Sports AM | Duwa Said asimama akitamba kuitesa Yanga, Kenneth Mkapa amjibu

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 05. 2024
  • Tazama ubishi wa magwiji wa soka nchini Kenneth Mkapa wa Yanga, Duwa Said wa Simba na Adolph Rishard wa Yanga wakitambiana namna walivyokuwa bora enzi zao wakilisakata kabumbu.
    Duwa Said aamua kusimama wima.
  • Sport

Komentáře • 3

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 Před 27 dny +3

    Bin Zubeir toa nafasi kwa wanaojua wamalizie maelezo yao. Unakatiza na kuingilia maelezo yao sio poa👎

  • @helpers10
    @helpers10 Před 27 dny +4

    Halafu wewe mtangazaji kama uko kijiweni. Sasa mchezaji uikiingia kwenye timu ukimkuta mwenye namba lazima usubiri!

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 Před 27 dny

    Kama kuna mtu analijuwa jina lake [ Boy Weekend ] kwa sababu mimi najuwa hilo jina aliyempa hilo jina