SARA na MTOTO wake Utapenda Walivyo Msuprise DIAMOND Nyumbani kwake SARA Ampeleka MTOTO kwa BABA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 05. 2024
  • #sarawadiamond #sarawakamwambie #diamondplatnumz #bongompyatv

Komentáře • 137

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu Před měsícem +5

    Amefanana na diamond jamani Sarah hongera umevumilia kulea peke yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nani kama mama pongezi dada sarah umekuza m/mungu awalinde na husda za walimwengu💘💘💘💘

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem +24

    Ongera sana saraha kama kweli huyo mtoto ni wako na uliweza kulea peke yako miaka yote hadi leo.❤❤❤ unamtambulisha kwa watu.❤❤❤❤👍👍

  • @user-eu5uy8vm6i
    @user-eu5uy8vm6i Před měsícem +10

    Chibu wakati wa kuletewa watoto wako umefika Sasa ,wapokee TU ,wengi wanataka watoto lakini imeshindikana ,hongera Mzee baba

  • @ashafroholdt7697
    @ashafroholdt7697 Před měsícem +13

    Dogo amefanana sana na baba ake jamani ❤

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Před měsícem +8

    Wallah uyo mtoto ni Simba mtupu 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙

  • @beatricekanyinge3940
    @beatricekanyinge3940 Před měsícem +2

    I like this lady, a woman of intelligence, if she was after money she could have come early. I wish them all the best

  • @mildredlutilo3558
    @mildredlutilo3558 Před měsícem +3

    I knew it was coming 😊

  • @Doris-fi1rq
    @Doris-fi1rq Před měsícem +12

    Uyo ni diamond 15years ago

  • @BahatiMussa-xg5ty
    @BahatiMussa-xg5ty Před měsícem +1

    Wewe NI msenge umeona huna la kufanya ukaona utueditie picha Kisha uanze kutunga uongo

  • @salmakiti1517
    @salmakiti1517 Před měsícem +2

    Wooow

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u Před měsícem +6

    Acheni uwongo khaa

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 Před měsícem +7

    Hakuna kitu

  • @AsraMajid-ln3fw
    @AsraMajid-ln3fw Před měsícem +7

    Nyi nao kusoma hamjui picha hamuoni😂😂😂 Hilo editing lakufa mtu😅 kaka unayaweza🙌

  • @alisaidahamed8065
    @alisaidahamed8065 Před měsícem +7

    Son fils c'est comme son père
    Vraiment 😮 comme de jumeaux ❤❤❤❤❤ c'est vraiment Simba 🦁👌👌👌👌👌🥺

  • @user-fi4qy9se4r
    @user-fi4qy9se4r Před měsícem +9

    Huyo copy right simba

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg Před měsícem +12

    Mbona Sarah amesema yuko na mtto mmoja na anamiaka saba mmh niuongo uwo

  • @KamamFestoo-kb5jc
    @KamamFestoo-kb5jc Před měsícem +1

    Mkumbuke diamond alisema ako na watoto 4 na alikua hajaeka wa hamisa

  • @tusekelegemonje645
    @tusekelegemonje645 Před měsícem

    Du! Huyo kweli wa daimond

  • @user-wl3cj1dz8o
    @user-wl3cj1dz8o Před měsícem +1

    Duuh cope ake kabisa❤❤❤

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 Před měsícem +1

    Amefufuka baada ya diamond kupata pesa, alikuwa wapi.... Wanadamu jamani

  • @user-fg6yt1if4d
    @user-fg6yt1if4d Před měsícem +4

    From America 🇺🇸. BABA YAKE KABISA.VIZURI SANAAA.MAMAN ULILEA BILA SHIDA LEO BABA MUTOTO APA NI FURAHA NA WA DOGO ZAKEEE.

  • @AffectionateBassetHound-pd3bp
    @AffectionateBassetHound-pd3bp Před měsícem +2

    Duh huyu dada anafaa kuwa mke bora,

  • @lulugama1547
    @lulugama1547 Před měsícem +2

    yaani ni edit 100% aisee achen uongo

  • @kizungugabriel3942
    @kizungugabriel3942 Před měsícem +8

    At least wamezaa mtoto.

  • @user-rg3lq7sd9f
    @user-rg3lq7sd9f Před měsícem +2

    Hiyo nayo n picha ya Diamond kabisa 😂😂😂Mond sasa kubali yaishe

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt Před měsícem +1

    3:50 😊

  • @victoriabernard5287
    @victoriabernard5287 Před měsícem +4

    Hata kigauni cha Sara cha kitoto na hata nywele ni za kizamani na hata sura ya kitoto. Dimon amegeuzwa mtoto wa Sarah, makubwa!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SharonGodwill
    @SharonGodwill Před měsícem +8

    Hawa hawana mtoto uyo ni diamond enzi hizo na kwani uyu Sarah hajalewa au mumewe Hana problem na mambo ka izi

    • @mumyomary1812
      @mumyomary1812 Před měsícem +1

      Hana mume kwa kifupi ajaolewa anamabwana tu ila uu ni uongo ye kasema mtoto wake miaka 7 uyu si mkubwa km smisondo😅😅

    • @rtrw708
      @rtrw708 Před měsícem

      Ni kweri wanafanana

  • @ashaomary249
    @ashaomary249 Před měsícem +1

    Mtoto mbona hamjamuinesha live??

  • @HamidaOmar-ub4kb
    @HamidaOmar-ub4kb Před měsícem +2

    Ndobasi tena ishakuwa guzo nayeye mitandaoni mambo yaeseivi😂😂😂

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 Před měsícem +1

    Huyo si chibu mwenyewe

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 Před měsícem +7

    😂😂😂 ivi waongo kwanini mnapo danganya mitataoni uwaga mna jidekeza sana kimaongezi.acheni shobo zakijinga nyinyi mnapotosha uma.

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7j Před měsícem +2

    Aki watoto wote wa simba wamefanana 😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sara

  • @EdithTelemark
    @EdithTelemark Před měsícem +7

    Jamani hiyo sura mmmmmhh! Ila dada umepambana kimya, kimya umelea mtoto wako!

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e Před měsícem +1

    Iyooooo mbona kafanana na diomond

  • @user-wc6wq7rm7x
    @user-wc6wq7rm7x Před měsícem +1

    Toka lini Simba akazaa chui.huyo Simba kazaa simba.jamani hiyo imetiki.sikwa kufanana mweeee wenye wivu wajinyonge ahhhhhh je mabegi yatarudi.wapo wengine watakuja tusubiriyani huyu kafunga kazi Simba mwenzio mkatae tuone.

  • @safiasaid6715
    @safiasaid6715 Před měsícem +1

    Sura 1 na bbke

  • @DatuDatu-rr4oj
    @DatuDatu-rr4oj Před měsícem +1

    Kweli damu yake

  • @user-ho1fl1eg8n
    @user-ho1fl1eg8n Před měsícem +1

    Waongo kweli loooo😂😂

  • @amoskoyo4597
    @amoskoyo4597 Před měsícem +1

    Maji ufuata mkondo ustukane mamba kabla hujavuka mto

  • @possiepondie6538
    @possiepondie6538 Před měsícem +1

    Hakuna cha mtoto wa diamond apo, isipokuwa n diamond mwenyewe alivyokuwa 21yrs, acha uongo mkaka mkubwa ivo eti 15yrs😀😃😅

  • @pcthemaster9096
    @pcthemaster9096 Před měsícem +1

    Acha uwongo bana.

  • @aziza9093
    @aziza9093 Před měsícem +2

    Ilasara nimzr jamani

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Před měsícem +1

    Wow anafanana baba yake haswa

  • @KlinoboyBilali
    @KlinoboyBilali Před měsícem +2

    😂😂😂😂 uongo mkubwa sana weeeee muongo sana

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 Před měsícem +1

    jamani atafutwe mtoto na baba mtoto na mana mtoto kwa pamoja

  • @user-to5dq6dp8e
    @user-to5dq6dp8e Před měsícem +2

    Uongo mptupu😮😮😮😮

  • @amanimargaret.1576
    @amanimargaret.1576 Před měsícem +4

    How is Sarah's husband feeling at alll this??

  • @PatriciaKalu-hi1bc
    @PatriciaKalu-hi1bc Před měsícem +2

    Hyo ndyo copy ya Diamond hao wengine n photocopy

  • @aziza9093
    @aziza9093 Před měsícem +1

    Huyo nihuyoninasabu ❤❤

    • @ppendo3611
      @ppendo3611 Před měsícem

      Unamaanisha nini wewe 😂😂😂

  • @jeskaoscar9423
    @jeskaoscar9423 Před měsícem +1

    Aacheni uongo bhna mbona mtoto awamuoneshi àkuna ata atapicha yake akiwa anaonge acheni uongo bhna tuonesheni ndotujue nikwery acheni kuediti jmni tunataka mtuoneshe mtoto kabisa cyo picha

  • @victoriabernard5287
    @victoriabernard5287 Před měsícem +1

    Hiyo ni picha yao ya zamani. Sarah mwenyewe hapo ni mtoto.

  • @mablealeyo9679
    @mablealeyo9679 Před měsícem +1

    Wow duplicate like father like son

  • @neshygamaly5007
    @neshygamaly5007 Před měsícem +1

    Acheni uongooo

  • @sahaleabeid6986
    @sahaleabeid6986 Před měsícem +2

    Congrats Sara,mtoto wa kwanza lazima amfwanane babake,uyo n simba

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 Před měsícem +1

    Looo.copy zaidi ya nasib junior

  • @comfort-rjtv3291
    @comfort-rjtv3291 Před měsícem +1

    Hahaha huo ni uongo

  • @user-mf8su7us1j
    @user-mf8su7us1j Před měsícem +1

    Sasa hii video ya Sara apo si katoka saloni jamani

  • @AngelDaniel-kr7qr
    @AngelDaniel-kr7qr Před měsícem +1

    Achen uong

  • @salmaalkindi5735
    @salmaalkindi5735 Před měsícem +1

    Huyo mtoto mbona mkubwa. Zaidi ya miaka 15. Uso umemkomaa

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Před měsícem +1

    Nahii mdomo wah 😅😅😅😅

  • @salmamohammed2986
    @salmamohammed2986 Před měsícem +4

    Old is Gold ❤ u Sarah

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Před měsícem +1

    Duuuu uyooo siio Chibuuuuu Jamani?? Kweri wametoka MBARI HASA duuuuuu

  • @MaryKalunde
    @MaryKalunde Před měsícem +1

    Ni uwongo huooo

  • @user-zc2zt9nc4s
    @user-zc2zt9nc4s Před měsícem +1

    This boy is photocopy ya Diamond ooooohhhhhhh

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 Před měsícem +1

    ASALAM SIMBA MTOTO NI WAKO KABISA HONGERA KWAKUKUZA SARAA MAMA DANGOTE POKEA MJUKUU WAKOOO

  • @Chezue316
    @Chezue316 Před měsícem +1

    Huyo si mtoto wa miaka 15 ni mtu mzima ni diomond mwenyewe nyoooo mnamdanganya nani? au mnamrusha roho zuchu? Zuvhu yuko gadoooo haogopi hayooo

  • @EstherAlbert-xo8ep
    @EstherAlbert-xo8ep Před měsícem +1

    Ndio uyo ninasibu oji bilachenga

  • @user-mg3wr3re5q
    @user-mg3wr3re5q Před měsícem +1

    Jamani ni uongo Sarah hana mtoto wa Diamond

    • @ashaomary249
      @ashaomary249 Před měsícem +1

      Watuoneshe live sikuhizi edit nyingi 😂

  • @lall2037
    @lall2037 Před měsícem +2

    Uyu ni daimond jmn acheni huongo kama kweli bc tuonyesheni video kamili mkiwa wote wewe sara daimond na uyo mtoto acheni huongo

  • @TrumphyEinstein-cd5pb
    @TrumphyEinstein-cd5pb Před měsícem +1

    Even though you lie we have already viewed it nothing to do😂😂😂😂😂😂

  • @jasminehamisi01
    @jasminehamisi01 Před měsícem +1

    Mbona Sara mwenyewe alisema awakuzaa jaman mbona mnazua mambo eeeh 😂😂😂

    • @georgebruno916
      @georgebruno916 Před měsícem

      Waongo hawa yaani sarah alisema mtoto ana miaka 7

    • @jasminehamisi01
      @jasminehamisi01 Před měsícem

      @@georgebruno916 na yy kaachana na mondi miaka kumi nyuma Huku Yani Hawa waandushi wa tz wanaweza kuleta naafa kwa tarifa zao

  • @user-kd4cv3bh6w
    @user-kd4cv3bh6w Před měsícem +1

    Acheni uongo

  • @user-qk4lx4hg7g
    @user-qk4lx4hg7g Před měsícem +1

    Mmh kama sio simba akuwa mdogo baasi huyo ik copy yake

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Před měsícem +1

    Mtoto amefanana na baba take

  • @aishaahmed5028
    @aishaahmed5028 Před měsícem +2

    Hiyo ni edit msitudanganye 😂😂😂

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e Před měsícem

      😂😂😂njo nashangaa kweli

    • @aishaahmed5028
      @aishaahmed5028 Před měsícem +1

      @@user-qq6mv6vh3e kwa utajiri alokuwa nao dai huyu sara angenyamaza si angeshamuonesha wacheni ujinga naona mwisho mtasema na huyo mtoto keshaozeshwa na anamtoto 🤣🤣

  • @noahjoshua5649
    @noahjoshua5649 Před měsícem +1

    Nyie waongo tu hamna jipya,yani sitawahi fungua kuangalia videos zenu make uongo usiokuwa na evidence, mbona huweki picha au clips za huyo mtoto?

  • @aishayika3684
    @aishayika3684 Před měsícem +1

    Mmeanza mauongo yenu

  • @user-bw8un9ds6t
    @user-bw8un9ds6t Před měsícem +1

    Mnafki hasidi alkua amuonea wivu zuchu mbona miaka yote alkua hasemi km ana damu ya simba mpk ajitokeza ss hasidi sn

  • @wynnylaryna
    @wynnylaryna Před měsícem +2

    Ila kuna siku diamond alisema akona mtoto mwingine ila mamake amemkatalia

    • @mumyomary1812
      @mumyomary1812 Před měsícem

      Ni wakike na yupo mkoani kwa kifupi amjui ila yupo sio wakiume jaman

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před měsícem +1

    Toeni uongo wa mitandaoni

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 Před měsícem +1

    Kabisa nimutoto wa nasibu

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt Před měsícem +1

    Nyie munakataa nini kwa Diamond alimuimbia Mpaka nyimbo nenda kamwambie hongera sana Sarah na diamond leeni mtoto wenu

  • @Zenygoldsuperwoman
    @Zenygoldsuperwoman Před měsícem +1

    Uwongo mtupu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Před měsícem +1

    Hatutaki kiki zenu tumewachoka moto unawasubili

  • @user-jh5px2xl8u
    @user-jh5px2xl8u Před měsícem +1

    Uongoo uwo

  • @user-mp8bi1rd5z
    @user-mp8bi1rd5z Před měsícem +1

    Wanafanana kwelikweli Mngu awatanguliye mbele ya safari

  • @TamiRoney
    @TamiRoney Před měsícem +1

    Liende uko

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Před měsícem +1

    Aisee wanafanama mbaya kabisa

  • @user-dy9yk8po6d
    @user-dy9yk8po6d Před měsícem +2

    Hahaha yaan watu mnavituko et mnampa hongera nakati ni yeye mwenyewe Diamond na wala sio mtoto wake

  • @HappinessJohn-vw8hk
    @HappinessJohn-vw8hk Před měsícem +1

    Kiki hizo

  • @user-pq2sq7ov8w
    @user-pq2sq7ov8w Před měsícem +2

    Hv we Kaka huoni aibu kuongea uongo

  • @besthonney3232
    @besthonney3232 Před měsícem +1

    Editing

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq Před měsícem +1

    Jaman sarah si alisema mwanae mdogo editing hio😂

  • @rachelkaminyoge1046
    @rachelkaminyoge1046 Před měsícem +1

    Uongo

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq Před měsícem +1

    Uyo ni diamond akiwa mdogo acheni uwongo

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 Před měsícem +1

    Diamond mtupu. Hii ndio copy yake sasa

  • @mildredlutilo3558
    @mildredlutilo3558 Před měsícem +1

    Copy paste 😂😂😂😂 enyewe usimdharau mtu...Diamond ameongelewa machungu sana😢😢😢 kumbe alikua kauficha ukweli?

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 Před měsícem +1

    UTAACHA LINI UONGO JOMBA

  • @jasminehamisi01
    @jasminehamisi01 Před měsícem +1

    Uongoo tu fyuu