤲

  • @elizabethkhayasi8422
    @elizabethkhayasi8422 Před 2 lety +3

    Congratulations sister. Niko njiani kufika hapo dadangu.

  • @benardopere6836
    @benardopere6836 Před 2 lety +21

    That's so inspiring Mwajuma.. may God fulfil your future dreams. Thumbs up girl....
    Benard, Nairobi.

  • @evanschaedirectoreffortcon6264

    Very inspiring, you are one in millions. I like this lady doing her work passionately

  • @siakiwelu3007
    @siakiwelu3007 Před 2 lety

    Hongera sana my. Mungu akulinde sana my

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 Před 2 lety +1

    Maa Shaa Allah, Hongera Bint.

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 Před 2 lety +7

    Mwajuma Naamin Mungu ameskia ndoto yako, keep Going na utakuwa baharia!!🙏

  • @miramtupa6381
    @miramtupa6381 Před 2 lety +3

    Safi sana nimependa iyo kwanza anaelewa sharia yakazi yake kwachombo chake

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 Před 2 lety

    Duuu hapo alipoanza kukagua mm naogopa na ukubwa wa gar maweeeeeee Masha Allah mwajey Allah akuongoze vyema na akubaliki akulinde na kila Baya Amin yaraby ♥️♥️♥️♥️♥️♥️💋🙏

  • @hansonwambua8838
    @hansonwambua8838 Před 2 lety +3

    May Good God continue blessings you mwajuma,, congrats,,

  • @nsanzumuhirepablo4845
    @nsanzumuhirepablo4845 Před 2 lety +3

    Big up Sister! Unasema ukueli hapa Mozambique Luga ni nkumi!.Jah bless

  • @ahmedanwar1210
    @ahmedanwar1210 Před 2 lety +8

    MAASHALLAH ALLAH AKUHIFADHI INSHA'ALLAH Dada

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Před 2 lety +2

    Mashallah, hongera sana *Mwajuma* Nimekupenda bure 💕

  • @dominickmassawe7720
    @dominickmassawe7720 Před 2 lety +2

    Dada mungu akubaliki Sana kwa kazi nzuri nimekupenda Sana namimi nataka mtoto wangu awe kama wewe

  • @kimchunchocktavian4574
    @kimchunchocktavian4574 Před 2 lety +23

    She's very smart,so I can get respect for you my sister

  • @juliahkamau8792
    @juliahkamau8792 Před 2 lety +4

    wow she's smart and beautiful, super woman 😘😘😘 congratulations.

  • @ibrahimtv9514
    @ibrahimtv9514 Před 2 lety

    Huu dada sawa kabisa nampenda yeye dada kwasababu yahio kazi anatumika mungu amuejeshe kwakazi yake tena amupe baraka mwahio kazi anatumika kweri hapo sawa kabisa

  • @mathiasmassai8747
    @mathiasmassai8747 Před rokem +1

    Hongerah sn my dada

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 Před 2 lety +3

    Salute Mwajuma ur the hero

  • @michaeleliassechome1189
    @michaeleliassechome1189 Před 2 lety +20

    First of all love wat you are doing 🔥🔥

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 Před 2 lety +1

      Mungu awe nawe kwenye safali zako zote

  • @mubakiepe959
    @mubakiepe959 Před 2 lety +1

    Hongela sana dada siku ukija tanga ukifika kijijicha Hale tuonane dada tupige stoli

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 Před 2 lety

    Hongera dada pia sisi wakenya🇰🇪🇰🇪 tunajivunia.

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 Před 2 lety +8

    Mashallah mwajuma mungu hazidi kukupa moyo katika kazi zako,watching from mombasa- kenya. Bidii ni maendeleo jipe moyo.

  • @jameskimuyu1317
    @jameskimuyu1317 Před 2 lety +2

    Respect 100%. Zidi kuwatia moyo wengine. Kiswahili chako pia kizuri. Kenyans are always amazed listening to the fluent swahili from Tz

  • @loveablelove3827
    @loveablelove3827 Před 2 lety +1

    wow amazing just like one of my frd from Kenya .....she us now 30 and she has been driving for 9yrs now keep it up gal

  • @nyangaresiwilfred8889
    @nyangaresiwilfred8889 Před 2 lety +1

    Hongera mwadada

  • @winipersitemba587
    @winipersitemba587 Před 2 lety +4

    Very smart and intelligent girl I salute you 👏

  • @jacquelinemwacha2867
    @jacquelinemwacha2867 Před 2 lety +18

    Congratulations to mwajuma you make me feel so proud of being a woman ...what mana can do a woman can do much better .. kudos

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 Před 2 lety

      Women are always multiple result oriented. You give her sperm she give you a child, a house 🏠 she give you a home, sorry Jacq