MILLARD ASIMULIA KUPIGWA CHINI CLOUDS MARA 6 GADNER AKIMPAMBANIA "ALINISHIKA MKONO SANA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 04. 2024

Komentáře • 97

  • @marydino60
    @marydino60 Před měsícem +10

    Huyu jamaa ni Mwandishi mzuri sana, ukimsikiliza interview zake anaongea kimaadili sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Před měsícem +8

    MashaAllah ❤🙏🙏🙏may his generous,kind,sweet soul rest in eternal peace 🙏🙏
    Cha kujifunza hapa,dunia hii tunapita,kila kitu kitapita,lakini kitu pekee kitabaki duniani ni matendo yako,wema utakaotendea watu utaishi milele,tujifunze kuwa watu wema,msaidie mtu yoyote mwenye uhitaji,sio lazima iwe pesa,hapo ndo tunapokosea,watu tunahisi wema ni uwezo,wema ni moyo wako wa kibinadamu...tubadilike jamani,tuwe na ubinadamu

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 Před měsícem +9

    The Best presenter 🎉🎉Nimejifunza kutomdharau mtu hapa 🎉🎉🎉

  • @CharlesKavishe-kl5bv
    @CharlesKavishe-kl5bv Před měsícem +4

    Clouds & Tanzania people &clouds media group poleni sana pia tumepoa Gardner ni mrombo mwenzang ila Millard. Ayo mtu wa nguvu mtu wa maana umeteta ukweli wako respect u brother

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 Před měsícem +11

    Poleni sanaaa 😢
    Ayo leo unahojiwa boss anahojiwa

  • @user-hz5dv2el4m
    @user-hz5dv2el4m Před měsícem +5

    Milard Ayo ni kichwa Sana,

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 Před měsícem +13

    Mohoj Leo anaojiwa raha sana

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Před měsícem +2

      Saana na wapo vizuri kwa maswali na yanajibiwa vizuri

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Před měsícem +4

    01.Salumu Kikeke/Millard Ayo
    02.Sky Walker(Fredrick Bundala)

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d Před měsícem +3

    Mungu akikupenda bhana hakuna wakukushusha

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 Před měsícem +44

    Mirad ndoo mtanga zaji bora Tanzania anae bisha aseme

  • @Timoclement
    @Timoclement Před měsícem +1

    Kila mtu anahistoria yake hongera Blue Boy

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 Před měsícem

    Big up sana brother

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 Před měsícem

    Brother nakubali sauti yako base

  • @singanoudsm2570
    @singanoudsm2570 Před měsícem +1

    Pole sana Blue Boy🙏

  • @tukuyufm
    @tukuyufm Před měsícem

    Muyenjwa mungu akubariki sana, wewe ni picha kwa mayoutuber wa Africa.

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z Před měsícem +2

    Ila muemnasema misaada mliowah saidiwa kabla ya watu kufarik 😢😢😢

  • @rightclick10
    @rightclick10 Před měsícem

    This is called a wisdom.

  • @johnsondaudi3932
    @johnsondaudi3932 Před měsícem

    Pole sana blue boy

  • @syliviaibrahim5315
    @syliviaibrahim5315 Před měsícem

    Katika hii dunia kila mtu uwaga ana mtu wake,kwa kutanguliwa Mwenyezi Mungu

  • @SarahMajaliwa-ze4qh
    @SarahMajaliwa-ze4qh Před měsícem

    Pole San kaka

  • @leonardmakwela5551
    @leonardmakwela5551 Před měsícem +2

    Namkubali sana huyu dogo!
    Mtangazaji bora sana aise

  • @user-nu6ge7rg7n
    @user-nu6ge7rg7n Před měsícem

    Duh mungu angekukumbusha uu ushuuda ukautoa akiwa hai

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq Před měsícem +4

    MIMI Nakumbuka ule wimbo wao "MBINGUNI HAKUNA BIA! NDIOMAANA TUPOHAPA TUNKUNYWA BIA NASIKU UKIONDOKAHAPA PIA RAFIKIZAKO WATAKUNYWA ZAKO BIA!!"😆🥺🤔(Emungu uwasamehe maitiwe na uwarehemu wooote kwaujumla AAAMIN🙏🤲🤔

    • @anselmobarandagiye5112
      @anselmobarandagiye5112 Před měsícem +2

      Umenikumbusha mbali sana kaka,,,Gardner na kibonde wimbo wao pendwa😪😪

  • @pmp-255
    @pmp-255 Před měsícem +4

    sadness interview moment....i wish haya yote angekuwa anayaskia 😢😢 ...endelea kupumzika nembo ya kaskazini

  • @praymwalu
    @praymwalu Před měsícem +2

    From DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 apa naweza kupata number ya Brother millard Ayo vipi kuna jambo la muhimu sana nataka ku ongeya naye

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 Před měsícem

    pole sana kaka

  • @Djugaripro
    @Djugaripro Před měsícem

    Pole sana clouds

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya Před měsícem +2

    Mirad pore kijana wetu mpore mtangazaji mzuri

  • @user-ex7bh1np4t
    @user-ex7bh1np4t Před měsícem +1

    Huyu jamaa Gudner sijawah kuishnae Wala kuanae Karibu ila mpaka nimetoa chozi huyu jamaa alikua mtu alikua mtu jaman Kuna binadamu na watu huyu jamaa mtu mastaa wengi wanalinga jaman, dar vizur havidumu Gudner alikua na moyo kama Baba marehemu Mzee Meng'anyi

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 Před měsícem

    Poleni sana

  • @noahjoshua5649
    @noahjoshua5649 Před měsícem

    Nikweli,Ayo ni mtangazaji ambae ni the best in Tanzania kusema ukweli wa Mungu!

  • @dizzonofficial2600
    @dizzonofficial2600 Před měsícem +1

    Daah So Sad But Kuna kitu kikubwa nme jifunza hapa i wish one day litimie na kwangu pia coz Clouds iz my dream Broh🙏

  • @kechuagrosupplies
    @kechuagrosupplies Před měsícem

    Jamani❤🙏

  • @GloryRingia
    @GloryRingia Před měsícem

    Pole sana kwa msiba nakumbuka ukoo ni nyumban hat mm nilikuja kumzik mam

    • @farihiamass8739
      @farihiamass8739 Před měsícem

      Kikelelwa

    • @GloryRingia
      @GloryRingia Před měsícem

      Ss kwet ussey karib na maeneo hay 2 hap radioo clouds hatukupatii millan

  • @rahelmbeyale8073
    @rahelmbeyale8073 Před měsícem

    Pole Sana Ayo, pole Sana Clouds

  • @user-jn2qj5wf6c
    @user-jn2qj5wf6c Před měsícem +2

    Vizur sana kwa kumkumbuka Mim alikuwa jiran yangu pale mbezi Tembon karibu na kituo Cha polis kipind anaish na Komando Jide

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před měsícem +1

    Wa Muyenjwa

  • @JeremiahYohana-br2bd
    @JeremiahYohana-br2bd Před měsícem

    2004 mimi hapo nipo chekechea Dah! Kumbe nitatoboa muda bado

  • @CalvinTemba
    @CalvinTemba Před měsícem

    Kuende shika necha meku

  • @ahz6907
    @ahz6907 Před měsícem

    Jamaa ana mvuto ktk mazungumzo yake...unaweza kumsikiliza saa 24 bila kuchoka.

  • @gblessabell2046
    @gblessabell2046 Před měsícem

    Cluds radio ya watu gadner mtu wa watu hii radio ni watu na watu...nawakubali Sana nawapend Sana hasa mkifanya Promotion zenu ..daah watu huwa wanaiona Simba day ina watu wamejaa ila wale watu hawaji tuuh sababu Simba ni brand Kuna wahuni wanapambana Sana Nyuma ya Simba kwenye Promotion ya tamasha Lao asee huwezi elewa kama huwafutilii hawa Watu. ..ni big brain 🧠

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 Před měsícem

    Rip Gardner G Habash

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya Před měsícem

    Mirad amenenepa Sana pia anakiri anajibu ki akiri

  • @ndegeofficial9928
    @ndegeofficial9928 Před měsícem

    😢

  • @IshmaelSimon
    @IshmaelSimon Před měsícem

    How come every famous naemsikia amefariki this year ni wa muhimu kiasi hiki???? Akianzia Lowasa!!!!

  • @papafikiri
    @papafikiri Před měsícem

    Ukiwa na ndoto ya kuwa mtu yeyote hii ndio route sahihi wajanja wanafuata.

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 Před měsícem

    Huo wimbo wetu wa kkkt wenye kiitikio mbinguni huwa una majonzi sana kwakweli 😢😢😢😢

  • @barakahassani5769
    @barakahassani5769 Před měsícem

    Mnamsifia Leo baada yamtu kufa atajuwaje

  • @halimasaidhamis1657
    @halimasaidhamis1657 Před měsícem

    Milad mtaje hat dada yako halima said sasa hivi mimi ni mwl

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 Před měsícem

    Speaker inatetema

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 Před měsícem

    Kama anamachp kengeza ivi😊

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 Před měsícem

    Hii ni uongo

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 Před měsícem

    😢😢

  • @SamsonSony-yc3iz
    @SamsonSony-yc3iz Před měsícem

    Jamaa ameshasema millad ayo ndo mtangazaj bora haina pingamiz

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Před měsícem

    kumbe milad yuko clouds pya ndio mara nying simuoni site moja kwa moja

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz Před měsícem

    Kifo hakina huruma

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Před měsícem +2

    😢😢😢😢😢😢😢 mungu akutangulie katika kazi yako milad 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shokakazini7135
    @shokakazini7135 Před měsícem

    swali la Vidox, kuwa mafanikio ameyafikia, swali la kindezi ... Halina kiwango

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Před měsícem

    😟😟😟😟😟

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 Před měsícem

    👏👏👏👏

  • @RomboBoy-bl7ql
    @RomboBoy-bl7ql Před měsícem +1

    Brother pole sana bt mngesema kabla hajafa😢

    • @user-vy2bc6xg3i
      @user-vy2bc6xg3i Před měsícem +1

      Hajawahi kuhojiwa ila huenda watu wa karibu wanajua

    • @user-sy4ir9ep2g
      @user-sy4ir9ep2g Před měsícem +6

      hiyo interview is not for G habash ni kwa ajili ya unayesikiliza, kifo cha mtu huwa ni funzo kwa watu aliowaacha! kunachosimuliwa ni kile alichokipanda akiwa hai myoyon mwa watu

  • @user-sn7ic3jj5i
    @user-sn7ic3jj5i Před měsícem

    Kweli hujafa hujasifiwa wahenga walisema

  • @flavourboyke
    @flavourboyke Před měsícem +3

    Mbona sielewi milard ni mtangazaji wa ayo tv ama clouds ama zinahusiana aje

  • @obedingilisho
    @obedingilisho Před měsícem

    2004??.?😂

  • @user-xk4os6jx8x
    @user-xk4os6jx8x Před měsícem

    @halimasaidhamis subili ufe

  • @aloycemathew3926
    @aloycemathew3926 Před měsícem

    😢