SARA Amjibu ZARI Kuhusu MTOTO Aliye Zaa na DIAMOND Baada ya ZARI Kudai MTOTO Sio wa DIAMOND Hawaja

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 05. 2024
  • #sarawadiamond #diamondplatnumz #zaritheboss #bongompyatv

Komentáře • 54

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 Před měsícem +6

    Tunaangalia macho tu sisi wengine hatupo timu zari Wala Sara yetu macho tu

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Před měsícem +6

    Sara natural beautiful. Mtoto wa Sarah amefanana sana Diamond, hatuitaji DNA.🧬 our first born boy from our sister in low Sarah, we love dear ❤❤,

    • @janetharris7509
      @janetharris7509 Před měsícem

      Unamjua?? Toneshee Tiffah number one always otherwise wa ROCK CITY AKUBALI KUJITOKEZA NDO NUMBER ONE

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 Před měsícem +6

    Sarah watu wengine wapotezee, huyo Zari ameolewa , lakini yumo.

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 Před měsícem +1

    Me ni mpenzi wangu sana zari lkn sipendi unafik ni kweli mtoto wa Sarah ni wa diamond sura ya mtoto huulizi baba yake mtupu diamond ❤❤❤❤❤

  • @stellajohannsen99
    @stellajohannsen99 Před měsícem +6

    Nakuomba Sara tulia usijibichane na mtu ujuwe kama mtu atakusapoti kwa sasa wewe ndiyo mama mvumilivu sana ebu ni nani mwanamke yeyote yule angevumilia kuona bwana ambaye kampa ujauzito na hakuwa na mawasiliano mazuri naye kalea mimba hadi Mtoto kutoka mwezi moja hadi miaka 15 jamani kwanini tusimpe heshima kubwa sana huyo Sara .,,?ingekuwa wanawake wengine wachaenda kumfanyia fujo simba ila Sara hana tamaa jamani mwacheni ❤❤❤❤❤

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u Před měsícem +2

    Kwan vip kibibi kizee anamakasiliko kulikon siatulie kwandoa yke nn shida walippaIa Sarah na Daimondi ulikuwepo au shomboryuu

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 Před měsícem +1

    Kitu sielewi huyu Zari kumfuatilia Diamond ikiwa asha-move on na ndoa yake, watoto wa Diamond hawajamhusu. If not, kufanyike DNA

  • @user-zt6re1dr5f
    @user-zt6re1dr5f Před měsícem +1

    Zari asijione kua yey tu ndie mwenye haki,mtu sahihi ni Sara hana mengi na amechangia kumtia huyo kijana na alitulua mpk juz mond alivompa heshma yake hadharan na mond ni mkweli big up mond,hasahau waliochangua mafanikio,wasemso waseme lkn penz lao waachien,

  • @rosemaryokia6585
    @rosemaryokia6585 Před měsícem +5

    Zari is so beautiful without even lipstick

  • @aystv5998
    @aystv5998 Před měsícem +2

    Huyo mtoto wa sara ni wayule simba 2 anayejifananisha na dai

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe Před měsícem +1

    Zari ako sawa, Sarah kazeeka haraka sana

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před měsícem +1

    Diamond aliwahi kufanya interview moja akasema anaye mtoto mkubwa zaidi ya tiffa ila mama yake kagoma kumpa. Naona ndio huyo wa sara

  • @user-zb1lg8zc6s
    @user-zb1lg8zc6s Před měsícem +1

    Kitu mtoto wasala na tanasha

  • @jacklynebrashi3070
    @jacklynebrashi3070 Před měsícem +1

    Huyo mtoto ni kweli mbona kama editing

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Před měsícem +2

    HUYU MTOA posti MUONGO anatunga ILI apate Kula HAWA NDIO chokochoko

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 Před měsícem +4

    Zari huyo nilan si wa diamond hata hafanani naye kwenda zari Huna aibu wewe mzee

  • @shamlimah5682
    @shamlimah5682 Před měsícem +2

    Now everyone wants her to be the mum of diamond first born 😂😂😂 women are too funny wats wrong if ur not the first cut??

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 Před měsícem +1

    Mtoto wasara wadaimondi watoto wazali wadaimondi mtoto watanasha barao wadaimond

  • @ilovuguyssandimu6508
    @ilovuguyssandimu6508 Před měsícem +1

    Its high time mfungue WhatsApp group n no1 is spcial...tufanye DNA

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Před měsícem +1

    Ivikunahaja gani kuendelea na kikihiiiii😢

  • @NazfaMwamba
    @NazfaMwamba Před měsícem +1

    Duuh!

  • @user-jn7do4wd6f
    @user-jn7do4wd6f Před měsícem +2

    Hii tiv ni yauongo haina habar nyengine habar zake ni Sarah na diamond tumeichoka

  • @user-cg4jw4si8z
    @user-cg4jw4si8z Před měsícem +1

    Zari angali namupenda simba roho yote iko.kwasimba ❤❤❤❤

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed Před měsícem +1

    Kwani pacha wa diamond mbonq amenyamaza sana

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph Před měsícem +1

    Kwani sara amewahi kusema kazaa na huyo bwana cha wote

  • @kiatu
    @kiatu Před měsícem +1

    Warithi wanaongezeka😮

  • @prosianswai9435
    @prosianswai9435 Před měsícem +1

    tifa nyokoo

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem +2

    Huyo mtoto mwengine wa zari wa kiume mbona tofauti na Nassibu hata huyo Tiffian ukimwangalia sana amefanana sana na yeye zari. MTOTO ALIYEFANANA ZAIDI NI WA TANASHA

    • @user-gr9lq5nb3y
      @user-gr9lq5nb3y Před měsícem

      Mbona na wa tamasha katakana na mwijaku na whonzu?

    • @njerimaggy202
      @njerimaggy202 Před měsícem

      Very true

    • @user-cg4jw4si8z
      @user-cg4jw4si8z Před měsícem

      Mutoto wasarah na wa natasha nisura tupu wasimba❤❤❤❤ wazari.abana ata sura moya kwa babao❤❤❤❤

  • @gladysnyambura3947
    @gladysnyambura3947 Před měsícem +1

    Inawezekana Boro ya diamond alikua ameifunga Kiunoni kama mchipi ndo akajua inatomba Nani na inamtia mimba nani

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem +1

    Saraha kama kweli ulizaa na Nassibu wewe tulia tu.Kwanza wewe muda mwingi umelea kijana wako peke yako hadi kufikia hapo.Sasa shida iko wapo?kwanza mtoto unapozaa sio lazima kufanana na baba au mama mtoto anaweza kufanana na babu :bibi :ukoo. Halafu kama zahari ana shida ipi yeye tajiri mkubwa . Masikin ndio unaweza kuwa shida Zari aacha mambo ya wivu usiokuwa na msingi.

  • @RazziahOkumu
    @RazziahOkumu Před měsícem +1

    SASA Diamond ana watoto wawili,,huyo wa Sarah na wa Tanasha,,

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya Před měsícem

      Mmemuona uyo mtoto stamina vipi mtoto mwenyewe ajaonekana Zaid ya Michael tui

  • @user-zq2be4xr1o
    @user-zq2be4xr1o Před měsícem +1

    Siamini Habari zizote zahiyi bongo mpya hata picha mnazoweka ni fake, ,kama mnaongeya mutuonyeshe interview yasara akiongeya mwenyewe

  • @MaggyAmbale
    @MaggyAmbale Před měsícem +1

    Zari nilofa sana ajaona uyomtoto

  • @gladysmsele4291
    @gladysmsele4291 Před měsícem +1

    Sara apewe maua yake

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Před měsícem +1

    Sara usiwajibu jibu lipo kwa mungu nyamaza maana mtu mzima akili yakuazima

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7j Před měsícem +1

    Makubwa

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Před měsícem +1

    huyo zari kaongea lini? wambea wakubwa, hebu muacheni zari wanafiki nyie huyo km kaja kwa mond aje taratibu ya zari hayamuhusu

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 Před měsícem +10

    huyu bibi wa kiganda naye si atulie ktk ndoa yake.

    • @SharonGodwill
      @SharonGodwill Před měsícem

      Kashosho hakajubali jamani kanahangaika sana

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 Před měsícem

      Mjinga hichi kibibi cha kiganda biashara haiendi bila Diamond aende huko kwao.

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 Před měsícem +2

    Nyinyi wasenge sana huyo mtoto yupo wapi mnadanganya watu

  • @steven4326
    @steven4326 Před měsícem +1

    Wew mtangazaji una waste my time just listening to this crap, una jirudiya mara Mia

  • @user-pw2bl4qd8w
    @user-pw2bl4qd8w Před měsícem +1

    Kati ya watoto wote waloonyeshwa mtoto wa sara kopy ya mondi full hutaki au maex mkae pembeni tuachieni sara wetu bwana acheni fujo😂😂😂😂😂 ukweli uzungumzwe bwana nampenda sara nyie mnaosema ooh sara anapua ya ng,ombe bc nyie mna miguu ya punda 😂😂😂😂

  • @DaryousCharles
    @DaryousCharles Před měsícem +1

    Sara hana baya zari ndo ana kisebusebu kisa ana pesa mbn hapo mwanzo alikuwa kimya baada ya kusikia kuwa sara aliimbiwa wimbo ndo anaibuka

    • @Maryc2G
      @Maryc2G Před měsícem

      Hapendi watoto wa wengine watunzwe