KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE "KWANINI MSITOE NUSU DEGREE? MNAYOONGEA NI MAUTAPELI"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 05. 2024

Komentáře • 170

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Před měsícem +24

    Huyuu mtu mnamuona anachekesha ila yupo sahihi Sanaa, mie nashangaa mpka leo watu wanasomeswa vita vya kwanza vya dunia, chifu mkwawa, vita vya pili ujinga mtupu, watu wanafundiswa utaalam wa maisha yanowakabili sie tunapumbazwa tu akilii mpka unamaliza chuo unakaa miaka kumi Huna ajira wala mawazo ya kufanya coz hatukupewa mafunzo ya maisha baada ya hapoo tumefundishwa mambo yasiyoo tuhusu kabisaa

    • @mohamedally6390
      @mohamedally6390 Před 26 dny

      Haya maelimu useless wanashadadia sijui kwann yaan wanaficha elimu ya msingi wanaleta madudu ya hovyo kabisa inauma sana

    • @MeshackLukanda
      @MeshackLukanda Před 23 dny

      kweli mkuu chief kila sehemu chief mkwawa

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 Před měsícem +24

    Kishimba ajawai kuchangia pumba

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 Před měsícem +25

    Free thinkers are rare in African politics. Huyu Kishimba ana akili sana. Shida ni kuwa hajui kuwa Serikali inaendeshwa na wafanyabiashara wa Kiyahudi

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Před měsícem +15

    Kumuelewa huyu mzee hadi uwe umeishi maisha ya hali ya chini na kwenye kusomesha uwe umeshapata changamoto,,wanaojifanya wazungu hawawezi kumuelewa huyu mzee

    • @FestoMalisati-lf8hj
      @FestoMalisati-lf8hj Před měsícem

      Sana yaani anagusa kwenye uhalisia, angekua raisi Tanzanie ingekua bora sana.

    • @mohamedally6390
      @mohamedally6390 Před 26 dny

      Fact blaza sisi tunaoishi this time tomorrow tunamuelewa sana

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 Před měsícem +15

    akili kubwa baba mungu akutunze

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Před měsícem +6

    Du! Huyu mzee Kishimba ni genius sana. Nimefika kwenye hifadhi zetu nyumba zimeezeka kwa nyasi.

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 Před měsícem +19

    Mwenyez mungu akubariki mh kishimba tatizo la elim yetu ya kukariri kuaminishwa wazungu ndio kila kitu

  • @TheNichym
    @TheNichym Před měsícem +17

    Yan huyu Mzee yuko njema sana, ila kumuelewa lazima uwe umetulia sana

  • @thesilencer5114
    @thesilencer5114 Před měsícem +20

    Mnacheka lakini kiongozi anaongea kitu sahihi kabisa👏🏼👏🏼

    • @michaelaloyce2072
      @michaelaloyce2072 Před měsícem

      Mjinga2 huyu paka pori

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 Před měsícem

      Kishimba kichwani yuko vizuri kuliko hao vilaza wote.

    • @mohamedally6390
      @mohamedally6390 Před 26 dny

      Hao wwngne hawajitambui kazi kupiga meza na kusubir posho na kupokea madudu kutoka kwa wazungu ndio kazi yaooo

    • @zakariamalembela3974
      @zakariamalembela3974 Před 23 dny

      ​@@michaelaloyce2072 wewe akili yako mgando.

  • @Mc_Gwajee
    @Mc_Gwajee Před měsícem +11

    Daaaah huyu Mzee akili sanaaa

  • @boazychaulla2909
    @boazychaulla2909 Před 22 dny +1

    Mh kishimba ni genius tumuelewe tuu

  • @mapoluchalya280
    @mapoluchalya280 Před 29 dny +1

    Ahsante Sana mh.kishimba yaan wewe na king msukuma 🙏🙏🙏🙏

  • @officialshelomwangole256
    @officialshelomwangole256 Před 29 dny +4

    Mkimpa huyu mzee wizara ya elimu atafuta vitu vingi sana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @frankrefresh6850
    @frankrefresh6850 Před měsícem +2

    Kaongea facts kwenye uasili wa maisha ya kiafrica! Asili, tamaduni zikiwa hazizingatiwi na wahusika wenyewe kwa kuacha asili yao na kuziendea asili nyingine maisha yao yanakuwa na uharibifu mkubwa sana! Mataifa yaliyofanikiwa yote huwa yanaishi kwa kuzingatia tamaduni na asili zake!

  • @adamhamisi2638
    @adamhamisi2638 Před měsícem +2

    mzee kishimba, moja ya watu muhimu sana bungeni

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou Před měsícem +8

    Mashimba mungu ambariki sana hakika kahama wakizingua njooo update Jimbo sengerema

  • @dicksonvicent8139
    @dicksonvicent8139 Před měsícem +5

    Hatari sana aisee

  • @kazimoto-eq2th
    @kazimoto-eq2th Před měsícem +4

    Mzee kaeleweka ila tatizo lipo kwa hawa wajanjawajanja upo umuhimu sana watoto kupata chakula shule uwezekano upo ila ila hoja ikiwekwa wazi kama ivo inapotezewa nchi hii.

  • @stanslauslugendo31
    @stanslauslugendo31 Před měsícem +2

    Akili kubwa!💪🏻🌹

  • @thedchannel
    @thedchannel Před měsícem +4

    He is talking sense

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Před 10 dny

    BIG UP👏👏👏

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 Před měsícem +5

    Kama huna #D mjo huwezi muelewa😂😂💪💪

  • @Loshiphameliyomoleli
    @Loshiphameliyomoleli Před měsícem +2

    Good point

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw Před 15 dny +1

    Hiki ni kichwa hasa , mawazo yake na tafakari zake ni nyepesi kuelewa kwa mtu yeyote. Ni mwalimu hasa. Tumpe maua yake Kishimba. Mawazo yake yakitekelezwa kwa vitendo bila shaka maendeleo yangeonekana dhahiri shahiri.

  • @calvinmalale1761
    @calvinmalale1761 Před měsícem +1

    Naam mbunge hongera sana KWA kuongelea MAISHA halisi wengi wanataka aige MAISHA ya watu na watu wanaishi MAISHA SIO Yao kabisa

  • @medystarter
    @medystarter Před měsícem +2

    Tatizo la bunge letu lipo kusikiliza tu sio kutekeleza, SIASA za kikoloni ndio zina tuludisha nyuma

  • @kileoisaac
    @kileoisaac Před měsícem +3

    Kweli kabisa

  • @HamisaAli
    @HamisaAli Před 28 dny

    Big point Masha Allah

  • @robertnkaragano298
    @robertnkaragano298 Před měsícem +1

    Duh! Kishimbaa! Wew ni professor wa mambo yote!! Kishimba ooyee! Kishimba ooyee!!😂😂😂

  • @Avith-lj2sp
    @Avith-lj2sp Před 25 dny +1

    Kweli vitabu vyetu vya syllabus no hopeless kabisa

  • @kimandafukitefu2999
    @kimandafukitefu2999 Před 27 dny +1

    Hoja zote za huyu mzee zichukuliwe zinafaa kwa matumizi ya nchi

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 Před měsícem +4

    Hivi mnakiona wanachokifanya Chalinze Modern primary school?!!
    Kuna haja ya viongozi kujifunza kwenye hii shule,,,,, na inawezekana kumjenga mtoto tangu awali

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 Před měsícem

    👏👏👏👏👏Brilliant ❤

  • @user-by9qr6ov7n
    @user-by9qr6ov7n Před měsícem +3

    Mh,ameongea vzr sana

  • @vicentdaud2632
    @vicentdaud2632 Před měsícem +3

    Huyu jamaa akisikilizwa mawazo yake na kufanyiwa utekelezaji yanaweza kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi....

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 Před měsícem +1

    Mmmh kazi kwelikweli.
    Mbona hamjadili kama je ni sahihi kumlipa posho mbunge posho ya siku laki 3 sawa na kima cha chini cha mshahara wa mtumishi?
    Mjadili na maslahi ya watumishi na nyie. Ukiwa mbunge form 4= unalipwa 10M ila mwalimu huyohuyo analipwa 300K, ufala mtupu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před měsícem +3

    Hawawezi kuwafundisha somo la kutafuta pesa sababu miitaala ya elimu bado ni wakoloni na watawala wetu leo hii ni wakoloni weusi,na wakoloni elimu yao ilikuwa ni kwa ajili ya kuwapata watu wa kuwasaidiana nao kuwaswaga punda wao,.

  • @sylivesterleonard5133
    @sylivesterleonard5133 Před 28 dny +1

    Akili kubwa sana hii!!

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y Před měsícem +1

    Yani Mzee nakubali,

  • @matwerangulichedr3985
    @matwerangulichedr3985 Před měsícem

    Big brain, out of the box

  • @sengiyumvaathanas8815
    @sengiyumvaathanas8815 Před měsícem

    Big brain

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 Před měsícem

    Asante sn bb ukovizr

  • @faryjay808
    @faryjay808 Před 29 dny +1

    Fact sanaaa🔥🔥🔥🔥

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 Před měsícem +1

    uyuu mzeee ni ana akili sana naomba BUNGE limpe mda wakutosha kumskiliza TZ itasogea mbelee

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 Před měsícem +4

    Nusu degree

  • @josemoko530
    @josemoko530 Před 28 dny +1

    Hongera Sana 😂

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Před měsícem +1

    Yuko sawa huyu mzee

  • @ScholasticaDomonko
    @ScholasticaDomonko Před měsícem +2

    👏👏👏

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 Před 25 dny +1

    📌 📌 📌

  • @petermabale4320
    @petermabale4320 Před měsícem +1

  • @gaddafiofficial3200
    @gaddafiofficial3200 Před měsícem +2

    🔥

  • @felisterphilemon1852
    @felisterphilemon1852 Před 24 dny

    GOD be with you forever

  • @johnassey2327
    @johnassey2327 Před měsícem

    Fact

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Před měsícem +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @fridayjkajange1247
    @fridayjkajange1247 Před 19 dny

    Duh jamaa anaakili sana

  • @uledimude8921
    @uledimude8921 Před 17 dny

    Mbona hamtuambiagi Hadi kishimba aseme

  • @suchabulunja5611
    @suchabulunja5611 Před měsícem

    Mbunge Genius pekee Tanzania 🎉🎉

  • @MwaniPh
    @MwaniPh Před 23 dny

    Genius

  • @user-ru7yc8dn5h
    @user-ru7yc8dn5h Před měsícem

    Yupo sahihi mzee wangu muhimu tuwekeze watoto wetu katika mazingira yanayo wazunguka kilimo ufugaji nk. Huko ndipo wanaweza kuwa matajiri baadae. Lazima tutambae kwanza ndio usimame. Tusitake kukimbia kwanza kama wachina na wao walitambaa ndio sasa tunawaona wanakimbia.

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio Před 23 dny

    Huyu jamaa anafaaa kuongoza Africa

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 Před měsícem

    Laiti wangemuelewa chishimba ingekuwa sawa kabisa yeye ni profesa OG

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 Před měsícem +1

    Mpak uwe na D 2 ndo utaweza kuelewa

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 Před měsícem

    Huyu ni profesa kabisa

  • @maheitumdintunya2928
    @maheitumdintunya2928 Před 11 dny

    huyu jamaa yupo sahihi

  • @freddiemanento6318
    @freddiemanento6318 Před měsícem

    Huyu mhe namkubali sana sana

  • @user-vv9wb9he2x
    @user-vv9wb9he2x Před 25 dny

    Mbunge mwenye akili kubwa

  • @leonardmanawa952
    @leonardmanawa952 Před 28 dny

    baba wa mawazo positive ❤

  • @samahabdallahmohamed1135
    @samahabdallahmohamed1135 Před měsícem

    Uko vizur

  • @user-tu9ps9kr2o
    @user-tu9ps9kr2o Před měsícem

    Kishimba Oyeeeeee😅😅😅😅 huwa unato vitu vitamu sana Mhe mbunge

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 Před měsícem +1

    Pesa ni siri professor 😂

  • @JeremiahYohana-br2bd
    @JeremiahYohana-br2bd Před 27 dny

    Hii nchi bwana kufika mbali kimaendeleo so leo tunasera za kisenge sana

  • @edwardkagombora3782
    @edwardkagombora3782 Před měsícem

    Mimi nafikili mitaara itatoa hii kitu kumbe wapi bado tupo pale pale kuna masomo unafundishwa lakini hayatusaidii maishani mwetu na huku umetumia muda mwingi mwingi kujifunza

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 Před měsícem +1

    akili kubwa baba

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard Před měsícem +2

    bila bangi hoja zake ngumu kuelewa

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Před měsícem

      😂😂😂😂😂😂yaani.weww😂😂

  • @gaudenceassenga1900
    @gaudenceassenga1900 Před 19 dny

    Nawezaje kumpata huyu mbunge nipige naye story?

  • @AnaniaBulaya-rc3jv
    @AnaniaBulaya-rc3jv Před 25 dny

    Huyu kishimba kwanini asiende kuongeza elimu.anaongea maneno ya maana sana

  • @moseslimonga2337
    @moseslimonga2337 Před měsícem

    Hahahahahahahaahahahhaahahah duuuh wabunge wamevurugwa

  • @user-sl7lc2ns7c
    @user-sl7lc2ns7c Před měsícem +1

    Wachina wanafundisha elimu za kuwasaidia na mazingira yao

  • @johnmgalla7377
    @johnmgalla7377 Před 28 dny

    Uyu mzee yupo mbele ya muda sana sikupi maua nakupa na mti wake kabisa

  • @user-ch8it5jr8m
    @user-ch8it5jr8m Před měsícem

    Huy mtu jamani hapew ata President. Jaman nn shida hii ichi wasukum na wat wa mara hawa ni viongoz bora sana katika nchi hii

  • @rehemakarafuu-xi1py
    @rehemakarafuu-xi1py Před měsícem +1

    Akir kubwa

  • @user-wh3tb9ve8x
    @user-wh3tb9ve8x Před měsícem

    Wabunge wa Kanda ya ziwa wanaupiga mwingi wapewe maua yaoo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IsayaMorange-wb5ek
    @IsayaMorange-wb5ek Před 29 dny

    Afrika, tumeshindwa kuwa na mifumo mizuri ya elimu ambayo ingetupa maendeleo ya nchi zetu,, na tumechelewa sana na tupo nyuma ya muda lakini ni vyema tujadiri jinsi ya kujikwamua kimaendeleo kama nchi kwa sababu viongozi wetu wameshindwa kuwa wabunifu

  • @JafariMtima
    @JafariMtima Před 25 dny

    Akili nyingi dingiii

  • @KelvinNyanduli
    @KelvinNyanduli Před 24 dny

    Ww ndio mbunge mwenye akili kubwa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před 23 dny

    Kishimba inatakiwa UWE mtu mkubwa san. Unajua hali ya umasikin ULIKO Tz Kwa watoto wetu.

  • @victorwilliam1111
    @victorwilliam1111 Před měsícem

    Wenye akili zao halisi

  • @josephignas3988
    @josephignas3988 Před 25 dny

    Hawawezi kuingiza pesa kwenye mtaala wanajua watu wote watakuwa matajiri na wao matajiri watapata wanyonge wao wapi

  • @mohamedally1594
    @mohamedally1594 Před měsícem

    Sijamaliza sikiliza, ila najua tu yupo sahihi

  • @oliviermulabikokans1013
    @oliviermulabikokans1013 Před měsícem +1

    ❤moja❤kati❤ya❤zote❤

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 Před měsícem +1

    Hoja kalu na zenye akili

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl Před měsícem

    He is hero but we ar not use him one day we wil remember the most ,our life not Western lofe

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 Před 27 dny

    😂😂😂😂😂anakitu asikilizwe huyu

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 Před měsícem

    kishimba oye

  • @MasomeAbell-cr1um
    @MasomeAbell-cr1um Před 24 dny

    Mhu.elimu yetu dah mzungu atabaki tu kuwa mzungu tuleni tu ugali maharage

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Před měsícem

    Huyu mzee ana akili Sana Mungu uiongezee miaka mingi.

  • @Hassan-ot1mc
    @Hassan-ot1mc Před 27 dny

    Akili kubwa kiliko zote hapo bungeni

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 Před měsícem

    Uko vinzur

  • @russia1253
    @russia1253 Před měsícem +1

    Tatizo izo point zina achwa hapo hapo bungeni 😢 azifanyiwi kazi

  • @mohamedally6390
    @mohamedally6390 Před 26 dny

    Wabunge wote wangekuwa kama huyu mzee haya madudu ya wazungu tusingepokea na tungeendelea sana kwakweli.