Zawaki frani zikasome mi naamikua kuna wasanii wadodo wadogo wanafanya vizuli kuliko hawa ukubwa wao ni kuimba matusi2 hawawezi kuimba nyimbo yenye hisia kali katika jamii ambayo inaweza kukaa wenye fikra za watu kama hili songs unahisi hiii nyimbo imegusa wachache ? Ndomaisha halisia hayo ❤❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻
The song is on point but the problem with us Kenyans is that we adore so much of tanzanian music than our own music here. Surely, it deserved more than a million views . Mbona tuna ngebe na miziki yetu hapa? Nimeupenda Sana. Mwanzo sikupenda kuutizama maana nlidhani ni muziki wa Tanzania. Niliposikia ni wakenya wenzangu walouimba, sasa hivi mimi huutizama kila wakati niamkapo na niendapo kulala. Jameni wakenya wenzangu tuiinue miziki yetu hapa haswa miziki inayoleta hadhi kama huu.
Mashairi yenye uhalisia, majibizano yenye hisia, ngoma kubwa zaidi kwenye hii tasnia and NO sio kutoka Tanzania bali ngoma kali toka Kenya imepenya na kwenye chati imeingia. Congratulations Ally Mahaba, Akeelah and Shirko for making Mombasa Music Great again. "Inatosha" ~ Mzazi Willy Tuva = Mseto East Africa
Dah hii nyimbo inanipeleka mbali na kunifanya nitie bidii zaidi Hadi mtoto wakike analalamika tujitumeni wanaume dah hongera bro Ally na siz akeelah mumetufanya pia tuthamini nchi yetu sio uarabuni eti ndio kwenye maisha hata kwetu yapo zamu yako ikifika utafanikiwa God bless you mumetufunza kitu hapa hizi ndio nyimbo tunafaa kuzingatia Kama wasanii nyimbo Zenye maadili na Zenye kutia moyo kitu unaskiliza kinakupa moyo na mafunzo ndani yake....hongera pia kwa producer shirko unawezo mku bwa sana wa kupanga kazi yako mungu pia akuweke zaidi Kaka maana Kaka Ally aliangaika sana na tangu uje ww tumeuona uwezo wake wa kazi na bidii yake hongera kwako...hongera pia kwa boss Matoo kwa kujitolea kwa moyo na kuwekeza kwa ndugu yetu Ally pia na wengine amemwaamini na kumsimamia Hadi tunaone level amemfikisha si rahisi mungu mkubwa mungu azidi kukupa moyo huohuo boss matoo. Hongera kwako amour pia mungu akuweke zaidi. Na hongera kwa wote wanaosupport mziki mzuri.
Nimependa natural video hasa huyu dada hana makorokoro i see like hawa watu ni wa mombasani hivi naskia tone za sudi boy flan wana madrasa kwa mbaali hivi nice song haki vile ❤💕🤝
Hakika wa Mombasani wanajua kuimba Bana siyo kma wa nai waramba lolo Hakika tukipata waibaji kma Hawa 20 tu nyimbo za tz hazitachezwa Kenya sna kma Sasa mana mashari na kiswahili mashaAllah
Daah huu wimbo mmejuwa kuuimba kila asubuhi huwa nausikiliza halafu chap naingia mtaani kuchakalika nimeachana na dem wangu kisa kushinda maskani bila dili
Kali Sana inanijenga kiukweli wimbo mzuri mafunzo mazuri 😍😍😍❤️🇰🇪💥💥💥 shukran kwa wimbo huuu ally MAHABA mumeutendea haki na metutendea haki sisi mashabiki zenuu
@Akeelah my pride ❤❤❤ you will always have my support. You will go far my angel. Be blessed and protected. @Ally Mahaba you will lead the leaders. Proud of you my son. 💥💥💥💥💥. Always in my prayers.
Mama mwanao mola kampa kipaji kikubwa sana.. ataenda mbali sana.. hvi nilete ng'ombe ngapi maana huyu burudani tosha hadi uzeeni.. mola ampe kheri kwa mambo yake
Who else is here in 2024?❤🔥🔥
Am here
ngoma kali sanaaaa kama na ww unarudiaga mara kwa mara hii ngoma gonga like za kutoshaaa
Fire 🔥 ita zima Moto 🚒
The most underrated artist in Kenya now..please Kenyans..let's support our own talent
Say what? Are they not Tanzanians😳
@@millisseintbarraza5953 our own Kenyans
👏👏👏👏👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤦🤨😌
Are they 🇰🇪 for real but the guy can sing
True
Huyu mwanmke anafanya kazi safi kwanza hatukani na hatoi sentesi tata za matusi ila basata hawamuoni huyu dada yupo sawa
Naomba like kwa wanaoikubali hii song kua ni hatari🔥
Hatari Kaka
PITIA LINK HII UTOJUTIA
czcams.com/video/xGxs8Micpw8/video.html
hatari
Saf
ALLY MAHABA umenifanya ile bidi yangu niongeze zaid alaf hii ngoma lazima wife wangu aisikize ndio maana nmebonyeza download button
kama unamini hii ngoma ni kali nipee like zako plz.
Mncbzjmm
Zawaki frani zikasome mi naamikua kuna wasanii wadodo wadogo wanafanya vizuli kuliko hawa ukubwa wao ni kuimba matusi2 hawawezi kuimba nyimbo yenye hisia kali katika jamii ambayo inaweza kukaa wenye fikra za watu kama hili songs unahisi hiii nyimbo imegusa wachache ? Ndomaisha halisia hayo ❤❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Iko sawa aendelee mbele uko juu sana
Cjawahi jutia kuuckilza huu wimbo aisee ni mzr pia unakakitu flani cha funzo
@@jumannekhalifa7761 upu7u7< 7 to u878u
The song is on point but the problem with us Kenyans is that we adore so much of tanzanian music than our own music here. Surely, it deserved more than a million views . Mbona tuna ngebe na miziki yetu hapa? Nimeupenda Sana. Mwanzo sikupenda kuutizama maana nlidhani ni muziki wa Tanzania. Niliposikia ni wakenya wenzangu walouimba, sasa hivi mimi huutizama kila wakati niamkapo na niendapo kulala. Jameni wakenya wenzangu tuiinue miziki yetu hapa haswa miziki inayoleta hadhi kama huu.
Asante sana ndgu yng shukran sana
Nimeanza kuisikliza sa 12 mpaka sa 3 usk narudia kila saa big up
Alieangalia hii video zaidi ya mala 10 na aijamchosha Kama mm naomba like kazi nzuri aichoshi
Thank you
@@nakshibeiby5597 F
Siwezi kuchoka kusikiza huu wimbo kabla nilale naupenda💖💖
Kazi nzuri hakika.
Hatar
Mashairi yenye uhalisia, majibizano yenye hisia, ngoma kubwa zaidi kwenye hii tasnia and NO sio kutoka Tanzania bali ngoma kali toka Kenya imepenya na kwenye chati imeingia. Congratulations Ally Mahaba, Akeelah and Shirko for making Mombasa Music Great again.
"Inatosha"
~ Mzazi Willy Tuva = Mseto East Africa
Shukran Sana citizen redio na tv kw ujumla Kaka mzazi Tuva Allah akujaalie neema uweze kusapot wadgo zako
Shukran sana mzazi inshallah tutazidi kutia bidii
Noma sana
Vipaji vya kueleweka
Imeweza sana
No nudity
No alcohol content
No bad language
100% pure talent
Asante sana
Hahahah
Nomaa sana
@@davidnyerere2016 a
@@davidnyerere2016 ❤a❤aaa❤❤❤❤❤❤1❤❤❤❤❤❤❤❤a😮 asap the same
Second woman I can support after nyota ndogo ...uko juu sis akeelah na inshaallah utazid kua juu
Uko akuna lolote pamoja na miangaiko yao yte,na ujanja wao wote pesa wanazimaliza madam zote
Mwanaume unapenda ushindani Nami nfanyeje mtoto wakike 🔥🔥🔥🔥🔥🔥duuh
Qali sana
Brother ngoma kaliiii
Umesema hii ngoma umewaza na kuwazua ukatoa kitu iliyo makinika Hongera Ally Mahaba.
@@irenedzame752 Asante sana 🔥🔥🔥💪
Kenya we are blessed lets support these talent
Indeed we have to support them
True indeed let's support our artists
I just lov🥰 this song
Good
Yes we are blessed
Ata kama nimechelewa naombeni likes za Ally🔥🔥🔥🔥u Never disappoint
Hongera sana
Tuliokuja huku
kupata nyimbo full,
toka tiktok tujuane
Kama wamini hawa watakuja kuwa super star wakubwa ngonga likes zako
Mpaka tuwasurport
this song should be a collabo of the year
Sana kakaaaa,
Dah hii nyimbo inanipeleka mbali na kunifanya nitie bidii zaidi Hadi mtoto wakike analalamika tujitumeni wanaume dah hongera bro Ally na siz akeelah mumetufanya pia tuthamini nchi yetu sio uarabuni eti ndio kwenye maisha hata kwetu yapo zamu yako ikifika utafanikiwa God bless you mumetufunza kitu hapa hizi ndio nyimbo tunafaa kuzingatia Kama wasanii nyimbo Zenye maadili na Zenye kutia moyo kitu unaskiliza kinakupa moyo na mafunzo ndani yake....hongera pia kwa producer shirko unawezo mku bwa sana wa kupanga kazi yako mungu pia akuweke zaidi Kaka maana Kaka Ally aliangaika sana na tangu uje ww tumeuona uwezo wake wa kazi na bidii yake hongera kwako...hongera pia kwa boss Matoo kwa kujitolea kwa moyo na kuwekeza kwa ndugu yetu Ally pia na wengine amemwaamini na kumsimamia Hadi tunaone level amemfikisha si rahisi mungu mkubwa mungu azidi kukupa moyo huohuo boss matoo. Hongera kwako amour pia mungu akuweke zaidi. Na hongera kwa wote wanaosupport mziki mzuri.
Shukran sana
Bigdaddyhahaz nikweli jamani tujitahidini
Wameiinua mombasani
Why's this musician so underrated?this is a masterpiece 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Najikaza nifikishe 1million views pekeangu jaman nsaidieni hata kwakulike nijue tuko pamoja
Usijal kakang kila Jambo litakuwa sawa
Tuko hapa ...itafika
Thanks Mombasa for the massive massive support.
The launch was superb 👌🙌👌
Chacha the don
Tuva the mzazi.
Nyota ndogo
Chapatizzo
Kama ulikua gonga like
Imetufuraisha na kutujenga zaid
thanks
Sikua lakini nimegonga like ....song hatari hii
MARTIN MUITHYA in
Wowww
Nimependa natural video hasa huyu dada hana makorokoro i see like hawa watu ni wa mombasani hivi naskia tone za sudi boy flan wana madrasa kwa mbaali hivi nice song haki vile ❤💕🤝
Asante sana
Jameni Tiktok imenileta huku, the song is 🔥🔥🔥
Noma sana
Asante sana
Same to me
Pia mimi
Usisemee hivyoooo...usinifanye hivyoooo.....kuipataka kazi sio rahisi mke wangu....
Huyu mwanadada yani.... Mashairi yake yamefika chuo kikuu. yuwajua kazi yake. Kama munakubaliana nami nipeni LIKES zake
Hii ngoma ingekua bongo ingekua na 1m views but guess what tuko Kenya nchi yenye mdomo mrefu wa siasa kuliko music.
Nikiwa na stress za life naskiliza hii ngoma kazi nzur kwenu
Mwenyewe nimewaelewa. Big up bro❤️❤️❤️💕🇹🇿🇹🇿
Came here because of Akeelah❤❤❤🔥🔥🔥🔥 Msichana si una sauti🙌🙌🙌🙌
babyyy girl I told you Allah got you love💝...Ma Shaa Allah
Ntamuoa
@@jimmycarter84 inakubalika pia😂
Hadi rahaa...
Ye she so 🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo kila kukicha yanazidi kuwa mazuri mubarikiwe nyimbo nzuri yakupambana na maisha. 🙌🙌🙌🙌
Finally he hits 1 mill views
Wow lovely song again ally mahaba napenda nyimbo zako uko poa my bro keep it up
Nomaa sana..... Sijapoteza bundles zangu na time yangu.....big up shirko!!!
Shukran Sana dada mlezi kw mda wako ulochukua kuwasapot wadogo zako
Shinizooo
Yani tupate shanniz kama kumi hapa coast chipukizzy wataenuka tu kwa uwe wa mungu.
Yeiyoo love kwa sana
Aminiaaa.....Shanny....ATL ndo kusema...SM salute kwakooo
Omggg i love uuu🥺❤️❤️💕💕💕😭😭😭🥺🥺❤️💕💕💕✨✨
The girl is real, wooow shes real hakuna madoido
safi sanaa kaka ally good work bro niceee wimbo huu umfikie kipenz changu tina john popote alipo,,,
💣🔥🔥🔥
Ally jitume💖💖
Asnte Sana make up artist wng
Hello
Ngoma kali sana wanamuzkii wetu...mistari yenye ufundi. Afu shirkomedia uko🔥🔥🔥💥
#shirkomedia
#allymahaba
#akeelah
#atlmusic
#armoury
#001
Asnte Sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like the conversation mulifanya
Akheella ni madini adim na ghali sokoni ana brighter future
Ala! these Are kenyans? Thought they were Tanzanians! Woow! Keep on going guys.. wowo
Ngoma inazidi kuwa kubwa kila siku 😂. Masha Allah
Lucky Zamu ndio mimi
@Ally Mahaba 🔥🔥🔥
@Akeelah official 🔥🔥🔥
Hatar
Kali
Congratulations @AllyMahaba nice song yenye mafunzo kwa jamii #ujitume
Asnte Sana
Uyu dada anaimba kama sai kenya kama umeliona hilo gonga like
This lady tho,,am inspired.. biggup to both
Soom mumeweza snaa wallahy hilo goma hiko juuuh
I am not crying 😭😭.....you are!!!!
Akeelah I see you going places 😘😘
I love love this ❤️❤️❤️
Ameen In Shaa Allah
Safi
Qatar 🇶🇦favorite wapi likes 👍
Lazima nicheze huu wimbo mara kama nne asubuhi bfo niende job...naiiipenda
Asante sana
Hio hatari
Big up my crew big up Shirkomedia for a big tune
Yeiyoooo
This is the hit of the year
Yet hautafikisha 1m views. Shame on us Kenyans
Haki walai tena
Bigggup Ali!!!I love this song,mpe hi mzandi mm makethuma
Kab is a❤
🥰🥰i finally got It woow
Kazi nzuri bro💛🧡♥️♥️🙏🙏👏🙏👏
Safi
Akeelah am proud of u♥♥
Hakika wa Mombasani wanajua kuimba Bana siyo kma wa nai waramba lolo
Hakika tukipata waibaji kma Hawa 20 tu nyimbo za tz hazitachezwa Kenya sna kma Sasa mana mashari na kiswahili mashaAllah
Kweli kabsa shukran sana pia kw mda wako wakuitazama kaz yang
Kila Niki watch hii nyimbo naona kama ilitoka tu jana 🔥🔥🔥
How im i realising this girl this late!? 🤷♂️🤦♂️.... GOLD💥💥💥💥👌🏾
BIG UP ALLY na dadaetu AKEELAH
MUzidi kujituma na mbali mutafika...
#A_T_Lmusic to the world
#UJITUME imeweza
💯💯💯🇰🇪🔥🔥🙌🏾
Asante Sana Kaka mkbwa
Hii ngoma itambe ifikishe 10m views guys
Asante
Xijawah angalia ngoma Kali kama hii xijaona wakuludia kam hawa watu xichoki kuangalia nimeweka MB kwajir yao😢😢😢😢😢😢😢
No Nudes
No alcohol
No Faking
Best Music
Asnte Sana
Yaani imeenda shule,waeza tizama na wazazi.naikubali sana tu
@@mwinyikhatib1212
Yap....iko cool...
Salute kazi nzuri kaka
U can say that again
BigyTune.. Keep moving my Bro
Daah huu wimbo mmejuwa kuuimba kila asubuhi huwa nausikiliza halafu chap naingia mtaani kuchakalika nimeachana na dem wangu kisa kushinda maskani bila dili
Hahahahaha pole Kaka maisha yaleo nikujituma
Yani hili goma halichoshi nimerudia Mara nane Sasa dah kaza brother ALLY MAHABA hakika iko poa sana
Asante sana
Hawakuezi mwana
Kali sana🔥
Talent 💯..
Mzazi Tuva..brought me here 🙌
karibu
Mzazi wa vipaji
Iwapo lalama za AKEELAH ni kweli,basi anitafute BUNGOMA. Nitamzimia kiu.
Hats hivyo kazi hii Ni komavu.
You deserve more likes here. Usanii halisi
Hatar
Wau nashukulu ujumbe mzito mashairi kibao mwanaume ni kujituma bana KAZI safi
Dah!!!.. Ally huyu binti kamtoa wapi ana kipaji aiseee....
Kijana wa mtaa Ally nmekukubali mzima mzima.. Kazi Safi..
Nakuombea kila laheri mwana.. Tamba kote kote wakutambue
Ameen
Hizi ndo nyimbo za busara sio wale Wakina team fulani na fulani
I can't stop watching this jam yaani two upcoming artist bt ngoma Kali na message Bado video tamu 2022 napenda bado
Safi sana jomba💪💪💪
Aminia
Really Touching HIT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥
Nimependa huwa naskiza karibu 20 tyms a day ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kali ya mwaka hongera sana Ally mahaba na Akeelah kwa kazi safiii
Asnte sana
Big up bro.
Wangapi wamerudia hii nyimbo mara 10 tugongeni like tupeleke nyimbo kwa 1 million this week
Aki lazima nijitume. Pure talent . Heko to Ally and the beautiful Queen
Iii ngoma ni Kali sana,viewers wanafaa kuwa milionii,ifanyiwe haki
Hiiii kaliiii kazi kubwaaa sanaaa big up sanaaaa
Can't believe Ali himself has been responding to his fans comments..long live mahaba
Tubarikiwe wote🙏🙏
Ooooh I love this song. ....kweli huwezi pata chochote bila kumkubatia mungu.....basi kaa wee nyumbani nami niede n kaagaike
Hii wimbo iko sawa zaidi.izi dizo nyimbo uwa nataka sinafunza
Yani wajua kama mimi ninakukubali sana ALLY MAHABA
Asnte Sana kw upendo wko shukran Sana dadang
Pmoja sana broo
Nko Doha Qatar na aisee mihangaiko ya jua 47° yaani joto mingi Kisha mwishowe zote hela madem unawapa .. hakunanga kakitu! Lovely song ❣️
Thanks ssna
@@allymahabah pamoja kaka brasa
Alieirudia hii ngoma tujuane hapa big up akeelah 💞💞🎼🎵🎼
BILA alikiba nisingeijua hii nyimbo
Big up Sana ally mahaba 💪💪💪💪💪💪 bonge kazi
Watakoma safari hii, ATL Music rules!!!!!!
kama unamini hi nymbo umejifinza weka like hapa twende sawa
Safii
Mwili wanisisimka Kwa hii nyimbo nzur
Waooo 💃💃
Daa kweli imetosha hii inanihusu kabisaa
Wagone ma fellow kenyan salute 4both of you 🌹🌹
💃💃💃💃💃hadi raha,naona umeturudisha kwenyewe sio kukata kiuno mwanaume mzima 😍😍😍😍
Song imeweza sana na sana tu big up my bro en sister Akila
So sweet,,, I mean nice song. Nawaombea baraka kutoka kwa mwenyezi mungu
Lydiah Njoki brought me here. I couldn't have known, such a good song. Kenya Kali 👍
Thank you Lydia njoki. Pls share to more people
Kali Sana inanijenga kiukweli wimbo mzuri mafunzo mazuri 😍😍😍❤️🇰🇪💥💥💥 shukran kwa wimbo huuu ally MAHABA mumeutendea haki na metutendea haki sisi mashabiki zenuu
AKEELAH yuko vizuri Sana pongezi kwake
Safi
Dope kaka nyimbo kaliii
Jamani ii ngoma tusukumeni ifike ata Millioni kadhaa..
Massage yake kali sana
na imagine radio wamekataa kuiplay
This song makes me hustle harder👊👊👊👊
@Akeelah my pride ❤❤❤ you will always have my support. You will go far my angel. Be blessed and protected.
@Ally Mahaba you will lead the leaders. Proud of you my son. 💥💥💥💥💥. Always in my prayers.
Asante Sana mamangu kipenz
Hio nyimbo n kali sana nasikia imeingia moyoni Hongera kwa kazi yenu nzuri
Hapo mchecheza hongera kwa kazi yenu nzuri
Mama mwanao mola kampa kipaji kikubwa sana.. ataenda mbali sana.. hvi nilete ng'ombe ngapi maana huyu burudani tosha hadi uzeeni.. mola ampe kheri kwa mambo yake
@@aminhoff3914 asante sana dear