Mama aliyeishi bila makao kwa miaka 17 ajengewa nyumba ya kisasa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2020
  • Ilikuwa furaha katika kijiji cha Sirwa eneo bunge la nandi hills baada ya mama mmoja aliyeishi bila makao kwa zaidi ya miaka 17 kujengewa nyumba ya kisasa na wenyeji pamoja na wahisani. Wakazi walitumia mitandao ya kijamii kuchanga pesa na kumjengea mama huyo nyumba.

Komentáře • 32