PETRO WA CCM AFUNGUKA KUHUSU MKEWE, "JOYCE NI KIPOZEO CHANGU/NILITAMANI KUMTONGOZA TENA/MACHOZI"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2021
  • Rafiki yetu Petro Magoti, ambaye ni mfanyakazi wa CCM Makao Makuu, Mnamo Septemba 4, 2021 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Joyce Mvungi.
    Miongoni mwa waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
    Uongozi wa Ayo TV & Millardayo.com imetuma salaam za Pongezi na dua njema kwa ndugu Petro Magoti na mkewe Joyce.
    Hapa nimekusogezea video kati ya yale yaliwafurahisha wageni waalikwa katika harusi hiyo baada ya Petro kupewa kipaza sauti kuzungumza maneno mbele ya mkewe

Komentáře • 144