Tunaomba Huyu Mungu mnayemuimbia akawapatie Amani katika nchi yenu. Nyimbo zenu zinatubariki sana, Nimaombi yangu kwa Mungu kwamba akawatunze nyinyi pamoja nyote, familia zenu, kazi zenu, huduma yenu pamoja na Taifa lenu. Jehovah Shammah twaomba usikie Maombi yetu.
Mungu aku sikiye naakubariki saana kwani na mimi n'a shukuru Mungu sababu wa christu wamataifa mengine wana tuombeya Usalama ili tuendeleye kumabudu n'a kumsifu Mungu pamoja n'a hali nzuri ya Usalama. God bless you my brother Patrick i respect your anointing
This is a must download . eeiiish tunaanza ma kuabudu mwanzo wa mix roho anashuka alafu tunasifu kisha mwisho wa mix nikumchezea Mungu kilingala. Aaaah this was amazing wooou. Nawapenda Sana from Kenya sante kwa kuimbwa kwa lugha inayoeleweka Afrika mashariki yote na Mungu awape Amani. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Much love from kenya this band is so mazing.
Mungu na akubariki sana ,Mtumishi Patric kwa karama ya uimbaji ,pia una huduma ya kichungaji ndani yako, Mungu alieumba mbingu na nchi awabariki wote kwa utumishi
Asante sana kaka Patrick Bubuya, Mungu aku bariki sana. Merci infiniment pour ces belles chansons qui nous font monter dans les hauteurs en présence de notre Dieu. Baraka kwako

. rddñnn BBB mnn
⁹
If you don't mind me, hawa waimbaji wa inchi gani?
a
Nice one wapi like zangu huku
Baraka zimininike katika maisha yenu nampokea upako mpya na kibali popote mwendapo ama popote nyimbo zenu zikubalike duniani
Thank you for the powerful worship im south African i dont get the language but i coonent in spirit 😢
Ina raha yake kufwata songs zako... Barikiwa, compositions zako hakika ni baraka, ina tiya moyo, ina leta uhodari na matumaini zaidi...
When i was sick this song gave me strength and hope,Glory be to GOD
🙏🙏🙏 Nyimbo Zinaupako, Yesu Wa Neema Awabariki
Dear Patrick you're so great for preparing your songs be courageous Jesus is with you.
🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿 TUNAENDELEA KUWAPATA KUTOKA OMANI MUSCAT MUNGU AWAINUE ZAID.....🙏🙏🙏👍👍📌
May God bless you Mr Patrick your songs have been so inspiring to me 🤝
These Songs are very Blessings to hear I feel anointing of God...Thanks Lord my everything ❤🎉🎉😊
Powerful praise and worship 🙌 ❤ The voices are so melodious too. To God be all the glory 🙌💃🕺🥁🎸🎷🙌
Mungu awabariki kwa huduma yenu nyimbo zenu zinatubariki sana🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
So powerful, bila Yesu mimi ni kitu bure, nabarikiwa sana, nyimbo tamu
from Kenya, glorious and awesome worship! God bless you abundantly Patrick with your team. May His grace be abundant for you.
Nice song be blessed man of God
NI Yesu kweli kama leo nimetatika......banger😇😇😇😇😇😇
💃🕺💃🕺 🎵 🎶 🥁🎸🎷
Asante Mungu kwa kila jambo.Wenzangu mniombee majaribu ni mengi.🙏🙏🙏🙏
This is a must download . eeiiish tunaanza ma kuabudu mwanzo wa mix roho anashuka alafu tunasifu kisha mwisho wa mix nikumchezea Mungu kilingala. Aaaah this was amazing wooou. Nawapenda Sana from Kenya sante kwa kuimbwa kwa lugha inayoeleweka Afrika mashariki yote na Mungu awape Amani. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Much love from kenya this band is so mazing.
Mungu jibu maombi Yangu nakuhitaji zaidi😢🥺🥺🙏🙏
Wimbo mzuri sana, umetubariki sana Mimi na familia yangu.
Hakika Yehova awatunze
Mungu na akubariki sana ,Mtumishi Patric kwa karama ya uimbaji ,pia una huduma ya kichungaji ndani yako, Mungu alieumba mbingu na nchi awabariki wote kwa utumishi
Such an amazing playlist.... It's blessed me 🙏
Thanks for making it downloadable❤ at least am able to worship offline
Je suis fortement béni par ces chants . Que le Seigneur vous bénisse homme de Dieu
Powerful Worship. Your Ministry is a blessing to me. God bless you and keep expanding your ministry for His glory.
God bless you for lifting our spirits with this powerful songs
Tunashukuru Sana na mungu azidi kuwabariki mana mnatufariji
Asante sana kaka Patrick Bubuya, Mungu aku bariki sana. Merci infiniment pour ces belles chansons qui nous font monter dans les hauteurs en présence de notre Dieu. Baraka kwako
These songs really bless me.
Yani Jehova Shammah ombi kwa Mungu.
Long Live Worship atmosphere and Mr.Patrick Kubuya. You're ministry is a blessing.
Mubarikiwe sana. Nyimbo hizi zina upako
Still connecting in this worship from south Africa 🌍
Powerful praise and worship Glory to God... Be more blessed team
Every situation is temporary...naamini nitapita
..na safari nitafika ata iwe ndefu ntafika natabiri kwa imani
Mubarikiwe sana,Mungu awatunze milele ata milele
Patrick your songs really bless,I listen everyday they really bless me MUNGU AWABARIKI TENA SANA
glory to God la vie en christ assure Dans toutes les conditions
Ee bwana wewe wanitosha ee bwana nimebarikiwa sana
Thank you for your playlist it's such a blessing to my life i never get tired of listening almost every day.
Mungu ndio Yote ndani ya Yote.
Amina mungu akubarikiiiii
Eee Yahwey ❤❤❤❤
Hallelujah, Glory Glory Glory to God
44:53 nani atayesimama mbele zako!!!!!
I love these songs so much, they are so amazing.❤
Powerfull songs God bless
My best powerful worship song 🎵 always 🎉
Haleluya haleluya haleluya
Powerful 🙏🏾🙏🏾❤️❤️
💯 like🙏🏼
Groly to God
🙏🙏🙏
sikia maombi baba
Aaamen
MUNGU AZIDI KUKU BARIKI NÀ KUKU ZIDISHIA KABISA,
NAKUFATA KILA MARA
Amen 🙏❤
Powerful mix❤
Powerful praise &worship song
God bless you..❤❤❤❤
I never get tired of listening to this song .God bless you guys for the beautiful melodies.
Great worship song
huyu mungu
Wewe ni yote....Sina mwingine Baba
❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
Napenda sifa na maabudu aya, ila izo lugha nini njo munakuwa namaanisha ?
Barkiw Patrick kubuya
Shammah
❤😅😮
Very nice
courage mon frère, c'est une grâce de t'avoir en cette période du temps de la fin, all your songs are deep
Heal my daughter in the mighty name of jesus
Sooo many adverts????
Mungu wangu kumbuka inchi ya Kongo Jehovah ni ww tu daddy akuna mungu mwingine wakuabundu
aaaaaaaa
🙏🙏🙏