Utukufu wote ni wa BWANA, tangu tuko vijana wadogo, nyimbo hizi zinabariki mioyo yetu. Mubarikiwe saana waimbaji wenzangu, Tukaze mwendo mpaka mwisho, hata tukitangulia kwa Baba kazi tulioifanya hapa chini ya jua inatenda na itatenda kazi. Tafadhali someni 1Wakorinto 15: 58 na pia Zaburi 20. Amina. Nawapenda nakuwafurahia saaaana. Muinjilisti M. MITAMBA Ny.
Nyimbo za baraka sana my dad loved the songs we sang along with the choir when we were young. Just listened and prayed to God in tears that none of these choir members will moss heaven
Huu wimbo unanikumbusha miaka ya 1987 hadi 199I nikiwa Primary School. Nilikuwa napenda sana kuisikiliza kwaya hii kwa kutumia redio pendwa za kizamani a.k.a radio cassette. Ilikuwa raha sana.
Kwa kuunga unga hiv hiv mpaka tutaingia kwenye ufalme wa Mungu since childhood nasikililiza hizi ngoma kumbe Roho wa Mungu alikuwa ananifundisha bila kujua I understand God love us .......
Tangu utoto hadi hivi nina barikiwa sana kupitia nyimbo hizi ila sijuwe kama waimbaji hawa wapo nafasi gani Tanzania. nani anayeweza toa hata historia yao kwa ufupi! mimi ni mkongo kutoka Goma DRC mu barikiwe sana na bwana
Nadhani nilikuwa chini ya miaka 7 nikisikiliza nyimbo hizi, leo 3.april 2023 ni miaka 37 lakini bado nguvu ya Mungu imo katika nyimbo hizi. Nitarudi mwaka 2092 kuusikikiza tena hapa
I sang this song while in a medical school 1993.I love it absolutely.soothes my sole.Sang by the Diguna AIC choir. I hope they did notbridged copyright
Heard this song when I was ten years old,It made me memorize the fruits of the holy spirit up to now it's so fresh in my mind.God bless you so much for spreading the gospel of Christ.
Kuna Albam ya Ulyankulu hadi leo ni mwaka wa 30 tangu niisikilize sijawahi kuisikia tena. Moja ya nyimbo ambazo zilinivutia sana kwenye Albamu hiyo ni Wimbo wa YERUSALEM MJI MWEMA .... na wimbo mwingine sijui unaitwaje ila moja ya maneno yake kwenye ubeti wa kwanza na kisha CHORUS yanaimbwa hivi: "Tazama Mungu alionesha pendo lake eeeeh ili sote tuokolewe. Hata akamtoa mwanawe wa pekee ili sote tuokoleweeee.... CHORUS Amwaminiye yeye hahukumiwi, asiyeamini amekwisha kuhukumiwa kwasababu hakuliamini jina la Mwana Pekee wa Mungu aliye mbinguni" Hiyo albam nilikuwa nikiisikiliza wakati huo ni mdogo nilikuwa naona mbinguni ni hapo kabisa. Kwakweli enzi hazirudi tena. Mwenye Nyimbo hizi tafadhali kama yupo nitafarijika sana..
2024 tubarikiwe pamoja.
Nimependa jinsi mnavyoweka maneno yenyu kimsingi nimebarikiwa sana na nyimbo zenu bwana wetu yesu kristo awabariki
hao wamama watatu wanifurahisha saana
Amen wa ndugu wangu,baraka za Bwana ziwafikiye maali mlipo popote 🙏🏽
Mungu awabariki sana nyimbo zenu zote mumeimba kwa neno la Mungu tofauti na sasa hivi nyimbo zimekosa upako kwa sababu zinakuwa hazina maandiko.
mungu awabariki mno, nimekuwa nazisikiliza mpaka leo naendelea kukua zinaendelea kupenya ktk moyo.wangu GOD BLESED ALL
Utukufu wote ni wa BWANA, tangu tuko vijana wadogo, nyimbo hizi zinabariki mioyo yetu. Mubarikiwe saana waimbaji wenzangu, Tukaze mwendo mpaka mwisho, hata tukitangulia kwa Baba kazi tulioifanya hapa chini ya jua inatenda na itatenda kazi. Tafadhali someni 1Wakorinto 15: 58 na pia Zaburi 20. Amina. Nawapenda nakuwafurahia saaaana. Muinjilisti M. MITAMBA Ny.
Evangeliste Mireille MITAMBA napenda xana kazi hizii ,zmesukwa vizuri
Evangeliste Mireille MITAMBA napenda xana kazi hizii ,zmesukwa vizuri
nimekosa maneno ,mungu awazidichiye mara dufu .nawapenda
Nyimbo za baraka sana my dad loved the songs we sang along with the choir when we were young. Just listened and prayed to God in tears that none of these choir members will moss heaven
So lovely ooh my Lord bless these birdsong like singers wherever they are live or dead.
Mostly of them arlead died
Huu wimbo unanikumbusha miaka ya 1987 hadi 199I nikiwa Primary School. Nilikuwa napenda sana kuisikiliza kwaya hii kwa kutumia redio pendwa za kizamani a.k.a radio cassette. Ilikuwa raha sana.
Kumbe za miaka ya 80's huko, nilizani za miaka 90's
2020 sep,Nani anabarikiwa na mimi?
Me
Mimi
Mimi hapa 2023 bado nabarikiwa🎉🎉🎉🎉
Napenda xana nyimbo zenu .Hizi kwaya za zamani ndizo zilikuwa zinaimba nyimbo za kiroho. MUNGU awabariki xana popote kila mmoja wenu alipo
kweli cha zamani dhahabu nyimbo hizi huchoki hata kidogo kusikiliza
napenda sana hizi kwaya za zamani. .Mungu awabadiliki
charlz mafaru Mimi pia
Mungu awabariki sana waumbaji
Amen, Na Mimi piya
hawa wako wapi? injili neno kwa neno toka kwa biblia, be blessed wherever you are ulyankulu choir.
Natazama na nani leo 02.08.2020? Weka like tafadhali.
Pamoja na mie
Upendo wa kweli ni amri kuu aliyotuachia yesu,tukianza na wazazi,ndugu na jirani.mbarikiwe waimbaji kama ninyi Kwa mnavyotuonyea Kwa vitendo.
jina la Bwana wetu Yesu lihimidiwe
Mubarike sana ,izi nyimbo ni Baraka wangu, laisse que mon Dieu vous bénisse abondamment
Kwa kuunga unga hiv hiv mpaka tutaingia kwenye ufalme wa Mungu since childhood nasikililiza hizi ngoma kumbe Roho wa Mungu alikuwa ananifundisha bila kujua I understand God love us .......
Kumbe tangu zamani nasikiya wimbo huu na sasa naona vidio. Kutoka Kigali. God bless you
Kwa kweli zinanikumbudha mbali zaidi sana npenda hizi nyimbo hasa
Tangu utoto hadi hivi nina barikiwa sana kupitia nyimbo hizi ila sijuwe kama waimbaji hawa wapo nafasi gani Tanzania. nani anayeweza toa hata historia yao kwa ufupi! mimi ni mkongo kutoka Goma DRC mu barikiwe sana na bwana
Mbarikiwe uko mliko jaman
Kwayazilikuwa zamani ck hizisalakasi tu
Kwaya zilikuwaga zamani kwakweli
Jamani nyimbo nzuri hazichuji, Zina nguvu ya roho mtakatifu
Mungu awabariki zaid na zaid...huwa najisikia amani sana nikizisikiliza hizi nyimbo
collin kanza. Hakika ni nzuri sana. old is gold
Wabarikiwe waimbaji wote waliokuwa wakiimba katika kwaya hii
Still watching this songs 2020 ❤️💕
Muraho Felicite!!
@@lucillekankazi8073 Yego turaho mwebwese mumeze ute
@@mybeautifulb1428 tumeze neza, ndabona nawe urumukunzi wizindirimbo.
Nakumbuka utoto Wangu 🤗🤗🤗 ata babayangu Nime mukumbuka
Barikiwa sana
Wahu sauti nzuri kabisa
Napenda xana kazi hizi ,zmesukwa sawasawa
Mapigano Ulyankulu na Ulyankulu Barabaraba ya 13 nyote nawapenda
Nadhani nilikuwa chini ya miaka 7 nikisikiliza nyimbo hizi, leo 3.april 2023 ni miaka 37 lakini bado nguvu ya Mungu imo katika nyimbo hizi. Nitarudi mwaka 2092 kuusikikiza tena hapa
Nyimbo zenye utariji mwingi,nazipenda sana.
I sang this song while in a medical school 1993.I love it absolutely.soothes my sole.Sang by the Diguna AIC choir. I hope they did notbridged copyright
Mapigano Unyankulu Kwaya Choir
MUNGU AWABARIKI SANA SANA SANA
Mbalikiwe saana
Hakika upendo tunda la roho
Mungu wa mbinguni wabariki sana
Atukuzwe Mungu juu Mbinguni🎉
2018 february natazama, nani mwingine???
Eatv News naangalia na kusikiliza kila siku na leo 4/25/2018 nasikiliza na kuzifurahia
Albam inaitwaje naomba jibu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nani ana ule wimbo wa Heri aliyesamehewa wa Ulyankuru Mapigano
2021 anyone?
2022
Asande I!!
NAPENDA NYIMBO ZENU UNATUMBUSHA MBALI
Upendo
Heard this song when I was ten years old,It made me memorize the fruits of the holy spirit up to now it's so fresh in my mind.God bless you so much for spreading the gospel of Christ.
namely
Love the solo guitar
Amen God bless 🙏
Nyimbo zenye uvuvio 😅
Kuna Albam ya Ulyankulu hadi leo ni mwaka wa 30 tangu niisikilize sijawahi kuisikia tena. Moja ya nyimbo ambazo zilinivutia sana kwenye Albamu hiyo ni Wimbo wa YERUSALEM MJI MWEMA .... na wimbo mwingine sijui unaitwaje ila moja ya maneno yake kwenye ubeti wa kwanza na kisha CHORUS yanaimbwa hivi:
"Tazama Mungu alionesha pendo lake eeeeh ili sote tuokolewe. Hata akamtoa mwanawe wa pekee ili sote tuokoleweeee....
CHORUS
Amwaminiye yeye hahukumiwi, asiyeamini amekwisha kuhukumiwa kwasababu hakuliamini jina la Mwana Pekee wa Mungu aliye mbinguni"
Hiyo albam nilikuwa nikiisikiliza wakati huo ni mdogo nilikuwa naona mbinguni ni hapo kabisa. Kwakweli enzi hazirudi tena.
Mwenye Nyimbo hizi tafadhali kama yupo nitafarijika sana..
Dad's favorite cassette
Amen
Who's still watching in 2022?
2024❤❤❤
Mbatikiwe
Bahati
I love this choir, but I haven't heard of them for a long time ,are they there & active?
❤❤
Hawa watu bado wapo jamani?
Naweza kumwona hata mmoja?
Barikiwe sana
amina Mungu awabariki
Napezanilbohiizi
Muriimba,kwagufia,kwakina
Mungi ni mwema
God be with you
Nimeokoka kupitia huduma za nyimbo zenu nimebarikiwa
🎉
safii kabisa
❤❤❤❤❤Muko wapi?
nawapendaa saan
safi sana nyimbo zenye upako wa Roho Mtakatifu
Asante
❤❤❤❤❤❤❤❤
Nani anaweza kunisaidiya na ALBUM YA SISI NI BARUA tafadhali yeyote anayo Album hiyi aniwekeye au anitumiye kwenye what's app +25768348552
These are my best songs.Mungu awabariki sana na awashike mikono
Barikiwa sana nakumbuka enzi zakale upako kwenu