Kenya huenda ikakabiliwa na uhaba wa chakula kufuatia uharibifu mkubwa wa mimea na mvua kubwa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 05. 2024
  • Kenya huenda ikakabiliwa na uhaba wa chakula kufuatia uharibifu mkubwa wa mimea na mvua kubwa ambayo imeendela kunyesha katika maeneo kadhaa ya nchi, hasa kaunti ambazo huzalisha chakula kwa wingi. Kongamano la afrika kuhusu mbolea na rutuba ya mchanga lililofanyika hapa jijini nairobi wiki hii, limefikia mwisho huku baadhi ya masuala yaliyojadiliwa yakiwa usalama wa chakula barani, ila changamoto kuu ni mabadiliko ya tabia nchi ambayo yameathiri pakubwa uzalishaji wa chakula.

Komentáře •