KUTOKA COMORO: Uko tayari kukaa ktk nyumba ya WIFE? maisha yao je?
Vložit
- čas přidán 18. 02. 2017
- Inawezekana kabisa upo Tanzania au popote pale duniani lakini umekua tu ukisikia kuna sehemu inaitwa Comoro lakini hujawahi kufika wala kujua pakoje na tamaduni zao.
Camera ya AyoTV ipo na wewe time hii kutoka Moroni kukuelezea na kukuonyesha upande huo ukoje.
Kuzuri kwa kutembea huko. My next holiday destination is Comoro .😎
ni vizuri kusafiri ...
Comoro mm nishaenda kwel mtandao shida Sana kumetulia Sana mji upo kimya Ila chakula Chao sio vizur Sana Ila hela yao inasaman
I'm about to cry😅😅😅illa ni nna imani kwamba kunasiku mungu atatusaidia
Kuhusu sim siajabu hata sisi tulianza hivyo hivyo
Ningekuomba ufanye Tour na hivyo visiwa vingine.
Mimi gari yangu ya kwanza ilikuwa ni Renault Clio CUMPAS nime ziona hapo nime furahi sana kuona hapo zina tumika Taxi
Tatizo Afrika kupata kiongozi anae jali wananchi ndiyo maendeleo yana kuja sisi watanzania tumshukuru Allaah pia mzee Rukhsa kwa kutufumbuwa macho
Comores ni nchi ambayo inaanza kutoka katika mashîmo makubwa but let' us going slowly
Wahoji wacomoro, sasa umekazana kumhoji mtanzania! Huo uduanzi
Ila nasikia wanawake wa kikomoro wanaheshima sana
Kweli kabisa
itabidi nikatafute mchumba uko
Hata mm km napata mwenyeji huko niko tayari nikaoe please
wakomoro wote gonga like hapa
Aaaah we dada nimkomoro?
Nataka jinsi ya kufika huko
Mimi naomba namba yako nataka kuja komoro
Nitafute
kaka millard huko ni nomaa ukinunua ki2 mpaka balozi ajueee nimishidaaa hakufai huko...💃💃💃💃
😳😳😳kisaa
Hiyo iko namna gn rafki yngu inamana upite kwa baloz au unapita nae mashop
?
nakukubali san millard ayo napanda san kaz zako ni nzuur san nakukubali nami nahtaji siku moja niwe kama wew
Safi sana kutujuza taarifa kama hizi
Comores! Home sweet home!
asante millard ayo huko wakonyuma sana daa nahizo sheria za mwisho mungu azidikukupa uwezo zaidi iliutulee habari mbalimbali
Napatan kweli inshallah tutafika tu.
Comoro n kama zanzibar
Zanzibar is prettier than Comoros.
Nice and fine place to be in vacation..how much you need to spend in comoro for week
It's up to you for the life you want to be in Comoros islands 😯
Ina jina kuuuuubwaaa lakn kumbe n nch maskn sana!!
Ahsante
Nimeenda sana. Mij.huu
duh huko kuko nyuma snaaa
" The results of decades os communisim! They must understand communism is the source of chaos and poverty!! They must open their country to investors otherwise "Umasikini hautoki kwao!!
Karibuni COMORE island Ni nchi yenye Amani na watu wa huruma.na pia hewa nzuri.
Ahsante natamani nije huko km nikapata mwenyeji nije kufanya daawa
Asante nitafutie kazi
Shilling alf5 ni zaidi yaalf20 bongo sasa kwa nn hela ya comoro inathamani zaidi ya dola na paund wakati dola 100 tu ni zaidi ya laki
Kwa sababu wanatumia Euro 💶
duh aisee ..huko ni kuzuri sana kufanya tours ..kwa kweli
kabisa aisee
home
Wow
Vizuti Sana
Kama umewahi kufika Zanzibar basi Utakuwa huna tofauti na Ayo. Hakuna tofauti kati ya Zenji na Comoro.
Kihanda Tv kweli ni sawa na zanzibar mji mkuu darajaani😅😅loooh lakini ndio home love zanzibar
Huko Comoros ninoma wanadari kam wahindi mwanaume kuolewa khaa sikuwez huko pia maish yao mitihani na matumiz ni makubwa khaa
Taifa ili ukienda kuanzisha maisha unatoboa chap
mbona vts nyingi sna
Ukitaka kufanya biashara na kuishi vizuri msingi unatalkiwa uwe na bei gani
asante ayo tuletee mechi ya jana burundi le mesenger ngoz& kvz kama itawezekana
hapo ndio waahaendelea ao
uko home comoro
😮
Bas wanaume woote wata owa ma fast born kwa kupenda kutafuniwa na atakae zaliwa mwisho mwisho imekula kwake kaazehekea home ocz wanaume woote watakimbilia Kula ma fast born
It is three islands Mayotte is part of France
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Yes
Mazingira yake kama Zanzibar
Mayotte ni sehemu ya Ufaransa
Magorofa ya tanzania nia waarabu pemba na wahindi
Ni Moroni, Millard.. Si Moron! Haha! That's ma home, buddy!
asante sana ndugu yangu
vits za kutosha huko
Kisiwa cha Mayotte ni kisiwa cha Ufaransa nasi cha comoro 😉
Ahsante sana Mylard kwa kwenya Comoro. Nimekuliya huko na nimefurahi koona Moroni kidogo. What you said about the wedding is absolutely true. Left Moroni 40years ago and thank you for going there
comoro
thanks Karthala
Mimi siyo mutanzania ila napenda sanaa kipindi cako sanaaa .na napenda sanaa wasana watanzania sana sana muigizaji Wema
Namupenda sanaa Wema sepetu
+Rahma Said wema yupo n mke wa daimond
Da!! huo ndio mji mkuu!!
kama Bukoba
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Kwakwel pamekaa kama bukoba
Hata Tanzania ilianzia huko kaka usibeze
Comoro hata kwa limbwata siwezi kuishi.
Hayo maneno yamenuumiza sana sana....😢😢😢😢😢
Usiseme huenda mwanao akawaoa huko au kuolewa
duuuh
Huyu siyo mtanzania hâta kiswahili chake bado huyu tunamjuwa vizuri sio mtanzania
Huyo mwanamke anae JIBU Ni mfanya biashara Moroni Ni TZ.BUT SIO MKOMORO .LAKIN ANATUFAHAMU SIE WAKOMORO VIZURI SANA.YUPO COMORE MIAKA MINGI KWA BIASHARA.
Ukienda rorya au usukumani ndio utajua huyu Ni Mtanzania
Wajaclia mali mpo hapo. Fursa hio comoro kuna neema.
Mimi nahitaji kufika naomba uongoz
Komori
Ni kwetu kwa mamanguuu
Hikma Haji kumbe
Naomba uenyeji ili nitembelee kujifunza huko nakufanya daawa alau hata week 2 0717519111 wasap cjui upo wapi ndugu?
Hapo kwenye thamani ya pesa ndo panatakiwa kuwa darasa kwa Magu. Aje huko apewe darasa.
k uzur
ahahahaaaa et linbwata jamani lakini bado wako nyuma bwana
Usiali.baada miaka.utaskia tu tupo mstari wambele.tunaanza chini kwenda juu.
Jazirat maut....
Hata dubai wanao jiweza wanamitandao miwili nyinyi mmeanza kusajili simu juzi juzi
Line mtu ulikuwa unanunua barabarani kama unanunua karanga.
Hahaha haha ayo huko siomchezo yani full utelezi ukioa unakaa kwa mkee dwaaaaaax sema nn ukibahatika kwenda tena wambie waongeze sheria namatumizi ataoe mkee ntanunua BMW hihihihi vitz zimezidi 😂😂😂😂😂
😂😂😂Mnapenda vya bure mhh
Nimeyapenda sana mazingira yake ila sio kwa vits zile 😋😋😋😋 ukiwa na vogue lazima uitambulishe jamhuri
hahahahhahah umenichekesha sana
Yan documentary nzima sijaona hata Prado....kweli hiyo ni COMMORO hhahahahha
Millard Ayo uyo dada anawadanganya kidogo sijuw kiswahili kinamsumbuwa
Yah lazima jamhuri yamagu ijulishwe
Millard Ayo tafuta mzaliwa wa comoro sio mpita njia halafu mtu mwenyewe haeleweki anakurupuka tu. Sisi hapa tangu tuanze kutumia simu zamkononi lazima ufike ofisini na kitambulisho chako ukasajiliwe halafu ndio upewe line.huko tz line watu walikuwa nawanunua barabarani kama unanunua nyanaya tu unanunuwa unaweka kwenye simu yako. Ilikuwa 2009 ndio mlioanza taratibu zaku sajili.
Mimi nilipitia hiyo ishu.
tutajie fursa za huko tuje kufanya biashara
Yaaan nyuma tena sanaaa
She's not the first Why didn't ask the first
upande wa mama yangu
Dooooh bhaaaaas habib
sasa uko s wawaachie tu samak waish
Mh
Pesa yetu kweli karatasi😂😂
Mgeni Sana 😂😂😂😂😂
Nimewekania kuja comoro kutembea na kuja kufanya biashara innnshallah
hiyo nchi bado inatecnelojia ndogo inamitandao Miwili daah noumer
Milady nauli ya tz kwenda huko sh ngap?
1mil. Kwa ndege
Go and return
usafiri ukoje kutoka dar mpaka comoro? unasafiri kwanjia gani ?
king roller ndege ..meli pia
Unakwenda kwa kuogelea ukijitosa baharini utazamkia Moroni
Wame tawala Wafaransa huko hivyo marndeleo ni big issue. Waambie kuhusu ADA, Millard. Kwa Comoro kwa mke ndo kwenye familia na si kwa mume.
Please go back to making a video nowadays because something it's readying change 🇰🇲🇰🇲😁😁
Bc kuzuri uko
Vitz kama bodaboda
Hii interview ya kipuuzi ni sawa na historia ya jamii fulani, kuandikwa na jamii tofauti, mwandishi ilitakiwa a wahoji wenyeji, huwezi ukaja kwetu wanyakyusa, ati ukataka historia yetu kule busokelo ati ukaanza kuwahoji wahehe wa iringa! Idiots
comores hamna dala dala muini ndio maana unaona izo gari ndogo afu uyu dada anae hojiwa hapa ni muongo sijuw kiswahili kinamsumbuwa au
Islam Nurdin anakurupuka tu
Islam Nurdin Dada anae hojiwa anaitwa mwanjuma Ismael ni mcomoro mwenye makazi Yale dar es salaam Tz,na anaishi Kigamboni,na ameolewa na mwanaume Wa kicomoro anayeishi ufaransa
Tupe kweli yko
Yupo facts,,ila ww ndo hujui
Hakufai uko
Broo mm Niko huku
mzee natka nije nitembee huko niandae kam bei gani hivi
Halafu wewe ayo,huyo dada nimuongo, kwanza ukitaka kujuwa vizuri katika nchi yoyote unatafuta mzaliwa sio mtu ambae anaishi. hata kama aliishi miaka 100 hawezi kukwambia ukweli halafu hilo dada muongo kabisa anajifanya mjuaji mtu mwenyewe hajui chochote kuhusu mila na desturi za comoro anakurupuka kuelezea asioyajuwa . Eti lazima mwanaume aishi kwa mkewe.
Mboba kuna wanaume wanajenga nyumbazao na wana wachukuwa wakezao wanaishi pope .
Cha pili wewe ayo kila kitu kinachofanyika nchi yoyote kuna kuwa na hikma ndani yake yake
Kwanini hujamuulizia hikma yakuwa mwanamke anajengewa?
Ndio mana nilisema pale awali kwamba ungetafuta mzaliwa, sio mtu wakuiishi.
Hayo magorofa mnayo yavunia
Moroni tuna papenda kama valivyo
Je wewe ni mkomoro
kubaya bwana hyp nchi mlitakiwa muwaachie samak nao waishi so kwakuish watu huko😊✌KUBAYAAAA
Ni kweli: yupo sahihi
Mbona imekuuma dada, kubaya ndio kwani uongo???? Tena kubaya haswaaaa hapo mjini kwenu ndo kama kijijini kwetu tuu ni kubaya kubaya kubaya hata kama mnajivunia lazima mjivunie ndo kwenu tena ila kiuhalisia ni kamji kabaya afu kanatisha sijui kapoje kapoje mimi siwezi ishi huko bora niende nikaishi kijijini kwetu tuu
@Janethhahaha🤣🤣🤣🤣Madios-oe5ue