NEW COUPLE | NAMPENDA SANA | KWANZA MWEMBAMBA NAWEZA KUMBEBA | NAMSHUKURU MUNGU KWA HUYU | LAST BORN
Vložit
- čas přidán 29. 08. 2024
- ►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Hv hii channel haielewagi au.PUNGUZENI BACK SOUND NYINYI
Sauti ya sound iko juu kuliko sauti za watu
True
Asante kwa kuwajuza maana nateseka😂
Nunua simu yenye uwezo mkubwa sauti na sound viko kawaida 😂😂
Nipe namba zako za wasp nikutumie smu nayotumia..then uje ujibu tena hapa
@@Hajer-be2kh usipanik bhana mi natania tu sema kwangu iko sawa kabisa
Uyu ndiye sahii sana
Amevaa vizur saana victory
Kafanana na MB DOG wallah tena nilijua ni yeyeeee
Yaanii back sounds leooo mmetuweza
Hongera Vickieee
Mwanamke anajielewa sana huyo ...👍👍
jaman shangazi eliza yupo wap 🤣,i real miss her
Sauti ya mziki ipo juu sana producer
Beautiful couple ❤
Raha saana leo jaman😊😊😊
Mungu awafikish mbali
mungetuletea na mirejesho hao waliokwenda huko waliko japo kuja kusalimia tukajua wapo salamaa😂
Kwel aisee😂
Wengine wanakujaga
@@ShabaniMaulidi-32 kumbee sijaona
@@sabihaibrahim143 Msimu Ulioisha alikuja Mmoja na Mtu Wake na alikaribishwa Mbele
@@ShabaniMaulidi-32 kama hivo raha anajulikana anaendeleaje na mzigo mpya
Mungu awatayarishie
Ndoa njema
😂😂😂😂😂❤nimeipendaa kaka anahikima nabusara
Huyu kaka misitalaiti yua very nice 😂😂❤
Vely Tluuuuu 😂😂❤
Wameendana sana
Sauti ya mziki ineharibu 100% ya hii video.
Show yenu inakuwa ya kipumbavu Yani nikama hamjui namna ya kutumia vyombo vyenu. Punguza au toa kabisa hiyo back sounds
😂😂😂😂Dah wallah hii sound jmn siskii kitu chochote ata makofi yenyewe yanazidiwa
Hongera sana wajina Vee🥰
I love it
Sauti😢😢😢
Tunaomba❤ feedback Za wale waliopata mr right mahusiano na mwelekeo upoje au wameshaachana 😂😂😂😂😂
Uwaa awarudigi wakiendaa ndoivo wanapoteqq uko😅😅
hawawezi kutoa feedback
Faith kashaachwa bila notification😆
Pungezen saut ya sound
Mnubi huyu si ndugu yangu kweli
Who Eliza!! which country is this?
Bro your story touch me it's like mine or it's painful🇿🇦🇧🇮
Wamependeza wanafaana jmn❤
Wow so nice I'm happy for you guys❤️👌🇿🇦🇧🇮
Mwanamke inatosha kumuacha kwa kumfumania mara moja tu coz hawa wanawake ndio Hawa 😂😂😂
Alhamdulilah sisi wanubii twajuwa kulea alhamdulilah
Punguzeni back ground sound
T.I.D NDAN YA MJENGO😅😅😅 KALIB SANA
😂😂😂waturudishie aaliyah wetu tu, ingawa nimecheka sana nilivomuona
GARA B PLEASE MTATUHARIBIA SIMU HATA TUONGEZE SAUTI YA KWEN IPO JUUU
Siku akinenepa utamuacha😢😮
gara B pungunzen music inaumiza masikio
Back sound mnaboa sana aixeee😮😢
Wow nimefurahi dah ikawe heri
Unashamgaa nn ungekuwa ww ngoma droooo😅😅😂😂😂
Punguzeni sauti ya background mnauzi kweli sauti ya watu haisikiki Ni kelele za music tu ndo
Jamn nimempenda bule uyo kaka
Asante
Mnzingua mziki upo juu sana sauti ya mr right aiskiki
Eliza lazima aende kanisani kwanza akapate kufunguliwa awezi ishi na yyte kama ana hisia 😂nacheka ila muhim kuliko
Mbn simuoni eliza amevaa nini leo
@@munamuna3921ata mimi namtafuta simuoni😂😂😂😂
Nice
Katika mahojiano tafadhali muwe mkitoa hiyo sauti plz.
Inapendeza sana wote mmependana
Gud show frm kenya
Wow🎉
Wali nazi 3 😂🎉
Jaman na Mimi natafuta mchumba uku 😂😂😂
Nimeipenda sanaaa❤❤
HUYO IT HASOMAGI COMMENT MPUUZ😮
Dada mzuri anatabasamu kweli vizur
Ase hii nimeipenda 🥰🥰🥰🥰
Mikono hawajiamini kwasababu ya cream jaman
Walinazi yupo😅😅😅😅😅
Hizi story z kutunga hebu pata mke hpo kisha utupee majibu 😊
Why uwa mnataka life back ya mtu sometimes uwa inakata vibes dem kujua life ya mwanaume before
Wanajuwana hawo😅😅😅 toka zamani
Kula anashiba lazima adinye si ndomanake😅😅
Hiyo couple kikweli wanapendeza
Babu wa kipara yupo kumbe
Kumbe umemsikia😂😂
Me pia nimesikia 😅😅😅😅
pengine hizo stori za uongo
😂😂😂au ndiyo ww Nini saidi 😂😂
Mziki upo juu sana sisikii
Ukisikia neno nakula chakula nashiba tambua kuna muda kinashuka elewa,punguza maswali Dr Lulu
Eeeh wat2letee mirejesho Cozy hatujui wanadum uko maana wanamapepe sana🤣🤣
Wakina Rahma sio Poa mungu atawalipa
Eliza anajiona yeyendo queen wa Tanzania wakati wapo wazuri zaidi yake yeye 🤣🤣
Apo sasa😂😂😂
Sound, iko juu kuliko voice ya wazi gumzaji so siku nyingine m balance maana napenda Sana hiki kipindi najifunza mengi
Victory umependeza sana ila sasa odoo wanguu😅😅 mikorogo mikono hiyoo bidada
Abaya la Victoria liko supuuu
YAAN T.I.D😂😂😂😂
Bora mlivyo watoa wale mashangazi
😂😂😂😂hatuji sasa😂😂😂maana nahii miili mikubwa
Uyu si petima wa Hesma???😮
❤❤
Sauti kubwa
Amevaa vzr hatakama mm
Hii nimeikubali nendeni mkawe mmoja,,,naiwe kweli
Namtaka huyu kaka aseee
Why are you passing between my interviews in the hoooouusseeee😂😂
Mumearibu Sana na back sound nkt
mambo mazr xn hayo ndo Kaz xx
Namwona why between my interview passing around 😂
Naama mbagara wallah
Je siku akinenepa?utamuacha
hivi mbona nyie mnaambiwa kila siku kuhusu hiyo sound yenu na bado hamfanyii kazi au dhrau
Mara sio mwimbaj
Kwan iyo sound yenu haina sehem ya kupunguzia kama hamtaki kutum acheni
mwanaume tokea lini aje hapo aseme ukweli wake 😂nyiye chukuwaneni tu mukatwangane kwa mbele
Point
Au cjamchongo atutiki sound
Hii couple haikupagwaa kweli mbona kama kitu imewekwa kwenye njia
Sasa mnashindwa nn kupunguza hii sound ya mziki jamani mnakera na ni bora tuu msitupostie mnatumalizia bando.
Jamn Eliza leo mana sijamuona
Waaw
Kenya nairobi luv enjoying
Eliza yuko wapi jamaniiii duuuuuu
😂😂😂😂😂😊
Sound kubwaa
Kiukweli nimependa huyo dada victoria ,anajielewa
Sugu za Viki ndio mana niliacha kujichubuwa 😂😂😂😂