HISTORIA NZITO YA MIKASA NA MIKAKA YA SHEIKH PONDA (SEMA NASI) EPISODE 01

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 09. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Komentáře • 16

  • @aifadmohammed5231
    @aifadmohammed5231 Před 9 měsíci +12

    Sheikh ponda yanakukuta yote hayo cozy ww sio mnafiki na huyumbi katika misimamo yako ,mungu akupe maisha marefu

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Před 9 měsíci +9

    Yani inauma sana, ila maadamu kuna mahakama ya hakki isiyokua na majaji na mawakili hakuna shida.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Před měsícem

    Shekh ponda mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika harakati za dini

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Před 9 měsíci +3

    Mm huyu shehe nampenda maana siyo shekhe mmnafiki hajali serekali yy anajali dini na muungu wake

  • @FatumaHussein-n6k
    @FatumaHussein-n6k Před měsícem

    Molla akulipe mazuri yako.na akusahme makosa yako

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 Před 9 měsíci +1

    Allah akusaidie kwa jitihada yako katika harakati za uislamu na pia pole Kwa yalio kukuta sheikh wote

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Před 9 měsíci +3

    Inaonesha Dola liko Mikononi mwa Kanisa, Mfumo Kristo😂
    1) Chuo Cha Kiislam
    2) Msikiti wa Mwembe Chai

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Před 9 měsíci +5

    Yani ponda sijui nikuite mjukuu wa mtume? Kwakweli mti wenye matunda ndio upigwao mawe, inshaa الله peponi patakua makazi yako.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Před 9 měsíci

    Allah Akbar hapa ndio ujuwe uisla hakuna aupendae

  • @azhadsoud1433
    @azhadsoud1433 Před 9 měsíci

    Allah amhifadhi ameen

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Před 9 měsíci

    Allahu-akbar

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Před 9 měsíci +1

    Waliyo baki wanaogopa maraisi kulikomuungu